Penzi la Harmonize na Poshy Queen lavunjika, Kajala atajwa kuwa sababu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 75

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Kiufupi KUMEKUCHA 😎 Bora arudi kwa kajala wakae walipe lile deni analodaiwa kijana wetu, alikula sana pesa za mwana 🤩🤣😎

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We shoga nn sasa mwanaume una ogopa kuonga au una taka uongwee wewe na konde boy ufilwee sioo

    • @esthermatisho2604
      @esthermatisho2604 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Chenye na pendea iyi channel inatupa vitu viko very true 🎉❤

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Km itakuwa kwel bas Kajala atakuwa mwanamke wa ajabu kuwah kutokea duniani,,,,Kwa dharau zile mbk kuitwa mama mtu mzima mwiz loooh siwez acha nife kwenye shida😢😢😢

    • @BarakaHarrison-l4t
      @BarakaHarrison-l4t 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Inategemea hakuna kitu kisichowezekana

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Usiombe situation ikukute, utasahau yote

    • @BarakaHarrison-l4t
      @BarakaHarrison-l4t 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Gulfnas1 kusahau yote kvp

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli

  • @BarakaHarrison-l4t
    @BarakaHarrison-l4t 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kajala na konde napenda hii couple

  • @Zuu673
    @Zuu673 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Km kweli kajala karudiana nae uyo mama hajielewi sasa

    • @BarakaHarrison-l4t
      @BarakaHarrison-l4t 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ww unajielewa

    • @Zuu673
      @Zuu673 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @@BarakaHarrison-l4thaha sawa wifi angu mke wa kaka

  • @faizaboubacar5064
    @faizaboubacar5064 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jama mwenye t-shirt nyeusi namkubali sana

  • @cixworldwide6745
    @cixworldwide6745 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Upepooo Ndio unafanyaa Warudiane Huo mshangaziii UNAUPEPOOO SANAAA

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Warudiane nitafurai❤

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mtandaoni Pameanza kuchangamka

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😅😅😅acha mumakonde ayaone sasa si alimutesa worper eti amapata mzungu badae sarah acha sasa ayaone kajala usikuli

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Harmonize ni mshamba wa mapenzi nawanawake wazee hovyo sana kazi itamshimda

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwani Kua chana ushamba au mshamba we unae sema naizee mshamba kwa sababu kama amuelewani kuachana kawaida au uwa unaolewa au achwiii

  • @JulesWilondja-w5x
    @JulesWilondja-w5x 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kajala hana hata mapenz anakomoa,,,na kumdhalilisha P MAJANI,,thati inafu

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kajala anataka iPhone 16 n range akishapata tena ivo vitu atamsha Malaika niko paleee👉🏻

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kajala & Raj ni bonge la couple in tizii😘

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    tatizo nyie wandishi mnawapa sana Air time

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyo mkaka mweupe nimempenda anasauti nzuri sana

    • @hamisibakari342
      @hamisibakari342 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Majina ya WEMA mmhhh!!!sijui mnawema kweli???

    • @westonyjob1747
      @westonyjob1747 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mm apa nipe nomber yako

    • @hamissimonami2519
      @hamissimonami2519 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Angalia ucj kpenda majin Mwehu wee

    • @PaulNdauka
      @PaulNdauka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tayari kinawasha Sasa...mkipigwa mtungo mnalia Lia????!!

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Poshi Hana mguu mzuri. Kajala anamguu mzuri

  • @fauahamisi3560
    @fauahamisi3560 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nilikuwa napenda kajara na harmo warudishe penzi nilitaka niende kwa mganga kisa posh sikupenda kabisa wawe pamoja ,asante Mungu kwa majibu

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahaha umenichekeshq

  • @richardJanson-h7c
    @richardJanson-h7c 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amani yamoyo sometime inatokana namazingira unayo ishi . Pia nawatu wanao kuzunguruka sio kilakionekacho kizuri eti kinafaa lakini mwanaume ni mtu amepewa ubongo mkubwa sana sometimes haraka haraka haina baraka. Dunia bado inaendelea wala haijafika mwisho kwaiyo unapo patwa na changamoto za mapenzi Niheri kwanza kufuta zubira nakua mvumilivu. Wanawake wapo wengi sana duniani

  • @chainbre275
    @chainbre275 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    To be sincere hapa wakulaumimwa ni Kajala kukosa musimamo juu kama kweli anamoenda mwanae basi asingekubali tena 😢it's very shameful as a mother

