Aki huu wimbo naona ukinifariji wakati huu mgumu nina pitia😭😭...nimeeenda kwa madakitari lakini sijasaidika..ninaamini Mungu atatenda niko tu hapa ninamsubiri.🙏🙏
Niko hapa kwaajili Beatrice mwaipaja na martha mwaipaja Mungu pale penye uliwakutanisha hawa tajari wameamua kutumia matunda machafu uwanjani na mitandaoni 😢 Mungu uwarejeshee Rehema kwasababu wanazaulisha jina lako
The blessed sister's... Mungu azidi kuwatumia Sana, Martha umekua wa msaada Sana kwa huduma yangu ya uimbaji, natumahi siku moja tutakutana kwa neema ya Mungu 🙏
A song that blesses my soul, gives me strength and renews my faith every single day. Martha and Beatrice Mwaipaja, may God's grace never leave your side, you are such a blessing to generations.
Munapendaka kusema kama muko walokole. Hiyo si kweli ni namna Satani anatumikisha kusudi mujisikiye mutayingjya mbingu bila shida. Lakini ugitumiya Bable unakutana ni hatari sana kwa wale wanasema kama ni Walokole kwa sababu ukisona mu Zaburi 3 : 3 ; Zaburi 18 : 30, 35 => Zaburi 119 : 155 => ni kuse Yesu Kristof iko mbali yawo, hayiko ndani Roho zawo kwasababu mu Jérémie 31 : 31-34 => Apocalypse 3 :.20 => alakini bamekataa Yesu Kristof ayingiye => Jérémie 6 : 19 => Jérémie 25 : 30-31 => 2 Corinthiens 5 : 10.
Aki huu wimbo naona ukinifariji wakati huu mgumu nina pitia😭😭...nimeeenda kwa madakitari lakini sijasaidika..ninaamini Mungu atatenda niko tu hapa ninamsubiri.🙏🙏
😭😭Mungu akuponye sawa sawa na Imani yako
Kipenzi mungu ni mwema
Bwana Yesu kristo awaunganishe tena mjenge ufalme wa Mungu wetu pamoja
Am waiting for you guys to unite again, we love you Martha and Beatrice ❤
Jamn MUNGU awakusanye kwa pendo lake tena ,muishi Kwa amani
Mungu mkumbuke martha.aendelee kukutumia.husimuache apotee
Ooh God revive Martha Again in Jesus name.We Demand Martha in the kingdom of God .
Mimi nimekuja kuiyona hii nyimbo baada ya kusikia mdogo mtu akilalamika
Same to me
Hajalalamika katoa ushuhuda jamn
Ni upepo tu mungu ataingilia kati watakuwa sawa ni kuwaombea tu
Nipo Hapa Baba niponye jeraha za moyo wangu nayopitia ni magumu mno!
Wa burundi tuko nyuma yako mama jipe moyo tunaguombea sana❤ stiven from 🇧🇮
God Restore this servant 😢
Niko hapa kwaajili Beatrice mwaipaja na martha mwaipaja Mungu pale penye uliwakutanisha hawa tajari wameamua kutumia matunda machafu uwanjani na mitandaoni 😢 Mungu uwarejeshee Rehema kwasababu wanazaulisha jina lako
Nimegundua kitu hapa mdogo ndiye aliye na matatizo a Fanya kitu Kwa kujionyesha
Ulikuwa unataka aonyeshe udhaifu wake surely .. hujui chenye unasema
Usigombanishe jaman tuwaombee usilete tafran
Mungu na awaunganishe Dada Beatrice na Martha Mama yenu pia aate amani na furaha Jameni.
This woman and servant of God Martha is a blessing to many, Mungu anatukuka kupitia nyimbo zako, twakuombea uzidi kuinuliwa.
inatokea soho inataka kuwatenganisha , inatokea roho inasema nyie sio ndugu ... MUNGU wetu atajibu TUNAWAPENDA WOTE
Jamani tujuwane wangapi walikuja ku angaliya uhu wimbo baada ya malalamiko ya mdogo mtu ???😅😅
😂😂😂tupo
tupo
Mimi hapa Hadi naona tena😂😂
Ninavohisi beatrice ana mtakia mema dadake ila njia alotumia sio sahihi
@@StephanoAmos-p9v ndiyo
Acheni unafiki walimwengu ivi mnajuaaa uyu dada amepitiaa mangap???
Na mimi niko hapa mikononi sala 🙏
Kila wakati huu wimbo unafanya nijue bado mungu yupo kwa ajili yangu,
Natamani muimbe tena 8:34 pamoja na mdogo wako jamani MUNGU asimame tena katikati yenu
The blessed sister's... Mungu azidi kuwatumia Sana, Martha umekua wa msaada Sana kwa huduma yangu ya uimbaji, natumahi siku moja tutakutana kwa neema ya Mungu 🙏
The song that i needed to hear.....my GOD grant my wish 😢i pray my dad to walk again IN JESUS NAME 🙏....
MUNGU akubariki sana
Wimbo mzuri unagusa ndani ya moyo❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Powerful song. God is great, HALLELUYAH.
Niko hapa Mungu niko hapa niponye baba.
Nyimbo zako zina uwepo sana please husitoke kwenye njia tunza mafuta haya kwa gharama yoyote. Wengi wameponywa kupitia wewe
Sauti na sura ya mama yako, mtunze acha janja janja mtumishi
Oooh huu wimbo huuuuu😭😭😭😭😭😭kuna mahali niliimba wote bila kusikiliza wala kuangalia mahali🙌🏾🙌🏾🙌🏾
I see Martha and Beatrice Mwaipaja doing the best that GOD gave them, Praising and worshiping HIM through songs.
