"Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?" - Job Ndugai

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • September 14, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai alilazimika kusimama Bungeni Dodoma kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa na Wabunge akiwemo Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aliyelituhumu Bunge kushindwa kugharamia matibabu ya Tundu Lissu

ความคิดเห็น • 253

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 5 ปีที่แล้ว +3

    Mh Speaker nimekuelewa sanaaaa,yaaani nashindwa kusema loloote zaidi ya kukutakia kheri na baraka kutoka kwa Mungu

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 5 ปีที่แล้ว +2

    Pole speaker hao ni baadhi ya wabunge wasio na uzalendo na nchi ni wabunge Wa madili,wasubili wakati mwingine sio juu,hapa kazi tu dili hakina.

  • @wilsonmwaka2272
    @wilsonmwaka2272 7 ปีที่แล้ว +2

    Well said hon speaker na uwe na hekima hizo siku zote na vizuri uwasamehe wabunge wengine woote.. muanze upya na nguvu na heshima ya bunge irudi ..

  • @husseinchandi1087
    @husseinchandi1087 7 ปีที่แล้ว +5

    Mheshimiwa spika nimeshukuru kwa ufafanuzi Wa kina uliotueleza watanzania kuanzia mwanzo palipotokea tatizo mbunge Lisu na Juhudi mlizofanya mpaka kufika Nairobi. Uwazi huo Leo unadhihirisha baadhi ya watu ni wapotoshaji Wa umma. Kwa ujumla wewe ni kiongozi makinni kwa ufafanuzi ulioutowa. Ahsante sana spika kwa Maelezo yako.

  • @markanthony5628
    @markanthony5628 7 ปีที่แล้ว +11

    Spika ndugai umeeleweka sana umeongea maneno yakueleweka yani upinzani wa aina hii unakuwa cio mzuri Mungu akubariki mh spika

  • @abdallahmkumbi7859
    @abdallahmkumbi7859 6 ปีที่แล้ว +2

    Dawa ya lema inapatikana 2020

  • @azizisalimu3828
    @azizisalimu3828 7 ปีที่แล้ว +12

    Hongera sana Mh. Umekomaa vya kutosha

  • @mamahustru
    @mamahustru 7 ปีที่แล้ว +6

    Asante Spika kutufafanulia mchakato ulivyokwenda. Shida ya upinzani, hawajielewi, na hawajaelewa zama za siasa za uzushi zimekwisha. Lema kama amezaliwa na uso wa aibu, atajirudi. Tumekuelewa sana Spika.

    • @benjaminsolomon1970
      @benjaminsolomon1970 7 ปีที่แล้ว

      wapi ww

    • @mariyamzuheir6255
      @mariyamzuheir6255 5 ปีที่แล้ว

      Moyosafi : WANAOJIITA WAPINZANI WENGI HAWAELEWI VIZURI TUWASAMEHE TU KWA MATENDO YAO , WATAFIKA WKT WATAFAHAMU TU.

  • @priscusshayo4061
    @priscusshayo4061 7 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa moyo wa unyenyekevu, samehe anene yaishe, kwa kusema umemsamehe tu inatosha, na mungu ndio ataona aliye na kosa au mkweli ni nani.

  • @hamzaathuman9703
    @hamzaathuman9703 5 ปีที่แล้ว +3

    Mzee utajichosha bure hao hawanaga Shukrani kamwe

  • @georgembuni7934
    @georgembuni7934 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee,haya majitu yako hayana shukrani yaache yapambane na hali ya yenyewe.Na haya yanayotokea ya kushindwa kila kesi ni malipizi ya kukukosea shukrani

  • @omaryahmedy9979
    @omaryahmedy9979 4 ปีที่แล้ว

    Supika nakupongeza sana ww una busara mungu akubaliki uwe na moyo huohuo 👏👏👏👏

  • @kissatuagusto2246
    @kissatuagusto2246 7 ปีที่แล้ว +4

    ....ni kweli kabisa Ndugai:arusha deserves a better MP than this the current one... Good message.

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa asante kwakutueleza ukweli wa mambo mana tulikua tunalaumu bila kujua

  • @semetv9829
    @semetv9829 7 ปีที่แล้ว +3

    Mh. Spika kuna tofauti kati ya bunge na wabunge

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 7 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania. Amen.

