Habari za sai kaka J nilikuandikiy kwa comments aujibu comments zangu huko tiktok nina ndugu yangu huko Burundi anaumwa sana kila hospital alifika ila hakuna kinaco badilika alifanyiwa operation inne lakini wapi anateseka sana. Anatatizo la kuvimba shingo. Na akienda ajaa kubwua anatowa damu nyingi tena kwa maumivu makali sana please hana uwezo wa kuja huko TZ kukufuata pesa zote zimeishiya hospital na tulikuwa bado hatujakujuwa kama unao uwezo uliyo barikiwa na Mungu. Basi twaomba utusaidiye angalau upost dawa ya hizo tatizo naimani kupitiya wewe atapona ni mama yangu mdogo yani mdogo wake mama yangu please naomba upitiye comments hii .
Noma Sana 🎉🎉🎉🎉
Tupe siri kaka
Sawa unaongea kweli ila maneno yanakua mengi sanaa hadi unaboaa nenda stret kwenye point ueleweke