EXCLUSIVE: KAJALA AFUNGUKA, PENZI LA PAULA NA RAYVANNY, TATTOO YA HARMONIZE..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • EXCLUSIVE: KAJALA AFUNGUKA, PENZI LA PAULA NA RAYVANNY, TATTOO YA HARMONIZE..
    MUIGIZAJI Kajala Masanja na mwanae Paula, wametinga katika viwanja vya sabasaba leo Julai 01..
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 386

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 3 ปีที่แล้ว +54

    Kajala ukibadilika unakua mwanamke mzur Sana muongoze mwanao vizur

  • @nayomi6498
    @nayomi6498 3 ปีที่แล้ว +25

    Kajala your a great mum....keep doing you😘 Mungu awasimamie

  • @fatumamakumbuli1199
    @fatumamakumbuli1199 3 ปีที่แล้ว +6

    Kajala unampenda sana mwanao....ongera sana ishi tu maisha yenu wanadamu ndvyo walvyo hawana pema

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว +2

      Bwana Yesu asifiwe dada

  • @evelynsalila9700
    @evelynsalila9700 3 ปีที่แล้ว +79

    Hata hivo niwakawaida sema ninyi mnapenda sifa kiiilakitu kupost mitandaoni waiii🤣🤣🤣🤣 gonga like kama unakubaliana na mm👍

  • @rithagoliama2952
    @rithagoliama2952 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana kajala na Paula ❤️❤️❤️

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi ya mama ni mema kajala na mwanao Paula zidisheni maombi Sana n mshkuruni Mungu

  • @sandraechiveraya8570
    @sandraechiveraya8570 3 ปีที่แล้ว +11

    Picha inaeza tudanganya kwa rangi all the same she is beautiful

    • @Paulahkajala
      @Paulahkajala 3 ปีที่แล้ว +1

      Yes ni mzuri na ana ngozi safi .kuliko zile.editing za insta

  • @EmanueliMsaghaa
    @EmanueliMsaghaa 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kajala mi nishabiki ako japo mshaachana na harmonize nakukubali sana

  • @christinammassy1550
    @christinammassy1550 3 ปีที่แล้ว +23

    Safi kajala, kumbatiana na mwanao hivyo hivyooo kwa kila changamoto wazidi kuona wivuuuu.

  • @symphonymoid335
    @symphonymoid335 3 ปีที่แล้ว +11

    Mtoto na mama pambeee 🥰😍❤️keep going mama 👌

  • @darlinekalisa7114
    @darlinekalisa7114 3 ปีที่แล้ว +11

    Kajala uko sawa wote wenye coment nao wana watoto kajala achana nao nakupenda mama wa msimamo mtoto simtumi mm

  • @evelyn5260
    @evelyn5260 ปีที่แล้ว +5

    Paula congrats kwa kuwa your mam n mamako wa karbu sana

  • @jacobkiio8065
    @jacobkiio8065 2 ปีที่แล้ว +3

    paula and your mum i love you so much

  • @nurungole3961
    @nurungole3961 3 ปีที่แล้ว +13

    Mimi sio msanii ila nakuomba Mtoto usimwongoze kisanii mtunze kama Mtoto wakati wake ukiukosea utaujutia.Mungu akusaidie

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 ปีที่แล้ว +1

    Chuiii nexti levo misic na ravnnyn

  • @fredyjohn1070
    @fredyjohn1070 3 ปีที่แล้ว +22

    Acha kumuuza mtoto we mama jimama lenyewe nyooooooooo

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 3 ปีที่แล้ว +8

    Angependa kuwa mtoto wa kawaida angekuwa.
    Anapenda to be on the limelight.

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 3 ปีที่แล้ว +8

    Duhu mtoto ana roho saba huyu sasa yule mtoto wa Fahima ndio ateseke kisa huyu mtoto mama ni mvunjaji majumba na mtoto pia mvunjaji baba kimya walai hawa mwisho

  • @nass5650
    @nass5650 3 ปีที่แล้ว +23

    🥵❤️❤️❤️❤️ my God I love this family kajala be strong

  • @fikfameica8851
    @fikfameica8851 3 ปีที่แล้ว +10

    Mzazi ni mzazi tu🥰 Mungu awapitie mbele

  • @rehematarama9205
    @rehematarama9205 3 ปีที่แล้ว +7

    Paula xhem wetu NLM bhana gonga like apaaa 🔥 🔥

  • @pendojeremiah9111
    @pendojeremiah9111 3 ปีที่แล้ว +7

    Kila.mtu ana njia yake so tusihukumiane nakupenda Paula na kajala..