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 7 ปีที่แล้ว +8

    bimafsi MZEE nimekwelewa. msamehe Lema katumia mihemuko. ila tumwombee apone

  • @mjanthony4864
    @mjanthony4864 7 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo. Kweli Mgonjwa ambaye Yupo Serious kiasi kile.. Hakuna utaratibu wa Mda mfupi wa Kwenda India mpaka Apitie njia za kwenda Muhimbili, Wizarani na tena Bungeni..

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 7 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi nilishangaa sana nilivoisikia clip ya mh lema, inatia simanzi sana kwamba upinzani tumefikia hatua hii!!!! Mungu atusamehe tu,,, na nimependa msimamo wake spika kumsamehe moja kwa moja ili ajifunze kiimani,, lkn binafsi kwa sasa naona upinzani hoja hawana na kilichobaki ni kutuhumu tu kila MTU Pasi na sababu

  • @eliuskivuyo6521
    @eliuskivuyo6521 7 ปีที่แล้ว +7

    Kweli mh spika kwa maelezo haya,mliwajibika kwa nafasi yenu,umeeleweka Mungu awaongoze mlivuke hili...

  • @rehemambwanji1646
    @rehemambwanji1646 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole yake, spika upo sahihi ila aombe msamaha anatuchafuli,

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 7 ปีที่แล้ว +13

    Nimependa sana umeuweka ukweli wazi kabisa.
    Tunaona jinsi walivyo kua bado hawajakomaa kisiasa.

    • @andreanjelango8439
      @andreanjelango8439 6 ปีที่แล้ว +1

      wapinzani hawaendi na nyakati enzi za ujinga zimepitwa na wakati mwanzoni tuliamini wapinzani ni wakweli na serikali inawanyima haki na demokrasia kumbe wao ndiyo hawaitendei haki sasa tumewasoma Mheshimiwa spika wape Elimu hao

    • @SimuliziZaOscar
      @SimuliziZaOscar 5 ปีที่แล้ว

      Nyie hamuijui siasa sikilizeni tu kama muvi ss tumeisoma siasa tunajua nn kinaendelea hapa tz

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 7 ปีที่แล้ว

    ndugai mungu anakuona lema kukuambia unaxema alikuxhambulia iv hilo bunge unafanya kam familia yako

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 ปีที่แล้ว +1

    Mh Lema spoke the truth and we understood his concerns na speaker ...mnyanyasaji wa wapinzani hasimamii haki ...it's too late now

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 7 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe kujishaua Nairobi tumpeleke hela ya ndege ILITOKA CCM...hakika hiki chama ndiyo "UKUBWA JALALA"
    Na Mbowe kuongea Nairobi alijua tu CCM watatoa baada ya kumuona Mh.Turky."
    TUMSAMEHE LEMA ni "MCHIZI FRESH" yule.

  • @imaclayo1031
    @imaclayo1031 7 ปีที่แล้ว +2

    We Need Strong Oposition party in tanzania... we don need Ccm we don need Chadema... tunataka chama kitachokua na nguvu ya wananchi na sii nguvu za wanasiasa

    • @albertkileo6132
      @albertkileo6132 5 ปีที่แล้ว

      IMA cLAYO hiyo NGUVU ya WANANCHI jtatoka wapi kama wenyewe hawajijui.

  • @georgengonyani7041
    @georgengonyani7041 7 ปีที่แล้ว +1

    Hii mijamaa ni kichuchefu sana, yana lalamikia kila kitu. Mimi nimeyachoka kabisa.

