MAPENZI NI GAME [ EPISODE 12 ] Love story💞

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 911

  • @kingnoely1
    @kingnoely1  8 วันที่ผ่านมา +321

    WANGAPI WAME ISUBIRI KWA HAMU🙃

    • @NasraSaidi-dq7fh
      @NasraSaidi-dq7fh 8 วันที่ผ่านมา +6

      Mimi apa unachelewesha sana

    • @robertemanueli6018
      @robertemanueli6018 8 วันที่ผ่านมา

      🖐🫡

    • @ClascKange
      @ClascKange 8 วันที่ผ่านมา +3

      Sema bro unachelewesha Sana mpaka tunaisahau tulipo ishia

    • @MagrethMlula
      @MagrethMlula 8 วันที่ผ่านมา +3

      Jitahidi kuwahisha, unachelewesha mno kuitoa

    • @EliaGerald
      @EliaGerald 8 วันที่ผ่านมา

      Nakubal kamand

  • @squaregirl
    @squaregirl 7 วันที่ผ่านมา +33

    Episod ya leo muda mwing umetumia kwa maua ambapo hakuna chq maaana bwana aeunga mkono.gonga like apa

    • @brillianmbone4605
      @brillianmbone4605 วันที่ผ่านมา

      Ila yeye ndio ana ye zungumziwa kwenya movie ndio mana

  • @HaliimaJuma
    @HaliimaJuma 8 วันที่ผ่านมา +118

    Move ni nzur sn King Noely ila ni fupi san.......mnaomba tuongezewe dkk dondosha like hapo

  • @AsiaRamadhani-l2u
    @AsiaRamadhani-l2u 8 วันที่ผ่านมา +38

    umetuchereweshewa sana king

  • @MusabmusakotiKoti
    @MusabmusakotiKoti 8 วันที่ผ่านมา +25

    Mapenz ni gems kweli kama tumaamin bas tone apa

  • @ZilfaNdayikunda
    @ZilfaNdayikunda 8 วันที่ผ่านมา +40

    Team strong, team Gaidi, team Fulus naomba Like zenu❤❤❤Mungu Atuwezeshe kuanguka na Free Wi-Fi

  • @BabineKure
    @BabineKure 8 วันที่ผ่านมา +69

    Wakwanza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪nipeni likes zangu

  • @Hammyvanny1
    @Hammyvanny1 8 วันที่ผ่านมา +24

    Unyama sana leo wa kwnza ku Comment naomba like zangu kutoka bukoba

    • @Feitpatrishia
      @Feitpatrishia 8 วันที่ผ่านมา

      Ivi mnatakaga like zanini ebu nichanuene

    • @HassanSeleman-wc7qn
      @HassanSeleman-wc7qn 8 วันที่ผ่านมา +1

      Tulisubiri hatimae kitu hichoo,,, mwendelezo usichelewe...😅

    • @Hammyvanny1
      @Hammyvanny1 7 วันที่ผ่านมา

      @@Feitpatrishia Huwa tunazipika alaf tunazila then tunashba wiki nzima hatujala

  • @kambachibae6
    @kambachibae6 7 วันที่ผ่านมา +8

    Maua na mumewangu kitu kimoja kuleni chuma hicho noely now u make me happy @team fulus nipeni like nawarch nikiwa hamam

    • @RealProffesiona
      @RealProffesiona 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 shakala hajawah kosea

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 8 วันที่ผ่านมา +14

    Saf sana bro umetisha sana muache maua na kinyeng,emulo chake tuliza nafs yako 🎉🎉🎉🎉🎉 ila unachelewesha game

    • @AaAaarehema
      @AaAaarehema 8 วันที่ผ่านมา +1

      Hiyo simu ya maua ni kama niliokuwa nayo zamani, wakati naanza kununua simu nilinunua hiyo ❤, kumbe bado ziko 😂😂😂😂😂.

