Habari ya Musa, kuzaliwa kwake, kutumwa kwake kuwakimbia wana wa Israel toka utumwani. Tumaini Shangilieni Choir, / tumainishangilieni.choir ; / tumainishangilienichoir
Mungu ana vitu vizuri sana. Wadada kwa wakaka wote wamewaka kwa utukufu wa Kristo ulivowafunika. Hii kwaya na ile ya mamajusi Moshi Ni za kiutumishi wa pekee sana
Yaani mmenirudisha utotoni kabisa jamani.... nakumbuka vitu vingi kupitia wimbo huu... Mungu awabariki ila nimesahau wimbo huu ulikuwemo kwenye Album gani
Huyo Daktari (sjui Dokta Emanuel .... ) haaahah huyo anakung'uta guitar la soro huyo mmmmmh mpk ni balaaa eti Johniiiiii Johnii Johnnnnnn.... hahahah hapi kaamua kuimbisha wanakwaya wenzie tuu, ila mnaimba mpaka mnakeraaaa ! Yaani ni zaidi ya utamu aroooh nimewamiss sana nyie wana St. James
Asanteni saana shangiliemi nawskubali saanana unyamabmwingii sasns❤
Huu wimbo una baraka kubwa kwenye maisha yetu. Mungu awabariki na mzidi kuliinua jina la Yesu.
Kweli muko juu mungu awatangulie katika kazi zenu
Mungu ana vitu vizuri sana. Wadada kwa wakaka wote wamewaka kwa utukufu wa Kristo ulivowafunika. Hii kwaya na ile ya mamajusi Moshi Ni za kiutumishi wa pekee sana
Tumain mko ju hakika nyimbo zenu zinanibariki.amen
Tumain ni kwaya kubwa sana na yenye uwezo wa kila kitu haikupaswa kutumia maic moja watu 3 lekebisheni hilo
Nawapenda mno Tumaini choir. Nakumbuka zile enzi mlipotoa nyimbo hizi. Mmefanya vema kuzirudisha mtandaoni
Safiii mko sawa
Wimbo huu huwa unanibariki sana
John.. John.. John barikiwa sana wanakwaya
Kumbee na enzi hizoo walikuaa wanasebuka hivii daaaa kwa yesu kuna rahaaa, tupo 2020 watching
Wameirudia tu hapo live
Hongereni na familia ya Mzee Mtangoo..you’ve been with that group forever. Mungu aendelee kuwabariki.
Hakika ni wimbo mzuri sana
Nawapenda sana nyie watu
Yukowapi mchungaji wetu mpendwa William kajembe
Watumishi wanabariki kweli
Amen, Sifa na Utukufu ni kwa Bwana Yesu
Yaani mmenirudisha utotoni kabisa jamani.... nakumbuka vitu vingi kupitia wimbo huu... Mungu awabariki ila nimesahau wimbo huu ulikuwemo kwenye Album gani
Mbarikiwe
Hongeni watu wa mungu mmenikumbusha mwaka 1999
Kwakweli hata mm. Was young kha!!! Very Angelic
Good arrangement!
Nyie watu mafundi sanaaaa aiseeee siwachoki kabisa!
Napenda mno
Huyo Daktari (sjui Dokta Emanuel .... ) haaahah huyo anakung'uta guitar la soro huyo mmmmmh mpk ni balaaa eti Johniiiiii Johnii Johnnnnnn.... hahahah hapi kaamua kuimbisha wanakwaya wenzie tuu, ila mnaimba mpaka mnakeraaaa ! Yaani ni zaidi ya utamu aroooh nimewamiss sana nyie wana St. James
Ndugu yetu na rafiki yetu tunashukuru sana kwa kutuombea na kutufuatilia. Mungu akubariki sana.
Hahaaa umeuaaaa hapo shetani kakaa mbali sana anaogopa sebene
Mmbarikiwe sana.. nawapenda sana.. tunaomba muweke hizi live video nyingine..
Amen ❤
One of the lovely songs i use to Listen in my fathers National radio in Taita though radio sauti ya injili.
Good
Baraka nyingi kwenu🙋🏽♂️🙋🏽♂️
Yaaani natamani kila wakati kusikiliza mnachokiimba mbarikiwe
You remain the best of all choir i ever know. God bless you #tumainishangilienichoir
Amen Amen wimbo mzuri
That young boy God bless him,I see him in almost all the songs
Hakika ilikua nzuri sana
🙏🙏🙏
Amn nabarikiwa sanaaa
Amina
Siwachoki jamani njombe mlivokuja ilikuwa baraka sana
Halafu ile kwaya kuu ya njombe sioni nyimbo zao kwenye TH-cam huwa inaitwaje? Ile ya akina Obadia au haipo tena. Nisaidie kujua Kama ipo inaitwaje
Tunaomba tuwekewe UPEPO WAVUMA Please
Tunaomba tuwekewe UPEPO WAVUMA Please
Wamekusikia mwanangu!naamini wataweka