FAHAMU HAYA MUHIMU UTEUZI MAKARDINALI WAPYA AKIWEMO ASK.RUGAMBWA,KARDINALI PENGO AFAFANUA KAZI ZAO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
- Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...
Kanisa Katoliki ni taasisi ya kale zaidi, yenye kushikilia ustaarabu wa binadamu. Imepitia misukosuko mingi; lakini tunu zake za mafundisho, upatikanaji wa viongozi na kumtegemea Mungu imekuwa nguzo kuu hadi leo
Maneno kuntu hayo mtumishi
@@castrocastro9615 🙏🙏 kabisa mkubwa;Kanisa Katoliki ndo inashikilia jamii ya binadamu.. likiyumba tu,dunia inakwisha. Tuzidi kuwaombea viongozi wetu wa dini
Amina Amina
Amen mtumishi wa mungu
Congratulations
Inashangaza Askofu Ferdinand aliyeandika kitabu"heal me with your lips the art of kissing" kitabu kilicholeta hisia mbalimbali kati ya wanateolojia naogopa anaweza kengeusha mafundisho ya kanisa katika kitengo hicho muhimu alichowekwa.ila tu ni maoni yangu.