MARTHA MWAIPAJA AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA, ATOA KAULI KUHUSU TUHUMA ZA FAMILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 29

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 10 วันที่ผ่านมา

    wow Matha anasauti nzuri Mungu akulinde na akupe mani dada

  • @annanamuyala
    @annanamuyala 6 วันที่ผ่านมา

    Tuliozika wa mama tunalia tunasema angekuwepo mama ninge mu nunulia gali ningempa iki ninge mpa kile jamani Mungu anajuwa 😭😭

  • @Mussaphanuel-p1q
    @Mussaphanuel-p1q 18 วันที่ผ่านมา +5

    Ndoa imewaahinda sasa mnafungua kanisa.ila Mungu wa kwel anawaona..msifikili kanisa nikama Baa.

  • @dorriskerubo8387
    @dorriskerubo8387 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa Wana mungu wao

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 15 วันที่ผ่านมา +2

    Nimegundua wtanzania niwa watu wastaalabu sna ingekuwa hpa Kenya angezomewa uyu

  • @MamaMayai
    @MamaMayai 20 วันที่ผ่านมา +4

    Duh Martha amepungua😢

  • @MonicaLupembe-q9v
    @MonicaLupembe-q9v 8 วันที่ผ่านมา

    Jamn kaen kimya kila jambo lina sababu hakuna anae jua chanzo cha changamoto ya kila mtu hivo usijaribu kuongea jambo lolote usilo lijua kupitia mtumish wa mungu, usitukane mtumishi yeyote maana huwez jua yeye ametumwa nanan ,nyamazen

  • @AndreBaozi
    @AndreBaozi 13 วันที่ผ่านมา

    Biblia husema,heshimu baba n'a mama Yako,ili maisha Yako ipate kuongezeka.

  • @mbwagatv
    @mbwagatv 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ya dunia ni mengi

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wanawake single mother na waliokimbia ndoa zao ni hatari sana

  • @emilianazumbe5521
    @emilianazumbe5521 14 วันที่ผ่านมา

    Tutubuni jamani kwakuwa ufalme wa Mungu umekaribia

  • @wangarimunyingi3451
    @wangarimunyingi3451 17 วันที่ผ่านมา +2

    I don’t even understand what she says. She talks in parables and goes round to confuse peoples mind.

  • @bertinbunani
    @bertinbunani 16 วันที่ผ่านมา

    Kwa nini hawa olelewe????kweli Tanzania ina kosa ba bwana??? Karibu congo!

  • @Irene-jf1pl
    @Irene-jf1pl 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kila mtu na livyoielewa biblia ndo maana sasa kuna makanisa mengi duniani .......ila kwa martha

  • @wakalaafrica4013
    @wakalaafrica4013 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wote ao ni wale wale wasagaji tu wana juana duniani kuna mengi ya siri machafu kuliko ya nuru

  • @esthermaluki5593
    @esthermaluki5593 17 วันที่ผ่านมา +1

    This woman Kuna shida somewhere

  • @anordkamgisha4306
    @anordkamgisha4306 17 วันที่ผ่านมา +2

    Si lolote wajingo wote hao ndio maana hata nyimbo zao sifagiliii

  • @FEBRONIAFABIANI
    @FEBRONIAFABIANI 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hat ulisema hut c màma yko unapasw umsaidie, kuw kimy ni dharau

  • @ReginaNyamba
    @ReginaNyamba 17 วันที่ผ่านมา +3

    Hata huyo Beatrice yule ni mama yake hivyo kabla hajayasema ya Martha alitakiwa atuonyeshe yeye kafanya nini kwa mama yake so kumsema Martha hivyo hata Beatrece nae ana shida pia toa boriti lako ndipo utoe kibanzi kwa mwenzio

    • @rashmaissac480
      @rashmaissac480 16 วันที่ผ่านมา +1

      Umesema kweli kabisa,alitakiwa apambane yeye amsaidie mama yake

    • @paulabelleghe451
      @paulabelleghe451 10 วันที่ผ่านมา

      Betrece ndo wale ndugu ukifa wanay-uchu na mali

    • @RehemaNyota
      @RehemaNyota 9 วันที่ผ่านมา

      @@ReginaNyamba kama Hana mapungufu ajibu mtandaoni basi aende hatalaivu tuta msikiliza mamboyao Hawa wanajuana bhana hakuna shida

  • @castomwakipesile9380
    @castomwakipesile9380 21 วันที่ผ่านมา +4

    Et Christina mchungaj ndoa ni assignment tu ila Dunia hii alaf na miwanaume ipo tu humo kanisan 🤔

    • @monicaSamson-mc9ph
      @monicaSamson-mc9ph 16 วันที่ผ่านมา

      @@castomwakipesile9380 awajamfata Christina shusho wamemfata MUNGU

  • @StellahKamwaji
    @StellahKamwaji 19 วันที่ผ่านมา +3

    Peleka ujinga kamlee mama yako

  • @HellenMmarry
    @HellenMmarry 11 วันที่ผ่านมา

    Iv nyie wajinga mnaongea upuzi mmeolewa nyie mnaukum ni mungu nyie amn akila pumbavu nyie nakerekwa sna hamjaolewa mjuii ndoa zina mambo nyie nikaee apo nife 😏 huy mdog ake alivo ongea kwenye jamii wamempa nn mm machukia sna ndug wala jmn mm sitaki ata kuwasikia una msaidia mt badaee ana kuona wew ni kengee

  • @Catuleme
    @Catuleme 19 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuh kimya gani cha dharau Kama hicho mtu hutaki mjibu hata mama yako Sasa Ni Nani atakufanya uongee