  • @simonnzumi5672
    @simonnzumi5672 7 ปีที่แล้ว +9

    mambo mengine ya kitoto kweli# aombe msamaha

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 7 ปีที่แล้ว

    Ila wamevhemka sana kutafutia kiki Suala la Tundu.....kwanza ni kipindi ambacho walitakiwa kutulia mwenzao apone wao wanaonekana wanashindia Majungu Mungu anawaona

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 7 ปีที่แล้ว +7

    kweli Leo spika katia huduma

  • @florameza9529
    @florameza9529 7 ปีที่แล้ว +3

    Kushirikiana kuwepo hosp ni tofauti na kugharamia matibabu

    • @amanichanga3448
      @amanichanga3448 7 ปีที่แล้ว

      Flora Meza Wewe pia unahitaji matibabu, yani pamoja na maelezo yote hayo na mifano bado huelewi

    • @florameza9529
      @florameza9529 7 ปีที่แล้ว

      Amani Chang'a wagonjwa wanajulikana katibiwe

  • @abdallahyusufu3413
    @abdallahyusufu3413 7 ปีที่แล้ว +1

    Nyie watu nyie mungu anawaona

  • @batuliibrahim5217
    @batuliibrahim5217 7 ปีที่แล้ว +4

    bora umenena baba maana mshamba siku zote haelewi

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanaona wapige kelele kwa wananchi . Achana nao

  • @nawaberno888
    @nawaberno888 6 ปีที่แล้ว

    Hakika umetoa Elimu ya kutosha Mungu akulinde Daima

  • @jumamlelwa819
    @jumamlelwa819 7 ปีที่แล้ว +8

    yn mipinzan ya tz hakuna kitu ....wanapenda kusikik wao tuuu wakiongea na tena waonekan wap sahiiii.....kumbe chenga kabsa

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 7 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ndio unapotosha wananchi

  • @marykitiru9212
    @marykitiru9212 7 ปีที่แล้ว

    nilihisi unapoteza hakuna kumbebado...barikiwa

  • @erastokihalule9656
    @erastokihalule9656 4 ปีที่แล้ว

    Wanajua kelele sana kuliko kutetea hoja zao za msingi lakn wanakurupuka bila kufikiri wananchi tunawatazama tunaona upuuzi wenu huo mnatufundisha nn tunawatazama

  • @immaculeeuuiiopnsabimana4500
    @immaculeeuuiiopnsabimana4500 7 ปีที่แล้ว +1

    Awo wapinzani mnaona kama hawana maana wanatafuta kiki kunasiku mtawaelewa tu nyiye subirini mtaona yatatokea uyo spika uyo ni CMM hana cakuongea uyo

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 7 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kama mmetoa million 43 na kule zimetumika million 100 izo zingine anatoa nani alafu mbona mmekazana na mambo yasiyokuwa na faida kwa taifa fanyen tulichowatuma na hao wanaopiga makofi hayo makofi ya nini sasa

  • @elisantewawa3047
    @elisantewawa3047 7 ปีที่แล้ว

    uwezo wa kusamehe ni ufaham wahali ya Juu sana ni uwezo waki Mungu asante supika Mungu nyuko na wewe

    • @evalunyumbu4750
      @evalunyumbu4750 7 ปีที่แล้ว

      Elisante Wawa mmhhhh jamani Mungu apendi

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz 7 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni bange wanazovuta ndio zinawaongoza.Jipumzikie mheshimiwa speaker

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmm mbona ss walala hoi
    Hatuugui ? Mimi mwaka wa 15 siijui dawa zaidi ya panadol kwa ajiri ya kutuliza uchovu. Nyi mnauguaga nini eti.

  • @lucyhadwiger3164
    @lucyhadwiger3164 7 ปีที่แล้ว

    Tuwe na Hofu ya Mungu.

  • @Kikobhili
    @Kikobhili 7 ปีที่แล้ว +1

    Nafikiri kuna haja kambi ya upinzani wakae pamoja wawekane sawa. Ndugai amesema maneno ya kiuongozi, kilezi na kwahakika maneno ya busara. Ushabiki usio na maana hauwezi kutusaidia.

  • @mamahustru
    @mamahustru 7 ปีที่แล้ว +2

    Na huyo mbunge wa CCM aliyejitolea pesa yake kumkodia Lissu ndege, hongera zake. Hakuna Chadema wangeweza kumkodia wa CCM hata baiskeli. Maana hata mauaji ya Kibiti walilazimishwa kulaani baada ya miezi kadhaa kupita. Mungu anawaona na atawalipa hapa hapa duniani. Siamini Chadema walishindwa kujipanga chapchap wakamuagizia mwenzao ndege harakaharaka, ila ubinafsi unawatafuna hawapendani wao kwa wao.

