KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - BABATI tunakukaribisha kutazama wimbo mpya unaoitwa UNA MUNGU !!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @shabanimwanjile3158
    @shabanimwanjile3158 ปีที่แล้ว +1

    Waoooooh kazi nzuri San

  • @sabinaemanuel7053
    @sabinaemanuel7053 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Hongeran sana kwa utume

  • @mt.cesiliampanda7062
    @mt.cesiliampanda7062 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana wapendwa kazi nzuri

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  10 หลายเดือนก่อน

      Mbarikiwe wana Mpanda

  • @LucasNdilo-iu4lp
    @LucasNdilo-iu4lp ปีที่แล้ว +2

    Hamjawai kutuangusha kamwe katika utume wenu, mbrikiwe sana

  • @wokojuma8310
    @wokojuma8310 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa kazi nzuri. Mwenyezi Mungu awabariki

  • @deboramwadangalasoundoflov5953
    @deboramwadangalasoundoflov5953 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri mnoo

  • @Meryfilipo
    @Meryfilipo ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri, nakuona m/kiti unajituma kweli Suzy ndo usiseme

  • @dionisiabaynit2916
    @dionisiabaynit2916 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu awadumishe kwenye hiduma yenu umoja wenu udumu Amina

  • @LeokadiaBasso
    @LeokadiaBasso 7 หลายเดือนก่อน

    Mmeimba vizuri na wimbo una ujumbe mzuri. Mungu azidi kuwainua katika utume went wa uimbaji.

  • @bihogorakaroli9691
    @bihogorakaroli9691 ปีที่แล้ว +1

    HOLY TRINITY STUDIOS TANZANIA HONGERENI KWA KAZI NZURI SANA HAKIKA MNZITENDEA HAKI KWAYA ZINAZOWAPA KAZI MBARIKIWE SANA .BARAKA KAMA KAWAIDA KINANDA KIMEPOKEA ADHABU YAKO .BIG UP MKUU.

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  ปีที่แล้ว

      🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏

  • @SesiliaSamweli-ng7iu
    @SesiliaSamweli-ng7iu ปีที่แล้ว +2

    Waooooo🥳🥳🥳

  • @paulinaemmanuel3032
    @paulinaemmanuel3032 ปีที่แล้ว

    Jaman hongeren mnanipa rahaaa! Dad yang edwiga na wot mbarikiw san

  • @romanilyimo
    @romanilyimo ปีที่แล้ว +1

    Ongereni wana wa Padua nazidi kubarikiwa na kazi nzuri mnayofanya. Mungu wa rehema nyingi azidi kuwabariki katika utume wenu💯

  • @edvinibrahimibrahim4744
    @edvinibrahimibrahim4744 ปีที่แล้ว +1

    Sjachelewakumbe hongereni

  • @johnabuya1964
    @johnabuya1964 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri kabisa Wacha mungu awabaliki ❤❤

  • @gracennko3399
    @gracennko3399 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️ kaka josee nakuona

  • @NunuMolam-tn5up
    @NunuMolam-tn5up ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwapigania kila wakat

  • @JeremiahMbaga
    @JeremiahMbaga ปีที่แล้ว +1

    Mungu abariki utume wenu siku zote mdumu katika kumtumikia yeye

  • @egibartrespicius6748
    @egibartrespicius6748 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana❤

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  7 หลายเดือนก่อน

      Director 👏👏🙌🙌

  • @timotheoiriya2414
    @timotheoiriya2414 3 หลายเดือนก่อน

    💥💥💥❤️