Omari Katanga anaripoti hali ilivyo Ethiopia kuelekea mechi ya Yanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • KUTOKA ETHIOPIA: Mlinda mlango Omari Katanga ameunguruma moja kwa moja kutokea Addis Ababa Ethiopia na anasema kalenda ya nchi hiyo leo inasomeka Januari 4 ya mwaka 2017 na sio Septemba 14, 2024 kama inavyotambulika sehemu kubwa ya dunia.
    Katanga pia anasema mji wa Addis Ababa upo tayari kuupokea mtanange wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya CBE SA dhidi ya Yanga SC.
    #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

ความคิดเห็น • 4

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mmh mbona sifahamu vizuri ina maana kuwa Kuna nchi zina kalenda tofauti na hizi nchi zetu mimi nilichokuwa najua tunatofautiana masaa tu kumbe hadi mwezi na mwaka

    • @LionelJr23
      @LionelJr23 3 วันที่ผ่านมา

      atl

  • @cosmasluwanja7394
    @cosmasluwanja7394 3 วันที่ผ่านมา

    Ila Yanga wajiulize hao walipitaje mpaka wanakutana inamana hiyo timu sio mbovu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 วันที่ผ่านมา

    Channel ipi wataonyesha hii mechi