- 3
- 976 779
James Justine
เข้าร่วมเมื่อ 19 มิ.ย. 2015
NGORONGORO CRATER
ngorongoro trip. enter the crater area at a distance of 610 meters from the ground level. 🦓🦌🐃🐘
safari ya ngorongoro. kuingia eneo la crater umbali wa mita 610 kutoka usawa wa ardhi
🦓🦌🐃🐘
safari ya ngorongoro. kuingia eneo la crater umbali wa mita 610 kutoka usawa wa ardhi
🦓🦌🐃🐘
มุมมอง: 735
วีดีโอ
Mlima kitonga mkoani Iringa
มุมมอง 975K4 ปีที่แล้ว
Mlima wenye historia kubwa uliopo mkoani Iringa njia inayoelekea nyanda za juu.
Kona ziko ngapi
Nataka kujua kitonga kuna kona ngapi jaman mnisaidie
Unamaanisha ilikuwa safarin
Ma legendary tuna watch 2023
Hapo mnarud dar
Duu uyo al saidy bus hafai
chama
Ndio mana kunakuwa na maajali ya kipumbavu kabisa kama huyu dereva wa basi bluu mjinga kabisa anaona kama amepakia magunia ya makumbi
Rajabu
Tuepuke mwedokasi.
Iringa hiyo
I wish one Day niende
Very hot
Kitonga moja hiyo
Jaman Tanzania kwa pendeza
Sauliii fayaaaaaa
Alsayde ni noma imemkata ile mbaya halafu ikapotea noma usipime Moto wa bas
Beautiful landscape. Uma aventura percorrer essa estrada. Saudações do Brasil.
Hiyo chuma kuikuta wapae labda wajikute wametokea ilula
Ajali zinazotokea MLIMA KITONGA Check hii!! th-cam.com/video/xYiCbM5-LRg/w-d-xo.html
kasalamba juma deleva kama huyo aajibishwe kwamjibu washeria.
madereva wasenge sana hapo full kushindana
hawa wasenge madereva wa I T
Hio basi. Noma sana
sawasawa
Dah! Mimi mkenya nakumbukuka nikienda Botswana kutoka Nairobi hadi Arusha hadi Mbeya hadi Tunduma hadi Lusaka, Zambia hadi Victoria falls hadi Gaborone. Safari ilipendeza Tanzania nchi mazingira ya kupendeza.
8:00 😂 eti ilianguka vizuri
Dah! Ktk safari MUNGU ndo Anajua jaman 🙏🙏🙏🙏
Kkk
Fanya ufanyavyo elewa uelewavyo Ila akili so nywele
Al seady amepita kama kibuli dadek
Safi saana nakumbuka home iring zone
Daah ad nimemic songea
Twende kesho
Hizo ajali zote wakati mmoja!!!!!???
Sisafiri ngoooo hamna hata kituo Cha polisi njiani? Alafu msitu wote huo kiasi majambazi wafanye kazi
Zamani majambazi walikuwa wengi.kwass kupo shwari ndugu matukio kiduchu sana.
Kaka James Justine Naomba Tufanye biashara uniachie Account !!! Nichek 0653 972890
Habari? Naomba nitafute ndugu yangu kwa 0659982764
dereva wa bus amezoea road plus Gari yake kushuka iko vzr na hizo stoppewr zake huwez mfuata huyo anakuua
Nitafute nikupe kazi mkuu namb zangv 0674709218
nimefurahi kushiriki kuona mlima maana sijawaifika uko
yaan mi nikifikaga hapo moyo unakuwa barid kama upo ndani ya freeza
Haaaa nimecheka,je ushapita kipindi mabasi yanafanya safari usiku nando barabara ilikuwa ndogo
Mi nainjoi Sana gari ikianza kupanda Kona za hiyovi
Zile hatari.nawatu kwenye basi huwa wanalala usingizi mzuri kweli
Iyovi mbaya kuliko kitonga maana iyovi madereva hawajali kabisa
Xx video
Nilishapita.nihatari
Nimlima.mkali
Jinsi nilivyoangalia nimejikuta nimo ndani yahilo gar nauoanda mlima kitonga hongera kwa picha nzur
Poor road.....ombeni raid maghufuli awapanulie barabara aweke climbing lane na guard rails Huo Mlima nishaupitia Mara nyingi nikienda kitai songea kubeba makaa
Wow
Majibu ya kula za msomi ccm
Kwahiyo Unataka Kuniambia Kwanzia Mwanzo wa Video Mpaka Mwisho ni huo mlima tuu? 🤔🤔🤔 Loooh! Nipelekeni Huko Na Mimi Nikatalii
lini nikupeleke
Yes
Fhc