ALIYEDAI UNABII AKAMATIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 118

  • @maase2023
    @maase2023 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo hamza naona kama kidogo fuse moja imekata lkn sheikh jalala kwa kweli inafaa awe mufti wetu maana yuko na ilmu na very bright mashallah

  • @mofarri
    @mofarri 2 ปีที่แล้ว +1

    Astaghfirullah mungu atulinde na fitna hizi

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashekhe wangu,huyu Hamza Isa,labda ni mtume wa kabilake la WAHAYA tu!!.Mdhanieni hvy.Wala msipoteze wakati wenu bure...Huyu ni mwehu wa wawehu.(Ismail from Hargesa,Somaliland).

  • @zinjankhan3819
    @zinjankhan3819 5 ปีที่แล้ว +4

    Ametumwa . Na pesa alipew . Na zitamzuru . Maana Allah S.W hajaribiwi

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Hamza amepotea jamani mmemfanyaje hii 2022 hasikiki kabisa

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      Waislam hawataki manabee wa uongo kama nyiyi kwenu kila siku wanadanganya mmungu Kesha sema hakuna na bee tena wa mwisho alikua Muhammad alie kamilisha dini hata isa hamjamwamini kua sliwambia atakuja mtume wa mwisho bada yangu mumfate walibadilisha makafiri mpaka vitabu vya mmungu kwani rome walikua mitume huko wote walitokea mashariki ya kati

  • @maase2023
    @maase2023 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu jalala ni msomi mno na anajua kueleza mashallah

  • @mwadinimakame333
    @mwadinimakame333 6 ปีที่แล้ว +3

    Inalilahih waina ilah rajin ALLAH tusamekhe waja wako Kwani sisi tuko zaifu.

  • @mohammedmshiraz75
    @mohammedmshiraz75 5 ปีที่แล้ว +2

    Mash Allah uyu hamza nilkuwa simwelew kbs

    • @alimaro9949
      @alimaro9949 4 ปีที่แล้ว

      Mohammed Mshiraz huyo shekhe haeleweki

  • @user-go7is8hm1v
    @user-go7is8hm1v 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata Yesu alisema Mimi ni mwana wa MUNGU.
    Mafarisayo wakamfukuza na kumpiga mawe.
    Hivi ndivyo ilivyotabiliwa siku za mwisho.
    Watu watawachukia kwaajili ya neno langu

    • @chalresphilipo4392
      @chalresphilipo4392 4 ปีที่แล้ว +1

      kweli kabisaa uwezi kusapotiwa na kila mtu

    • @athumanimgimbu840
      @athumanimgimbu840 2 ปีที่แล้ว

      Huyo bwana anafaa akatwe kichwa mara 1. Msimkawizet jamaaaniii.

  • @aishasaidaishasaidaishasai2319
    @aishasaidaishasaidaishasai2319 2 ปีที่แล้ว

    Innahlillahy wainnah elehy rajiuun huyo n shertan

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 ปีที่แล้ว +4

    Ya subhana Allah mpelekeni hamza akachunguzwe akili yake huenda anaanza kuwa chizi

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Mashekhe wa TZ.Mtumeni huyo anayo dai UTUME.Aje huku HARGESA SOMMALILAND aropoke maneno hayo ya UPUZI.YEYE KATUMWA KWA KABILA LAKE YA "WAHAYA" TU!!!!

  • @mwajumakassim6632
    @mwajumakassim6632 5 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu tusome Dini yetu

  • @chiraluchihya
    @chiraluchihya 7 ปีที่แล้ว +7

    Simuelewi Hamza maana anaonekana anapotosha sana

  • @mgeniali1768
    @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว +1

    Ooh God njaa hiyo

  • @jacksonsilvery5963
    @jacksonsilvery5963 5 ปีที่แล้ว +1

    Toeni clip nzima.Bado ndg Hamza ana point

    • @hamudmuhammed536
      @hamudmuhammed536 5 ปีที่แล้ว

      Jackson Silvery anapwenti gani we mshenzi sana

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli huyu Hamza,Ana laana kutoka Kwa ALLAH. Wakati mwinge alidai yeye ni ASKOFU, akihubiria watu KANISANI. DUU! !!!HUYU NI CHIZI WAMACHIZI . (Ismail Yussuf Abdi Bileh.Hargeisa, Somaliland).