  • @ShukuruIssa-qx6tl
    @ShukuruIssa-qx6tl 8 วันที่ผ่านมา +43

    kikulacho ki nguon mwako ukiona cha nn wengini wanafikili watakipata lini dada mtu kakipata apo je unathemaje maua mmeo yupo kwa dada yako yy ndo anajua thaman ya noely kama unakubali mahusiano ya noely na dada yake mauo gonga like hapa

    • @DaynaJoe-gv2ir
      @DaynaJoe-gv2ir 6 วันที่ผ่านมา +1

      Nilihisigi tu itakuja tokea hii

  • @MathayoSuwi
    @MathayoSuwi 8 วันที่ผ่านมา +65

    Wale tunaosema mkali kazama kwa Dada ake maua dondosha like

  • @RobertJonh-e9w
    @RobertJonh-e9w 8 วันที่ผ่านมา +25

    Wangapi tunaikubali love stor hii gonga like

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 8 วันที่ผ่านมา +9

    👑 King umenipa raaahaaaa hakika muvi ndio imeanzaaaa kuwa tamu machozi yalikuwa kwako sasa yamebadilika yamekuwa kwa Maua ,wasukuma huwa tunamsemo tunasema " what goes around,comes around" big up brother 💪

    • @user-kn3uv2sf7q
      @user-kn3uv2sf7q 7 วันที่ผ่านมา

      Nampenda msukuma wangu ananijar siwez kumcheat ata skumoja sijui maua anakwama wap

  • @GraçiaShabani
    @GraçiaShabani 8 วันที่ผ่านมา +12

    WE king wewe unapenda tukuachie mafilamu yako uitazame mwenyewe tunakupa onyo WE endeleya tu kukawa tu regarderas seul tes séries

  • @ShukuruIssa-qx6tl
    @ShukuruIssa-qx6tl 8 วันที่ผ่านมา +29

    kama unakubali mapenzi ya noely na dada yake maua gonga like hapa

    • @Chazontime
      @Chazontime วันที่ผ่านมา

      Kwako mapenzi ni nini? Maua ana mapenzi kwelii? Sidhani

  • @ساميهحسن-ش8ص
    @ساميهحسن-ش8ص 8 วันที่ผ่านมา +8

    Daaah kwkwli mmbaya wako ni yule wa kalibu yako jmn sio sawa dada mtu kutoka na mume wa mdgo wako jmn tena mume bora hata angekua awara duuuh htakama mdgo mtu anakosea haikutakiwa ifikie huku jmnii😢😢😢

    • @AaaAaa-s7e
      @AaaAaa-s7e 8 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa huyu kaka hana mapenzi na dada mtu bali anamchezeya na kumkomowa tu

    • @ساميهحسن-ش8ص
      @ساميهحسن-ش8ص 7 วันที่ผ่านมา +1

      @@AaaAaa-s7e yni nsifche imeniuma utafikili nikweli kumbe ni move to ila kiuwalisia sio vzur jmn

  • @emmanuelashirima1405
    @emmanuelashirima1405 8 วันที่ผ่านมา +8

    ❤Leo nan amekoshwa kama mm

  • @JosephatRobert-fv3pr
    @JosephatRobert-fv3pr 8 วันที่ผ่านมา +7

    Kama unahisi mme wa huyu malaya kalala kwa dada mtu nyoosha mkono juu

    • @KhadijaShabani-i9j
      @KhadijaShabani-i9j 8 วันที่ผ่านมา

      Mi nilijua muda tu kutokana na ushauri anae mpa mdogo wake nikajua tu Kuna kitu

  • @bornbuzoboy928
    @bornbuzoboy928 8 วันที่ผ่านมา +4

    I was waiting for episode 12 like crazy..... thanks for always doing great things... keep the good work.

  • @BienfaitBantuzeko
    @BienfaitBantuzeko 8 วันที่ผ่านมา +7

    Wa pili toka Congo 🇨🇩

    • @sharomgwassa7102
      @sharomgwassa7102 วันที่ผ่านมา

      Aisee hatuwataki nyie na makanisa yenu

  • @user-gh6ds9ok5w
    @user-gh6ds9ok5w 8 วันที่ผ่านมา +6

    Mchizi kaamua hongera ,ulikua ukiniumiza kwa vitendo vya maua leo nafurai sana .

