Malkia wa Mbingu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Karibuni kutazama wimbo huu wa Malkia wa Mbingu ,uliorekodiwa na wanakwaya wa Kwaya ya Mt.Augustino wa hippo ,Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma,Nkuhungu ,katika studio za Dady Productions.
    MAMA YETU MARIA ATUSAIDIE WOTE.Karibuni

ความคิดเห็น • 28

  • @franciscandanu7634
    @franciscandanu7634 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi mzuri na mbarikiwe
    Very nice song

  • @catherinekerubo7282
    @catherinekerubo7282 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana kazi safi👌👌👌

  • @erickayomo5123
    @erickayomo5123 ปีที่แล้ว

    Hallo very nice song indeed naomba music 🎼 notes if possible I really love this song and it's a request from my choir, thanks in advance .

  • @emmanuelmyonga3130
    @emmanuelmyonga3130 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni Sana,mungu awabariki.tulibarikiwa ujio wenu kwetu.tumwimbie bwana.

  • @kelvinyohana6073
    @kelvinyohana6073 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana kwa utume! lakin tuzidi kumwomba Mungu sana kwa kwakuwa katika utume huu nimengi tunakutana nayo ambayo wakati mwingine yanatuvunja moyo, ninawaomba tunapo kutana na vikwazo vya aina yeyote tumwombe Mungu na tusonge mbele Mungu ni mweza wayote hongereni sana kwa utume majaribu ni sehemu ya maisha

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 ปีที่แล้ว +2

    ASANTENI WANAKWAYA KWA WIMBO MZURI SANA WA KUMSIFU MAMA YETU MARIA. FROM QATAR BUT KENYAN

  • @kathbetmgao7590
    @kathbetmgao7590 ปีที่แล้ว +2

    Sara.sara.sara. mzidi kubarikiwa sana.

  • @pastorysylvester4480
    @pastorysylvester4480 ปีที่แล้ว

    Hongereni sn kwakwel n bonge la wimbo, mpependeza mnooo sare nzur fully smile Mbarikiwe sn

  • @christinakinyamagoha4507
    @christinakinyamagoha4507 ปีที่แล้ว +2

    Nice song with glorious words to our Mother Marry,,,,,may God bless your work

  • @kathbetmgao7590
    @kathbetmgao7590 ปีที่แล้ว +2

    Sara ulipendeza mnooo

  • @estermrimi321
    @estermrimi321 ปีที่แล้ว

    Hongera sana, Mary Richard hongera kwa utume mwema

  • @franciscamasaaikandi1302
    @franciscamasaaikandi1302 ปีที่แล้ว

    Fantastic song🥰🥰🥰can't get enough of it

  • @josephinabasso9963
    @josephinabasso9963 ปีที่แล้ว +1

    Una heri Maria maa uliyeinuliwa juu hata kuirithi mbingu

  • @samwelmauza336
    @samwelmauza336 ปีที่แล้ว +1

    So nice song mbarikiwe

  • @kathbetmgao7590
    @kathbetmgao7590 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana

  • @augustinekastherody3061
    @augustinekastherody3061 ปีที่แล้ว

    Amusing and Astonishing songs

  • @chanikamfugwa4736
    @chanikamfugwa4736 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa Utume🙏

  • @christinakinyamagoha4507
    @christinakinyamagoha4507 ปีที่แล้ว +1

    Happy to see you my big brother Nyigo a.k.a baba G

    • @drhelmannyigo1639
      @drhelmannyigo1639 ปีที่แล้ว

      Here i am my young Sister… .Am still making it until i die!!!

  • @user-ip2pv6ix8o
    @user-ip2pv6ix8o 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zaa mwl wa hii kwaya

  • @dionizsibanga2466
    @dionizsibanga2466 ปีที่แล้ว

    Safi sana, mtunzi nani

  • @muhidinramadhani3805
    @muhidinramadhani3805 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren.saaaaaa

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 ปีที่แล้ว

      Utume unakwaza pale roho Mtakatifu asipo sifu ndani yako ,Wanakwaya wengi mnaharibu pale mnapojisifia kujua kuimba huku mnasema mnamtukuza Mungu ,Mtukuzeni mungu ondoeni umwili ndani kazi zenu ,makwazo yatakuwepo lkn Neema ya Mungu ikiwa ndani yenu hamtakwazika wacheni majivuno.Hongereni kwa Utume msikate tamaa.Neno la Mungu lisonge mbele.

    • @xamwelymaico574
      @xamwelymaico574 ปีที่แล้ว +1

      Sawa gidion hatuzimi data

  • @kathbetmgao7590
    @kathbetmgao7590 ปีที่แล้ว

    Bonge la wimbo

  • @innocent3954
    @innocent3954 ปีที่แล้ว

    Hallelujah ❤️

  • @kathbetmgao7590
    @kathbetmgao7590 ปีที่แล้ว

    Nawaelewa sana.

    • @fransiscarbrunoh6889
      @fransiscarbrunoh6889 ปีที่แล้ว

      Nmewapenda sana, saut ya kwaza imepangwa vzr so hongeren San wanaparokia wang ktambo nawapenda