Kagere, Ajibu wakosa penati Simba ikiitoa Stand United kwa penati 2-3 Kombe la Shirikisho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.พ. 2020
  • STAND UNITED 1-1 SIMBA SC (PEN: 2-3) - ASFC 25/02/2020.
    Tazama magoli yote na mikwaju ya penati.
    Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuichapa Stand United penati 3-2 kufuatia sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 90.
    Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, Simba wametangulia kufunga kwa penati ya Hassan Dilunga, na Stand kusawazisha kwa bao la Miraji Salehe.
    Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 81

  • @shinunaatanasi8980
    @shinunaatanasi8980 4 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda sana Simba

  • @ramadhaniamiri2005
    @ramadhaniamiri2005 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umeona kipa wa stendi akiktaa hai ya dilunga like apa

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 ปีที่แล้ว +4

    Daah chama langu Leo Mnabahati sanaa Mlikuwa mnazinguwa bila chenga yan mistake ndogo ndogo sio zakuzarau zifanyieni kazi

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +1

    Mi HD nampenda sana yuko makini😍😍😍😍

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 4 ปีที่แล้ว +5

    Hadi Chura walikua wakiishangilia Stend sasa Simba kesho tushangilie timu pinzani ya Chura fc

  • @kalufunyangenyakinyungu5087
    @kalufunyangenyakinyungu5087 4 ปีที่แล้ว +3

    Kagere asiwe anapewa penati,anaboa sana

  • @ramadhanally4207
    @ramadhanally4207 4 ปีที่แล้ว +4

    nimeona mashabik wa saresare mauwa fc kweny jukwaa la stand united

  • @pascalpembamoto8172
    @pascalpembamoto8172 4 ปีที่แล้ว +5

    Kagere wanamuonea kumpatie apige penati bado kaathirika na penati aliyokosa wiki iliyopita.

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila Kagere tunakupenda 😍😍😍😍

  • @rahimstarling6878
    @rahimstarling6878 4 ปีที่แล้ว +3

    asa gerson fraga anacheza nn jaman uyo m brazil bado hatujapata kiungo mkabaj mwingine kama mkude

  • @martinnassary587
    @martinnassary587 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kagere amekuaje SKU hiz

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว +6

    Kagere acpige tena penat

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +2

    Simba baba lao,ila Kagere pumzka kupga penalt mpaka utakapobadili staili yako ya upigaji,mechi ya pili hii unataka kuicost timu,tunajua penalt haina fundi ndo Mana tunakushauri uwaachie wengne wajaribu Kama ulivyomwachia HD..Nawasilisha

    • @deomkali2820
      @deomkali2820 4 ปีที่แล้ว +1

      duuu kweri kgr asipige zitamshushia uwezo.kwani zimeanza kumtoa mchezoni.km leo amekosa goli la wazi la kichwa

  • @jurmainezaidi739
    @jurmainezaidi739 4 ปีที่แล้ว +2

    Kakolanya zote umefata big up

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamanieeeee mi kiliochangu ninaomba kager asiwe anapiga penati yeyote ile tafadhari tafadhari kochawetu bt Mungu endelea kuibarki siimb msimu huu tufanye mabalaaa mengi saaana

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +1

    Sjui kwa nin Kagere anapewa apige pernat mtatuua na presha

  • @magnusbugingo7471
    @magnusbugingo7471 4 ปีที่แล้ว +1

    hatar Sana team mate wa kitaa Miraji salehe

  • @saidyussuf1039
    @saidyussuf1039 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah huko mnako elekea sasa hv cyo pazur Simba chama kubwa tuctiane presha jmn

  • @minaside6717
    @minaside6717 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba nguvu 1, naiman kocha amejifunza kitu kupitia hii team ya ligi daraja la kwanza

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 4 ปีที่แล้ว +2

    Kagere inabd kubadrka sana au ile cheni yake hawakumludishia maana toka mpambano wa simba na yang hajafunga goli lolote la kiufund panatatzo apo

  • @mlawamangasini3836
    @mlawamangasini3836 4 ปีที่แล้ว +3

    Kocha ajitathimini mechi hizi siyo za majaribio

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpigaji penati wa simba awe HD a,k,a Dilunga acheni ufala kagere hamna mbeleko zishaanguka

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kagere asiwe anapewa penati

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 4 ปีที่แล้ว +2

    Kakolanya ajitahidi kuwa anaruka juu kidogo kwenye matuta

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 4 ปีที่แล้ว

    Saaaaaafi kabisa

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashabiki wa yanga wanauhaba wa furaha jaman wanajitahidi kuitafuta lakn wapi nimewaona Leo walihamia stend lakn bac limewaacha na tiketi zao mkononi hilooooo msimbaziiii

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 4 ปีที่แล้ว +1

    Jilan kaja kuchungaza kama watu watalala njaaa ajabu kakuta pilau la nguvu chezea simba wew ustegemee kukuta nyama kwenye pori la simbaaa

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu hao stand wahuni sana😀😀😀

  • @abinerylugola9216
    @abinerylugola9216 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa jamaa ushindi kawaida yao

  • @ntimifrank2770
    @ntimifrank2770 4 ปีที่แล้ว +1

    HD

  • @jilanijalafi1438
    @jilanijalafi1438 4 ปีที่แล้ว

    Yanga na allias

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba akeeee😀😀😀😀😀😀😀

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 4 ปีที่แล้ว +2

    Kesho SARE SARE FC...wanacheza saa ngapi?

