#21- MZIGO - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2023
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500 - ตลก
Wa mwanzo jamani like zangu naombeni from Omani 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
A.alaikm
@@othmanalnabhany3208 walaykum salam warahmatullah wabaraqatul
Tushakupa❤🎉😂
Oman iyo kwiyo
Ww za nini?
Watatu nipo hapa shusha laik
Hii sehemu ya mwisho kat ya mwiny na mau.mmmmmmmh mwiny apewepongezi zake
shukran
Heeee mau wadaiwa lipa ps zawatu
Mm fro from Iraq napenda sana movie zenu nzuri
Mm wakwanzaa leo 😂😂😂😂👍
Kanga ya warda nzry imekaa km embe
"Msohili ana Lile" yaan zmefnn khasswaaa
Na mm nili hisi ni embe kumbe silo
umeua mzee mwinyi hhhhh Mungu akuongoze zaid
Dah funzo 😢😢😢
Kazi nzuri sana
Dongo nakupenda kwa ajili ya Allah.
Thanks
Mau lipa pesangwaaaa😂😂😂😂 kunnasa kweny tundu bovu la mzee mwinyi
Nami from united Arabic Emirates
Nimecheka eti akakae kitako alipomkopesha pesa😂😂😂😂
all the way from qatar..tuko pamoja
Tuwe makin San na viapo jaman kiukweli viapo baadh ya wakati vina matatizo tujitahidini sana na ALLAH atusaidie
HIKMA KUBWA KUTOKA KWA MZEE MWINYI 🙏🙏
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 Mau ameingia choo Cha mzee mwinyiiii.
Uyo mke wa dongo ana sauti ya makunde au ni ndugu😂
Thank you nakubali sana kaka kazizako nana zifuafilia kwassna tuu ww hodari Mungu akupe mafanikio mema❤❤❤❤❤❤❤
nawapenda sana wapemba wenzangu❤️
Mtu mzima dawa mtumzima hekima asanteni sana
dongo nakupenda tena ukiongea
Vzr san
Mpo vizuri
Fantastic! Imeisha iyo bwan Makame umefanya ndivyo hasa. 🎉
Saf xna
Hahahahhahahaha mauuuu sikaribu hajafika saiv.
Waakharamu nyi 😅😅
**watakiwa uipiganie hakiyo mpka dakika yamwisho**
Nimekumbuka hichi kisa kwa sheikh Othman Maalim. Mwinyi nimekuelewa
😂❤❤❤❤
Wallah wapemba nawapongeza mnalafdhi tamu haki
Ndio kiswahili fasaha hicho mzee
Awaka moto mdomoni
Mijichoye
Wamuogopa mijichoye hhhhhh
😊😊😊😊😊😊❤❤
Naomba upo sawa ila jitahidni kidg kupanga filam kw fomla maana mara hii kdg nzr zna pendz maashaah
Asubuthuuuuuu afiki ata kwa mikwaju😂😂😂😂
Mashaallah Mungu akupen nguvu mafunzo mazuri san
From UK 🇬🇧
Hongeren
Mau nitaftie mke uko ile asije kuwa mkekewa
😆😆
Eti wenye kazi wakiaga wage vip😅😅😅
Great
**Kazi nzr sana**
Nice
Dongo kumbe pesa unayo basi mkopesha namiye haaaaaa wemau weye ndege njanja hukamatwa ntundu bovu
Hatupoi
Yaani nynyi jamaa kwa kweli mnaniburudisha kiukweli nina zawadi yenu naomba contacts zenu please
😂😂😂😂😂😂
hhehehehe adaiwa kweli kumbe
Safi sana ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah nimecheka kufaaaaa eti assalala hasubutu ata kwa mikwaju sikaribu ati
😂😂😂mtumzima dawa jamani
Mashaalah😊
Fikra ya kisa imekopiwa ktk kitabu flani nilisoma zamani tu.
🤣🤣🤣
Niktayar
Dongo badilisha kikanzu🤣🤣
hiii kweli
Hhhh
😂😂😂
28
Nice