EXCLUSIVE 3: KAJALA-" PAULA Walimsema Sana, Niliumia"/ Siwezi Kutaja Mafanikio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ค. 2019
  • EXCLUSIVE 3 KAJALA-" PAULA Walimsema Sana, Niliumia"/ Siwezi Kutaja Mafanikio
    Msanii wa maigizo Kajala Masanja amesema kuwa watu walivyokuwa wakimsema mtoto wake pindi amefeli alijisikia vibaya sana..
    "Na paula nae alikuwa katika wakati mgumu, lakini namshukuru Mungu alifanyiwa cancelling akawa sawa.."
    #KAJALA
    th-cam.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 36

  • @leilaadamraymond7344
    @leilaadamraymond7344 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa sna majibu ya hu yiu kajala. Pamoja na watu kumsema sna binti yke. Amnaendelea kuwapuuza hana hata habari nao. Kitu kikubwa anaangalia tu maisha ya familia yke. Na ni jinsi gani amfanikishe binti yke ktk kumuendeleza kielimu.

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 ปีที่แล้ว +3

    Kajala nakupenda sana mpenzi 😍😘

  • @elizabethmlula6198
    @elizabethmlula6198 4 ปีที่แล้ว +1

    nampenda kajala mpaka naumwa she is very simple and beautiful

  • @williamkiyumbi2800
    @williamkiyumbi2800 5 ปีที่แล้ว +3

    Hey Cancelling ni Counseling !
    Huyu nae hajui kuuliza maswali

  • @mariamsilvester7911
    @mariamsilvester7911 5 ปีที่แล้ว +10

    Yaan uyu mtangazaji jmn sijui walimtoleaga wap tu....

  • @irenechakwela6942
    @irenechakwela6942 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda kajala sana sana

  • @happywinn5077
    @happywinn5077 5 ปีที่แล้ว +7

    uyu mtangazaj yukoje jaman... na maswal yake😠

  • @luisemrema3301
    @luisemrema3301 4 ปีที่แล้ว

    nakupenda sana sana kajala

  • @mary5162
    @mary5162 3 ปีที่แล้ว

    Kajala jeshiiiiii💕🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @suzanpatrick2289
    @suzanpatrick2289 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnampondaa mtangazajii lkn maswali yanajibiwaa tyu na Kajala wetu

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 5 ปีที่แล้ว +2

    Saf 👌👏👏

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata hivyo Dar ni joto uwezi kusuka au mawigi kila wakati

  • @wemaomarywema6852
    @wemaomarywema6852 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada kajala kaongea kama mm kasema hapungui ng'ooo

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 ปีที่แล้ว +3

    Yani watanzania ukweli hakuna kitu kinauma km MTU tena mwingine hata kizazi hana anatokea kumsema mtoto wa mwingine vibaya.Yani km mzazi imenikuta ukweli iliniuma.

  • @sadikimbogora6317
    @sadikimbogora6317 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke unajuwa kuuliz maswal vzr

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kwani maisha yenu hadi ya wanenu shulen lazima tuyajue jaman

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 4 ปีที่แล้ว +3

    eti ukikasirika u.aenda shooping hata kama huna hela huo ni uongo kama huna hela unanunua nini mnajidai mna pesa kumbe Holland

  • @RothgoldAvenue
    @RothgoldAvenue 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaman sio canceling ni counseling hio heading hapo mmbadilishe

    • @deborahrehema5819
      @deborahrehema5819 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umenichekesha

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว +3

    I'm ze one Hongera Kajala Masanja !

  • @khadijajuma3887
    @khadijajuma3887 4 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazaji hana vigezo vya utangazaji😂

  • @sarahchares3825
    @sarahchares3825 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama ayui kuoji anatisha

  • @nazalenapatrick33
    @nazalenapatrick33 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii interview hata hainogi

  • @robertmanase6423
    @robertmanase6423 5 ปีที่แล้ว

    Counselling ...hivi uandishi wa habari mmesoma wapi nyie???

  • @annawilliam1911
    @annawilliam1911 5 ปีที่แล้ว +1

    😍😍😘😘

  • @doreenlamecky8359
    @doreenlamecky8359 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mtangazaji khaaaa🤣🤣🤣mwonekani F

  • @nurudanford7068
    @nurudanford7068 4 ปีที่แล้ว +3

    Wew ndy mjinga na mwanao maan mtt anajiachia atakavyoo sasa asipatee zero angepataa Z kabisaa😏😏😏😏

  • @sarahmwansile6007
    @sarahmwansile6007 4 ปีที่แล้ว +2

    Hela mnazo ibia watu wa biko

  • @ommyTv194
    @ommyTv194 4 ปีที่แล้ว

    wewe kajala umzur

  • @lindatemu8040
    @lindatemu8040 5 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kama jay dee

    • @asmarakibula6930
      @asmarakibula6930 3 ปีที่แล้ว

      Ongera kajala. Kuwa mwanamke mpambanaji mungu akubariki Sana.ila tupo wanawake wezenu huku mtaan ambao tunandoto kubwa lakin tumekosa saport kutoka kwenu hata yakutushika mkono kupata appointment na wanawake wezetu naminnikishikwa mkono kidogo tu lazima nifikie malengo.ukiguswa wasiliana na mi kwanumber 0653033705