DUNIANI TUNAPITA.| QASWIDA VIDEO |KHAMIS MSHAURI & NASIBU KIKWASA | ikhyaul Umma | madrasa shop tz
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2018
- DUNIANI TUNAPITA
Kila kiumbe na kielewe hapa duniani tunapita hv tuishi kwa kutokufanya mabaya
hii qaswida itakupa ujumbe shihi
fatilia chanel yetu hii kwa faida zaid
SUBSCRIBE COMMENTS LIKE SHARE
+255773 950 250
+255717 513 191
MADRASA SHOP TV ONLINE
BURUDIKA HUKU UKIELIMIKA - บันเทิง
Duniani tunapita 2024 💯
❤
2024 niko hapa ,,,, naamini 2099 tutakuwa tumeshakufa wote ,,,, basi tuombeeni du’a🤲🤲🤲
Vichanga vitakuwa ndio wazee mno
Mashaallah hii Qswida naipenda sn inamafunzo mzr sn gonga lkn km wapenda hii Qaswida😊❤❤❤💯
Masha Allah 2o2o nasikiliza hii nasheed siichoki ❤❤❤kwa ajili ya Allah
Yani hii kaswida nimeitafuta hadi ndo nmeipata 2024 kwakweli ina ujumbe mzito sana mungu awape kila la kherii inshaallah
11-11-2022, Ijumaa 14:43 naisikiliza hii Qaswida, Mashaa Allah ujumbe mzuri kwa wenye mazingatio
ماشاء الله ربنا يهدينا على الطريق المستقيم الجنة تحت أقدام الأمهات 😢😢😢😢😢
In this world we passed away if our day will come we will gone to Allah life in this world lie us
In this world we passed away if our day will come we will gone to Allah life in this world lie us
@@Rechokidoty True 🙌 🙌🙌🙌🙌🙌
💞MASHAA ALLAH💞
Shukran Kwa Ujumbe Mzuri.
💞ALLAH Akubariki Sheikh Mshauri💞
Ammi
Mashaallah dunian tunapita
Qaswida inaujumbe mzito sana wallah
2024 am here again listening to this masterpiece ❤
None can replace your butiful qasda..mko wapi jamani madrasa shop..we still need you 2020 and forever....endeleeni kutuoa mambo mazuuri kabisa biidhnillah
Inapendeza kwa ujumbe huo
Dunia ni mapito tuitazame akhera
wasiya mzuri sana.hakika akhera ndio makazi yetu.dunia mapito.
15/6/2024 MAISHA YA DUNIANI YATUDANGANYA JAMANI YATATUTOWA IMANI
Sahihi kabisa DUNIANI matembezi
Mashallah Qaswida nzuriii kuna kipindi niliitafutaga sana.Ujumbe unaingia hadi kwenye mifupa
Saanaa tumejisahau waislamu mwenye zimungu atupe mwisho mwema iinshalh
Inshallaah
Mashalallah ❤️😘
Maashaallah mungu ni mwema
Ma.shaa Allah uwaga sicholi kuickiliza hii gaswida kiukwel inamameno mazito yakutuelimisha
Mashaallah mungu awalipe mema dunia na akhera
2020 dunia tunapita gonga like
Masha Allah , Nzuri xana
💕💕💕mashaAllah 💞💞💕💕
Mashaallah ❤❤❤ ya Allah tujalie mwisho mwema ameen thuma ameen 😢😢
Natamani kulia wallah hii qaswida inachoma Allah awalipe wallah
Duniani matembez kabisa, Akhera ndiyo makaz🙏🏼🙏🏼
Mashalla
qasida mash allah...ALLAH awalipe kher walosoma
Wangap tupo 2023 mwezi mtukufu inshahll qaswida nzuri Sana🙏💪
Masha Allah... Ujumbe safi. Allah SWT awaneemesheye daima.
Hakika Dunia silolote si chochote YAA RABIY NAOMBA ukiturudisha kwako TUWE ktk radhi ZAKO YAA ALLAH 🤲
2020 hyooo bdo inadumu
Dah jaman qasda nazipenda sana mungu awape afya duniani na kesjo aghera awappe isabu njema
Inshaallah Allah awape afanya njema kwenye vipaji vyawo 😢😢😢👏👏
Manshaallah,ujumbe wa kweli kabisa
Innali llah qaswida nzuli Sana nakumbuka wazazi wangu Apo inali llah ujumbe mzto Sana Alla awapen maisha mema
Qaswaida nzuri yenye mafundisho mema kabisa tuzingatie kwa sote.
