Verse 1 Nafurahia mateso yangu (I rejoice in my tribulations) Nafurahia mateso yangu (I rejoice in my tribulations) Uchapoharibika mwili huu (When this body decays) (Ni)tapata mwingine kwa Baba (I will get another one from the Father) Uchapoharibika mwili huu (When this body decays) (Ni)tapata mwingine kwa Baba (I will get another one from the Father) Chorus Nakaza mwendo nifike Mbinguni (I am focusing my race so I arrive in Heaven) Nayakabidhi maisha kwa Bwana (I am entrusting my life to the Lord) Nikauone usoni wa Bwana (so I will see the face of the Lord) Taabu na matatizo (Trouble and problems) Hakuna (there will be none) Kiu wala njaa (thirst nor hunger) Hakuna kabisa (there will be none whatsoever) Verse 2 Lakini mji ule taa yake [ni mwana wa kondoo] (But this city, its light is the Lamb) Milele mji ule hauhitaji [jua wala mwezi] (Forever this city will not need sun nor moon) x2 Najua kwisha kwangu ni Kristo (I know the end of my life is Christ) Kufa ni faida (death is gain) Chorus Verse 3 Lakini waongo na wazinzi (But liars and adulterers) Hawataingia (They will not enter) Wala waabudu sanamu (Nor idol worshipers) Hawataingia (They will not enter) x2 Najua kwisha kwangu ni Kristo (I know the end of my life is Christ) Kufa ni faida (death is gain)
Thank you very much for the translation of the lyrics to this exceptional song by Rose. She is unique in both her steadfast devotion and unique talent.
Mungu akubariki sana rose muhando yani nakupenda sana mpaka natamani siku nikikutana na ww nikupe tuzo kwa kazi kubwa iliyotukuka uloifanya hapa Tanzania na africa mashariki. Heshima yako kwa dhati ya moyo wangu
Hapa 2022 kanabambisha mbaya.. remembering those times we used to hear from radio once a day unaachwa na kiu but now you get to reply over and over for yourself
who else leasening to this song, it gives me motivation and courage n I hope that my life will be better in future as I trusting in God I really to leasen the songs of rose muhando you're such viber blessed woman 👩 ❤
This song is Spirit-filled! Nakaza mwendo nifike Mbinguni (I am focusing my race so I arrive in Heaven) RELATED TO THIS WORD! Philippians Ch 3 v 13-14. "Brethren, I do not count myself to have apprehended; but one thing I do, forgetting those things which are behind and reaching forward to those things which are ahead, 14 I press toward the goal for the prize of the upward call of God in Christ Jesus." Nakaza Mwendo translates to I am putting strength in my journey or race.
Mungu tujalie sana kipindi wimbi hili la Corona wewe kwako hakuna linalo shindikana wewe mungu unatujua zaidi sisi tujalie tukaze mwendo mpaka mwaka 2080🤗🤲🤲🤲
Wateule wa mungu tukaze mwendo ili tufike mbinguni ijapo kua tunapita katika jangwa zito ukitazama mbele ni mbali ukitazama nyuma ni mbali jitie nguvu umtazame yesu kisha usonge mbele na mungu wa mbingu na nchi atakusaidia barikiwa sana mtu wa mungu.
Nakupenda sanaaa Dada Rose Muhando pambana yawalimwengu ndivyo yalivyo usikate tamaa hiyonihuduma uliyopewa na Mungu tangu tumboni mwa mama yako barikiwa sanaaaaa Amen
Rose rose wherever u r....in watever situation u r...may our almighty God bless u in Jesus name....u did a great task 10 years ago n till to this date i feel close to God wen i hear ur songs from this album....May God be wit u.