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyo Paula hamfikii fayma wa Rayvan kiukweli fayma mzuri haswaaa

    • @Paulahkajala
      @Paulahkajala 3 ปีที่แล้ว +1

      Ila ana ngozi nzuri sana saaafi

    • @anitakawiru9714
      @anitakawiru9714 3 ปีที่แล้ว

      Fayma mrembo

    • @sarahalfred6279
      @sarahalfred6279 3 ปีที่แล้ว +1

      Aaah wapi dada Paula yuko vizuri utakuwa una upofu fayma mfupiiiiii

    • @tatungole412
      @tatungole412 3 ปีที่แล้ว

      Bhana wot wazuri sem paula mzuri san kulik fahym faym ni mweup t,,

  • @shebymashambo9589
    @shebymashambo9589 2 ปีที่แล้ว

    Madam kajala big up sana mamaa uko vizuri

  • @mukambanzaamira7283
    @mukambanzaamira7283 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana kajala kutoka rwanda

  • @erickkambula3558
    @erickkambula3558 3 ปีที่แล้ว +7

    Ninakupenda Paula na Kajala from Canada

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 ปีที่แล้ว +12

    Naona Paula ana anamtumia SMS rayvan njoo huku nipo na mama

  • @jamilabeauty1316
    @jamilabeauty1316 3 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda sana Kajala na Paula

  • @bulldozerpatty9481
    @bulldozerpatty9481 3 ปีที่แล้ว +5

    Hamna Mama apa😌

  • @samsonmsafiri444
    @samsonmsafiri444 ปีที่แล้ว

    Daah mmetisha Sana. Nawapenda Sana🥰🥰

  • @offiallishazzy256
    @offiallishazzy256 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweliiiiih mm paulah fact

  • @joshuamwamala4795
    @joshuamwamala4795 2 ปีที่แล้ว

    Kubadilika kwa aina gani usemako?kwa maisha haya mnayoishi.Mungu ni mtakatifu usimchanganye na maisha unayotuonyesha ya kulukaluka na mwanao ndo maisha unamfundisha.

  • @chamillairakoze6465
    @chamillairakoze6465 2 ปีที่แล้ว

    Kajala Na Paula nawapenda sn kwakweli🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mspwjjjso6261
    @mspwjjjso6261 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kajala kwakuwachamba wambea

  • @anoldbakachuba3584
    @anoldbakachuba3584 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeona kama mm ista wazungu ila uwalisia wao ndo huu gonga like

  • @hawajamila6303
    @hawajamila6303 3 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe Sura za kawaida lakini insta😅😅

    • @royalgift8185
      @royalgift8185 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza Paula😂😂😂

  • @sarachambo224
    @sarachambo224 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nawapendaga sana hawa wtu!!

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 ปีที่แล้ว +17

    Kwelii kajalaa anampendaa mtoto wakee 😂😂❤️ Niko na boss wangu yeye na msichana wakee nikama pakaa na mbwaa 😂😂😂

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 3 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda xana Paula na mama yake

  • @izraeltsaxarra2469
    @izraeltsaxarra2469 2 ปีที่แล้ว

    Safi tufanye kazi tutaheshimika tu barikiwa sana

  • @BlackroseAloryFx
    @BlackroseAloryFx ปีที่แล้ว +3

    Did she just apologized for speaking the right Swahili word only to say the wrong one

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว +14

    Leave kajala and Paula to live their lives!

  • @zanyah7012
    @zanyah7012 3 ปีที่แล้ว

    Haoo tu paula na rayvan waringe nikwamudaaaa lazmaaaaa wataachan mapenz ya bongo tushaa yazoweya Hata mama ako kaaachan na konde nawew mutaachanaa fata maisha yakoo usione unafatwa kisa uzuri unao wanaume niwatoto wabaya sanaa

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +8

    Sasa kajala dada angu umevaa tishirt kubwa umelifunga juu tumbo liko wazi kabisaaa mtoto mkubwa basi ungefanya hivyo ukiwa unatoka usiku mwenyewe kuliko hapo mbona uzungu mwingi 🤔🤔

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว

      Yan na iko kitovu na kulishushashusha kutwa utafikili alitumwa

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 ปีที่แล้ว

      @@deelissa2746 Mtihan

  • @kadoluxclassic7476
    @kadoluxclassic7476 3 ปีที่แล้ว +5

    Maman ni Maman wallah ona gis wanapendez adi raha yani mwey nawapend adi raha

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว +3

    Kajala mbona unapenda kutembea na mtoto kwani paula hana marafiki weeeeee🤣🤣😃😃😃

    • @msuyatztv5201
      @msuyatztv5201 3 ปีที่แล้ว

      Trend yake hiyo.watu wana hasira nae.watampiga pombe alafu wafanye yao

  • @Sofiasad9659
    @Sofiasad9659 3 ปีที่แล้ว +6

    Kajala nakupenda wewe mdad

  • @abedsaidy7263
    @abedsaidy7263 2 ปีที่แล้ว

    kweli my dia nakupenda bure

  • @nyabaplussheila6541
    @nyabaplussheila6541 3 ปีที่แล้ว +2

    They are strong

  • @tatungeni7588
    @tatungeni7588 2 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 ปีที่แล้ว +13

    mtangazaji makini.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda Sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @lilianmashanya1417
    @lilianmashanya1417 3 ปีที่แล้ว +2

