Ukisoma Matayo 1:18-25 Inazungumza vile malaika alimtokea Mariam na kumwambia kwamba atazaa mtoto wa kiume ambaye atamwita Yesu. Malaika anazidi kusema kuwa tukio hili litatimiza yaliyonenwa na nabii(Isaya) Kuwa Bikira atachukua mimba na atamzaa mtoto ambaye atamwita Immanueli. Kwa hivyo Yesu ndiye Immanueli. Mariam alikuwa bikira alipomzaa Mwokozi Yesu. Pia Yesu anapozaliwa hatuoni Mariam akimpa Jina bali babake Yusufu ndiye alimpa Jina. Kwa hivyo Yesu ndiye Immanueli. Hawa hawana hoja kamwe.
Yesu alitabiriwa na nabii Isaya: Isaya 7:14 "..uvumulivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumulivu wa Mungu wangu pia? 14 Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana na ataitwa Imanueli(Maana yake Mungu pamoja nasi) Matayo 1:22 22 Haya yote yametukia ili kutimiza lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema: 23 “Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita jina lake Imanueli,’’ maana yake, “Mungu pamoja nasi.’
Asante sana da samira.Kumbe wanawajua wanaouwa ovyo ovyo ni wasomali waliowaislam na Alieuwa sheikh Rogo,Makaburi na wengineo ktk mji wa Mombasa ni akina nani kama si wakristo?
Hakuna mtu aliesmama na kukosoa dini...anayongea sheikh mazinge ndio ukweli mtupu ..mungu akusaidie wewe uone njia ya haki uifate ili uepukane na moto.
We kwanza kasome kiswahili.Wasomali kuwauwa hao wakristo alowatuma nani waende Somalia?Tena mm ni Msomali na nakushangaa sana nyinyi kwenda kuuwa Wasomali tena kwenye nchi yao haiwaumi ila kuchingwa viaskari vyenu inauma tena tutawamaliza mpaka mtoke nchini kwetu.Vibaraka wakubwa.Ndio waislamu tunajiheshimu na kumwogopa sana Mungu ila usiingie anga zetu ama kwa kukejeli dini,Na hii video imewaumbua sana kwani biblia yenu wenyewe inawamaliza, mnao beba vitabu na kilichoandikwa ndani hujui.
Mazinge Unakazi Kubwa Sana. Mwenyezi Mungu Akulipe Kila LA Kheri.
Wakristo Mumshukuru Sana Mazinge Kwani Mambo MENGI Sana Mumefichwa Na Wachungaji Wenu.
Wakristo Mazinge Amewafikishieni Ujumbe Bila Ghalama Yoyote, Mtakapoenda Motoni Msimlaumu MTU Bali Nafsi Zenu.
waislamu hatuna shida yoyote sasa kusema tuko wabaya apana kwa jifunze na kisha usilimu ndio faida kwako
Mazinge Mungu akuzidishie kheir inshaAllah
Ukisoma Matayo 1:18-25 Inazungumza vile malaika alimtokea Mariam na kumwambia kwamba atazaa mtoto wa kiume ambaye atamwita Yesu. Malaika anazidi kusema kuwa tukio hili litatimiza yaliyonenwa na nabii(Isaya) Kuwa Bikira atachukua mimba na atamzaa mtoto ambaye atamwita Immanueli. Kwa hivyo Yesu ndiye Immanueli. Mariam alikuwa bikira alipomzaa Mwokozi Yesu. Pia Yesu anapozaliwa hatuoni Mariam akimpa Jina bali babake Yusufu ndiye alimpa Jina. Kwa hivyo Yesu ndiye Immanueli. Hawa hawana hoja kamwe.
Omba siku nisikutane na wewe nitakufunulia yote mpaka mambo yako mwenyewe
yohana 16-7 hd 14 yesu anatabiri ujio wa mtume Muhammad.
Yesu alitabiriwa na nabii Isaya:
Isaya 7:14
"..uvumulivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu
uvumulivu wa Mungu wangu pia?
14
Kwa hiyo
Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira
atachukua mimba, naye atamzaa mwana na
ataitwa Imanueli(Maana yake Mungu pamoja nasi)
Matayo 1:22
22
Haya yote yametukia ili kutimiza lile
Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii,
akisema:
23
“Tazama, bikira atachukua mimba,
naye atamzaa mwana, nao watamwita jina lake
Imanueli,’’ maana yake, “Mungu pamoja nasi.’
Lesamis hahahaha mungu anatabiriwa?
Jaman hivi nyie wakristo wengine sio waelewa
Kwaiyo ao wanaomtabiri mungu tuwaite nan
Wakristo hamn point za kuutetea ukristo kitabu chenu wenyenu kinakuumbuweni
Hawa km wameisoma km gazeti hawajui umuhimu wao
bora uzakiwe kipofu wa macho kuliko kuzaliwa kipofu wa moyo kama mwakiristo. yaani ni vipofu kushinda maelezo
purity kateiko
Anachanganyikiwa mapema kijana mfundisheni.ataslimu huyo Insha Allah
Hana jibu MASHA ALLAH mazinge barak Allah
keep it up al habib mazinge
Huyu jamaa anachukuaga watu wasioweza kujua kweli kiufunuo alafu anafanya anaelewa
Hahaha 😂 wait until youre the one on that sit 🪑 😂 you'll know
Asante sana da samira.Kumbe wanawajua wanaouwa ovyo ovyo ni wasomali waliowaislam na Alieuwa sheikh Rogo,Makaburi na wengineo ktk mji wa Mombasa ni akina nani kama si wakristo?
who are they even to to preatend they know how God works!!!! ???
maana ya uislam ni nuru inayoangaza gizani . ISLAM
this is craiziness, how can you stand to critisize religion, God help us all.
Hakuna mtu aliesmama na kukosoa dini...anayongea sheikh mazinge ndio ukweli mtupu ..mungu akusaidie wewe uone njia ya haki uifate ili uepukane na moto.
We kwanza kasome kiswahili.Wasomali kuwauwa hao wakristo alowatuma nani waende Somalia?Tena mm ni Msomali na nakushangaa sana nyinyi kwenda kuuwa Wasomali tena kwenye nchi yao haiwaumi ila kuchingwa viaskari vyenu inauma tena tutawamaliza mpaka mtoke nchini kwetu.Vibaraka wakubwa.Ndio waislamu tunajiheshimu na kumwogopa sana Mungu ila usiingie anga zetu ama kwa kukejeli dini,Na hii video imewaumbua sana kwani biblia yenu wenyewe inawamaliza, mnao beba vitabu na kilichoandikwa ndani hujui.
Comedian
You
sick is what this is!!! Worship God and stop critisizing what other people believe to be the truth, God in his Grace will help us all!!!!