  • @ibrahimbatemi9232
    @ibrahimbatemi9232 4 ปีที่แล้ว +1

    usiogope hamza Mungu wa Israeli ananguvu songambele na wokovu

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim jina imeliba gust ajili kutokea brahim kisha wampinga mmungu I brahim slumping a babake kuabudu masanam na kujenga uislam ww unakubali huyo shetani msha danganywa na wazungu wadogo kua na dini isa Diyoka mzungu ibrahim ni muislam safi na mitume wote ni waislam hata isa bin mariam ni muislam hahatokea rome

  • @zulufkhan1949
    @zulufkhan1949 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli huyu yuafaa kurejea madrasa ana fitna kubwa sana kwa ummah.

  • @khadijaomar767
    @khadijaomar767 7 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amuongoze huyu hamza mpotofu sana

    • @royalroyal8633
      @royalroyal8633 6 ปีที่แล้ว

      Mukatekicwa.uyunimashidajali

  • @salehkhamis9560
    @salehkhamis9560 6 ปีที่แล้ว +7

    SHEIKH HAMZA UMEVUUKA MIPIKA STAGHAFIRU KWA ALLAH KASOME WACHA KUPOTOSHA UMMA

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

    Mbona mnalazimisha Yes na No!

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 6 ปีที่แล้ว +23

    Huyu Hamza Issa kama hana matatizo ya akili au kuchezewa na mashetani basi kafiri/fitna mbaya sana.

  • @suleimanabeidmkongwamkongw7627
    @suleimanabeidmkongwamkongw7627 7 ปีที่แล้ว +2

    namchukia sana huyu MTU Allah alaani huyu siomuislam

  • @rachelmwasamila3862
    @rachelmwasamila3862 5 ปีที่แล้ว +3

    Ila yesu siwadini niwawote

  • @michaeleustach9352
    @michaeleustach9352 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa kuna watu wanacheza cna na MUNGU

  • @suleimanngondo3787
    @suleimanngondo3787 5 ปีที่แล้ว +1

    uyu ndio JALALA bwana

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 5 ปีที่แล้ว

    Huyo hamza ana bahati kazaliwa tanzania lkni angekua kenya tena mombasa ingekua tushamkata kichwa ama ungekuja tu msa ukajiita mtume katika msikiti mmoja uone kivumbi

    • @naimaabdallah9491
      @naimaabdallah9491 4 ปีที่แล้ว

      Haki nyie watu Mungu awarehemu sana mnamyo ya wanyama imeandikwa nanyi nitawatumia manabii nanyi mtafarusubisha katka masinagogi yenu Hamza katuwa na Mungu kukomboa wislamu nanyi hamuoni wala kusikia dah Dunia tupo mwishon sana

  • @shabansembe9542
    @shabansembe9542 4 ปีที่แล้ว +2

    Laana za allah ziwe juu yake anakuja kuharibu uislamu

  • @mstafaassan4707
    @mstafaassan4707 6 ปีที่แล้ว +1

    nihatari sana uyu kachanganikiwa sana sio kidogo

  • @hassanmseya4283
    @hassanmseya4283 7 ปีที่แล้ว +6

    kafanya kufru kubwa sana apatiwe adhamu kwa mwujibu wa sharia za kislamu

  • @machanokhatib5555
    @machanokhatib5555 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo hamza asikuhangaishen akilizenu maana walishapita makuhani kuliko yeye uyo naleo hii hawapo

  • @yassinm69
    @yassinm69 6 ปีที่แล้ว

    Uyo hamza kawa chizi

  • @safiam5338
    @safiam5338 2 ปีที่แล้ว

    Jamani uyo anakufuru mnomufata mnapotelewa

  • @rashmikdrama3347
    @rashmikdrama3347 7 ปีที่แล้ว +4

    😅😅😅😅😅😂😂😂yani huyo hata akili hana na kumbu kumbu pia hana masikini weee ukiwamuongo usiwe msahaulifu hahahaaaaa

  • @yassimjuma3989
    @yassimjuma3989 6 ปีที่แล้ว

    hamzahaa njaaa mbayaa

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 7 ปีที่แล้ว

    Laaana tullah alaihi ya hamza kidhab dhabina hajuwi ajuwacho

  • @mohamedmsangi6939
    @mohamedmsangi6939 6 ปีที่แล้ว +2

    huyu jamaa ni kichaa.. kapoteza sana watu wenye upeo mchache wa elimu. Allah tabaraka wataala n mkubwa mno. kaumbuka mwenyw

  • @hamudmuhammed536
    @hamudmuhammed536 5 ปีที่แล้ว +1

    mimi mtu yoyote atakae jiita mtume mbeleangu na nikamgundua kua anaakili timamu namtoa kichwa kisha mambo mengne yatafata bdae

