ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Waigizaji wote wazuri na hawa watoto wamefanya vizuri sanna naamini watapenda kuwa wachekeshaji! Kazi nzuri sana
😄😄😄😄
Yupo sahihi joti tembo yupo kwa mbaliiii
like nyingi kwa Joti, jamaa anafanya kazi nzuri
Joti unajua tena unajua jamani 👏🙏big up to you brother
best comedian in Tanzania.. Joti we ni hatari na nusu💣💥
Tembo hapa yupo kwa mbariiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wa kwanza kukomet ila sitapata like hata moja😁😁😁😁😁
Like unakula au
Nimekupa like bana
We boys nn
Zinakusaidia nn?
@@Userog254 anakula
😂😂😂mwalimu kaniacha hoi ety biashara yangu ya ubuyu hamniungishi afu nyie ambao hamniungishi But bro joti you kill it 🤣🤣🤣
Asante kwa burudani na elimu kwambaaaaaliiiiiii.. ♥️♥️♥️♥️🇴🇲
Tembo yupo kwa Mbaali🤣🤣🤣. Shati limechanika kwenye Kwapa😂😂😂
Ni kweli tumepitia haya mamboUmetisha Andunje😂😂😂😂😂
Joti mpo siriaz sana, kias kwamba mtu aeza asijue kam mmeact,, big up
😂😆😆 joti akiwa mwanafunzi unasahau kabisa kama atakua babu au nishai
Au da kiboga
Man from tz pamoja sana broo unaweza sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Best man alikuwa kwenye AIRTEL ndio maana hajafanya home work 😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃 jamani
😂😂😂
Hhh
Alikuwa kwa harusi yeye kama best Man
Kabisa 😅😂😂
Na shati ukachana kwapani kuleta maana zaid...😀😀 shout out big
nice one I remember my primary days ukibonga kiswahili tu bahati mbaya unavalishwa jifupa kubwa chafu
Joti🤣🤣
Comedian Bingwa wa kuingia trending
Wangap tumeskia salaam mpya ya kumsalimia mwalim 😂 dah weng tulishazoea heshma toa shikamooo mwalimu.....alafu andunje dah 😂 kila homework hajafanya hyo sku hua sku mbaya kazin
Minshaiibia.. tarehe 19 tukifungua ndo naanza nayo darasani kwa mwanafunzi wangu.. watafurahi balaa
@@leylaiddy5815khaa
Andunje you're so funny you've made my night tonight
Hawa ndugu au vipiii mwalimu wa kiume na mwanafunzi Rafiki Yake joti wwmefanana Sana 🤔
Halafu kweli sijui pacha
Kweli
Ndio nmeingia kutafta cimment za waty wanaowafananisha nam nlikuwa najiuliza
Pia mm naona ivyo ni kama mapacha
Bnae 😂
Hyo salam ya watoto nimeipenda saana,imejaa maneno ya kizalendo saana
Jot anajua sanaaa 😂😂😂😂 Tembo yupo kwa Mbaalii...
Hongera kaka kwa kazi nzuri hakika naenjoi kweli kwli
Daaah umenikumbusha mbali kinoma
Tunaemukubali dogo Andunje🙌🙌 tujuwane
My best comedian is back Andunje 😜 man
Anduje ni me kbs enzi za Shule 😂😂😂😂😂😂
Joti ndo king of comedy
Ndo Nan joto
😂😂😂 Dah joti your the best comedian of all time
Love from kenya
Hiii ya Kumuigiza mwalim ilinikuta form 4 😔😔Teacher wa history namna ya Uongeaji wake😁😁Omba usikutwe 😂😂😂
Always you kill it😂😂😂
Hahaaa hizi zilikuwa zangu shuleni, nishawai kukamatwa namuiga Mwalimu mara kama tatu ivi, nilikimbizwa darasani na mwl mmoja adi alikuwa hoooi akaamua kuniacha🤣🤣
Khaaaa 😃😃
Naona wanafunzi wanawaza kua naona leo tumevamiwa 😀😀😀
Dah joti your the best comedian of all time
Ningekua joti nilipopewa nafasi yakuigiza ningemfata jamaa kumlamba bakora🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Andunje umeweka madaftat matakoni akibigwa asisikie uchungu
Enzi zangu tulikua tunasema kujaradia
Zilkuwa za kwangu hizo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimependa wanafunzi wameigiza vizuri..ni shule gani huwa unaenda kushoot
R.I.P maunda Zorro
Ur very talented bro.
