MCHUNGAJI MAGEMBE ATOA HOTUBA KWA MARA YA KWANZA, AELEZA MAZITO YALIYO MAFANYA KUACHANA NA TAG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @johariwilson5473
    @johariwilson5473 9 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa Mzee Yesu Kwanza
    Dini baadae dhehebu halitapeleka mtu mbinguni isipokuwa matendo.
    Mungu akupe umri mrefu na afya njema utuhubiri injili ya unyakuo na kurudi Kwa Yesu Mimi sio MTAG ila nakuelewa sana❤

  • @rev.eliasbenjaminlugomejr.4854
    @rev.eliasbenjaminlugomejr.4854 9 วันที่ผ่านมา

    Mshike Yesu ndiyo njia ya kwenda mbinguni..Mungu hana dhehebu

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 9 วันที่ผ่านมา

    Amina babaangu 🙏

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 4 วันที่ผ่านมา

    Kauli ya unyenyekevu ilipaswa iwe "kanisa lililonilea kwa zaidi ya miaka 50"

  • @philimonsilas2342
    @philimonsilas2342 7 วันที่ผ่านมา

    Duuh

  • @amonmethod
    @amonmethod 9 วันที่ผ่านมา

    Kukubali kutokukubaliana😮

    • @Planet_Zong
      @Planet_Zong 8 วันที่ผ่านมา

      TANASEMA NI TO AGREE DISAGREEABLY

  • @Planet_Zong
    @Planet_Zong 8 วันที่ผ่านมา

    KUMBE MCHUNGAJI MAGHEMBE HUWA NI MPOLE HIVI HAAAHAAAAAHAAAA