Hili somo nimekutana nayo baanda ya kulia😭😭 sana jana nikijiuliza kwa nini nilikuja duniani. Nimejaribu kungengana na maisha lakini mashinda yamenisonga sana. Lakini roho wa Mungu akiniambia niliumbwa kwa sababu na maisha yangu yako mikononi mwake aliyeniumba. Kisha usiku nikatazama vidio ya Sea documentary(viumbe vya bahari) nikaona maajabu ya Mungu viumbe vya maajabu sana vimo humu nikaona maajabu ya Mungu. Sasa hii vidio nashukuru kwa sababu sijawai kukutana nalo lakini baanda ya hayo, Mungu amenithibitishia kuwa yeye ndiye muumba wa vyote 🙏🙏🙏🙏
Umenibariki San pastor, Mungu akubariki pia akutie nguvu ili uendelee kutufundisha zaidi
Amina nabarikiwa mno kutoka Oman
Ubarikiwa mtumishi wa mungu, pia mungu azidi kukutia nguvu usonge mbele
mungu akubariki sana mpendwa na sote tukapate kubarikiwa na masomo haya
Hili somo nimekutana nayo baanda ya kulia😭😭 sana jana nikijiuliza kwa nini nilikuja duniani. Nimejaribu kungengana na maisha lakini mashinda yamenisonga sana. Lakini roho wa Mungu akiniambia niliumbwa kwa sababu na maisha yangu yako mikononi mwake aliyeniumba. Kisha usiku nikatazama vidio ya Sea documentary(viumbe vya bahari) nikaona maajabu ya Mungu viumbe vya maajabu sana vimo humu nikaona maajabu ya Mungu. Sasa hii vidio nashukuru kwa sababu sijawai kukutana nalo lakini baanda ya hayo, Mungu amenithibitishia kuwa yeye ndiye muumba wa vyote 🙏🙏🙏🙏
SoMo makini Sana hili...Barikiwa Sana pr
pastor barikiwa sana kwan tunabarikiwa sana.
Hicho kiduala cha mhubiri TV kingekuwa kwenye kona sio katikati, ombi tuu 🙏
Ubarikiwe na BWANA Kila siku nimetazama na kusikiliza
Barikiwa sana Mchungaji
Amiiina saana Mch Semba nakupata toka-Oman
Imenigusa sana ubrkw paster
Ubalikiwe sana
AMINA mtmsh wa BWANA
ameeeen
mchungaji ubalikiwe sana
uende mbali break ya kwanza mbinguni
ad
Amina
Ubarikiwe