Dada Rose pole sana na uliopitia jusijusi na amani kama iyo majaribio nilikua mwezi mungu atajitairisa wewe kwenye mufanyikio mzuri na mzito ambao yuko mbeleni ubariki sana dada wangu tutakutana mwisho za mwezi Migori Kenya🙏🏿🙏🏿
Kwa kweli wakati huo, ni Yesu-Kristo mwenyewe alie shuka, ili atuletee ujumbe kuu kutoka roho yake, ujumbe wa mapenzi ya Mungu... Mama huyo ROSE MUHANDO, abarikiwe, kwakuwa alikubali Roho wa Mungu amtumie kama chombo hai cha mbingu duniani... Tu muombea mwisho wake uwe nzuri pia mbele za Yesu ! Alphonse MPIBWE, MISSION KABOD Ministries
Eeh rose kweli my old crush and favourite I used to dance to this with my nephew while tunasubiria safari kwenda Uhollanzi 2007 Dah 😂😂😂😂 who’s here 2020 witu me haki I feel like crying 😢
Verse 3 Lakini huwaokoi wazinzi (But you won't save the adulterers) Hawataingia (They will not enter) Wala waabudu sanamu (Nor idol worshipers) Hawataingia (They will not enter) x2 Nakaza mwendo nifike Mbinguni (I am focusing my race so I arrive in Heaven) Nakabidhi maisha kwa Bwana (I am entrusting my life to the Lord) Nikauone usoni wa Bwana (so I will see the face of the Lord) x2 Taabu na matatizo (Trouble and problems) Hakuna (there will be none) Kiu wala njaa (Thirst nor hunger) Hakuna kabisa (None at all) x2
Nikienda mochari kuuleta mwili wa mamangu kumzika 2005 ndio nliusikia wimbo huu mara ya kwanza kwa gari, nlilia sanaa lakini nlijipa moyo maana mamangu alikufa akiwa ndani mwa yes christo. Nakupenda sanaaa mama rose unazidi kututia moyo mayatima kwa wajane
Struggles, calamities, distresses are not going to pull me back .....amen Rose may God exalt you again that you may be a moon to some of us and shine in our dark hours Thanks so much
I met rose muhando back in 2004 at Uhuru park here in Nairobi, she sung nipe uvumilivu every body cried after listening to her testimony, my sister remain blessed forever
Verse 1
Nafurahia mateso yangu (I rejoice in my tribulations)
Nafurahia mateso yangu (I rejoice in my tribulations)
Uchapoharibika mwili huu (When this body decays)
(Ni)tapata mwingine kwa Baba (I will get another one from the Father)
Uchapoharibika mwili huu (When this body decays)
(Ni)tapata mwingine kwa Baba (I will get another one from the Father)
Chorus
Nakaza mwendo nifike Mbinguni (I am focusing my race so I arrive in Heaven)
Nayakabidhi maisha kwa Bwana (I am entrusting my life to the Lord)
Nikauone usoni wa Bwana (so I will see the face of the Lord)
Taabu na matatizo (Trouble and problems)
Hakuna (there will be none)
Kiu wala njaa (thirst nor hunger)
Hakuna kabisa (there will be none whatsoever)
Verse 2
Lakini mji ule taa yake [ni mwana wa kondoo] (But this city, its light is the Lamb)
Milele mji ule hauhitaji [jua wala mwezi] (Forever this city will not need sun nor moon) x2
Najua kwisha kwangu ni Kristo (I know the end of my life is Christ)
Kufa ni faida (death is gain)
Chorus
Verse 3
Lakini waongo na wazinzi (But liars and adulterers)
Hawataingia (They will not enter)
Wala waabudu sanamu (Nor idol worshipers)
Hawataingia (They will not enter) x2
Najua kwisha kwangu ni Kristo (I know the end of my life is Christ)
Kufa ni faida (death is gain)
mrfamakinwa thanks for translating for some of us who don’t understand the lyrics
,,,,,,,,,
No n.v bbb
Thank you very much for the translation of the lyrics to this exceptional song by Rose. She is unique in both her steadfast devotion and unique talent.