  • @ramadhaniadamu5993
    @ramadhaniadamu5993 7 ปีที่แล้ว +3

    haaa..kamanda shekh mkubwa hamzaa!!!..hahaaa.ama kweli shetan amekuvaa

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 6 ปีที่แล้ว +4

    nyinyi mashekhe muna mchekea mngemtia ndan kama nabii tito

  • @patrickmbanya8335
    @patrickmbanya8335 2 ปีที่แล้ว

    Nambii WA ukweli huyu mkatae niwaukweli

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว +5

    huyu ibiris ameshakula pesa za kanisa mtihan anao huyo hamza kashaumbuka huyo

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 ปีที่แล้ว +1

    Astaqafil ×100000000000000000009
    Unabii wenu wa kihuni unapatikana kule upande wa pili lkn sio ktk uislamu

  • @rahimumnyawii517
    @rahimumnyawii517 7 ปีที่แล้ว +4

    Hamza shetani amemvaa kweli tumuombee

  • @allyomari680
    @allyomari680 5 ปีที่แล้ว +1

    huyunimwehu natakaniwatake mashekh wangu msipate tabu nawehu kanahawa huyu nilaananllahu

  • @shuhaidaomar3347
    @shuhaidaomar3347 5 ปีที่แล้ว +1

    huyo kibabu ashapimwa akili yake iko ipo swa mpelekeni akamone Dr

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว

    Jamn mfaten na mkamuombee jamn.... Mbn anapotosh umati wa mtume jamn..... 😭😭😭😭🤔

  • @amedeusikimey8040
    @amedeusikimey8040 6 ปีที่แล้ว +2

    wanao mruhusu kuingia kanisani ni chukizo kwa mungu

  • @itslayla1506
    @itslayla1506 6 ปีที่แล้ว +2

    Hamza amekuwa kamatahira laana zimekuwanyingi kwake ata
    Usowake nikama mtoto mdogo anayejifunza kuongeya

  • @munaeshamunaesha1405
    @munaeshamunaesha1405 7 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallaah

  • @Fredrickmarinya
    @Fredrickmarinya 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Khamza anastahili Bakora tu.

  • @tanzaniat7151
    @tanzaniat7151 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hao wanaomfuuwata hawarikirii kwanza wana fwata tuu hunimsiba wallah

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂ukistajabu ya hamza utaona ya firaun😂😂😂😂😂apelekwe milembe

  • @ramadhanchui5501
    @ramadhanchui5501 6 ปีที่แล้ว +7

    huyo hamza nikafirii Kwann anatukana dini yetu achukuliwe hatua

    • @faysalmussa5593
      @faysalmussa5593 4 ปีที่แล้ว +2

      Hamza ni kafiriiiiiiii

    • @faysalmussa5593
      @faysalmussa5593 4 ปีที่แล้ว +2

      hamza hawez potesha waislamu km katumwa bhas allah atamuonyesha huwez cheza na dini ya allah

    • @johanamagesa7709
      @johanamagesa7709 4 ปีที่แล้ว

      Ktk uislam uwa hakuna hukumu.binadam n binadamu zaidi ya kumshitakia Allah Hafiz ndio mwenye kutoa hukumu yeye pekee yake

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      @@johanamagesa7709 lazima mpaka watu wakatafuta ghadhi ili kama kuna kitu ktk dini staki i na mashekh

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      @@johanamagesa7709 manabee hamna sasa wakristo wNajita mana bee kila siku hawajamuamini mmungu alipo sema ilhamna nabee mpaka yy aterwmshe manabi

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 7 ปีที่แล้ว +7

    Na Hayo unayoongea Sheikh Jalala inaonyesha ni jinsi gani huyo mtu Hana maono ya Kinabii' hajaandaliwa Na ALLAH SUBHAANA WATAALA' Ndio maana kwenye mazungumzo yake Hana ile hali ya kujitosheleza kidarja za kinabii ambae anakuwa na kitu cha ziada kwenye mazungumzo yake kama walivyokua manabii waliopita...!!..
    Nimejiridhisha kabisa kwamba huyo ni mtambo ' Yaani Dishi limeyumba' kama alivyosema Sheikh Mziwanda kwamba alishiba ugali wake' akakusanya Maluun wenzie Walete hoja zisizo na Misingi wala Mashiko katika Uislam'...Case Dismiss waondoke...!!

  • @jumangole4340
    @jumangole4340 6 ปีที่แล้ว +6

    Tusipo kuwa makini tutaenda kubaya sio kwa mtu kujipa wazifa tu ki hivi,haiyltakuja tokea kitu kama eti nabii mmhhhh!

