PART39:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 211

  • @shiaochang1335
    @shiaochang1335 4 ปีที่แล้ว +16

    Wale tunaosubir zabron kuishi na jin gonga like

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 4 ปีที่แล้ว +23

    Wakwanza leo nipeni like zangu apa👍👍👍😁👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👇👇👇👇

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 4 ปีที่แล้ว +6

    Du! Maisha km movie!

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 ปีที่แล้ว

    Devistar Mata naona umecheka kusikia Judo beat ya Chafu Zabron imepenya hiyo naona ume kutana na chuma hicho nakupa Salute, Kazi nzuri sana naona kila kadri siku zinapo zidi una kwenda Deep, Ongera sana Respect tupo pmj

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว +1

    😊😊😊😊tufike bas kwenye jini aaah 😅😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwani hapo niwapi upepo kweli😄😄😂😂😂watu nyuma wanabarizi pole pole

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +3

    Pili somoe sapna violine cute emmy fatma Fm morn blessed Aisha Aiyam Amina na wengineo njoooooooooooooooooon mambo tayariiiiiiiiiiiiiiii🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🙄💓💓

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 4 ปีที่แล้ว +1

      Nipo dada naona umewahi kama kawaida yako

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

      @@aiyamhassan1321 Nakwambia chidada changu 🤣🤣😍😍

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 4 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 hongera maa♥️♥️

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

      @@aiyamhassan1321 shkuran 😍😍😍😍😍

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Ndiyo nimefika asante kindugu changu😍😍😍😍

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdulill nmekua wa kwanza 💃🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Hongera

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 shkuran chidada changu 💖💖

    • @aishahassan9812
      @aishahassan9812 4 ปีที่แล้ว

      Sas nimefika uwanjan 💃💃

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      @@aishahassan9812 Nmefurai kukuona💔💔💃

    • @aishahassan9812
      @aishahassan9812 4 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 asa wajina wang hilo kopa la mpasuo kati
      Unajua maana yake?
      Maan yake ni wapendanao walotengana au kupotezab
      Kuachana
      Weka moja fullu❤️

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 4 ปีที่แล้ว +4

    😁😁😁 Uongo mwingi nn

  • @fadhilngimilanga1828
    @fadhilngimilanga1828 4 ปีที่แล้ว +4

    Zabron akilala sana baadaye huwa anazinduka

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +2

    Davistar eti wachovu kufanya kazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimegungundua Zabron ni mtu ambaye anapenda kujituma ila bahati hana, but si mtu wa kukata tamaa hongera kwa hilo 🤝,kingine nilichogundua kwa Zabron anapenda kula vizuri na wanawake warembo 😉😂 ❤🇹🇿🇨🇭

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 4 ปีที่แล้ว

    Hila kweli wewe ni mpambanaji sana hila una bahat mbaya sana kila mlango wa kher unapotaka kufunguka ibilis anaingilia kat pole sana Zablon pia asante sana

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama kawaida yangu nipeni like yangu 😂😂😂😂🙄

  • @susankomu8978
    @susankomu8978 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi napeda kicheko ya Zabroin 😝😝🥰🥰

  • @bakarimbonjo7182
    @bakarimbonjo7182 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndo nlikua namchek Angle aisey ni balaa zito,,hatar,,ni shidaaaaa

  • @aliakojah
    @aliakojah 4 ปีที่แล้ว +7

    Nimewai wapi likes za +254

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa mkwara tu odariiii😁😁😁

  • @esthergasper8086
    @esthergasper8086 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa nachungulia hvooo, tuendelee ss

  • @faustinaalukungu8511
    @faustinaalukungu8511 4 ปีที่แล้ว +2

    🙏

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 4 ปีที่แล้ว

    Watu wa serikali,kama mnamsikia Mr Zabroni, mnatakiwa muwape mafunzo ya "Financial management "watu wa migodini.manake Inaonekana hawajui matumizi mazuri (matumizi endelevu,savings).ndo maana wanakuwa maisha duni .