God bless you
2025 mimi ndo wakwanza kuangalia hii song, barikiwen sana na Mungu atujalia kila jema, Barikiwa Rose
2024 bado nakaza mwendo Kwa baba at 20's... who's with me this year🫡
Amen
Tukaze mwendo
Nani ako hapa 2024...her voice is so nostalgic
In 2024 yet the song is such an encouragement, it speaks to me directly. More grace Rose for remaining relevant and vibrant
2024 still we are playing the song , it is still fresh
2020 bado nakaza mwendo kwa baba....nani tuna kaza pamoja haha🙌
Kabxaaa tunakaza mwendo
Nko hapa....bado nakaza mwendo
Niko hapa
tupo
Kwel nakaz mwend
2024 tunaochek hii nyimbo piga like
Still fresh love the song
tupo pamoja
2024 tuko
Tupo
Nimo mmoja wao napenda huu wimbo sana
wimbo mtamu sauti nzuri kama unasikiza 2020
gonga like twende sote
good
2023 still my favorite ❤️ this woman was anointed by God Himself, no matter what she is facing she'll never cease to praise God 🙏
Hallelujah 🙌 and Amen 🙏, the song is so beautiful
Praise to God 🙏,I see eye to eye with you 🎉
Sasa, Alienda wapi?
Her first songs were deep in the word,her current ones have turned out to be personal with secularized beats..i miss the original annoiinting she had
Aliimba Zaburi iliyobariki watu wengine
Gonga like hapa kama unakaza mwendo 2020
Love 💕 ya kwanza ya ligi kuu Tanzania kanda maalum ya harambee ya ujenzi wa daraja la pili ni ile ya mwaka mpya kwa ajili yake na ya pili
Mungu akubariki sana rose muhando yani nakupenda sana mpaka natamani siku nikikutana na ww nikupe tuzo kwa kazi kubwa iliyotukuka uloifanya hapa Tanzania na africa mashariki. Heshima yako kwa dhati ya moyo wangu
Nani mwingine ako hapa 2021 kama Mimi❤️❤️🔥🔥
Huu wimbo unanibariki sana sana. Na nikiusikiliza napata nguvu upya. Dada Rose kaza mwendo sahau yaliyo pita, songs mbele
15/7/2021
Twende pamoja
Kabisa 2021
Mimi
Tell me why I woke up at 2am to listen to this song ❤??
End of the year 2024🎉🎉 gonga like wapendwa❤
Huyu ndiyo rose bhana, ubarikiwe. Nakaza mwendo....
End of 2024 tukaze 2025 hakuna noma tutakuwa wazima kwa neema za bwana we will make by God's grace 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Those who are watching 2022...still a hit.😂 me and my cousin used to compete dancing and singing while young back then 2005$6😄😄
Hapa 2022 kanabambisha mbaya.. remembering those times we used to hear from radio once a day unaachwa na kiu but now you get to reply over and over for yourself
2023❤
2023🎉🎉🎉🎉still a big hit💥💥💥💥💫💫🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎊🎊🎊🎊🎊
@@goodwillgraphicsandmarketi1747you've said it, it's true to me
I hear you😂😂😂
Pale high school bus Moi Kaps❤❤❤
Nakuombea Dada rose Mungu akulejeshee upako wa mwanzo kama nyimbo hizi za miaka 16 iliyopita, Bwana akuinue tena na tena.
Those who r still listening this ata2020 hit alike
Tupo wengi
Even right now am stil listening to this sweet song
Even 2022 am still listening
No matter what people may say about MUHANDO, I really like her songs and I feel blessed ...still watching from Kenya..