  • @MehmetAshraf
    @MehmetAshraf 8 วันที่ผ่านมา +6

    Duuh kweli bongo ni rahisi sana ex wako kuwa shemeji yako 😅😂😂😂😂

  • @IreneDavid-w2d
    @IreneDavid-w2d 7 วันที่ผ่านมา +9

    Wa mwisho jamnii na Mimi naomba like zangu 😅😅😅

  • @emmanuelashirima1405
    @emmanuelashirima1405 8 วันที่ผ่านมา +15

    😂😂😂😂😂dah kumbe inauma eee heb dondosha like mliofurah we lala mme wako atarud😂😂😂❤

    • @MwanahawaKiroboto
      @MwanahawaKiroboto 7 วันที่ผ่านมา

      Safi sana dada muondoe mawazo uyo kijana

    • @MwanahawaKiroboto
      @MwanahawaKiroboto 7 วันที่ผ่านมา

      Mana maua akingemua kweli

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 8 วันที่ผ่านมา +7

    Hivi hii tabiya yakuomba Iikee hinamaanisha nini maan watu badaIa msapoti hii movie mnakazi kuomba Iikee mnaziIa au pongezi zenu watu mIiopo humu ndani movie yenu ni mzuIi Iakini mnajisaau sana sijuw kwa nn na waIe hakina maua bado mpo😂😂😂😂😂😂😂

    • @queenbby92
      @queenbby92 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @KhadijaShabani-i9j
      @KhadijaShabani-i9j 8 วันที่ผ่านมา

      Bora umeulizaa

    • @MaryClement-gq3se
      @MaryClement-gq3se 8 วันที่ผ่านมา

      Me pia huwa najiuliza wanazipeleka wp😅😅

    • @hamidasaid-oh8fs
      @hamidasaid-oh8fs 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂waenda fungulia biashara

  • @EdinaEmmanuel-b1j
    @EdinaEmmanuel-b1j 8 วันที่ผ่านมา +14

    Nmekuwa wa kwanza naomba like zenu

  • @user-sv2bk8ek1z
    @user-sv2bk8ek1z 8 วันที่ผ่านมา +2

    Wow 🥰 for the 1st time kuona a smile on your face king Noely.Soo lovely and interesting series.

  • @NeemaMassawe-y7u
    @NeemaMassawe-y7u 7 วันที่ผ่านมา +4

    Mapenzi ni game kwa kweli mauwa ujui thamani ya mumewe

  • @StevenMakanja
    @StevenMakanja 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tuliokuwq Tumeisubili kwa Hamu hii move tukutane kwenye comment na Like

  • @nuromussa9926
    @nuromussa9926 8 วันที่ผ่านมา +3

    Dakika 10 sehemu moja umefeli king

  • @mediatriceuwimana5389
    @mediatriceuwimana5389 8 วันที่ผ่านมา +2

    Umkomesh mauwa kabisa bila huruma ❤❤😊

    • @LiloydBin
      @LiloydBin 6 วันที่ผ่านมา

      Kweli Yan so poa

  • @kyembefabiankyembe3142
    @kyembefabiankyembe3142 8 วันที่ผ่านมา +4

    Duuuh bola umeachia mzee tumesubr kwaham dude ili asant kaka

  • @HalimaNyanje
    @HalimaNyanje วันที่ผ่านมา

    hii movie ni nzuri na inafunzo nmeipenda kwa kwel

  • @LatifaSuleiman-gu9hw
    @LatifaSuleiman-gu9hw 8 วันที่ผ่านมา +3

    Kiukweli ni mume amejua kunifurahisha duuuh❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 8 วันที่ผ่านมา +2