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa ila migodini ni machimbo ya majini ss ni nadri sana mtu kuendelea wapata pesa ila waximaliza kwa starehe ukipata mwenye amejiendeleza kapita kwa mganga kapewa masharti

  • @ibraah7679
    @ibraah7679 4 ปีที่แล้ว +2

    Oyooo leo wa kwanza tena😊

  • @babymkuya359
    @babymkuya359 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @faridaomari5000
    @faridaomari5000 4 ปีที่แล้ว +4

    Watu wapo chap🙊

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 4 ปีที่แล้ว +1

    On time twende mpaka mia

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja tenaa

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 ปีที่แล้ว +2

    Et mbwa ww hahahahahha mbws kawakosea nn sjui 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwajiranimesalimu5509
    @mwajiranimesalimu5509 4 ปีที่แล้ว +2

    hahahaa leo unichesha😅😅😅😅

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah nimeona fb yko aiseee enjo mzuri bhana 🙌🙌🙌🙌we kaka Mungu kakuandalia mazuri mengiii sana

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 4 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️❤️

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว +1

    Guest ya majamvi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭

  • @malimathegreattv9251
    @malimathegreattv9251 4 ปีที่แล้ว +6

    Like zanGu kwa zabron

  • @jamesngalijah3710
    @jamesngalijah3710 4 ปีที่แล้ว +4

    Haya mm wa 42

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 ปีที่แล้ว +1

    Hilo gest au banda lagoi???

  • @tynoblack5996
    @tynoblack5996 4 ปีที่แล้ว +2

    Jicho la dagaa😂😂😂

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama alinogewa mdumange wa baba yako mdogo😂😂😃😃😃 na ndiyo mana alikua anakuja juu

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimefrahi sana leo kuonana na zablon amenishaur sana kutokukata tamaa kumbe pale unapo kata tamaaa ndio mafanikio yako yamekaribia

  • @tracyangells7595
    @tracyangells7595 4 ปีที่แล้ว +1

    Weekend bado nipo nafuatilia👍

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa wewe kila dem mzuri kila demu yupo vizuri mhhh yule hapana sio mzuri wa kawaida Sana yule demu

  • @MrTzakaSanTz
    @MrTzakaSanTz 2 ปีที่แล้ว

    ila iyo picha ya Angel ndio naitafuta kama sina akili nzur 😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama pia hatari mana ukilegea amakujisahau kama anangoma ataitoboa tuuu kuweni makini watoto wazuri hawajazaliwa huyo adabu hana mana anakukalia tuu mbele yawatu

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 4 ปีที่แล้ว +3

    Judo hiyo kwiooo!🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 ukajuta kudanganya eti mchaga

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 4 ปีที่แล้ว

    Story nzurii

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Mara mgao mama kapewaa umeendaa kwamama amekuambia hajapewaa🙄🙄🙄😂😂kazi hixo ngumu kweli

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 ปีที่แล้ว +1

    Zabroo ulitumia pesa vibaya

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂tushaelewa dav usimchonganishe mwenzio

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว

    Tuned

  • @priscakabonge5343
    @priscakabonge5343 4 ปีที่แล้ว +3

    Zablon on fire

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 4 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 4 ปีที่แล้ว +1

    Duhh. Umepitia mambo magumu sana. Yaani hiyo gesti yahitaji moyo

  • @nadystyle339
    @nadystyle339 4 ปีที่แล้ว +1

    Zabron atatutapikia jamani🤪🤣

  • @mwanzandaki786
    @mwanzandaki786 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @jacksonnyange5334
    @jacksonnyange5334 4 ปีที่แล้ว +1

    Wuwuuuuu

  • @dashyajulius5513
    @dashyajulius5513 4 ปีที่แล้ว +1

    davi punguza ubabaifuu hujui uchovu ww🤣🤣🤣

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 4 ปีที่แล้ว +1

    Chunga ukimwi Zablon,usipende Sana starehe

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa 🙏

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 4 ปีที่แล้ว

    👋👋👋👋Nipo

  • @shaby988
    @shaby988 4 ปีที่แล้ว +4

    Yan kila mda nipo TH-cam kwasababU ya zabron kupitapita kama davista kama ametumia shikamoo MB😂😂😂😂😂😂😂

  • @kheryartist5322
    @kheryartist5322 4 ปีที่แล้ว +2

    Baak'in agaainnn💥✌🏽

  • @didasrichard3068
    @didasrichard3068 4 ปีที่แล้ว

    Dope

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +3

    Laki tatu kwasiku moja siunaona sasa huo uaribifu wanawake kibao hasara tupu😄😄😄😄

  • @tenkeytz
    @tenkeytz ปีที่แล้ว

    She's my sister...😂😂 huyo ni dada yako.??.😂😂

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 4 ปีที่แล้ว

    Next pliz

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakumi Leo nimewai asante mtu makini

  • @florencerose859
    @florencerose859 4 ปีที่แล้ว

    Davista tuko pamoja na waziri ya msosi

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

    Guest ya maturubai duh😂😂😂😂

  • @malaikawisdom2828
    @malaikawisdom2828 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa anatumia jina gan fb

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 4 ปีที่แล้ว

    zabron anapenda mtotozi 😀😀😀😀

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว

    Zablon anapenda pombe

  • @aminamrope1797
    @aminamrope1797 4 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja sana

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 4 ปีที่แล้ว

    Mpaka eps 100 safari hii!