    • @evalunyumbu4750
      @evalunyumbu4750 7 ปีที่แล้ว

      acha uji huu ni utu ,kwani unataka kasema upinzani niuadui,nasiwatu hawa tulip wachagu ww mwanaume anaongea kamaaaaaaa ,shiiii

    • @tetrinoantony7172
      @tetrinoantony7172 7 ปีที่แล้ว

      Moyosafi / Bro Mungu wao Ndesamburo kaondoka wanaujanja hao wakodi ndege? Na huyo waliombeba kuwa rais wao Lowa Lowa na utajiri alionao mbona hakujitolea hata kukodi helicopter tu? jamani ubinadamu kazi ndg yangu!

    • @mamahustru
      @mamahustru 7 ปีที่แล้ว

      Mbona wapinzani wanafanya uadui? Msigwa leo kamuita Spika adui. Upinzani ushawahi kuona utu wao lini panapohusiana na Chama cha Mapinduzi?

    • @davidkalinga5580
      @davidkalinga5580 7 ปีที่แล้ว

      hakna mbunge wa ccm aliyekod ndege. mh turky alidhamin tu, ndege wamelipia chadema

    • @mtotowahalimamdeetunduliss6238
      @mtotowahalimamdeetunduliss6238 5 ปีที่แล้ว

      Mhmmm

  • @paulojosephy6338
    @paulojosephy6338 7 ปีที่แล้ว +19

    daaah kwa maelezo yako spika nakupongeza

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 7 ปีที่แล้ว +9

    Lakini hawa wapinzani wanafanya vibaya sanaa panyeukweli tuseme ukweli panapo faa kukosoa tukosoe sasa kilajambo tunapinga aseee kiki hizi too much

    • @sarahedo9928
      @sarahedo9928 7 ปีที่แล้ว +2

      Abeid Mayanga kiki mpaka kwenye maisha ya yao

    • @edwardkasubi1332
      @edwardkasubi1332 5 ปีที่แล้ว

      Panyeukweli

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani haw Wabunge wa chadema tuna mashaka nao wanachukua siri za tanxania kupereka nchi za jirani waonekane kua wanahonewa kumbe wenyewe ndio chanzo cha kureta machafuko

  • @iddymustapha489
    @iddymustapha489 3 ปีที่แล้ว

    Aaaya bhana wakuuu! Nyinyi mnabima kuubwa yakuweza kutibiwa hata nje yanch sisi wananch wakawida tunapambana na hal zetu maana hata panado tu ni mtihan katika hopstar za serkal yaan daktar wa serkal anakuandkia dawa ukanunue nje famas au ukanunue unakojua

  • @davidkalinga5580
    @davidkalinga5580 7 ปีที่แล้ว

    mh spika, umeongea km baba leo. yote umesema vema, lkn moja tu umepuyanga "mh turk huyo mbunge wa ccm hakulipia ndege, alidhamin na kusaidia san ndege kupatkana lkn waliolipa ni chadema"

  • @suzyjames4968
    @suzyjames4968 7 ปีที่แล้ว

    mie ndo maana nasema bora nikae bila chama na hawa wapizan why hawasifi hta kidogo kilichofanyika why kila kitu kulaumu mwisho wa hili jambo litaishia hivi hivi tu ila hongela spika piga kazi

  • @mutuwetu8974
    @mutuwetu8974 7 ปีที่แล้ว +3

    bunge la tz imekuwa kero xaxa mmmmh

  • @elesiavisima7374
    @elesiavisima7374 7 ปีที่แล้ว

    mungu 2 awaongoze

  • @erastokihalule9656
    @erastokihalule9656 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo wapinzani wapo na fujo wanaweza kuwa na hoja tena nziri lakin wanashindwa kuzieleza kwa ufasaha wanabaki na piga kelele tu matusi tena ya ajab sana

  • @omarymohamed4805
    @omarymohamed4805 7 ปีที่แล้ว

    kumlaani muislam ni vibaya sanaa na kwenye cuf imekua kawaida tu na masheikh wanaski!!!!!!

