DV MATA ongera sana kwa kazi nzuri mengi tunajifunza kupitia hizi simulizi, ombi langu kama simulizi ipo yote na unayo basi walau kwa siku tuweke japo 2 kama sio 3,maana ni kweli kuna viporo vingi vya simulizi ambavyo vimeishia tu hewani
Hii simulizi baada ya saa 1 naweka episode ya pili na kwa siku nitakuwa naweka episode 2,kuhusu ambazo sijazimalizia hizo tatizo huwa lipo kwa wasimuliaji kutopatikana tena ila nitajitahidi kuzimalizia naomba radhi kwa tatizo hilo
Waa hii dunia inavituko kweli yaonyesha huyo mama ndio alimuua mamayenu ndio abaki na baba yenu jamani wanaume muwe waaminifu coz haya yote yanawakuta kwa kukukosa uaminifu
Ikiwezekana uwe un shoot hivyo hivyo hata stori zingine maana kusubiria kidogo kidogo utakuta watu hao wamepatwa na majanga hata ya afya nk. Hata kama itakuchukua wiki au zaidi kuishoot . Ni bora iwe hivyo kuliko kuweka vipande visivyoendelea. Mara nyingi stori za Shebby huwa za hivyo, haziendeleagi @@DavistarMataMediaDM
Ubarikiwe davista kwa kusambaza injili na siri Za kuzimu
Amina
DV MATA ongera sana kwa kazi nzuri mengi tunajifunza kupitia hizi simulizi, ombi langu kama simulizi ipo yote na unayo basi walau kwa siku tuweke japo 2 kama sio 3,maana ni kweli kuna viporo vingi vya simulizi ambavyo vimeishia tu hewani
Hii simulizi baada ya saa 1 naweka episode ya pili na kwa siku nitakuwa naweka episode 2,kuhusu ambazo sijazimalizia hizo tatizo huwa lipo kwa wasimuliaji kutopatikana tena ila nitajitahidi kuzimalizia naomba radhi kwa tatizo hilo
@@DavistarMataMediaDM 🙏🙏
@@AstorMatumlawanaingia mitini maripo hawalidhiki
Safi sana brother
from France, wanafuata sana
Story nzuri
Davister vp story ya yule jamaa wa Mara ?"Bilionea wa pesa za kichawi?" Uliishia kipande cha 13
Hiyo story nimekataa tamaa 😢.Nimechoka kungoja
👊👍✌.
Kazi yako ni njema sana Davista
Amen Amen
Store humalizii kaka kwann?
Hii nimerecord yote kwahiyo ipo mpaka mwisho
Waa hii dunia inavituko kweli yaonyesha huyo mama ndio alimuua mamayenu ndio abaki na baba yenu jamani wanaume muwe waaminifu coz haya yote yanawakuta kwa kukukosa uaminifu
UYUUUU NI LILEE TALL KM TAHIRAAA KWEL LA KWA ROSE MUHANDO 😂😂
Davista mbona stori nyingine hazimaliziki unakwama wapii
Tatizo huwa lipo kwa wasimuliaji kutopatikana tena
Mbna kma tall hyu
Sauti kama Rwanda Magele
Hawafanani rudi kasikilize upya story yake then rudi kwenye hii utajua
Kaka sikuiz story hammalizi zina ishia hewan ❤
Hii nimeshoot yote nzima hizo zingine ambazo hazijaisha tatizo huwa ni kwa watu wanaosimulia kupata matatizo
Kama makimuga😢
Ikiwezekana uwe un shoot hivyo hivyo hata stori zingine maana kusubiria kidogo kidogo utakuta watu hao wamepatwa na majanga hata ya afya nk. Hata kama itakuchukua wiki au zaidi kuishoot . Ni bora iwe hivyo kuliko kuweka vipande visivyoendelea. Mara nyingi stori za Shebby huwa za hivyo, haziendeleagi @@DavistarMataMediaDM
Kueni na ukweli kumbe waongo mna Nia ya kueneza dini yenu kwa nn nuneifuta story ya shekh ramadhan
Nimeaandaa zawadi ya logo kwaajili ya channel yenu davista Mat media
Asante sana tuwasiliane +255743053804
Logo ndio nn
@@rayahamisi118 Logo ni Nembo/ chata au Icon inayowakilisha kitu flani
Huyu si Julius yule jamaa tall kwenye video ya rose mhando
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣ndo yeye
Umeonaee
Sauti zinafanana
Sauti kama yake
Huyu jamaa stori yake ni ya kweli,didia ni kwetu 😢😢😢
Mmh kwan huko kwenu kuna nini ndugu yetu?
@@regnaldminja6013 Atwambie
Duniani kuna wachawi tena wengi mnoo ni mungu tu anasaidia ambaye hajakutana nao atabisha lakini mziki upo
Huyu jaman siyo yula tolu wa mazese
Hoyooooo sasa umerudi ulingon...
Nice🙏🏾
Davista mtu makini
Huyu jamaa Ni yule toll kaigiza na rozi mhando
Nahic hiyo sauti
Sauti yake inafanana na yule mtu mrefu tanzania
😂😂😂hii sauti Kwangju sio ngeni
Tunahitaji wanaojua kusimulia story kama jamaa.