Tuko kimoja 🤝
@@jevithamwenda3567 nami pia nampenda kbs
Still hitting like it's just being launched
Ni mtumishi wa Mungu 🙏🙏🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍🙏
Najua kuishi kwangu ni Kristo na kufa ni faida. Kama si Mungu ningeshakufa🙌...2023 still watching
Asante sana kwa wimbo hu,Kwani unanijaza kiroho asante dada yangu.,
Used to listen to this banger while I was in primary school class 4
Now I'm 24
Much love to our tanzanian brothers from Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Agemates
❤❤wow my agemate
My agemate@@terrywatahi1203
Amebarikiwa na mungu huyu dada Hua nasikiliza hu wimbo naona uwepo wa bwana mungu.
Bado naudumiwa na wimbo in 2023. Yupo mwengine? Gonga like yako...
Wapi like za rose muhando
2021 na milele nakaza mwendo na nitaendelea maisha yangu yote kwa jina la yesu Christo aniwezeshae na tuseme amina
Amen!
Nakaza mwendo nayakabidhi maisha yangu kwa bwana nifike mbinguni salama
Bwana akubariki natena akusaidiye maishani mwako!!!!!!!!!!!
Bado ni nzuri sana nyimbo hii haijawichuja ❤
Wangapi wanao sikiliza wimbo huu katika huu wa corona??? Hebu like hapo😍😍😍
🙌
Mm hapa
This lady Rose is a Hero..
Who is here with me 2020
🙌
In this situation of Corona....bado nakaza mwendo,who is with me.
Me nakasa mwendo
Rabacasher,lashen syder oh glory
Walitisha San dereva kapero rose anaga kazi mbaya Kaz juu ya kaz
Who was still watching this 2020 jameni me bado na kaza mwendo 🏃♀️🏃♀️
Still yet watching 2021
Her old song still bless me till now
Songs inspiring spiritually and nourishing spiritually. May the Almighty God be glorified Amen
Gonga like kama unasikiliza huu wimbo 2019....
Sweet
Nice song
Christmas 2019
Nyimbo nzur sn, mtumishi huyu Mungu akukumbuke
Ahsante mama. Umenibariki kwa wimbo huu baada ya myaka miki kuzinduliwa
Who's still watching with me 2019?
TUPO TUUUUPOOOO
i am...may the Lord remember her daughter
MercieMike wanyonyi
Ben mbatha
@@munywokiemmanuelphotograph100 amen amen. Was just doing the same wish as listening to her songs 😭
This song is such an encouragement to all those who are about to give up, all we do is because of our Father and Lord in heaven,. Hallelujah 🙌
I thank God for using this song to minister to me today 5tg October 2022. I pray for more grace so my faith fails not, in Jesus Christ name. Amen.
I tell you.this is the sweetness of gospel.
No other woman will ever sing like Rose Muhando in Africa
Only Angela chibalonza could Rival her
Haki nakaza mwendo hata Mimi.barikiwa Sana Dada naburudika hapa
who else leasening to this song, it gives me motivation and courage n I hope that my life will be better in future as I trusting in God I really to leasen the songs of rose muhando you're such viber blessed woman 👩 ❤
Kiu wala njaa hakuna kabisa yesu niongoze nifike juu mbingun
2023 still listening the gospel raised me in my Sunday school am so greatfull to be here kiss my comment whenever you read it ❤❤❤❤❤❤❤
Amen nakaza mwendo nikauone wema wa Bwana
Rose Muhando mwimbaji Bora wa muda wote 🇹🇿🇹🇿😁
This song is Spirit-filled! Nakaza mwendo nifike Mbinguni (I am focusing my race so I arrive in Heaven)
RELATED TO THIS WORD! Philippians Ch 3 v 13-14. "Brethren, I do not count myself to have apprehended; but one thing I do, forgetting those things which are behind and reaching forward to those things which are ahead, 14 I press toward the goal for the prize of the upward call of God in Christ Jesus." Nakaza Mwendo translates to I am putting strength in my journey or race.