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 7 ปีที่แล้ว +4

    kumbe mnatibiwa india sisi walalahoi tufe mungu anawaona

    • @hancytv4315
      @hancytv4315 7 ปีที่แล้ว

      Daniel Agustino ahahahaha

    • @ivanmarcela1209
      @ivanmarcela1209 7 ปีที่แล้ว

      Daniel Agustino nenda ukatibiwe hujakatazwa ndugu

    • @ivanmarcela1209
      @ivanmarcela1209 7 ปีที่แล้ว

      Daniel Agustino nenda ukatibiwe hujakatazwa ndugu

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 7 ปีที่แล้ว +7

    Ndugai, nimekuelewa ndio maana umekuwa spika, vingozi wengine hawajielewi. 👅👅👏

  • @robartmdumarobart6568
    @robartmdumarobart6568 7 ปีที่แล้ว +2

    TUNDULISU MUNGU KUWANAUPINZANI LEOHII TUNGEBURUZWA KAMA MBUZI ACHENIWASEME KAMAHUNAKOSA KELELE ZA NINI.HURUMA ZAKINAFIKI MAKAMANDA KOMAENI

    • @adenwarsame7357
      @adenwarsame7357 7 ปีที่แล้ว +1

      Robartmduma Robart sana Sana Mduma Umesomeka

  • @shigongomalulu5294
    @shigongomalulu5294 7 ปีที่แล้ว

    Umeongea kama kiongozi na pia umeongea kama mzaz si kwamba huna hasira ya kinachosemwa ila umetumia busara na umefumbua ukwel ambao haukua ukijulikana .

  • @poulnicoloux9111
    @poulnicoloux9111 7 ปีที่แล้ว

    Hivi walishindwa kumpleka muhimbili Mpaka aende Nairobi? Je hapa tz hakuna madoctor ni dharau

  • @josephtimothmbulu8677
    @josephtimothmbulu8677 7 ปีที่แล้ว +6

    hatuna mihimili mitatu nchi hii, kuna unafiki mwingi sana kutoka kwa viongozi wetu, we ndungai umesahau ulimwaga damu ya mtu ukipigania kuingia madarakani? leo hii unawezaje kutudanganya eti una utu na uchungu ndani yako, usitumie mda wa bunge kujisafisha

    • @goodluckaugustino6981
      @goodluckaugustino6981 7 ปีที่แล้ว +2

      kwer kabis kijana esema fact sana

    • @greensky9607
      @greensky9607 7 ปีที่แล้ว

      Joseph Timoth Mbulu damu gani alimwaga?
      usiropoke

    • @josephtimothmbulu8677
      @josephtimothmbulu8677 7 ปีที่แล้ว

      Brian Baraka we uko Tanzania gani bana, unafatilia siasa za hapa bongo kweli au unaweka mahaba na mtu tu

    • @raymondkaswaga5055
      @raymondkaswaga5055 7 ปีที่แล้ว +1

      Joseph Timoth Mbulu ww utasaidia polisi fika kituoni kesho Buguruni

    • @radhiarukemo6150
      @radhiarukemo6150 7 ปีที่แล้ว +1

      Joseph Timoth Mbulu kuwa makini na matumizi ya simu yko. mdomo uliponza kichwa

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Wabunge wenye nia mbaya na serikari ya tanzania hata wakisamehewa awawezi kujirekebisha kwa sababu nia yao ni mbaya siku zote

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 7 ปีที่แล้ว

    Leo kidogo nimekuelewa upande wa pili,,kwani upande wa kwanza huwa USOMEKI KABISA,Unapoanza NA zitto mwanzo mwisho,Lema naona hakujua utaratibu wote huu,Lakini alikuwa amepaniki kwa TUKIO ILI LA KUPANGA,MISSION FAILURE,

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 7 ปีที่แล้ว

      Gasper Massawe lema si kwamba akujua lema ni chizi

  • @godfrysangi6343
    @godfrysangi6343 5 ปีที่แล้ว

    Spika inauma sana kweli leo hii mh lisu tena sio mbunge

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 7 ปีที่แล้ว +2

    Alafu naomben kuuliza ivi spika hana chama ??? Na kama anacho ni chama gani na je aliteuliwa na nanii

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 7 ปีที่แล้ว

      Mikeh Jackson spika ni mwanachama wa ccm na amechaguliwa na wabunge kuwa spika

    • @mikehjackson2277
      @mikehjackson2277 7 ปีที่แล้ว

      Ramsojimmy Kelly sasa kama spika nichama tawala ndomana confrict haiishi

  • @hajisunna7410
    @hajisunna7410 7 ปีที่แล้ว

    Spika hongera

  • @raziambwana2145
    @raziambwana2145 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka mkuu wanafunz na wapiga kura tumekusikia.