Mashallah funzo Kubwa
Qaswida bora hii nimeipenda miaka mingi tangu sijui imesomwa na kina nani wala nchi gani
Nchi ya tanzania ilikoimbwa hiyo qaswida dar es salaamu
mashaanllah tabarak nllah hii qaswida ni nzur
I believe this mashallah
Mashallh
Yaan hii kiboko sichoki kuisikiluza kila siku naona mpya mpya yaraba l-alamiina ij-alnii 🤲
Mashanllah...!!
Tusijisahau ndugu zangu tukaipenda dunia tukamsahau mola wetu
Amina ishallah
Qaswida mypa
Asantane sanaaaa kwa kaswida nzuri mungu awasimamie kwa kazi nzuri
Mashallah kweli duniani sisi ni wasafili tu hakuna binadam atakae ishi milele
mashaallah hii qaswida nilikua nikitafuta sikunyingi alhamdulilah Leo nimeipata
Umeona eee
Nielekeze jinsi ya kuipata niweke kwenye video kwa file langu
Kwel dunian tunapita 2024
Nikwli duniani tunapita masha'allah kaswida n nzri sana nimepata kitu fulani hpo ndani
Kama umetafakur na kuliona hilo utakuwa ni miongoni mwa waja wema.. Allah akuongoze
Mashaa allah qaswida inasikitisha nakweli maisha yaduniani hayana thamani tumkumbuke mungu na kufanya ibada.
@@omaryshafii50 gv
ameen kaswida nzur sana namm naomba nije nijifunze kwenye chuo chenu
Best qaswida bless those made thZ
Mashaallah
2022🙏🙏☪️🕌
Mashallah
Duniani tunapit 2024 ila tunapoelekea ssa sijui ni wapi hat 😢😢😢
2019 duniani tunapita gonga like
Mwajuma Saudi kweli maisha yaduniani yatatutoa imani kweli
Kaswida zuri sana
Jamani huwa yanipa amani sana hii Qawaida kwasabubu yanikumbusha akhera yangu na kujua kuwa iko siku nitafika
Jamani naombeni mwenye nayo a nirushie wassp yangu +971521531467
K🤲🤲🤲🤲aswida mashallah aaamiiin 🤲
Wabaariiki alaa Muhammad nnabii l-umii 😭😭😭
Nikweli kabisa
Mashaaallah ❤️❤️❤️
Mashaallah 🥰🥰
Masha ALLAH Tabarakallah 👌
Mashaallah
Mashaallah ujumbe mzito sana allah atujalie mwisho ulio mwema
Ameen
2021 dunia tunapita.
Masha Allah
Sibhannallah
manshallah ostadhi mshauri kutoka kwa diwan
2024 dunia mapito
Ayana thamani qaswida inaujumbe mzito nimejisikia kulia allah atakulipa kaka kwakutukumbusha mema
ماشئا الله بازك الله اليكم
Maa sha Allah tabarakallah
Mimi naaitazama 2023
masha Allah ......xafidhallahu lisank
Ongezeni na nyingine kuhusu watoto yatima
Maashallah
Masyaallah
Ujumbe mzito sana
Maaashallah jazaka ullahu khair
Mashaallah kasida Nzuri ilambona mumepoteahivyo
Dunia tunapita 2024 Daah ujumbe mzito huu wallah
Hakika ndg yangu Allah atujalie mwisho mwema
Maashaallah qaswida nzuri Sana. Allaah atujahalie mwisho mwema. Coz Hakuna atakayeishi milele.
Hussein Ramadhan Allahu mma aamin
Ameeen
Mashaallah u
Maaashallah maalim Mshauri
Huwa sichoki kuskiliza hii qaswaid huwa nafarijika na ujumbe mzito uliopo
Maa shaa allah
Naipend hii qaswida 2022 naangalia bad
2023 🙏
29-3-2023 mungu awe nasii😭😭
Hakika duniani tunapita
19/6/2021
Al akh kawaida zenu mzur mashallah endeleeni na kaz maana ni kasida zenye mantiki mzur
Masha Allah🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Masha Allaah♥️
Hongeren sana naipenda sana kaswida
MashaAllah❤❤
Mungu type mwishi mwem waja waki islam
Allah awajaze kila LA kheir
Maashallah swadact 🙏
Hiii qaswidah naomba ustdh mutengeneze nyengine mfano wahii🤗🤗🤗🤗
Daalili zawaziwaazi kwamba vifo haviishii swadaqtaah
Mashallah mko vizuri ila vinanda ndo shida ila kwa baadhi ya wanawachuoni
Mashaallah qaswida mzuri sana naomba kujiunga na nyinyi jee yaweze kana
Sio baadh kiufup wote hakun nahaifai kwan hawawez imb bila vinanda namiziki??
❤❤