Pr. David Mmbaga,Kuchagua Mchumba A

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ค. 2018
  • Usikose seh B

ความคิดเห็น • 25

  • @machibyabushile9965
    @machibyabushile9965 ปีที่แล้ว

    Napenda mahubiri yako pastor 🙏

  • @machibyabushile9965
    @machibyabushile9965 ปีที่แล้ว

    Napenda mahubiri yako pastor

  • @plankalkimly4811
    @plankalkimly4811 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina pastor

  • @violetnyansiaboka2821
    @violetnyansiaboka2821 5 ปีที่แล้ว +4

    Umenisaidia sana pastor .God bless you

  • @esaumakele7476
    @esaumakele7476 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa pastor

  • @ruthchebet4154
    @ruthchebet4154 3 ปีที่แล้ว

    You have taught be prophecy thanks pastor, From Nakuru kenya

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 ปีที่แล้ว +3

    AMEN🙏 point taken, be blessed pastor

  • @nibonisyendalima5165
    @nibonisyendalima5165 6 ปีที่แล้ว +2

    Amina tupone kwa neno hili wanaume wamezidi kuchagua kazi na kuendekeza uvivu.

    • @mkdg.4skolo891
      @mkdg.4skolo891 6 ปีที่แล้ว

      na wnwake nao wazdi kuringa kanakwmba wapo adim kuwa wataisha. kumbe aaaah wapi

  • @neemaedga7714
    @neemaedga7714 5 ปีที่แล้ว

    barikiwa pastor, Mungu atusaidie sana kwenye uchaguzi huo

  • @ruthchebet4154
    @ruthchebet4154 3 ปีที่แล้ว

    Thanks for the teaching pastor

  • @sylvestermairura2021
    @sylvestermairura2021 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja kutoka Huku Nairobi, kenya

  • @karlgabrielwilfredkalivuba927
    @karlgabrielwilfredkalivuba927 6 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Hakika hekima ni kila kitu

  • @muinjilistdamas7054
    @muinjilistdamas7054 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda na napenda mahubiri yako ususa ya ufunuo na Mpinga kristo, Leo nitakua mnikolai nikifunua Maandiko nikianza na Mwanzo kabisa Wa biblia tunaona Mungu uwapa watu wake Mume au Mke sahihi yaani anakukutanisha Mwanzo 2:18 nasio kumtafuta kwa kutumia akili zako,yako mambo ni ya kweli kabisa ila sio kutumia sura ya nje na akili za kibinadamu kumjua mtu maana Biblia inaitaja ndoa kama jambo LA kiroho sana na lenye kuathiri kila eneo LA maisha na ndio maana ni lazima uwe na uhakika kua Mungu ndio anayoiyunganisha hiyo ndoa ila Sio kwa kushikilia akili na Misimamo ya Ubongo kibiblia Mke au Mume inapofika kipengele cha kuoa hakuna Msimamo unaeleza kuhusu kumtafuta Mume au Mke ila ni kumtafuta Mungu zaidi akukutanishe na Me/mke wako Mithali 19:14 Mali na pesa mtu urithi kutoka kwa babae ila mke Mwenye busara MTU upewa na Bwana.Utaona agano alilofunga Ibrahim na Mungu ndilo lililompatia Mwanae Isaka Mke na Mungu alimpa Maelezo yote ya wapi mke Wa Isaka atatokea na ikawa Amina, na ndio maana nasema kibiblia Mume au mke hawamtafuti ila Mungu anakupatia wakufananae na sio kujichagulia kwa mitazamo yako au kuitegemea akili uliyopewa na Mungu,Akili umepewa ili ikusaidie na kama ni wa Mungu kweli basi ikifika kipindi maalum cha kuoa u kuolewa atahakikisha anakupa kila aina ya maelezo,Hatuwezi kufanya jambo zito namna hii bila ya Mungu,MUNGU KWANZA MKE ATAKUKUTANISHA NAE AMINA

  • @nathanmao159
    @nathanmao159 6 ปีที่แล้ว +3

    Gud message

  • @dinamkamaabel9486
    @dinamkamaabel9486 6 ปีที่แล้ว +1

    be blessed pastor

  • @mipawatambu7146
    @mipawatambu7146 6 ปีที่แล้ว +1

    nice message pastor

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍

  • @jeniviver2701
    @jeniviver2701 5 ปีที่แล้ว

    jah bless u pastor

  • @benedictmasigo518
    @benedictmasigo518 5 ปีที่แล้ว +1

    Good ooh

  • @lucksonkalima1988
    @lucksonkalima1988 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tatizo hilo lipo kwangu naishi na mwanaume huunimwaka wa 5 na kilicho nivutia kwake niana sali mpaka anasujudu mimi nikajuwa nimepata kumbe nimepatika mimi siyo kwa magumu ninayo pitia

  • @stelaclemens8713
    @stelaclemens8713 6 ปีที่แล้ว +2

    hii nikweli

  • @machibyabushile9965
    @machibyabushile9965 ปีที่แล้ว

    MCHUNGAJI TUNAOMBA MAHUBIRI KWA NINI WAKATOLIKI WANAVITABU VINGI KWENYE BIBLIA KULIKO BIBLIA TUNAYOTUMIA SISI TUNAOMBA UCHAMBUZI KUHUSU VITABU HIVO VILITOKA WAPI NA KWA NINI KWENYE BIBLIA ZETU HAZIPO

  • @shittostar1182
    @shittostar1182 5 ปีที่แล้ว +1

    mimi nipo Dar, 0629063837nahitaji ubatizo, naomba mwongozo wako mchungaji