HISTORIA YA LAUREANO RUGAMBWA/KARDINALI WA KWANZA MWEUSI BARANI AFRIKA.NA KIZITO MPANGALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mnamo tarehe 14 Julai 1912 familia ya Mzee Rushubirwa huko Kagera ilijawa na furaha isiyo kifani kwa kupata mtoto wa kiume kutoka kwa mama Mukaboshezi. Mam Mukaboshezi alivumilia taabu na shida zote zimpatazo mwanamke wakati wa uja uzito. Naye Mzee Rushubirwa hakuwa mbali na mkewe mpaka pale mtoto wa kiume alipozaliwa.
    Kardinali Laureano Rugambwa apumzike kwa amani.
    Kizito Mpangala, 2020
    Dar es Salaam

ความคิดเห็น • 22

  • @samsonpaul3247
    @samsonpaul3247 4 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa Baba Cardinal Rugambwa Mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi.....Amina

  • @maryjohn6057
    @maryjohn6057 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kutupa historia hii nzuri. Keep it up Erick endelee kutupa historia mbali mbali hasa za kanisa tuweze kujifunza mengi na kukuza imani yetu. Amina

  • @anacletferuz4954
    @anacletferuz4954 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina sana. Nashukuru kwa historia hiyo

  • @laulianmpepo1267
    @laulianmpepo1267 11 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏 na tumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja nawe wajina langu kwa Kazi kubwa iliyotukuka hatimaye sasa uliyempa jina siku ya unafika Tanzania ukitoka kusimikwa kuwa Kardinali nae kwa sasa (Protase Rugambwa) amefuata nyayo zako ni kardinali
    Ahimidiwe Mungu 🙏

  • @lovedwamlewa124
    @lovedwamlewa124 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa historia hii nzuri, Mungu awabariki Radio Maria Tanzania. Kwaresma njema.

  • @GREGORYTHEGREATTV
    @GREGORYTHEGREATTV ปีที่แล้ว

    Hakika mungu ampe neema tele na uzima wa milele Amina🙏🙏

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika uwa sichoki kusoma historia ya Mwadhama Cardinal Rugambwa. Ni historia nzuri na yenye kueleza mengi hasa kiimani.
    Katika udogo wangu sikufanikiwa kumuona Lkn Kwa kusoma nimejifunza kuwa Alikumwa mnyenyekevu na alimpenda sana Mama Bikira Maria na alikufa siku ya Bikira Maria.
    Natamani sana kupata japo video moja yenye sauti yake akiongea mwenyewe. Hii itatimiza faraja ya moyo wangu.
    Apumzike Kwa Amani Baba yetu wa Imani Lauriano Cardinal Rugambwa.

    • @raylaurent4389
      @raylaurent4389 4 ปีที่แล้ว +1

      Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata video yoyote.. Hasa ile documentary ya Baba Mt. Yohane Paul ll alipokuja Tz... Kwa gharama yoyote tafadhari..
      0757593232

  • @faithyfrank3242
    @faithyfrank3242 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @fredleonardo739
    @fredleonardo739 3 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sanaaa

  • @johnmaendeleo1593
    @johnmaendeleo1593 4 ปีที่แล้ว +6

    Huu ni ukurasa mzuri wa kupata mambo mazuri ya Kikanisa. Usikubali kuwa mgeni kwa mambo ya Kanisa linalokuhusu

  • @mzeeclaud
    @mzeeclaud 3 ปีที่แล้ว

    Really Life Story

  • @erickpaschaljr8667
    @erickpaschaljr8667 4 ปีที่แล้ว

    Good work

  • @mariasalomelukosi6846
    @mariasalomelukosi6846 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 4 ปีที่แล้ว +1

    RIP MUAGAMA KARIDINARI LUGAMBWA

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani Kardinali Rugambwa.

  • @TumainGidion
    @TumainGidion ปีที่แล้ว

    4:10 pongez kwako popote ulip

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 2 หลายเดือนก่อน

    Wahaya mko wap amkeni tena jamani

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata video yoyote.. Hasa ile documentary ya Baba Mt. Yohane Paul ll alipokuja Tz... Kwa gharama yoyote tafadhari..
    0757593232

  • @faithyfrank3242
    @faithyfrank3242 11 หลายเดือนก่อน

    Amen