Joti umeona shat imetoboka🤣🤣🤣
Ni nzuri japo sehemu moja tu kutahitaji marekebisho siku za baadae kwenye unyoaji
you the best all the time 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
Atakuja kutuua huyu🤣🤣🤣🤣🤣
Noma sana brother 🤣🤝🙏
Huyo ni tembo sema yupo kwa mbaaaaaaaaaaaaalii😆😆😆
Dah 😁😁😁nimekumbuka mbali sana
Aanh 😂😂😂 nakukubali joti 💥💯
Tembo yuko kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
TEMBO hapa yupo kwa mbaliiiii, afu shati limechanika kwapani... 😂😂😂😁🤓 Aisee jamaa kanikumbusha mbali sana
Mwalimu anasema biashara yake ya ubuyu hawamuungishi.atawachapa viboko
Umenikumbusha mbali Sana Kaka 😂😂😂
😂😂😂😂 bro jot umetisha sana!!
bro Joti wee n noma sana💥💥💥💣
Yaliwahi Kunikuta Hayo Ya Kumsema Mwalimu Kumbe Kafika Yupo Mlangoni Ananisikiliza 😂🤣🤣 Sitasahau
Umetisha sana broh huu ni ualisia nilioupitia shule broh
Ahahahahah joti nimependa tembea ya mwalimu
😅😅😅😅😅i love this jamaniii
Dah joti we noma sana nimejua kucheka
Ahahaha daah joti kiboko sana🤣😂🤣
Nomaaaa wa kwanza kuona
Hi from kenya
Madogo wameinjoi sana 😂
ETI TEMBO YUPO KWAMBAAALINANDIYO MAANA AUMUON VZL
Your the best Mr Nishai kutombangire Kitwango
Combination ya Kanyinyi na joti imekua nzuri sana kanyinyi anaupiga mwingi sana hongera joti kwa vumbua vipaji mkaka anajua sana kuigiza
Umenikumbusha mbaliiii,,,,yan mzee dah wew n mimi kabsa
Jamaaa anaweza sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila joti Mungu anakuona kwa mbaaaaaaaliiiiiiiii
Na biashara ya ubuyu hamniungishi🤣😂🤣
@@rukiaally8003 walimu wanategemea biashara zao zitoke kwa wanafunzi
😄😄😄🤣 Joti leo unagundu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😂Joti,Joti joti nimekuita mara tatu kaka😂😂😂😂
😂😂😂😂 nice bro I'm very happy
Tembo yupo kwa mbalii 🤣🤣🤣
Ijumaa njema 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Joti bhana kwa mbaaali
Aaah we memkwa 😂😂😂😂😂
Me nimeona shati limechanika kwapani🤣🤣🤣🥰
Kweliii
Daaaah yani haya mazingira ni yale yaleKipindi hiko niko Kizalamuyaye Shule ya Msingi.