  • @dhulfiqaarally7274
    @dhulfiqaarally7274 4 ปีที่แล้ว +1

    Kagere mbona unatuangusha

  • @aboubakarmgongo5730
    @aboubakarmgongo5730 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabbado. 💯

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 4 ปีที่แล้ว

      Aboubakar Mgongo Yanga watashuka daraja vpl

  • @kingpablojr8175
    @kingpablojr8175 4 ปีที่แล้ว +1

    🦁🇹🇿

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 4 ปีที่แล้ว +2

    Kushangilia kote na mmetoka,team ikiwa mbovu bana😂😂😂😂😂.YNWA

  • @ATHUMANIddi
    @ATHUMANIddi 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @hamisikabwe3980
    @hamisikabwe3980 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi simlaumu Kagere kabisa,Mimi nalia na huyu Tairon Santos,Kocha kama anasikia,huyu jamaa rudisha kwao kabisa.

    • @loemajohn2240
      @loemajohn2240 4 ปีที่แล้ว

      Kocha anakera coz anaona kazidiwa bt bhado kanyamaz tuh

    • @Damarry-FX
      @Damarry-FX 4 ปีที่แล้ว

      Hamisi Kabwe makosa yapo tu katika mchezo. Haipaswi kumlaumu tairon

    • @sophiamroso3605
      @sophiamroso3605 4 ปีที่แล้ว

      simba

  • @azizakiswili1506
    @azizakiswili1506 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mzima hatishiwi nyau.

    • @ratifasalumu4021
      @ratifasalumu4021 4 ปีที่แล้ว

      Hii jaman hawa stend walifurai kumgunga simba au

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 4 ปีที่แล้ว

    Dooh

  • @justineakilimali8056
    @justineakilimali8056 9 หลายเดือนก่อน

    Na mwana uto alikuepo kushangilia

  • @zenaabdala2776
    @zenaabdala2776 4 ปีที่แล้ว

    Walijua wameshinda

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 4 ปีที่แล้ว

    Kishingo sijui mzungu umeponea chupuchupu Leo sijui moto ungezimwa namaji ngani 😆😆😆😆

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆SIMBA BABA LAO

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 4 ปีที่แล้ว +1

    Matimu mengine ya kijinga,inaikamia simba huko. Linadhuka daraja

  • @muhammadmahmoud1068
    @muhammadmahmoud1068 4 ปีที่แล้ว

    Chupu chupu tupigwe +974 🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @karolipius1162
    @karolipius1162 4 ปีที่แล้ว

    Kwa mbindeeee

    • @minaside6717
      @minaside6717 4 ปีที่แล้ว +2

      Lakin imepita hiyo

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 4 ปีที่แล้ว +1

      Unateseka?

    • @shinunaatanasi8980
      @shinunaatanasi8980 4 ปีที่แล้ว +1

      Si bola sisi kuliko nyie wazee wa sare na bado na mtateseka sanaas

    • @minaside6717
      @minaside6717 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shinunaatanasi8980 Haswaaa

  • @fraviusbilauli4688
    @fraviusbilauli4688 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbeleko fc , gemu ikiwangumu ukasahau kuwa beba, chaliii! Baati yao wamekutana na litimu libovu!

    • @jephtephlon2366
      @jephtephlon2366 4 ปีที่แล้ว +2

      Sare saree mauwa asiye jua kuchagua ........ malizia mwenyew, vp unateseka kwan

    • @shinunaatanasi8980
      @shinunaatanasi8980 4 ปีที่แล้ว +2

      Achana nae kiroho kinamsuta uyo

    • @jofreymuhando7131
      @jofreymuhando7131 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukitaka kula mkeka we beti timu hivi droo lazima itoe.

  • @irenepyemba4894
    @irenepyemba4894 4 ปีที่แล้ว

    Kakolanyaa babaa unafaaa

    • @iyobotz4746
      @iyobotz4746 4 ปีที่แล้ว +1

      Ok

    • @nzwilamakonda8053
      @nzwilamakonda8053 4 ปีที่แล้ว

      Anafaa ambapo hajapangua hata moja manula ndyo kila kitu

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +1

    Sjui kwa nin Kagere anapewa apige pernat mtatuua na presha

  • @fraviusbilauli4688
    @fraviusbilauli4688 4 ปีที่แล้ว

    Mbeleko fc , gemu ikiwangumu ukasahau kuwa beba, chaliii! Baati yao wamekutana na litimu libovu!