MUNGU nisaidie ninayopitia nimagum mnu mwenyewe siwezi
Am listening and I feel my heart wants to leap out from my inside😢😢
The first song that introduced me to your very good gospel songs, thank you Martha and Beatrice for this wonderful song.
And Me am here God. Ukipata Baba nikumbuke na Mimi🙏🥺
Niko hapa Mungu wangu unifute machozi yangu
Years down and this song is still a blessing 🔥🔥🔥🔥
How God changes people, look at Mwaipaja of today. God is great.
Niko hapa n'a mimi baba niko hapa Kinshasa eéeeeeeeeeeeh na kungoja
Daa!walikuwa wanapendana jamani kamla BELIZABUBI hajaingia kati.
Niko hapa🔥🔥🔥napenda Sana ,,,kazi nzuri.
Amen 🙏😢😢❤🎉 You are restoring my heart 💜
Ubarikiwe.dada.kwawimbo.huu.yesu.ndiojibu
Aaaaa.yesu.ni.jibuletu.rafiki.ya....🙏👍
I love your songs, God bless you as you safe many people to turn from their bad ways and hope for second coming of Jesus Christ
Baba nitetee na waovu maana nangoja niko hapa
Am feeling so blessed here in Kenya..... thanks Martha
Baraka tele dada Martha.Wimbo mzuri na wenye mawaidha sana.
Amazing Grace mtumishi wa mungu 🔥🔥hata Kama ikiishiwa nguvu utaniinua Tena,ooh hallelujah 🔥🔥🔥
Nataka kuwa hapo......
Martha hii video imefika nusu hakuna sauti
Amazng song dada
I88ioiii it ii
This song always blesses me...Martha u did a great task.. Kenya we love mama
Am blessed na nyimbo za huyu dada mungu akuongezee
Baba nakungoja Niko hapa pia nitengeneze niwe kama Martha au Yesu
Im here my God such a courage song with powerful words blessed mom 💕💕💕
Your songs always touch me dear. Zinanifariji sana hakika Mungu yuko
Niko hapa baba new year nakungoja unitetee...amen
Hawa ndugu wanafanana hata kuimba pia
Niko hapa baba🙏🙏🙏
Haleluyaa.sasa.iko.on
Baba.amesema.ndio.👍rafiki.usogope.🙏⭐⭐⭐⭐
Asante dada madha kwakunitia nguvu kwakipind ichi kigum❤❤
Ninaposikia huu wimbo nafarijika sana napata hope ya maisha
Have been listening to your songs lately and I love them and am blessed.Continue serving the Lord . The universe is blessed to have you Martha ❤❤❤
I get blessed listening to your songs sister,much love from Zambia
Nataka hiyo
Enzi hizo Martha hajakengeuka
Mungu aendeleye kukuinuwa
My favorite songs to me dada Martha mwaipaja nawapendaa
Good! I already have all these ancient videos. No one of them is new for me. They are really good👍.
Listening from Malawi though I do not understand the language but it carries a great information
Hakuna aliyemngoja Mungu akaibika........
Mimi napenda Sana nyimbo zako zote Martha ata ukiwa mdogo zote no nzuri Niko hapa Yesu nakungoja
Zote ni nzuri zote
Nifundishe kunyamaza inanimaliza God bless
Amina,Amina🙏🏻🙏🏻,Ahsanteni sana dada zetu,uimbaji mzuri
Very touching Martha you're amazing
Asante Mungu niko hapa baba unikumbuke Jehovah,, uniponye 🙏🙏 Amen
Nipo hapa baba nakungoja unifanye kuwa mpya
YESU wangu nikohapa nakungoja ww unitetee
Amina kwa ujumbe muzuri mubarukiwe n'a bwana
🎉🎉🎉najupendana sana wangu
Nitetee yesu,nmefika mwisho!
Always gaining my strength❤be blessed Mah favorite artist wish one day will meet in heaven 🎉
Amina Niko hapa Baba nakungoja Niko hapa
Asantee kwa wimbo mzur
Niko hapa mungu nakungoja🙏🙏🙏
A song that blesses my soul, gives me strength and renews my faith every single day.
Martha and Beatrice Mwaipaja, may God's grace never leave your side, you are such a blessing to generations.
Munapendaka kusema kama muko walokole. Hiyo si kweli ni namna Satani anatumikisha kusudi mujisikiye mutayingjya mbingu bila shida. Lakini ugitumiya Bable unakutana ni hatari sana kwa wale wanasema kama ni Walokole kwa sababu ukisona mu Zaburi 3 : 3 ; Zaburi 18 : 30, 35 => Zaburi 119 : 155 => ni kuse Yesu Kristof iko mbali yawo, hayiko ndani Roho zawo kwasababu mu Jérémie 31 : 31-34 => Apocalypse 3 :.20 => alakini bamekataa Yesu Kristof ayingiye => Jérémie 6 : 19 => Jérémie 25 : 30-31 => 2 Corinthiens 5 : 10.
Nimerudi kuangalia leo
Asante kwa hili kanda kati kati sauti inapotea
Ubarikiwe sana dadangu
Ata mimi nikohapa nakungoje Yesu
Nzuri sana, hongera sana dada martha
Amen amen,Niko hapa mungu
Nazipenda sana nyimbo zako dada Mungu akubariki
Ata mimi nko hapa waiting for your blessings lord
I love your songs God bless you
17/12/2021 Nimeangalia tena HAKIKA NIKO HAPA BABA NIKO NNAKUNGOJA
Nimoto sana hii nyimbo hua siichoki kamqe
Mung nimwema axhuk uliwe🎉
Amen.Nakugonja baba
Moja ya nyimbo ambazo huwa sichok kusikiliza
God bless you dear sister
Wimbo huwa unanguza moyo wangu
I love your songs they are encouraging
God bless you 🙏 so much Martha together with your sister