Salute kwa madam nimekubali
Joti shkamoo huyoo Mimi uyooo😂😂😂
Hahahahaa safi sana
Huyu jamaaa apewe tu ufalme wa comedy😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂joti jamani 🙌🙌
Masomo yakikupata ukubwani balaa 🤣🤣🤣
Yaan mm naotaga nipo darasani wallah natesekaga maana hata sielewi 🤣🤣🤣
Dah uyu jamaa mungu amuweke
tofali kwenye begi😂😂
Hahahaa hahaha 😁😁😁 Jot The best
Duh huyo mwl anapga kelel
Nice broo 😊😊👍😊
Hhh Eti na usinikatie mauno mhh htr
Hahahahahah nci jaaamani hongera Sana jot
Joti hapa ulipokimbilia juu ya dawati ulikua utoke na lile Koba la mawe than uyashike mkononi ukiwa mlangoni ingetulia sana
Ukiifanya homework walimu hawashoboki usipofanya ndo wanaulizia😁😁
Joti wey nihatar kabis mbavu sangu hhhh
Tembo yupo kwa mbaliiii😂🤗😂🤗
Gud job
Joti Fala Sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
tembo yuko kwa mbaliiiii 😂 😂 😂 😂
Hizo za kumuigza mwalimu zlkuwa ndyo zangu skull 😂
Plz do girl character..it's very funny
Waigizaji wote wazuri na hawa watoto wamefanya vizuri sanna naamini watapenda kuwa wachekeshaji! Kazi nzuri sana
😄😄😄😄
Yupo sahihi joti tembo yupo kwa mbaliiii
like nyingi kwa Joti, jamaa anafanya kazi nzuri
Joti unajua tena unajua jamani 👏🙏big up to you brother
best comedian in Tanzania.. Joti we ni hatari na nusu💣💥
Tembo hapa yupo kwa mbariiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wa kwanza kukomet ila sitapata like hata moja😁😁😁😁😁
Like unakula au
Nimekupa like bana
We boys nn
Zinakusaidia nn?
@@Userog254 anakula
😂😂😂mwalimu kaniacha hoi ety biashara yangu ya ubuyu hamniungishi afu nyie ambao hamniungishi But bro joti you kill it 🤣🤣🤣
Asante kwa burudani na elimu kwambaaaaaliiiiiii.. ♥️♥️♥️♥️🇴🇲
Tembo yupo kwa Mbaali🤣🤣🤣. Shati limechanika kwenye Kwapa😂😂😂
Ni kweli tumepitia haya mambo
Umetisha Andunje😂😂😂😂😂
Joti mpo siriaz sana, kias kwamba mtu aeza asijue kam mmeact,, big up
😂😆😆 joti akiwa mwanafunzi unasahau kabisa kama atakua babu au nishai
Au da kiboga
Man from tz pamoja sana broo unaweza sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Best man alikuwa kwenye AIRTEL ndio maana hajafanya home work 😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃 jamani
😂😂😂
Hhh
Alikuwa kwa harusi yeye kama best Man
Kabisa 😅😂😂
Na shati ukachana kwapani kuleta maana zaid...😀😀 shout out big
nice one I remember my primary days ukibonga kiswahili tu bahati mbaya unavalishwa jifupa kubwa chafu
Joti🤣🤣
Comedian
Bingwa wa kuingia trending
Wangap tumeskia salaam mpya ya kumsalimia mwalim 😂 dah weng tulishazoea heshma toa shikamooo mwalimu.....alafu andunje dah 😂 kila homework hajafanya hyo sku hua sku mbaya kazin
Minshaiibia.. tarehe 19 tukifungua ndo naanza nayo darasani kwa mwanafunzi wangu.. watafurahi balaa
@@leylaiddy5815khaa
Andunje you're so funny you've made my night tonight
Hawa ndugu au vipiii mwalimu wa kiume na mwanafunzi Rafiki Yake joti wwmefanana Sana 🤔
Halafu kweli sijui pacha
Kweli
Ndio nmeingia kutafta cimment za waty wanaowafananisha nam nlikuwa najiuliza
Pia mm naona ivyo ni kama mapacha
Bnae 😂
Hyo salam ya watoto nimeipenda saana,imejaa maneno ya kizalendo saana
Jot anajua sanaaa 😂😂😂😂 Tembo yupo kwa Mbaalii...