    Nimesubri mpaka bas but kazi nzur sana king noel really appreciate that ❤❤❤🎉

    • @pabloescober6709
      @pabloescober6709 8 วันที่ผ่านมา

      Ntumie no ako sof😮😮

    • @SofiaKazungu
      @SofiaKazungu 8 วันที่ผ่านมา

      @@pabloescober6709 tuma yako

  • @BelindaMamin
    @BelindaMamin 8 วันที่ผ่านมา +4

    Movi ni nzuri lakini mnachelewa hadi hamu inahisha

  • @hamidasaid-oh8fs
    @hamidasaid-oh8fs 8 วันที่ผ่านมา +2

    Leo nimechelewa jmn mnipe hizo like nikalipe deni 😂❤❤❤

    • @Radjabuahmad
      @Radjabuahmad 7 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 8 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu maua nisikia lakufaa mwanamke mbumbavu huvunja ndoa yake kwamikono yake mwiwili mtu akivumilia naakisema basi huwa basi kweliii ilaa unachelewesha kaka❤❤❤❤❤

  • @ButaSteven
    @ButaSteven 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Movie Kali sana sema mnachelewesha sana broo ila nakubali

  • @GemmaDaddy
    @GemmaDaddy 8 วันที่ผ่านมา +3

    Hahaha😂😂😂 ubaya ubwela nice xana king noel

  • @FarajaNziku
    @FarajaNziku 8 วันที่ผ่านมา +3

    Shemeji amekuwa babyi namba zote kapewa ❤❤❤ amani ya baba yetu ipo kwa shangazi yetu

    • @queenbby92
      @queenbby92 8 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 8 วันที่ผ่านมา +3

    Na hii imeenda hata nami nipo na frahaa kbao kwa mazao wangi mie nafhani hii ndio filamu bora zaidi katika Africa nzima yani upande wa mapenzi hii imetisha sana moyo n nyama sio chuma na wote wanaotaka kuingia katika mausiano au walioko kwenye ndoa hii hapa ndo kiboko sasa

  • @JuliusLucas-v4e
    @JuliusLucas-v4e 5 วันที่ผ่านมา

    King Noel unachelewa kutoa move mzee tunasubilia Sana jitahidi kuwahi alafu ziwendefu basi fupisana hizi

  • @FabianCyprian
    @FabianCyprian 8 วันที่ผ่านมา +3

    bro keep it up unajua sana tena sana

  • @FaisalRamadhani-g1h
    @FaisalRamadhani-g1h 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mnachelewesha sana wakuuu

  • @yahyamohamed7218
    @yahyamohamed7218 8 วันที่ผ่านมา +3

    Dada Mkubwa kaliamsha Dude; Bonge la Twist Kama Kiboko ya Wachawi

  • @MustaphaMdaki
    @MustaphaMdaki 8 วันที่ผ่านมา +2

    Nzuriii saaaan tunaomba dakika ziongezewe

  • @MissKayela-u6o
    @MissKayela-u6o 8 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa kweli mm nilisahau kabisa kama kuna hii movie mmmh jitahd bhn utafanya watu waanze kuchukia bure😢

  • @andreamukoko6151
    @andreamukoko6151 8 วันที่ผ่านมา +2

    Wengi2 tunaisubili kwa ham 7:42

  • @pascaljohn3426
    @pascaljohn3426 8 วันที่ผ่านมา +5

    Kwann mnatizama huu mchezo alafu hamlike

  • @LucyJoel-z8j
    @LucyJoel-z8j 8 วันที่ผ่านมา +2

    Yaan mnachelewesha Hadi mnakera aise

    • @PhoebeOdera-kl3ip
      @PhoebeOdera-kl3ip 8 วันที่ผ่านมา

      Usikasirike take heart 😂😂

    • @LucyJoel-z8j
      @LucyJoel-z8j 8 วันที่ผ่านมา

      Hadi nimenuna an😂😂@PhoebeOdera-kl3ip

  • @MathayoMollel-f6w
    @MathayoMollel-f6w 8 วันที่ผ่านมา +2

    King 👑 kama King

  • @AnastaziaMwahalende
    @AnastaziaMwahalende 7 วันที่ผ่านมา +1

    Unakela apo kwa uyo dada dakika nying mmetmia kumuonyesha yeye tu imekela sana apo Joel