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 5 ปีที่แล้ว

    CaG anaendelea kufanya kazi na bunge?

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 ปีที่แล้ว

    Ndo maana mimi naendelea kusisiyiza msemaji wa swala la LISSU awe mmoja tu....Kiongoxi na familia yake.Sisi wengine tumuombee tu

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 ปีที่แล้ว

    Baba yangu huyo lema ana laaana ya mwenyezimungu tena mwisho wake mbaya tuzidi kumuombea kwani hajui alitendalo

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kuna sehemu mh lema hakua sawa lkn nawe spika haupo sawa mfano mh turik alikubali dhamana tu ya maneno lkn pesa wamelipa chadema hata hivyo mh turik alifanya uungwana mkubwa na ktk shutuma za mh lema anae mshutumu ni spika sasa spika kuiingiza na serikali sio sawa huo ni muhimili mwingine mh zito spika kaagiza aitwe kwenye kamati kujieleza kw nn kasema muhimili mmoja unameza mwingine lkn alitoa sababu kw nini kamati alioiunda spika isilite majibu kw wabunge isitoshe mh rais alisema spika alimpigia cm kumuulizia uteuzi wa wajumbe wa kamati nafikili spika alitakiwa kumjibu kw kutumia kanuni za bunge tu, nb:kumbukeni spika alimpiga mgombea mwenzio wa nafasi za ubunge ktk chama hadi akazirai na hakumpa pole wala kuomba radhi

  • @johnfc6635
    @johnfc6635 6 ปีที่แล้ว +1

    Mm nilitaka kukuelewa mwanzoni lakini hili la Lisu siwezi kukuelewa kabisa, ungekuwa umesema chanzo cha risasi ndo ningekuelewa, aliyetaka kuua apewa kumtibu majeruhi. Hahahahahahahahahahahaahahahah.

  • @veneminja8668
    @veneminja8668 7 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyewe nimeuzunishwa na Maneno ya spika dah upinzan jielewen bhna mlitakaje ss mpaka hapo spika angefanyaje

    • @goodluckaugustino6981
      @goodluckaugustino6981 7 ปีที่แล้ว

      akuna lolote huyo anajifanyaga anamaneno mazur kumbe mnafik tu

  • @danimzaliwa3071
    @danimzaliwa3071 7 ปีที่แล้ว +1

    unazngua bna,

  • @jenyjenny7709
    @jenyjenny7709 7 ปีที่แล้ว

    Du, kwa Hiyo Posho kwa siku ni 86milioni kila siku... Kwa Wa bunge wote?

  • @laizertipay5871
    @laizertipay5871 6 ปีที่แล้ว

    bwana ee spika unabusara sana

  • @benjaminsolomon1970
    @benjaminsolomon1970 7 ปีที่แล้ว

    ndege haikuletwa Na mbunge wa ccm...uwo n uwongo

    • @godfreychristopher4733
      @godfreychristopher4733 7 ปีที่แล้ว

      Benjamin Solomon uyo mbunge wa ccm ndio aliyechukua dhamana ya kuileta iyo ndege coz anafahamiana na iyo kampun inayomiliki iyo ndege,ili pesa ya kukodia ndege iludishwe baadae coz kwa muda uo chadema hawakuwa na iyo pesa

