MAGIC SCHOOL | ep 03 | FULL EPISODE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 462

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 3 หลายเดือนก่อน +13

    Jamani baba angu umecheza ukiwa muchawi sijapenda

  • @NancieKatana
    @NancieKatana 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂eeeeh kumbe nyani ngwengwe😂😂

  • @mixboysofredorfamily6210
    @mixboysofredorfamily6210 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama WA hawo wawili no moto sana 😂😂😂😂😂wamevitiwa sikio mno😂😂😂😂😂afu nimeipenda na nimecheka sana😂😂😂

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani dubu nimekukubali kwa uigizaji wako,,,Kwa ufupi dubu wajua kuigiza chukua maua yako dubu🌷🌷🌷

  • @abuubakarhaji9510
    @abuubakarhaji9510 3 หลายเดือนก่อน +10

    Navutiwa saana na kazi yako kwa uwezo wamungu utakuwa king of new generation jitahidi baba

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  3 หลายเดือนก่อน +2

      Nashukuru sana 🙏

    • @abuubakarhaji9510
      @abuubakarhaji9510 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jitahidi saana usicheleweshee maana napenda ivo unavo fanya❤

    • @JacksonMkubany
      @JacksonMkubany 23 วันที่ผ่านมา

      mwamba me nakkubali dubu

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +4

    Chuchu ngozi vp ten ww uwgopiiii kwenda Kwa Mzee kamba tatu ni 🔥🔥🔥 ? Hila hyoo madogo sura yake mbaya mpka roho yake pia mbaya np mm sup Oman🇴🇲

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dubu nakukubali sana hujawahi kutuangusha mashabiki zako❤🎉

  • @DianaDiana-e6u
    @DianaDiana-e6u 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wangapi walijua aliyekuwa anamfuatilia mkuu ni dubu

  • @arafatmohd4609
    @arafatmohd4609 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hii movie ipo vizur kwel hongereni sana musikawie sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AgnettaJob
    @AgnettaJob 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂ati mijitu mikubwa inalia makubwa kazi nzuri hongereni kutoka saudia

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wap madonga mtu kazi roho inamu hyoo wezake wajifany good jb 😂😂😂 ww ten ay msheke nyege tu madoga 😂😂😂 Bora agekungata wallsh

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri ❤❤❤❤❤ hatuna budi kukupa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 3 หลายเดือนก่อน +8

    Sema mnachelewa sana kuachia mbaka tunasahau tulipo ishia episode za nyuma

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 3 หลายเดือนก่อน +4

    Napenda kazi zako sana 🎉🎉🎉🎉🎉niko ndani kutoka kenya 🇰🇪

  • @ChristineRumba
    @ChristineRumba 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ubaya ubwela Mwalimu moto utamuumiza mwenzio

  • @NadzuaMrema
    @NadzuaMrema 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nyani gwegwe waniumiza mbavu 😅😅😅

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 3 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂hili bifu la hawa jamaa haliishi

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mm wa tatu 😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +3

    Duuh Leo nimewai mshangazi wa ndege 🔥🔥🔥 Hila dubu hap upingaje zura y babu yako au kk yako 😂😂😂 nipenda hyooo

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dudu umetuchelewesha bana na vile napenda filamu zako❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MshengaSuleiman
    @MshengaSuleiman 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila nyani ngwengweee na mwalimu moto mnazingua😂😂😂😂😂😂

  • @MaimunaOmari
    @MaimunaOmari 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri Sana brother dubu🎉❤

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂 mabuti kiuno una ww wallah ten dudu mm nataka nafasi ya kuingiza na mm napenda San madoga madoga acha unafiki utaupoza ww umekuwa kama mapesa wa movie ya mtoto nyoka

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 3 หลายเดือนก่อน +6

    😅😅😅 mutakuja kunivunja mbavu zangu

  • @SaroMwaringa
    @SaroMwaringa 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri Sana Big up jamaa

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri bro dubu big up sana kazi nzuri

  • @AliMwinyi-w3v
    @AliMwinyi-w3v 3 หลายเดือนก่อน +5

    Dubu wafanye kazi zuri sana good job

  • @KarimuMohammed-y6z
    @KarimuMohammed-y6z 3 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂nyani ngwengwe
    🎉🎉😢😮

    • @DizaBoy-zw9mz
      @DizaBoy-zw9mz 3 หลายเดือนก่อน

      Unibamba😂😂🎉

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 3 หลายเดือนก่อน +7

    We dubu jishikilie bombo claaaaa😅😅

  • @husnahusna1544
    @husnahusna1544 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani msiwe mnachelewesha sana 🎉🎉🎉

  • @janeblinstrubas4047
    @janeblinstrubas4047 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wametandikwa na. Mama Yao sana😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @Zainabu-q7v
    @Zainabu-q7v 3 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅😅 mashavu hayana kaz dah