  • @DominasRichard
    @DominasRichard 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ukisikia kipogo cha mburu kenge ndoo hii kilichompata maua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @evojohn4985
    @evojohn4985 4 วันที่ผ่านมา

    ☺nilihisi tu mwamba anapata faraja kwa dadaake maua, nimeipenda bure new couple🥰

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k 8 วันที่ผ่านมา +4

    Mwanamgu unachelewa sana kaka mbaka tunasahau

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 7 วันที่ผ่านมา

    Maua kweli we maua hay Baki na maua Yako liyataka umemliza vya kutosha mkaka wa watu jmn daa pumzika kweny kiota ukipendacho❤❤❤❤

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y 6 วันที่ผ่านมา

    Haya sasa ubaya ubwela 😂mauwa sasa yamekugeukia tena kwa sister ako mpendwa naombeni like basi hata 5

  • @IreneMbalu-zc4su
    @IreneMbalu-zc4su 7 วันที่ผ่านมา

    Mm sana..it teaches a lot to appreciate

  • @LiloydBin
    @LiloydBin 6 วันที่ผ่านมา

    Kweli uy king naomba namb zake man kweli anajua kupend

  • @MazigoBukayo
    @MazigoBukayo 4 วันที่ผ่านมา

    Unyamaaa Sana piga na mimba kabisa

  • @EnyrietaKemunto-lq6uz
    @EnyrietaKemunto-lq6uz 8 วันที่ผ่านมา

    Finally I can see Noely smiling haya basi next

  • @ZayBurhan
    @ZayBurhan 3 วันที่ผ่านมา

    Mda mwingi imechukua kwa maua haijawa vyema sana jitahid kaka

  • @user-fk7sw1iu9g
    @user-fk7sw1iu9g 3 วันที่ผ่านมา

    Kwake panamuuma safi ajifunze alivyomtendea

  • @MtibakitaririGirimui
    @MtibakitaririGirimui 3 วันที่ผ่านมา

    Nakubali huo ni unyama king ana moyo wa uvumilivu

  • @SeleSelemani-p5y
    @SeleSelemani-p5y 8 วันที่ผ่านมา +2

    Wa kwanza Leo. Nipeni like zangu

  • @SalhaHassan-z2u
    @SalhaHassan-z2u 8 วันที่ผ่านมา +2

    Saf sana shenz dawa ya mwanamke kibur muibie mumewe🤣🤣🤣

  • @AbeilAbeil-h6h
    @AbeilAbeil-h6h 7 วันที่ผ่านมา

    Daaaaaaaaaa hatar sana uko vzr king

  • @ryobajohn7177
    @ryobajohn7177 7 วันที่ผ่านมา +1

    wakanza kutoka Burundi 🇧🇮 nipeni like zangu

  • @SophiaMdoe-lk1to
    @SophiaMdoe-lk1to 7 วันที่ผ่านมา

    Hii haipo sawa hata kama anakosea mdogo ako uwez kumfanyia ivi bora kama sio ndug yako mnaitana beby kabsa😩😩😩😩😩🤦😢😢

  • @luciatiophil7769
    @luciatiophil7769 7 วันที่ผ่านมา

    Wenzio wanashushia najuice kabisa wa fanya kesi ambayo ulisha jibu. Kuwa umemchit mara nyingi kakusamehe.

  • @AishaHamisi-qy5bt
    @AishaHamisi-qy5bt 7 วันที่ผ่านมา +1

    nilikuwa nasubiria maua aumizwe tu mm,kwa kwel aliniboa sana

  • @SwaibSangabhihole
    @SwaibSangabhihole 5 วันที่ผ่านมา

    Nimekukubali sana hii movie lakini pia king Lionel una moyo maana huyo MAUA Sio mtu POA kabisa

  • @SaidNngodo
    @SaidNngodo 7 วันที่ผ่านมา

    Daaah umepindua meza kibabe umetisha sana broo

  • @PENDODASTANILINJE
    @PENDODASTANILINJE วันที่ผ่านมา

    Usiwe unachelewesha utam move nzur sana hii

  • @Sarah-j5d5f
    @Sarah-j5d5f วันที่ผ่านมา

    Aki kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchugu vile uyo mdada alikuwa akimtesa uyo mjamaa aki Acha alipize Sarah kutoka kenya