Hongera kaka kwa kazi nzuri hakika naenjoi kweli kwli
Daaah umenikumbusha mbali kinoma
Tunaemukubali dogo Andunje🙌🙌 tujuwane
My best comedian is back Andunje 😜 man
Anduje ni me kbs enzi za Shule 😂😂😂😂😂😂
Joti ndo king of comedy
Ndo Nan joto
😂😂😂 Dah joti your the best comedian of all time
Love from kenya
Hiii ya Kumuigiza mwalim ilinikuta form 4 😔😔
Teacher wa history namna ya Uongeaji wake😁😁
Omba usikutwe 😂😂😂
Always you kill it😂😂😂
Hahaaa hizi zilikuwa zangu shuleni, nishawai kukamatwa namuiga Mwalimu mara kama tatu ivi, nilikimbizwa darasani na mwl mmoja adi alikuwa hoooi akaamua kuniacha🤣🤣
Khaaaa 😃😃
Naona wanafunzi wanawaza kua naona leo tumevamiwa 😀😀😀
Dah joti your the best comedian of all time
Ningekua joti nilipopewa nafasi yakuigiza ningemfata jamaa kumlamba bakora🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Andunje umeweka madaftat matakoni akibigwa asisikie uchungu
Enzi zangu tulikua tunasema kujaradia
Zilkuwa za kwangu hizo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimependa wanafunzi wameigiza vizuri
..ni shule gani huwa unaenda kushoot
R.I.P maunda Zorro
Ur very talented bro.
Joti umeona shat imetoboka🤣🤣🤣
Ni nzuri japo sehemu moja tu kutahitaji marekebisho siku za baadae kwenye unyoaji
you the best all the time 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
Atakuja kutuua huyu🤣🤣🤣🤣🤣
Noma sana brother 🤣🤝🙏
Huyo ni tembo sema yupo kwa mbaaaaaaaaaaaaalii😆😆😆
Dah 😁😁😁nimekumbuka mbali sana
Aanh 😂😂😂 nakukubali joti 💥💯
Tembo yuko kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
TEMBO hapa yupo kwa mbaliiiii, afu shati limechanika kwapani... 😂😂😂😁🤓 Aisee jamaa kanikumbusha mbali sana
Mwalimu anasema biashara yake ya ubuyu hawamuungishi.atawachapa viboko
Umenikumbusha mbali Sana Kaka 😂😂😂
😂😂😂😂 bro jot umetisha sana!!
bro Joti wee n noma sana💥💥💥💣
Yaliwahi Kunikuta Hayo Ya Kumsema Mwalimu Kumbe Kafika Yupo Mlangoni Ananisikiliza 😂🤣🤣 Sitasahau
Umetisha sana broh huu ni ualisia nilioupitia shule broh
Ahahahahah joti nimependa tembea ya mwalimu
😅😅😅😅😅i love this jamaniii
Dah joti we noma sana nimejua kucheka
Ahahaha daah joti kiboko sana🤣😂🤣
Nomaaaa wa kwanza kuona
Hi from kenya
Madogo wameinjoi sana 😂
ETI TEMBO YUPO KWAMBAAALI
NANDIYO MAANA AUMUON VZL
Your the best Mr Nishai kutombangire Kitwango
Combination ya Kanyinyi na joti imekua nzuri sana kanyinyi anaupiga mwingi sana hongera joti kwa vumbua vipaji mkaka anajua sana kuigiza
Umenikumbusha mbaliiii,,,,yan mzee dah wew n mimi kabsa
Jamaaa anaweza sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila joti Mungu anakuona kwa mbaaaaaaaliiiiiiiii
Na biashara ya ubuyu hamniungishi🤣😂🤣
@@rukiaally8003 walimu wanategemea biashara zao zitoke kwa wanafunzi
😄😄😄🤣 Joti leo unagundu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😂Joti,Joti joti nimekuita mara tatu kaka😂😂😂😂
😂😂😂😂 nice bro I'm very happy
Tembo yupo kwa mbalii 🤣🤣🤣
Ijumaa njema 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Joti bhana kwa mbaaali
Aaah we memkwa 😂😂😂😂😂
Me nimeona shati limechanika kwapani🤣🤣🤣🥰
Kweliii
Daaaah yani haya mazingira ni yale yale
Kipindi hiko niko Kizalamuyaye Shule ya Msingi.