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kusema ukweli posh na harmonize wanafaana sana ila watu sabababu watu wanataka harmonize asitulie ndiyo wanasabikia hiyo coup ya harmonize na kajala

  • @lazarolaurent8800
    @lazarolaurent8800 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mstari wa Harmo unasema. Tuta huwezi kulipigia honi unazani alikosea? 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chany9950
    @chany9950 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jmn nakumbuka sauti ya sky plzz

  • @DullahMayaula.
    @DullahMayaula. 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawakubalii..wazee

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa poshi kavuna sana ila Hamo umepoteza sana ila kajala Hamo mshiko ulivuna kajala pia alivuna Yani wote mlipata vipunga

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata mm nawamini sana ila mm niliona tuu poshoy haeleweki yule sijui nn shida jaman watu mnapedwa hapendrni ni nn hom nipende mm basuone hautajutia

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    #RECAP pindi mojaa la kinyamwezii

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa poshi queen harmonize alikuwa anapita tuu mapenzi yake yote yako kwa kajala huyu queen hajaimbiwa hata wimbo Mmoja hata range hajawainunuliwa posh queen anatia huruma

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kajara akirudiana na mdogo wangu nitafurahi sana maana hicho kikatuni chake hakina hata nyotaa

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ameekeza akili kwa wanawake kazi itamdhinda tu hakuna maaemdeleo ya kazi mpuzi sana

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chriz eti wee unaongea nini😂😂😂😂

  • @SignorahKioko-ln1ff
    @SignorahKioko-ln1ff 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kajala kiboko ya hm

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumeanza kuchangamka acha tuangalie hili picha muhudumu ongeza kahawa please

  • @AGREYKabume
    @AGREYKabume 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    KUMEANZA KUCHANGAMUKA huko

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kajala anakuja kuchukuwa alicho acha konde atakufa masikini kurudia matapishi niuninga

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    What's so special about poshy,harmonize and kajala.Kama wameachana au wamerudiana....acheni uvivu tumieni platform hii kuleta kubwa na zenye Mvuto.Hawa unaowazungimzia ni sawa unawaongelea watu ambao they don't attract any attention.Its common.

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio kazi yao hio

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂eti shepu na mzigo jmn nyie nyie😂😂😂😂haya macho yetu

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    D G kafurahisana chuma

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Labda anamroga mm ctoweza kurudiana na mtu aliemtongoza mwangu au ndugu au shoga MUNGU atuhifadhi

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amina, Mie sizani kama kajala atafanya huo upuuzi

  • @togetherwecansolve
    @togetherwecansolve 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Most of time munatulisha fact tupu bila chenga

  • @linahmkinga8041
    @linahmkinga8041 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂sass kahachika

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kajala 3😂😂😂

  • @ZaySaidi-r9l
    @ZaySaidi-r9l 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Warudiyanetu

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    acha kulinganicha chep za kuongeza kajala ni shep yake yakuzaliwa huo harmo wakirudiana ni ndoa tutaona hawa watakua kama nandy na billnass

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kajala niyota ya hamo

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona harmo aliongea mengi tu Tena ya dharau kajala usirudiane na huyu chizu

  • @togetherwecansolve
    @togetherwecansolve 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Maze kama Jina recap limebowa basi tuliite FACT OF TIME

  • @BonfilsBaleke-x4p
    @BonfilsBaleke-x4p 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Harmonize atafute Katoto ka 2000

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je, utamrudia Ex wako au bora kufa?....…..nasoma coment yako ndg mtazamaji 🙄

  • @sarahrashidabdallah3109
    @sarahrashidabdallah3109 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado nakumbuka bibi yangu akisemawapendanao wawili wakingomba basi shika jembe ukalime 😅😅😅nani anakubaliana na kauli ya bibi yangu 😅😅karibuni popcorn na Chai ya turungi 😅😅

  • @JamesGiligita
    @JamesGiligita 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiki za harmo t kuweka watu attention ya wimbo mpya

  • @JulesWilondja-w5x
    @JulesWilondja-w5x 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤😂😂

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NYIE VIJANA MNASHINDWA KUMSHHURI KIJANA MWENZENU AACHANE NAHAYO MAMIZOGA ANAKUWA KAMA ILE MIDEGE RONDO RONDO ALAFU BADO NI MASIKINI MKUBWA

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siri anajuwa harmonaiz utamu wao wote