BALAA la TUZO za TMA Bongo,ALIKIBA, HARMONIZE, NANDY kunogesha siku hiyo, huu ndio muonekano wa Tuzo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 33

  • @AkonJacquesAkonkwa
    @AkonJacquesAkonkwa วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉❤konde tuh achukuwe tuzo tano. Akina dainamo alikiba dula ,wasuburi

  • @ngabungabrain6574
    @ngabungabrain6574 วันที่ผ่านมา +5

    King tujaee apa Kama ote

  • @SAWENTHEPOET
    @SAWENTHEPOET วันที่ผ่านมา +3

    Nandy najua atashinda❤❤🇰🇪

  • @georgenzai1355
    @georgenzai1355 วันที่ผ่านมา +10

    Harmo anaenda nazo kama zote izooo

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 42 นาทีที่ผ่านมา

      Mwaka Jana alikuja na tuzo zake za mtaani Kule marekani.kuna mbongo yupo Kule anaandaa Tuzo Kule marekani akampa basi ilikuwa balaa sasa watu tunajua tuzo tukajiuliza hizo tuzo za nini? Yaani ndiyo nikajua harmonize mshipa wake wa aibu ulishiondoka kabisa.Kiuhalisia harmonize anatakiwa hasipate tuzo hata moja kama Mwaka Jana.Mbosso,zuchu,Mario,Nancy wananyimbo kubwa sana na hits nyingi.

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbosso ana nyimbo nyingi nzuri kuliko wote mlitakiwa mumuweke.

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 13 นาทีที่ผ่านมา

    Dr mapana. Washauri hao kina severin na wenzie wamuongeze Mbosso kwenye list ya performance.Mbosso in Bora zaidi ya alikiba,yammi,harmonize.

  • @Xxxtentancion-w2s
    @Xxxtentancion-w2s วันที่ผ่านมา +2

    Diamond heshima yako bhnaa utaperfom vp kwenye tuzo ndogo izi mkubwaaa🎉

    • @thethengomba355
      @thethengomba355 วันที่ผ่านมา

      LOL 🤣😂🤣😂 unaditekenya nakucheka mwenyewe, that's a thinking of small minded people, wamarekani, wafaransa, waingereza....wanaandaa events za tuzo kwa watu wao kwanza, lakini in Tanzania baadhi ya vichwa legelege wanadhani ni tukio la tuzo dogo. STUPIDITY IS REALLY A CHOICE

    • @bovickpascal6554
      @bovickpascal6554 วันที่ผ่านมา

      Wata wezaje kutoa milioni miatano

  • @VeronicaSanga-l4o
    @VeronicaSanga-l4o วันที่ผ่านมา +3

    Konde boy is the best artist in Tanzania anajua sanaaa

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 วันที่ผ่านมา

      @@VeronicaSanga-l4o only in Tanzania ya think he’s the best. You people don’t know good artist.boooooo

    • @juniorog205
      @juniorog205 วันที่ผ่านมา

      @@joyhylton7901 he is the best

  • @GiftTarimo-i4m
    @GiftTarimo-i4m 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    King komba zoteee

  • @Malaika-q5o
    @Malaika-q5o วันที่ผ่านมา

    Tamasha la tatu bado wahajajua ni aina gani ya muundo tunzo watumie bado wapo kwenye majaribio ni kichekesho na aibu sana kwa baraza la sanaaa

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg วันที่ผ่านมา +3

    Tuzo za mchongo izo bora tuzo za dula makabila harmonize kwa heshima ako bora ungejiondoa

    • @kingcheater2554
      @kingcheater2554 วันที่ผ่านมา +2

      Andaa zako mbwa wewe

    • @HembaDymain
      @HembaDymain วันที่ผ่านมา

      Konde boy awezi Ku ji towa apo ata zi tchukuwa zote kwenye kabati

  • @esseesse2348
    @esseesse2348 วันที่ผ่านมา

    Kiba zote ila shida kawekwa na watoto

  • @ndonimtata-x9z
    @ndonimtata-x9z วันที่ผ่านมา +1

    Jana niliota nandy anashinda😁🙌🙌🙌

  • @kenrifambi
    @kenrifambi วันที่ผ่านมา

    Kwa hivyo hantambui Zuchu na Marioo SnS

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 วันที่ผ่านมา

    Hamo

  • @SulePonda
    @SulePonda วันที่ผ่านมา

    Tuzo zote za konde period

  • @SifaEmma
    @SifaEmma วันที่ผ่านมา +2

    Aibu CCM na Samia kusapoti Harmonize kuroga kazi za Wasanii wengine kwenye youtube ❌❌❌❌😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile วันที่ผ่านมา

    Nay wa mitego

  • @MakameJumaa-f2y
    @MakameJumaa-f2y วันที่ผ่านมา +1

    Kondeboy zikusanye hizo tuzo

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 49 นาทีที่ผ่านมา

      Tuzo za kukohoa sawaYule kelele tu. Ana nyumbo ngapi nzuri?

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 วันที่ผ่านมา +4

    This is trash I would never ever like Harmonize songs. This boy is a thug

    • @مونيكمونيك-ع1غ
      @مونيكمونيك-ع1غ วันที่ผ่านมา

      Sawa mkamilifu

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 วันที่ผ่านมา

      @@مونيكمونيك-ع1غ English please

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 วันที่ผ่านมา

      👎👎👎👎👎👎👎👎😏😏😏😏😏😏🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 วันที่ผ่านมา

      @@priscamrekoni3451 Boooooooooooook . Me in America think he’s a midget ughh thug

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 30 นาทีที่ผ่านมา

      Yaani only in Tanzania harmonize can get a spotlight.Mbosso ni Bora sana sana.