ema abdi amen blessed
God bless
Thank you 🙏
najua kuishi kwangu ni Kristo kufa ni faida (nakaza mwendo)
No body can replace your talent
I agree with you
Rose you're maverours in your songs ever. No one is like you, from quatar via Kenya be blessed
Super natural woman,we Love you Rose
Elvin Osebe Ratemo she's the best after the late Anjela and bahati bukuku
Ameeen
May it never get old ❤❤❤
2020 turn this 👍 blue
Mungu akubariki dada na wibo wu
Nani mwengine ako hapa 2023,,, this songs has a great vibes
Mungu tujalie sana kipindi wimbi hili la Corona wewe kwako hakuna linalo shindikana wewe mungu unatujua zaidi sisi tujalie tukaze mwendo mpaka mwaka 2080🤗🤲🤲🤲
Nakaza mwendo huku Saudi soon narudi Kenya my mamaland
Hope ulirudi Kenya🤣🤣🤣
Wateule wa mungu tukaze mwendo ili tufike mbinguni ijapo kua tunapita katika jangwa zito ukitazama mbele ni mbali ukitazama nyuma ni mbali jitie nguvu umtazame yesu kisha usonge mbele na mungu wa mbingu na nchi atakusaidia barikiwa sana mtu wa mungu.
Dhv
2020 tunakaza mwendo tufike kwa baba mungu nipe like kama tunaenda wote
Love you so much Rose MUhando and your team and all songs
Before she met a criminal who misused her career n turned her into something else bt mungu nae hanyamazi wateule wakinyanyaswa
Bado nakumbuka kazi nzur za dada Rose na nabarikiwa pia 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
How can a person dislike a such huge song like this,, hatred is really 🤔🤔 and not all of us will see the kingdom of heaven 👌🏾
Some people hit that button unknowingly, remember not all people who hadle this phones are educated
The message remains the same since 2000
This lady is among the best female gospel artist in East and Central Africa
Yesu nakupenda, haaaa rose halaa njoo mama, bado twakumbuka, nyimbo zinanguvu sana, nayakabidhi maisha kwa bwana,, acha Mungu aendelee kukutunza
This lifted me up when I lost my brother in 2005. RIP bro. Gone, missed but never forgotten.
may he continue resting in peace
Nakupenda sanaaa Dada Rose Muhando pambana yawalimwengu ndivyo yalivyo usikate tamaa hiyonihuduma uliyopewa na Mungu tangu tumboni mwa mama yako barikiwa sanaaaaa Amen
2020 mwendo naukaza kabisa..my best ever female gospel artist...much love
Hakika nabarikiwa ninapo sikiza nyimbo za huyu muimbaji wa Mungu.......barikiwa Sana dadangu
Rose rose wherever u r....in watever situation u r...may our almighty God bless u in Jesus name....u did a great task 10 years ago n till to this date i feel close to God wen i hear ur songs from this album....May God be wit u.
AMEN
@@thatayangomaakamzaliwakime452 Amen sister....she will be well in Jesus name
ns joe right
Dada Rose pole sana na uliopitia jusijusi na amani kama iyo majaribio nilikua mwezi mungu atajitairisa wewe kwenye mufanyikio mzuri na mzito ambao yuko mbeleni ubariki sana dada wangu tutakutana mwisho za mwezi Migori Kenya🙏🏿🙏🏿
Exactly
Kwa kweli wakati huo, ni Yesu-Kristo mwenyewe alie shuka, ili atuletee ujumbe kuu kutoka roho yake, ujumbe wa mapenzi ya Mungu... Mama huyo ROSE MUHANDO, abarikiwe, kwakuwa alikubali Roho wa Mungu amtumie kama chombo hai cha mbingu duniani... Tu muombea mwisho wake uwe nzuri pia mbele za Yesu ! Alphonse MPIBWE, MISSION KABOD Ministries
Nani 2019anakaza mwendo
Mimi nakaza mwendo 2019
I love gospel music it encourage me spiritually.
Bado nakaza mwendo ingawaje sijabarikiwa but still on my way to heven
Hakika neno la Mungu haliendi bure. Hizi nyimbo mpaka leo zinaonekana mpya. Ubarikiwe Rose!