    Mlee mtoto katika njia ipasayo sisi niwapitaji hapa duniani tusijisahau Leo upo na kesho haupo unajua ataishije na watu wengine

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 ปีที่แล้ว +1

    Chuiii nexti levo misic na ravnnyn Chuiii

  • @ivonesisa5271
    @ivonesisa5271 ปีที่แล้ว

    Kajala nakupenda sana

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 ปีที่แล้ว +17

    Jamani akuna mtuu asimpenda mtoto wake ira ndio ivo

  • @superlitfella
    @superlitfella ปีที่แล้ว

    Tanzanian version of Iyabo Ojo and Prissy

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 ปีที่แล้ว +4

    Nawapend bure ❤❤❤❤

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 3 ปีที่แล้ว +3

    maisha yenyew ndo ayaaya. Kula round kajala Acha mtoto aharakishwe

  • @winifridayustini8509
    @winifridayustini8509 2 ปีที่แล้ว

    Jamaan chui na tembo mhumarze tofautizenu

  • @elizabethmhapa3658
    @elizabethmhapa3658 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mtangazaji nampenda bureeeeeee

  • @hassanisadiki824
    @hassanisadiki824 3 ปีที่แล้ว +5

    Sema uyu Demu simuoni kama ni mzuri kuliko Fahyma

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 3 ปีที่แล้ว +8

    Wametoka Europe mbona kiswahiki cha kizungu

  • @ruthkasumba7739
    @ruthkasumba7739 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji ana maswali conky🥂

  • @maryammaryam646
    @maryammaryam646 3 ปีที่แล้ว +5

    Aijalishi watakusema nn kipenz Paula mm nakupenda Sana kwanza nataman ata uwe lafiki yangu jamni nivile upo mbali

  • @رانيزجاهز
    @رانيزجاهز 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana kajala na katoto kazuri

  • @everlynesalu2955
    @everlynesalu2955 2 ปีที่แล้ว +4

    na kukubali kajala kinoma,unaongea sana

  • @ayushiashanty9818
    @ayushiashanty9818 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona povu jingi jmn ila Mungu amuongoze paula bado mdogo sana

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 ปีที่แล้ว +10

    Mama bora si wa vioja mitandaoni bana, mtajikuta mnajuta saaana Ila Mungu anawahusu hasa we Mama.

    • @shabanmanamba773
      @shabanmanamba773 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabra ujamfundiaha mwenzio je! Wewe usha fundisha familia yako ama kihelehele kwa wenzenu? Halafu yenu yanawashindika? Akienda motoni siyeye kwani nyie?

    • @mgallason...5686
      @mgallason...5686 3 ปีที่แล้ว

      @@shabanmanamba773 @Shaban Manamba uko sahihi lakini Mungu kupitia maandiko matakatifu anatuambia kuwa tuchukuliane mizigo akiwa na maana unapoona mwenzako anakwenda ndivyo sivyo muambie na Kwa majibu yako kwangu inaonekana nimekukwaza sana, Samahani Kwa hilo lakini ukweli utabaki pale pale wewe kama ni shabiki wa ujinga unaofanywa kwenye Mitandao na Hata kama moto huuogopi basi niache na kiherehere changu Pia pengine nilichokiandika kinaweza kumuokoa mtu Kwa namna moja au nyingine. Unapaswa kuacha ukuda Pia kupanic kwenye comment za watu. Lakini Utambue tu Mi na familia yangu hatuwezi kufanya hivyo Vioja kwenye Mitandao ya kijamii Hata kama ninavyo kila siku najifunza vitu chanya sana kwenye Mitandao na kuwaelekeza familia lengo kuu la walioanzisha hii Mitandao ni lipi, Acha kukurupuka kushabikia upuuzi.

    • @ezyjob5083
      @ezyjob5083 2 ปีที่แล้ว

      @@shabanmanamba773 kabisaaa

  • @Foot_ball12
    @Foot_ball12 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Dem ana mdomo mkubwa excess uso artificial sijui Hawa wa TZ wanasema ni mazuri kwanini..

