KINGWANGALLA ATEMA CHECHE BUNGENI ''ANACHOFANYA WAZIRI BASHE/ AENDA KUWALINDA WANNCHI WA NCHINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 20

  • @user-xx1je7sy4h
    @user-xx1je7sy4h 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wew kigwangala unajaribu kutetea ufisadi wa bashe kwenye swala la sukar siyo unaonekana umepewa mgao kidogo maana wew pia mzee baba alikupa kauwazir ka wanyama ukavurunda sana kwa hiyo unamtetea mwz mwenzio

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mheshimiwa mpina amehoji watu waliopewa hiyo tender.kama serikali ingekuwa na lengo hilo ingeweka wazi

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 5 วันที่ผ่านมา +1

    Viwanda ni wezi wamepewa nafasi ya kuzalisha ,kuagiza,na kupanga bei,sasa serikali ikivunja huo ukiritimba wa kusababisha upungufu wanamtumia mhina.serikali isirudi nyuma.

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 5 วันที่ผ่านมา +1

    Iposiku laisi ajae mpenda watu atakuja kumtaja mpina kuwa ndie mmbunge pekee alie jitoa mhanga kuwatetea wananchi mana hao wabunge kalibu wote wanatetea matumbo Yao nahao wabunge ndo waliochangia laisi kuiuza bandari navingine vingi ipo siku mpina atakuwa lais au wazili naomba mungu hatahawa wabunge wote wanao ihujum nchi waje washuhudie ulais wa mpina

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huu ndio ujinga yaani badala viwanda kuzalisha mpaka akiba iwepo leo watu wanafikiria kuagiza sukari ya akiba hivi viwanda ni vya nani??? Kuna shida kubwa sana nchi hii

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 5 วันที่ผ่านมา +1

    Leteni hoja ya kujibu tuhuma zilizotolewa sio kuleta vingereza vingi visivyo na msingi

  • @mesharothuman2443
    @mesharothuman2443 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio wale wale na mfumo uleule lindwa

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 5 วันที่ผ่านมา

    Good job kigwangala

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 5 วันที่ผ่านมา

    Wabunge wengi wa Tanzania ni wafanya biashara wakubwa na wapo kwenye trucks industry......
    Kwahiyo hapo lazima wananchi na Madereva wataisoma namba tu.

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nguvu kubwa imetumika kumudhoofisha mpina

  • @JaphetMugini-wj6ow
    @JaphetMugini-wj6ow 5 วันที่ผ่านมา

    mbona bado mpaka sasa bei ya sukari iko juu? Sababu ni nini serikali itupe sababu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tuna hasara ya wabunge!

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 5 วันที่ผ่านมา

    Pamoja sikubaliana na mawazo yako, nakupongeza kwa kutomuita Samia Dokta. Karibu wengi wanaojua uzito na uhalali wa udaktari wa kuhenyekea ukimuondoa chawa Kabudi, wanakwepa kumuita daktari kwa sababu si daktari.

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 5 วันที่ผ่านมา

    Asantee mweshimiwa kwa mchango mzr

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 วันที่ผ่านมา

    Kigwangala na wenzako,mnaoiona bajeti nzuri,tunawaona na mungu wetu anawasikia kama bajeti niyakutukomboa na smbwembwe nasi wananchi tutashukuru vinginevyo mungu statutea

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni hasara kwa taifa.

  • @noeljuvenalmunishi75
    @noeljuvenalmunishi75 5 วันที่ผ่านมา

    Nzega FC = Bashe + Kigwa
    😂😂😂😂
    Huitaji D2

  • @user-nf3dc9fb6v
    @user-nf3dc9fb6v 5 วันที่ผ่านมา

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏

  • @saidkhamismasai1204
    @saidkhamismasai1204 5 วันที่ผ่านมา

    BADO NATAFUTA KOSA LA MPINA KUFUKUZWA. MNAPAKA RANGI MAKABUR JUU WAKAT CHIN YAMEOZA YANANIKA NI MANENO YA YESU 😮SPIKA JIANGALIE SANA HATA NDUGAI ALIKUA HIVOHVO LEO HATUMUON TENA

  • @user-zr1mk3xd2x
    @user-zr1mk3xd2x 5 วันที่ผ่านมา

    Hili nalo bwege tu eti linataka kuteuliwa na bibi