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu hana utofauti na nabii titio

  • @ongaobeangalia8608
    @ongaobeangalia8608 5 ปีที่แล้ว

    Nawaonea uruma ndugu zangu wislamu tambuwa Sisi na ninyi ni ndugu Na uyo munaye muita nabii mimi na mfatilia saana maubiri yake sija ona neno lolote ambalo ame tukana wislamu hakika muta juta Na kusaga meno nyote munaye mkataa uyu jamaa na juwa muta muhuwa ila tambuweni analo sema ni kweli mimi na enda bye

  • @hamiarseif7299
    @hamiarseif7299 3 ปีที่แล้ว

    IYO MENGINE IPIMENI AKILI PUMBAVU

  • @firsttvtz
    @firsttvtz 4 ปีที่แล้ว

    Mmmm kwa matukio haya mwisho was dunia umekaribia
    th-cam.com/video/KaGnWFUaYuI/w-d-xo.html

  • @top20africamusics31
    @top20africamusics31 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni kafiri yupo anawasumbua bure

  • @dulakess8928
    @dulakess8928 5 ปีที่แล้ว

    Amekiri mwenyewe shetani kamuingia hhahhh

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 7 ปีที่แล้ว +10

    ushia ni qufur kubwa

  • @zainabbukari1910
    @zainabbukari1910 7 ปีที่แล้ว +5

    Kwakua amejua alichokosea mwenyewe amekili asamehewe kusha yy mwenyewe aombe touba kwa Allahar

  • @jamilaismail5227
    @jamilaismail5227 7 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kwani huyu hamza kawa nani mpaka anakuwa anachezea dini ya Allah kiasi hichi? hii ni mara ya 2 analeta dhihaka kwenye dini tena ni amesoma dini anaijua vizuri ni kwann anafanya ivi au ndo laanatullah.

  • @maryamkhamis9988
    @maryamkhamis9988 5 ปีที่แล้ว +1

    apimwe akili uyo hayuko sawa

  • @hamzahaji175
    @hamzahaji175 5 ปีที่แล้ว +1

    Tena akome atutaki mchezo

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 5 ปีที่แล้ว

    izo n njaa tu au utumwa....

  • @shaameshaame2136
    @shaameshaame2136 4 ปีที่แล้ว

    muniambie kama ni yule wa kibaha mashekhe mniambie maana sura imeanza kumbadilika nataka niwambie kitu kama ni yeye nipeni jibu

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 5 ปีที่แล้ว

    Nyinyi wafanya mjadala nakafiri huyo.mfanyeni mboga

  • @soudchamkulu9206
    @soudchamkulu9206 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hamza anatakiwa apimwe akili,sijuwi kama anapitia clip ya kila anachozungumza,hatoamini kama ni yeye,ama hakika Allah umuongoa amtakae

  • @kadozawakadoza5955
    @kadozawakadoza5955 5 ปีที่แล้ว

    manabiiwote watanzania wanatokea kwawakristo wazee.sasanahuyu anawezakua kaandaliwa nakanisa.ili.achafue uislam

  • @zungubakathir1761
    @zungubakathir1761 6 ปีที่แล้ว +1

    Kipind cha nyuma alikuwa anatoa mawaidha vizur nahis amepata ugonjwa wa,akili si akili yako

  • @ramadhanishaibu7788
    @ramadhanishaibu7788 7 ปีที่แล้ว

    shukran sheikh

  • @عليحمد-ح8ث4ح
    @عليحمد-ح8ث4ح 4 ปีที่แล้ว

    Huyu hasa chizi.

  • @dundosaid2297
    @dundosaid2297 5 ปีที่แล้ว

    muna muweka kwa media na huyu hana ualimu wowote

  • @shebyramadhan8663
    @shebyramadhan8663 6 ปีที่แล้ว

    Huyu anamatatizo ya akili kabla yakupelekwa madrasa akapimwe akili laanatullaah huyoo

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +1

    Waislam huyu ni Muslim mwenzenu, msiunge klip, hapo alikuwa akieleza habari za mtume na alivyopewa utume . Huyo Mohanad!