  • @LydiaKemuma-v8b
    @LydiaKemuma-v8b 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mandonga hasira na wivub😮😮

  • @AnselmoJoaquim-e6i
    @AnselmoJoaquim-e6i 3 หลายเดือนก่อน +2

    ongerra sana dubu kazi mzuri

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 3 หลายเดือนก่อน +4

    Woyooo nimefk mzenj honger kaz nzr frend 🎉🎉🎉🎉

  • @SaleheKadilanah-p9d
    @SaleheKadilanah-p9d 3 หลายเดือนก่อน +2

    tupo na wew broo kaz nzur

  • @chesachesscomedian
    @chesachesscomedian 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nice job kiongozi

  • @DanielJembe
    @DanielJembe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mnachelewesha movie zenu Sana nyinyi

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤nimecheka sana leo walikuwa wanaigatu hao

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmeweza kuona hizochupa nyinyi ndiyo mtakaoona mlango wake wasili

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi dubu nilijua ataokota mtego uwo jifanye uzioni😂😂

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 3 หลายเดือนก่อน +2

    Misndo nenda mbele😂😂😂😂😂😂😂eeeeeh kumbe nyan ngwe ngweweee😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuli sana 🎉🎉🎉

  • @Scholastica-rf1vn
    @Scholastica-rf1vn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dubu nakupenda sanaaaaa nisimsahau na chobby❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Chengi na mandonga akili zao zinafanana kujiamini kwingi alafu awana maajabu😂😂😂😂😂😂😂

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli nime enjoy big up sana

  • @Midekotee
    @Midekotee 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nawapendraa nyote ila nyani ngwengwe 😂

  • @Baitha-i3c
    @Baitha-i3c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aliyeshituka kama mm wakat mwalimu mwenye mbwembwe alivoanguka😂😂😂😂😂😂

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 3 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂😂😂 kazi nzuri Sanna

  • @RizikichiziGereza
    @RizikichiziGereza 3 หลายเดือนก่อน +2

    Vizuri sana dubu nyengine ep 4

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 3 หลายเดือนก่อน +5

    love From Mozambique 🇲🇿❤💞

  • @EsterKasenegala
    @EsterKasenegala 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dubu jamani unanichelewesha ❤❤ funua kitambaa

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Move Ni Mzur Sana Hla Dah Mnachelewesha Atal Adi Tunaisaau❤❤

  • @LusianaKomba
    @LusianaKomba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn nimechelewa🎉😂🎉

  • @MARYAM808ZING
    @MARYAM808ZING 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hongeren kazi nzur san

  • @FloraMwamlima-s6g
    @FloraMwamlima-s6g 3 หลายเดือนก่อน +12

    Leo wa kwanza sitaki kuchelewa 🎉🎉❤

    • @jmtv8675
      @jmtv8675 3 หลายเดือนก่อน +2

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana tena sana muvi zenu Mimi ndie chabiki wakwanza kutoka Moçambique wilaia ya nangade naitwa grande PiQui

  • @KIOMBOYTZ
    @KIOMBOYTZ 3 หลายเดือนก่อน +16

    Jamani na mimi leo nimewahi like zangu hata tino tu

  • @MgaluKumbu
    @MgaluKumbu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kakang mdg wako nakuombea baraka na mafanikio mema katika kazi Yako mungu azidi kukutia nguvu katk majukum yako

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  3 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru sana 🙏

    • @MgaluKumbu
      @MgaluKumbu 3 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDubu_tz 👏

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzur sana dubu really appreciate that much love from saudia Arabia ❤❤❤🎉🎉

  • @davidmutiso7820
    @davidmutiso7820 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nice job bro, keep it up

  • @AbdulJoseph-hb9yw
    @AbdulJoseph-hb9yw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kaka dubu tz tuko pamoja kazi nzur

  • @FeruziRamadhan
    @FeruziRamadhan 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda kitorondoo nakupendaa

  • @Malesa255..1
    @Malesa255..1 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka 🎉🎉🎉🎉 kubwa sana

  • @biashaSalem
    @biashaSalem 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ufuraishwa sana na dubu mmi

  • @NajmaRajabu-q8e
    @NajmaRajabu-q8e 3 หลายเดือนก่อน +3

    Chobi namwezake kazi kuvaa abayatu kuwanga aaah hawa ndo wachawi wanaotusaau njeee😂😂😂

  • @KipoliJunior
    @KipoliJunior 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri lkini dubu mnakaa mda mrefu tunaomba kazi nzuri hii❤

  • @tarikiramadhan6039
    @tarikiramadhan6039 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa MKAPA HATOKI MTU😂😂😂 mama bhn

  • @anniesylivester4100
    @anniesylivester4100 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mwalimu moto na uyo mwenzie😂😂😂😂🙌

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mko vzr sana we na timu yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @NajmaRajabu-q8e
    @NajmaRajabu-q8e 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalim moto😂😂😂