  • @SamsonJames-qg7ts
    @SamsonJames-qg7ts 5 วันที่ผ่านมา

    Ni nzuri sanaaa

  • @jeymohammed5573
    @jeymohammed5573 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa mara ya kwanza kucheka kwa sauti 😅😅😅

  • @TeresaSefu
    @TeresaSefu 7 วันที่ผ่านมา

    Hakika mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyew kwa mkono yake akiwa na akili tmamu ndo maua😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @vivanAmon
    @vivanAmon 8 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa huu ujinga dakika 8 zote tunaangalia sehem moja

    • @shila5756
      @shila5756 8 วันที่ผ่านมา

      Walai😅😅

  • @MariamuallyShaban
    @MariamuallyShaban 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuwa naisub kwa ham wallah❤❤❤❤

  • @MariamuallyShaban
    @MariamuallyShaban 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuwa naisubr kwa ham mie❤❤❤❤

  • @pendomwaringa7597
    @pendomwaringa7597 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hata mm nimefurahi sana mauwa kitakuramba😂😂😂😂

  • @CharlesIukas
    @CharlesIukas 7 วันที่ผ่านมา

    Wakwanza nipeni like zangu

  • @LovelyFencing-gx2lo
    @LovelyFencing-gx2lo 3 วันที่ผ่านมา

    Yani nzuri sana

  • @BrianKipkorir-m1t
    @BrianKipkorir-m1t 6 วันที่ผ่านมา

    Waiting for episode 13 and more

  • @AishaRamadan-ik7ip
    @AishaRamadan-ik7ip 8 วันที่ผ่านมา +1

    maua kipenzi unavyo jisikia na mwenzako alikuwa anasikia hivyo hivyo kwasasa mahaba ndindindi kwa dada ako ukikiona chann mwenzio wanajiuliza atakipata lini

  • @BupeNdalama
    @BupeNdalama 7 วันที่ผ่านมา

    Nikiambiwa nichague moja mpk tatu wewe utakuwa namba moja, namba mbili, namba tatu..😋nakupenda….3

  • @AminaSafari-w9s
    @AminaSafari-w9s 8 วันที่ผ่านมา +1

    mbona vipande jaman nifupi ongezeni dakk bas ❤❤

  • @kassimuissa-gd4cx
    @kassimuissa-gd4cx 6 วันที่ผ่านมา

    Mnacherewa sana wakuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FatmaBakari-m2h
    @FatmaBakari-m2h 7 วันที่ผ่านมา

    Yani Leo nimefurahi sana❤💃💃

  • @PriscaMaulid
    @PriscaMaulid 7 วันที่ผ่านมา

    Mnachelewesha sana kaka mpaka tunasahau et

  • @amanijackson8085
    @amanijackson8085 8 วันที่ผ่านมา +2

    Nice

  • @JoylEnani
    @JoylEnani 8 วันที่ผ่านมา +1

    ee! king ww ni mcute uko wapi nikutafute😂

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 8 วันที่ผ่านมา

    Ndo uachage umalya mtoto mzuri lkn mshenzi jmn.mauwa kweli ata ufanani

  • @AngelMbaraka
    @AngelMbaraka 8 วันที่ผ่านมา

    Sijapenda content Dada hakupaswa kufanya hvyo ila ilitakiwa atengenez hata kwa mbinu 😥

  • @JustinBayisabe
    @JustinBayisabe 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 nimefurahii kinomaa.yn hapo ni utamu juu ya utamu.bro kula maishaa maana ushatendwa vya kutoshaa.🎉

  • @farhiyamohamudosman7699
    @farhiyamohamudosman7699 6 วันที่ผ่านมา

    Weuwéeeee mauwa kazi kwako mume kaenda

  • @Saidathshekiyao
    @Saidathshekiyao 7 วันที่ผ่านมา

    Kubababake leo king umenifuraisha atariii❤❤❤