  • @johnsakalani5307
    @johnsakalani5307 5 ปีที่แล้ว

    Wapumbavu awo achana nao awana jipya

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 7 ปีที่แล้ว

    wabunge wa UKAWA wamechanganyikiwa sahivi

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 7 ปีที่แล้ว

    Mh Mungu tusameheee na uiponye nchi yetu.pole spika

    • @myavilwanizar354
      @myavilwanizar354 7 ปีที่แล้ว +1

      tuache marumbano tunamgojwa nadhani nikuchanganyikiwa kwa Ajiri ya mgojwa

    • @olaislukumay571
      @olaislukumay571 7 ปีที่แล้ว

      myavilwa nizar kweli kabisa

  • @dullyprinc7886
    @dullyprinc7886 7 ปีที่แล้ว

    kwahyo tumetaka utusomee kuumwa kwenu keel vtuko sana

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 7 ปีที่แล้ว +1

    Wote mliokoment hapo wafiki

  • @mtotowahalimamdeetunduliss6238
    @mtotowahalimamdeetunduliss6238 5 ปีที่แล้ว

    Mmefeli kwa mlichokipanga kwa lissu

  • @immanuelswai6679
    @immanuelswai6679 7 ปีที่แล้ว

    Eti? Utanifanya nini!!

  • @agnessteven6185
    @agnessteven6185 7 ปีที่แล้ว

    Sidhani Kama kuna Umuhimu Wakudiskasi mambo ya mitandaoni bungeni

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 7 ปีที่แล้ว

    Lema anaongea kama yupo kijiweni

  • @lilyg2134
    @lilyg2134 7 ปีที่แล้ว

    how I wish members of the parliament wangekua appointed and not being elected by individuals mana naona kama tunakosea kuwachagua wawakilishi mabogas kabsa watu wanashndwa kuwakilisha matatizo yetu kazi ya kutafta kiki jamn chama pinzani tulieni bac mbona kama wavuta bangi? hamkaukwi na vihoja ? kila siku mnaibua mapya msituchonganishe na serikal sisi hatushikwi mackio ndio mapungufu yapo lkn mnazidisha sasa chuki ndo zmewajaa na uroho mxieww

  • @abdallahyusufu3413
    @abdallahyusufu3413 7 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kukumbatia waovu

  • @andrewnyambega5590
    @andrewnyambega5590 7 ปีที่แล้ว

    ndugai ana akili sana hlf ana busara sana

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Spk wa bunge ni mtu mwenyehekima sana hata rais wetu wa tanzania hakukosea kumchagua mtu kama spk ni mtu mwenye maadiri kafunzwa na wazazi wake alinyonya maziwa ya mama yake mpaka miaka 2ndio mahana hakiri yake hiko vizuri

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 ปีที่แล้ว

    Watu hawendi muhimbili wanaenda india tu

  • @betrambenjamini8756
    @betrambenjamini8756 7 ปีที่แล้ว

    kwa nn serikali muwanyekee hao wapuuzi! fanyeni mambo ya kitaifa,hayo ya Lissu mwachieni mweñyewe na hao wahaini wenzake maana washasema hawana imani na serikali ya watanzania! msigwa amekujibu,eti ndugai we ni mwongo hela ya ndege hajatoa huyo mbunge wa cçm bali wametoa wao!

  • @mohamedkhamisi8122
    @mohamedkhamisi8122 5 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo mkuu wamejenga hali yaupotoshaji kwajamii wapuuzi sana

  • @santyhassan4186
    @santyhassan4186 7 ปีที่แล้ว

    tuky hakutoa Pesa Bali alidhamini

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 7 ปีที่แล้ว +2

    Spika kituko

  • @veronicascottmollel7897
    @veronicascottmollel7897 7 ปีที่แล้ว +4

    Upinzani wa wa Tz nikupinga kilakitu hakama niukweli we unapinga tu!😂😂😂😂😂😂

    • @mugemainyas5241
      @mugemainyas5241 7 ปีที่แล้ว +1

      Veronica Scott Mollel inabidi tuwabadilishie jina maana wakiitwa wapinzani wanapinga kutetea jina la upinzani . Sasa tutafute jina naomba tukubaliane tuwaite waungwana. Naamini wangeenda uwanja wa ndege wangepinga Tundu lisu asipelekwe kwa ndege.

  • @samuelgodfreymwambashi8835
    @samuelgodfreymwambashi8835 6 ปีที่แล้ว

    Huyu Lema tatizo bangi zinamsumbua.

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 7 ปีที่แล้ว

    Upinzani wa kwetu umechanganyika na usaliti,si tu kupinga.