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 3 ปีที่แล้ว +2

    Hata c mzur huyo paula

  • @happytz2807
    @happytz2807 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameacha tena kile kitovu chake nje 🙌🙌🙌

  • @rachelmliwa9830
    @rachelmliwa9830 3 ปีที่แล้ว

    Mh Mungu which Mungu who

  • @winspear1295
    @winspear1295 2 ปีที่แล้ว

    Naweza pata usaidi kule wcb?

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 ปีที่แล้ว +11

    Usijali maneno ya watu kajala yao yamewashinda .

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +6

    Hap wote black nashangaa rang ya mitandao na hii tofaut

  • @priscillakageha1689
    @priscillakageha1689 3 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo ni agement yangu atulie na mambo y mapenzi

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว +4

    Kajala lea mtoto vizuri

  • @villagegal8520
    @villagegal8520 2 ปีที่แล้ว

    Waaah 🤔

  • @MiMi-pj2mz
    @MiMi-pj2mz 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hawa watu kwenye picha wana onekana weupe ila live wanakuwa weusi daaa edita bwanaa hatari

  • @monaidi1232
    @monaidi1232 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kama mama jamani

  • @mariahaling9893
    @mariahaling9893 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh hamna kitu hapa kwa kajala

  • @felixmukolwe1293
    @felixmukolwe1293 2 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤ my god I love you

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama ndio umemfanya ajute kuwa Paula na huyo sasa sio mtoto,

  • @aminadotto4512
    @aminadotto4512 3 ปีที่แล้ว

    Kajala nakupenda sana mm siku yakuonana nawewe mm sijui nitafanya nn nakupenda kajala mm nimama Kama wewe nakula bata nabint yangu nakup enda naandika msg hii mpaka machozi yananitoka natamani siku nikae nawe naiga unavo weka nywele unavoo vaa unaishi nami nafanya hivo ny friend love

  • @annamsabila534
    @annamsabila534 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwani kajala hawezi kuongea taratibu mwe Kama cherehani

    • @LindaMbilinyi
      @LindaMbilinyi 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂wabongo

  • @dismaskiplagat2973
    @dismaskiplagat2973 3 ปีที่แล้ว +1

    Like Paula bna namtakie ray kbsa

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Umezeeka!!!

    • @salmaebrahim2058
      @salmaebrahim2058 3 ปีที่แล้ว

      Nitambue ww Bado ni mtoto kwani hata kuoga ujui Kuna siku utajuta kwani maisha ni safari ndefu mwambie mama yako akusomeje nitambue kwani wanaume ni wanaume utajuta siku Moja mama yako ajitambui kabisa

  • @joanperis9335
    @joanperis9335 3 ปีที่แล้ว +12

    NIPO KENYA NAITWA LAVESH MJUKUU MCHONYI MWENYEW NIKO LIVE NAWATIZAMA MTOTO NA MAMAKE WAMEPENDEZA

  • @catherinekerobo2569
    @catherinekerobo2569 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda mama komaa na mwanao

  • @tambweomary3456
    @tambweomary3456 3 ปีที่แล้ว +1

    Misingi aliyolelewa kajala ndio misingi hiyo hiyo anayolelewa pau hakuna jipya mama kapigwa na jeshi wakati mtoto anapigwa na van'b adabu itapatikana wapi kiufupi hakuna maadili hapo

  • @Nihorimberefaustin5879
    @Nihorimberefaustin5879 2 ปีที่แล้ว

    Kajala kwanini unamoyo mkunjufu namna hivo naa unashindwa kumsamehe konde ngeng nini kajala?kamahumpendi siumsamehe yaishe nakama humpendi mwambie levi

  • @marrypatrick3276
    @marrypatrick3276 3 ปีที่แล้ว +4

    Fanyeni yenu msiwasikilize watu kajala

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 ปีที่แล้ว +10

    Kajala umesema Kweli!!!

  • @marthamangasta2341
    @marthamangasta2341 3 ปีที่แล้ว +3

    Kirahisi ndo ilikua OG so kilahisi

  • @mannymodelling115
    @mannymodelling115 3 ปีที่แล้ว +4

    Umefeli kumuongoza mwanao

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Paul hata kuongea hajui...Anaonekana mtu wa matokeo tuu

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

      Yeah kumbe nawe umeona hajui kujielezea kabisa

  • @justineriziki8835
    @justineriziki8835 3 ปีที่แล้ว +17

    Mimi namupendaga Kajala. Hakuna binamu aliye mukamilivu.

  • @mariamuomary8373
    @mariamuomary8373 2 ปีที่แล้ว

    Daaa kapaula kanaongea vizur jmn kapole masikin pole usijute jmn ndy wanadam ata sisi tunasemwa na wasaiz yetu

  • @mosesjuma8571
    @mosesjuma8571 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Paula achana na mawazo ya watu wewe cha kufanyaa ingia kwenye ngome ya wcb ukakabe nafasi ya mtj