Lovely I feel like shedding tears oh much love to you Rose
Listening it from Gulf ,,,nakaza mwendo kabisaa be blessed ,,,, nafurahia teso langu
Eeh rose kweli my old crush and favourite I used to dance to this with my nephew while tunasubiria safari kwenda Uhollanzi 2007
Dah 😂😂😂😂 who’s here 2020 witu me haki I feel like crying 😢
Umetoka mbali sana mungu azidi kukupa nguvu
Verse 3
Lakini huwaokoi wazinzi (But you won't save the adulterers)
Hawataingia (They will not enter)
Wala waabudu sanamu (Nor idol worshipers)
Hawataingia (They will not enter) x2
Nakaza mwendo nifike Mbinguni (I am focusing my race so I arrive in Heaven)
Nakabidhi maisha kwa Bwana (I am entrusting my life to the Lord)
Nikauone usoni wa Bwana (so I will see the face of the Lord) x2
Taabu na matatizo (Trouble and problems)
Hakuna (there will be none)
Kiu wala njaa (Thirst nor hunger)
Hakuna kabisa (None at all) x2
Nikienda mochari kuuleta mwili wa mamangu kumzika 2005 ndio nliusikia wimbo huu mara ya kwanza kwa gari, nlilia sanaa lakini nlijipa moyo maana mamangu alikufa akiwa ndani mwa yes christo. Nakupenda sanaaa mama rose unazidi kututia moyo mayatima kwa wajane
Life history of this woman makes me cry,she is gifted
2005 I remember my brother bought the cassette we would play the whole night and. Dance alot
2021 i hope you'll include pale kempisik villa rose, kenya nairobi
Tuko uku 💪💪
Rose alikuwa bado binti kabisa jamani watu Mungu anawatoa mbali sana nyimbo full upako Mungu akukumbuke
Niko hapa 2019 nazidi kukaza mwendo nimalize mwendo salama
This gives me memories, I heard this song first on our way to my mums burial. Whenever I listen to it I remember my mum RIP ❤️
I cant get enough of this song
looking forward to heaven. Ujapo haribika mwili huu, tapata mwingine kwa baba
I've been led here after listening to preaching from pastor Tony Kapola. Indeed this song is a blessing 🇰🇪
Struggles, calamities, distresses are not going to pull me back .....amen Rose may God exalt you again that you may be a moon to some of us and shine in our dark hours
Thanks so much
Still fresh mpaka sasa what a powerful song 🎵 👏 🙌 👌
Ijapo haribika mwili huu,nitapata mwingine kwa baba mungu.Mungu akupe afue ya haraka Rose
I met rose muhando back in 2004 at Uhuru park here in Nairobi, she sung nipe uvumilivu every body cried after listening to her testimony, my sister remain blessed forever
Yeah I cried too...BLESSED
Lakini waongo na wanzinzi hawataingiaaa Kama umemuelewa gonga like apa 2019
Hii Albam ilibamba Sana ata Ukisikiliza Haiboi inabariki sio Kama sasaiv n ya vijembe na kusatana Utafikiri Taarabu
2023and I'm on cloud nine 💃💃💃💃💃💃💪 safi sana Malkia wetu wa nyimbo za injili 🇹🇿 na Afrika Kwa ujumla 💃🌹🌹
Nifarijikaga sana zikipigwa nyimbo za rozi zazamani
13 year's after now am 20s still listening to this I will always be your fan until I die,
Ubarikiwe mama🌹💪🤝
@@charlinewalekoy8544 i was 12 years bado unanibariki until today barikiwa pia
Utakapo haribika mwili huu nitapata mwingine kwababa asante kipenzi Rose napenda sana hiinyimbo💞🙏🙏
rose utazidi kubamba milele nakupenda san rose
Still ministering to my soul so powerfully❤❤❤2024