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 4 ปีที่แล้ว

    Yeah

  • @latifajanja2375
    @latifajanja2375 4 ปีที่แล้ว

    Mmh ayo mambo ya bar tena

  • @Zamb90
    @Zamb90 4 ปีที่แล้ว

    Kelvin

  • @oduoratieno2613
    @oduoratieno2613 4 ปีที่แล้ว +3

    Haya pia wewe unajua matusi hahahaha

  • @jeaninemugisha6395
    @jeaninemugisha6395 4 ปีที่แล้ว

    Niko makini davistar

  • @carolineschneider6059
    @carolineschneider6059 4 ปีที่แล้ว

    Susan Komu si wewe peke yako, nimependa sana pia kicheko ya Sabron. Na msosi hiyo ni mwisho...

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 4 ปีที่แล้ว

    Wanji wanji 2nasololea mastory

  • @masakakambesha4521
    @masakakambesha4521 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mie nimeiona photo ya marehemu Angel RIP.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +1

    Guest za maturubai hata ukiwa namwezako unaogopa hata kumleta hapo eti elf moja😂😂😂😂😂😂 duu Mia hiyo yakenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo hapo Mata eti uchovu gani VIP kaka hujashika rada uchovu kwenye mechii 😛😛😛😛😛

    • @maryamumapenzi1257
      @maryamumapenzi1257 4 ปีที่แล้ว

      Natamani kujua 20k za Kenya Tanzania ni ngapi mwaya

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 4 ปีที่แล้ว

      20k za Kenya ni zaidi ya 420,000TShs

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 4 ปีที่แล้ว

      @@maryamumapenzi1257 5k ni lakimoja ya tanzania

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 4 ปีที่แล้ว

      Nuru fedrick hata si mia ni hamsini ya kenya

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

      @@aminaismail4221 😂😂😂😂😂😂😂😂pesa mtoto hata hashibi lunch

  • @shanizshanta7787
    @shanizshanta7787 4 ปีที่แล้ว

    Leo nimejaribu 254

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 ปีที่แล้ว

    🇰🇪🎤🎤🎤

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 4 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣 eti she is my sister? Zabron umeniacha hoiiii na hilo gundu ulilobeba nibalaa

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 4 ปีที่แล้ว

    She is your sister?

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 4 ปีที่แล้ว

    Nimewahi

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 ปีที่แล้ว

    Aya lete part 40 tujue baada ya kutoka kwa mganga

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 ปีที่แล้ว

    wachaga ongezeni bidii kitandani, Zablon anawadhalilisha huku

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 4 ปีที่แล้ว

    UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA

  • @Oneofhiskind123
    @Oneofhiskind123 4 ปีที่แล้ว

    Viroba 20 anapewe 10k ambayo alitoa pale mtu akanunuliwa bia nne mziki huo sasa😂😂😂

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 4 ปีที่แล้ว

    salama mbili😁😁💣💣

    • @titinmbega4128
      @titinmbega4128 4 ปีที่แล้ว

      Subscribe to my channel dia nami nikuje kwako ni subscribe.

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 4 ปีที่แล้ว

    Uzuri Zabron unaelezea mkasa na pia unawashauri

    • @KariukiRoysambu
      @KariukiRoysambu 4 ปีที่แล้ว

      @@titinmbega4128 send me the link of your channel

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 4 ปีที่แล้ว

    🤓🤓

  • @rafiakinyoa4247
    @rafiakinyoa4247 4 ปีที่แล้ว

    Nami nimewahi leo

  • @ezekiaandrew8420
    @ezekiaandrew8420 4 ปีที่แล้ว

    Leo nimewahi

  • @edwardshirima3284
    @edwardshirima3284 4 ปีที่แล้ว +2

    broo uyo jamaa atakukwamisha,unapotea weka mpy

  • @asiaside9558
    @asiaside9558 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu anayedislike atakua mchaw sio bure

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 4 ปีที่แล้ว

    Leo namimi nimewai