SHK.MSELEM SHUHUDIYA QISA CHA NG'OMBE HUYU CHENYE KUFURU KUBWA|NJIYA ALIYO ITUMIA ALLAH KUTATUA HIL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2021
  • #Adiltv #ShkSuleimanBinAbbas #DarsaLaShekhShahran #SheikhMselemBinAly

ความคิดเห็น • 30

  • @issandayisaba1576
    @issandayisaba1576 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe mwisho mwema Sheikh wetu kwafaida unazo tupatiya

  • @hamadmakema9160
    @hamadmakema9160 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah ampe umri mrefu sh msellem atupe vitu vzr

  • @omarkanout8684
    @omarkanout8684 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha allah sheikh msellem mungu akupe umri mrefu wenye manufaa makubwa katika uislam wetu na waislamu wote kwa jumla

  • @zakiamohammed9574
    @zakiamohammed9574 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @salumabdalla4759
    @salumabdalla4759 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante fundi wa tafsir ya qur'an

  • @chinchon5984
    @chinchon5984 2 ปีที่แล้ว +3

    Ma Shaa Allah

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah rabil alaamin

  • @kibwekibwe6478
    @kibwekibwe6478 2 ปีที่แล้ว +3

    Rispect msellem master ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa-Allah Mashaa-Allah

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +3

    SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazaaaq LLAH kheir Shekh wangu

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 2 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءالله

  • @yusuphkombo8423
    @yusuphkombo8423 2 ปีที่แล้ว +1

    Aslam alaykum sheikh kisahiki hakiusian maule kitana alie mua nduguye

  • @abdallamasoud7734
    @abdallamasoud7734 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah ya sheikh mselem

  • @yusuphkombo8423
    @yusuphkombo8423 2 ปีที่แล้ว +1

    Aslam alaykum sheikh mungu akupe umri

  • @yunisahmed9979
    @yunisahmed9979 3 หลายเดือนก่อน

    Twakufuata kutoka mji wa wajir ,kaskazini mashariki ,kenya

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 ปีที่แล้ว +2

    Ĺeo nimesikia sauti ya sheikh hapa You Tube anamkosoa na kumponda Sheikh Msellem Ally. Nimesikitika sana. Kumezuka tabia ya masheikh kuwadhalilisha masheikh wengine hapa You Tube. Ameweka audio tu,anaogopa kuweka sura yake.

    • @AdilTvOnline
      @AdilTvOnline  2 ปีที่แล้ว +1

      Allah atuongoze kwenye njiya iliyo nyooka Inshaallah

    • @ummuhassan1089
      @ummuhassan1089 2 ปีที่แล้ว

      Niandike nami nimsikie

    • @ummuhassan1089
      @ummuhassan1089 2 ปีที่แล้ว +1

      Niandekeje

    • @talibmuhsin5221
      @talibmuhsin5221 2 ปีที่แล้ว

      Hao ni wasio jielewa wafitinoshaji tu na wasengenyaj wanataka wafatwe wao kwenye kupotosha ila tunawambia waje wasome kwa sheikh wetu mselem bin Ali wasikae wakiropokwa tu

    • @subiraomary7000
      @subiraomary7000 2 ปีที่แล้ว

      Anaogopa nini kuweka sura Kama yupo sahihi?
      Ndio hao vibaraka wanaopenda kuleta magomvi na farka katika uislam

  • @captioncapition2574
    @captioncapition2574 2 ปีที่แล้ว

    Haya matangazo na mawaidha yana maana gani? Yanakera

    • @kinyutatonha8831
      @kinyutatonha8831 2 ปีที่แล้ว

      kwani wewe kuingia you tube unamaana gani jibu swali nitakupa maana na ya mawaidha mpumbavu

    • @humanitydensity8974
      @humanitydensity8974 2 ปีที่แล้ว

      Asiye jua maana haambiwi maana...kwani wewe uko hapa duniani kwa maana gani!?

    • @fakisuleiman8038
      @fakisuleiman8038 2 ปีที่แล้ว

      Katika watu wajinga niwale wenyekuchukia mawaidha na yoyote atakaechukia huyo hasara iko kwake

    • @fakisuleiman8038
      @fakisuleiman8038 2 ปีที่แล้ว

      Halaf tuweni naadabu katika hidunia ukichukia mawaidha hunadabu ww wataka upew adabu sawa ww

    • @phelisiawakio9246
      @phelisiawakio9246 ปีที่แล้ว

      Have respect Mimi ni mkristo lakini haya mawaidha waweza kujipata umebadilsha dini... Fanya kazi ya mungu umalize vizuri dunian ..mungu akubariki.