PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.( 🎼 MUNGU WETU NI MWEMA& HUKU NA HUKU WEEE) 04/08/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • (📖 WAEFESO 1: 4-6 SNT)
    4.Mungu alituchagua sisi tuwe ndani ya Kristo hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na lawama mbele zake.
    5Kwa upendo wake, alipanga kabla ya mambo yote, kutufanya sisi kuwa watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo kwa mapenzi yake mwenyewe;
    6.Na hivyo apewe sifa kwa ajili ya neema yake tukufu ambayo tumepewa bure katika Mpendwa.

ความคิดเห็น • 4