  • @khadijamohd-o1z
    @khadijamohd-o1z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mamb ndio kwanza moto🔥🔥🔥 ila twaomb mucitucheleweshee ep 4

  • @marthaonkoba
    @marthaonkoba 3 หลายเดือนก่อน +4

    Imagine ndio Naingia hku after 7hrs zote but better late than never❤❤🇰🇪📌

  • @zawadichengokatana4750
    @zawadichengokatana4750 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu moto 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ThurayyaMbarak
    @ThurayyaMbarak 3 หลายเดือนก่อน +11

    Kimetoka❤❤❤❤

  • @abubacarassanetoziy4747
    @abubacarassanetoziy4747 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sema nini dubu munachelewa sana kuachiya

  • @WilliamStanley-w5d
    @WilliamStanley-w5d 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnachelewesha sana

  • @PMkagoni
    @PMkagoni 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shinda unatuekea sana hii movie...toka kenya

  • @Neykids
    @Neykids 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeraaa Sana kakaa❤🎉🎉🎉

  • @Mnjugar
    @Mnjugar 3 หลายเดือนก่อน +12

    KAZI nzuri

  • @LuckyKenga-yy8ny
    @LuckyKenga-yy8ny 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wa pili leo😂😂

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jaribuni kuharakisha mnachelewa sana

  • @KasongoKaneke
    @KasongoKaneke 3 หลายเดือนก่อน +13

    Nime isubiri kwahamu

  • @DrogadomecânicoJl
    @DrogadomecânicoJl 3 หลายเดือนก่อน +39

    Jitahaidi ndugu yangu dubu of tz huta tobowa sisy Badoo tuko na wewe Mimi wakwanza kutoka Moçambique my namy is drogado mecânico

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  3 หลายเดือนก่อน +6

      🙏

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 3 หลายเดือนก่อน +5

      Sio huta toboa sema utatoboa ukitumia huta maana yake hatoweza

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu 3 หลายเดือนก่อน +5

      Me naikubali sana timu ya dubu 😂❤❤❤mbarikiwe sana🎉🎉🎉muko sirias na kazi hamuna mbambamba .

    • @ChristopherSharanda-qy2ol
      @ChristopherSharanda-qy2ol 3 หลายเดือนก่อน +1

      Missed you too

    • @ChristopherSharanda-qy2ol
      @ChristopherSharanda-qy2ol 3 หลายเดือนก่อน +1

      From Kenya

  • @PrincessRevocatus
    @PrincessRevocatus 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu moto kaz anayo 😀😀😀 respect san broo dubu 💙

  • @abraham92268
    @abraham92268 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona misondo anaonekana kama demu 😂

  • @SIXBIZZZTANZANIAN
    @SIXBIZZZTANZANIAN 3 หลายเดือนก่อน +7

    Dubu mwamba Damu yangu
    Nakubali saana kazi
    Wachache saan ❤❤🎉🎉🎉

  • @AishaTanzania-t1g
    @AishaTanzania-t1g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mandonga kiherehere kwisha et naenda kumshika kabisa😂😂😂😂

    • @Zingua-comedy
      @Zingua-comedy 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @NamikBBoy
    @NamikBBoy 3 หลายเดือนก่อน +22

    Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪 nipeni like zangu

  • @DaudWilison-pm8dx
    @DaudWilison-pm8dx 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤ nyiee watuuu nawakubali kinoma nimejipanga kuangalia wahishenii mzigo

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wa 30 leo kdg nimewai😊

  • @ahmedNassra-e8i
    @ahmedNassra-e8i 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah kazi nzur

    • @AishaBakari-g1u
      @AishaBakari-g1u 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa hiii dubu inafindisha nini

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  3 หลายเดือนก่อน

      Uchawi 🤝

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mandonga na shobo zake mjini😂😂😂...mimi nina allergy ya kukosa kuangalia tamthilia zako dubu😊

  • @GeorgeGayo-k8x
    @GeorgeGayo-k8x 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanza from Zanzibar

  • @EldRichkid
    @EldRichkid 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyani ngwengwe 😂😂 character best saaana Dubu ❤❤

  • @MeggieIbrah
    @MeggieIbrah 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wakwanza kuweka like kwa dubu Tz

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 3 หลายเดือนก่อน +3

    Good work you guys ❤❤❤❤

  • @InnocentKwizera-u1f
    @InnocentKwizera-u1f 3 หลายเดือนก่อน +15

    Good work

  • @VickMiyeya
    @VickMiyeya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Msiseme amjamwona alopanda ukuta😅😅😅😅😅😅😅

    • @gloriaburamu8818
      @gloriaburamu8818 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤amenichekesha jamani alie panda ukuta😂😂😂😂😂😂

  • @husnakinza-q2l
    @husnakinza-q2l 3 หลายเดือนก่อน +8

    tatizo inachelewa sana kutoka yaani mpka nasahau kama kuna hii movie