ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
poleni wana family poleni pia wasanih wa Bongo move mungu hilaze pema peponi Loo ya malehemu,,Amen
Kingwendu shauri lako linanijenga saana. Nakufata toka Capetown
R,I,P, mzee pembe mungu akujalie mahara pema peponi ,na mungu awatie nguvu wafiwa na sote tu wapitaji hapa duniani😂😂😂😂😂😂
Heloheloooh! Kingwendu ngwendulile
Hyo salam ya heshima yako waandishi muiache mnachangia sana kuporomoka kwa maadili ktk jamii..nyie ni vio mnashindwa kusalimia vizur
Kabisa umeongea kweli
Nawashangaa sana mm sasa heshima yako ndio imefanyaje? Lkn haya yote ni kutokana na malezi/maadili na misingi ya dini kuwa mibovu👏👏
Hiyo ni editing si sauti ya kingwendu hiyo
Nimeona ile maiki ya chid benzi kitu cha fanta😅
😁
😂
Mbele yetu nyuma yake mungu ai laze mahali pema peponi😂😂😂😂😂
Tumepotelewa na marehemu
Zamani sana R.I.P
Poleni Mzee pembe repose en paix
R.I.P pembe
Pole sana watanzania wote kwakuondokewa na mzee pembe
Kingwendulile
R.l.P mungu amuraze mahari pema peponi 🙏
Aic watangazaji bwana et tumepotelewa n marehem😅....
Utangazaji ni kazi kuna vigezo vingi.tumempoteza marehemu usahihi tumempoteza mtu muhim.ila huwenda niubinaadam kukosea
Wewe mtagazaji hauko vizur tumepotelewa na malehemu diyo nn kwa nn usiseme tumepoteza mtu mhimu sana kwenye
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
James you're not well
Hakuna watangazaji siku hizi ni mavi matupu kwakweli 👏👏
Jamani semeni 'mbelè yake nyuma yetu, cyo mbele yetu nyuma uyake, BWANA AMETOS NA BWANA AMETWAA...HUZUNI HUZUNI HUZUNI KUBWAAA😊😊😊
Sahihi ni INNA LILLAH WAINNA ILLAYH RAJIOUN.
Beby nangoo
R.l.p pembe
RIP pembe
umepotelewa na marehemu😢😢
Inahuma 😭😭😭
R.I.P jemadari afu waandishi wa mchongo kuweni makini
Rest in peace papa pembe
Wamemzika na Rungu lake
😅
Global tv Umezingua kwamaswali yako 🚫
No.
RIP mzee Pembe
INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN
R.I.P PEMBE
Hawa wazee wetu mungu awalinde pia awalaze peponi waliotangulia nakumbka mbali kuwaona
Mazishi nilini ndg zangu
Fasta tu ni muislaam huyo
Wasanii muwe mnajuliana hali sio hadi mtu afe ndio mje mseme alikua mtu wangu wa karibu
Inna llillahi wanna illaihhi rajiun
Ila ili kundi la wasanii wanaubaguzi sana kuna misiba wanajazana na macamera utazani wanaandaa vipindi hawa bongo move na baadhi ya bongo freva watu wa hovyo sana
Polen wasaii wote kwa msiba huu
Hilo-jez-vp
Yanga hoyeee
@@marykarebeti9410kuma wewe
R.I.P Pembe