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      Unajiongelea ww hujui hata huyo ukristo ulianzaje kwa tarifa yako muhamad na isa Mnae muita yesu jina la wazungu ni watu wawili ni ndugu na wslitokea Na nabee ibrahim na wa mmungu
      Mmoja ila wazungu wamewapotosha kwa kumpinga mungu na kitabu chase cha kale njili na kuleta jipya injili huyo ni kumpinga mmungu na vitabu vyake quruani haibadilishwi nyiyi Mnalubali manabee wa uongo makanisani kila siku ila ww slam wanamuamini mmungu kujua hamba na bee kwa sasa

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 5 ปีที่แล้ว

    Akapmwe kwanza akli,acsumbue watu akili

  • @fuadabdalla7097
    @fuadabdalla7097 5 ปีที่แล้ว

    huyu akapimwe akili

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 5 ปีที่แล้ว

    Mpeni kichapo huyo atazoea

  • @Mosetyi
    @Mosetyi 2 ปีที่แล้ว

    Silly.

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 7 ปีที่แล้ว +3

    WALLAH UMEUWA KIFO CHAMENDE DU DU DU DU DU
    kaumbuka hiyo mtu muongo

  • @claudetteniyobuhungiro7306
    @claudetteniyobuhungiro7306 5 ปีที่แล้ว

    Usiogope kwamba uko namungu wasikutiye ooga

  • @abdallaaly1546
    @abdallaaly1546 4 ปีที่แล้ว

    nikimuona namuuwa uyo kafiri mkubwa

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Hii sisiri tena jitibu mwenyewe tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, na kukosa hamu ya tendo la ndoa, bonyeza hapa 👉 th-cam.com/video/itQc0EslhsY/w-d-xo.html

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Refusha nenepesha uume epuka kibamia niwakati wakuwa natango sasa kuwa na uume mkubwa bonyeza hapa 👉 th-cam.com/video/39HDzsltGgg/w-d-xo.html

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 5 ปีที่แล้ว

    Sheria yakislamu hata nyinyi mashekh muliyokuwa mulifanya mjadala nayeye munamakosa sana huyo mugemfanya kama mbuzi wa edd.chinja chinja

    • @ongaobeangalia8608
      @ongaobeangalia8608 5 ปีที่แล้ว +1

      Na apo ndo muna sema ninyi ni wa mungu duh! Poleni saana

    • @zainabuponela9954
      @zainabuponela9954 4 ปีที่แล้ว

      mashehe huyo hamza amechanganyikiwa jaman maana hata tunavyo muona hayupo sawa huyo katawaliwa na ibilisi ,kwanza akapimwe kama yule anejiita nabii tito

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Dawa hii ndio inatibu ngiri busha mchango henia tezidume bila gharama yoyote na bila ya upasuwaji bonyeza hapa 👉 th-cam.com/video/DMqDHu_J7sQ/w-d-xo.html

  • @agostinonyakiba542
    @agostinonyakiba542 5 ปีที่แล้ว +2

    Hamza ni mwalimu zaidi ya wote....ajenge madraza yake waisilamu wote waende wakasome huko....mjue ukweli....maana anatoa kwa Qur'an na si kwa Bible..

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Huwezi amini unaweza kumzuiya mkeo au mumeo asitoke nje ya ndowa yake niraisi sana bonyeza hapa 👉 th-cam.com/video/Ibinv6AOfMI/w-d-xo.html

  • @jumaaseif2464
    @jumaaseif2464 6 ปีที่แล้ว

    Wewe hamza unastahil kukatwa kichwa

  • @ibrahimsuleyman8544
    @ibrahimsuleyman8544 2 ปีที่แล้ว

    Acheni kumpa umaarufu huyo mkristo anacho FANYA ni kuwavuruga waislamu huyo ni kafir

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Kwanini ukose nguvu za kiume, tumia njia hii niraisi kabisa ponyeza hapa 👉 th-cam.com/video/wmKSeDMrfcI/w-d-xo.html

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Refusha nenepesha uume kupitia njia hii ni raisi sana kwanini uwe na kibamia bonyeza hapa 👉 th-cam.com/video/WAooF8RUziU/w-d-xo.html

  • @munaeshamunaesha1405
    @munaeshamunaesha1405 7 ปีที่แล้ว

    Doo

  • @abukhanifah2325
    @abukhanifah2325 6 ปีที่แล้ว +2

    Hivi bado anapumua huyu??

  • @drake652
    @drake652 7 ปีที่แล้ว

    Μάριος μπακου

  • @muhammadfarijala2324
    @muhammadfarijala2324 7 ปีที่แล้ว

    Huyo njaa inamsumbua

    • @mjombamalaki2025
      @mjombamalaki2025 6 ปีที่แล้ว

      Huyu sio njaa .wangapi wana njaa mbona wako kimya huyu ana mapepo aombewe ..atapoa .atarejea fahamu zake vizuri (inshlaa)