KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - MAISAKA , BABATI ..... TUMWACHIE MUNGU BY D . HARBONA ,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ค. 2023
  • WIMBO : TUMWACHIE MUNGU
    WAIMBAJI : KWAYA YA MT ANTHONY WA PADUA - MAISAKA , BABATI
    MTUNZI : D. HARBONA
    STUDIO : HOLY TRINITY (AUDIO & VIDEO)
    ‪@kmapmaisaka‬

ความคิดเห็น • 61

  • @dionisiabaynit2916
    @dionisiabaynit2916 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sana vijana wa Mt Antony wa Padua endelezeni umoja wenu mnaimba vizuri Sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwasimamia kwa maombezi ya Mt Antony wa Padua

  • @mathiaskunyanja4143
    @mathiaskunyanja4143 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni Sana wanakwaya ya Mt Anton wa Padua Maisaka kwa kazi nzuri, Mungu awabariki.

  • @AloyceMartin-zx5cs
    @AloyceMartin-zx5cs ปีที่แล้ว +2

    Congratulation to my family

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 ปีที่แล้ว +1

    Hecko kwenu Kenya twawapata vizuri sana

  • @annaammi4791
    @annaammi4791 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana Wana Padua
    Hakika utume na kazi inaendelea
    Mungu azidi kuwaongoza na kuwalinda

  • @user-bn3fl2ro8t
    @user-bn3fl2ro8t ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana wana Padua maisaka babati mnapiga mwingi kuinjilisha kwa njia ya uimbaji mungu awatangulie katika utume wenu wa uimbaji nawapenda sana

  • @paulinaemmanuel3032
    @paulinaemmanuel3032 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda san ndug zang wimbo mzr san

  • @MichaelKomba-rp4jl
    @MichaelKomba-rp4jl ปีที่แล้ว +1

    Waoooh mungu awapiganie sana wanakwaya wetu.hongreni sana akinatobias,akinashayo wote kwaujumla.amina

  • @jacintakimetu1416
    @jacintakimetu1416 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sna waimbaji st anthony

  • @benardwankoka3447
    @benardwankoka3447 ปีที่แล้ว +1

    Mmependeza kazi nzuri👏👏

  • @witnessamani6056
    @witnessamani6056 ปีที่แล้ว +2

    Huu umenigusa mnoo Kuna mambo najikutaga napambana nayo kumbe n ya Mungu walahi kuanzia leo namuachia Mungu. Asanteni kwa kunitia moyo nawapenda mnoo my family

    • @susanmwaya6960
      @susanmwaya6960 ปีที่แล้ว

      Kwakwel, tumwachie Mungu atende

  • @viviancheruiyot6227
    @viviancheruiyot6227 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo tamu

  • @eliakenee4418
    @eliakenee4418 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ni 🔥🔥🔥

  • @josephatmwingira9619
    @josephatmwingira9619 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU Azidikuibariki Kazi ya Mikono yetu, Familia ya MUNGU 👏👏🙏

  • @beatriceassey8178
    @beatriceassey8178 ปีที่แล้ว +2

    Wooow !!!

  • @marinacosmas2221
    @marinacosmas2221 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hongereni sana jaman

  • @romanilyimo
    @romanilyimo ปีที่แล้ว +3

    Ongereni wana wa Padua kazi nzuri big up sana mmependeza Sana. Mungu awatunze katika utume wenu.

  • @bukombeclemence5726
    @bukombeclemence5726 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri hongereni sana

  • @emibabelove3054
    @emibabelove3054 ปีที่แล้ว +1

    Wow !!
    Kazi inaendeleaaaaa

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki wote Waimbaji hakika mwenyezi Mungu awabariki Sana

  • @lazarobaynit9186
    @lazarobaynit9186 ปีที่แล้ว +2

    Vzr sana kwaya mt Antoni wa Padua nyimbo nzuri nawaombea mfike mbali

  • @leticiasilvery1782
    @leticiasilvery1782 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations family ❤❤

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  10 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you so much 😀

  • @dignakayombo74
    @dignakayombo74 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa wimbo mzuri,nimebarikiwa sana

  • @Meryfilipo
    @Meryfilipo ปีที่แล้ว

    Hongereni saaana wapendwa kwa kazi nzuri 🙌🙌🙌🥂🌹🌹🌹🌹🌹

  • @omoloenosh6143
    @omoloenosh6143 ปีที่แล้ว +1

    Alas!!🎉 Very nice,, excellent 👍

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  10 หลายเดือนก่อน

      Thanks for the visit

  • @mt.cesiliampanda7062
    @mt.cesiliampanda7062 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  8 หลายเดือนก่อน

      Ndugu ktk Kristo 🙏🙏❤️❤️

  • @user-mu9hh6lp8q
    @user-mu9hh6lp8q 7 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉hongern san

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana
      Utukufu ni kwa Mungu

  • @victormaisiba8237
    @victormaisiba8237 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe mzito kweli

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  9 หลายเดือนก่อน

      Ahsante, ubarikiwe mno kwa comment

  • @rithaawe9959
    @rithaawe9959 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kazi yenu nzuri mno. Nawapenda Mungu awatunze na kuwabariki

  • @john_mlacha5390
    @john_mlacha5390 ปีที่แล้ว +1

    😅hongereni sana n myimbo nzuri kupta kiasi 🎉

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  10 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

  • @kayroserey1678
    @kayroserey1678 ปีที่แล้ว +1

    Greetings from Oklahoma city, Oklahoma USA. Very beautiful, voices and lovely scenes Keeping you all in prayer

    • @dahayesiay7763
      @dahayesiay7763 ปีที่แล้ว +1

      Thanks for your appreciation,glory to God

    • @kmapmaisaka
      @kmapmaisaka  9 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you very much!

  • @EvalightnessTlaa-ky6sh
    @EvalightnessTlaa-ky6sh ปีที่แล้ว

    Hongereni sanaaa wanakwaya wa Mtakatifu Anthony wa Padua Babati.🥰🥰

  • @dionisiabaynit2916
    @dionisiabaynit2916 ปีที่แล้ว +2

    Wekeni basi Ametukuka wapendwa

    • @beatriceassey8178
      @beatriceassey8178 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣 sawa

    • @filoteashayo9488
      @filoteashayo9488 ปีที่แล้ว

      Mko vizuri hongereni sana Mungu aendelee kuwasimamia na kuwalinda