Hizo ni itikadi za kiibadhi kumkufurisha mtu aliyetenda dhambi kubwa lisilokuwa la ushirikina wala ukafiri Yaani mtu ikiwa atakufa kwenye wizi sio muislam hiyo tafsiri umeitoa wapi huo ni upotevu wa kiibadhi upo kinyume na mwenendo wa mtume swallallahu alaihi wasallamu na maswahaba nikweli hayo mambo matatu ni katika madhambi makubwa lkn hayamtoi mtu katika uislamu acha kupotosha ummah tusiwatishe watu kwa maneno ya uwongo
Kaka..iwapo mtu ama sheikh ametoa maneno yasio ambatana na Hadith Wala Aya... Dini yetu ni ya dalili na ushahid na ww usije ukapinga bila dalili nyote mtakuwa hajaelimisha .....Toa Aya ama Hadith hata yy mwenywe akikufuatialia kama ni muelimishaji atafuti mashabiki bas atakubaliana na ww. Lkn uku uliko fanya ww kunaitwa kufoka. Samahan kaka kw kukuingilia kwnye comment yko
Jazaakallah Khairan Sheikh Mselem!
Allah akuhifadhi Duniani na Akhera.
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi Allah swt akujaalie maisha marefu yenye amani na akupe mwisho mwema akujaalie pepo ya jantul firdhaus aalyah
Mashaallah mwenyezimungu akupe wepesi katika kuitangaza dini ya Allah (s.w)
Ilmu yako ni Pana sheikh Mashaa Allahu
Maasha Allah, Mwenyezi Mungu akuzishie umri, uzidi kutufunza
Mashallah sheikh may Allah bless you more 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Baraķah allahu fiqum,allah ti proteger qualquer maldade.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤I LOVE MY PROFETA MUHAMMAD S,W,S❤❤❤❤❤❤
Ma sha Allah!
Allah akujaalie sheikh mselem
Fanya shekhe Mselem uje Tena Pemba ufanye ziara za vijijini tumefurah ulipokuja
Meu sheikh você fala verdades allah ti proteger, king-king al-jabbar ❤
Asalamu aleikm mashlla mola akliphr ❤❤❤
Shekhe fanya uje bara tunafuatiria mawaiza yako.
Allah akuhifadhi
Mmmmh
Abuu we hukujaliwa wala sikupondi ila haya mawaidha hata kama yange semwa na mkiristo mi nimefurahi sana na haya mawaidha. Mininawasiwasi na wewe tu
inavyo kuonesha wewe huu ujumbe unaweza ukawa unakuhusu tulia dawa ikuingie 😅😅😅
Hizo ni itikadi za kiibadhi kumkufurisha mtu aliyetenda dhambi kubwa lisilokuwa la ushirikina wala ukafiri
Yaani mtu ikiwa atakufa kwenye wizi sio muislam hiyo tafsiri umeitoa wapi huo ni upotevu wa kiibadhi upo kinyume na mwenendo wa mtume swallallahu alaihi wasallamu na maswahaba nikweli hayo mambo matatu ni katika madhambi makubwa lkn hayamtoi mtu katika uislamu acha kupotosha ummah tusiwatishe watu kwa maneno ya uwongo
ww umesoma kuliko huyo shekh mselem acha ujinga ucbishane nawatu naelmu walio isomae utapataje nguvu yakumkosow shekh mselem ACHA ujinga ww ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU
Mtu kakusomea Mpaka hadithi ila bado unajibu shiti ivi jamani tunaelekea wapi sisi waislam?
Kaka..iwapo mtu ama sheikh ametoa maneno yasio ambatana na Hadith Wala Aya...
Dini yetu ni ya dalili na ushahid na ww usije ukapinga bila dalili nyote mtakuwa hajaelimisha .....Toa Aya ama Hadith hata yy mwenywe akikufuatialia kama ni muelimishaji atafuti mashabiki bas atakubaliana na ww.
Lkn uku uliko fanya ww kunaitwa kufoka.
Samahan kaka kw kukuingilia kwnye comment yko
@@user-to1it9hk2z mbona katoa hadithi
wewe limekuchoma ilo