Unapopata majaribu itafute sauti ya Mungu/Maisha ni mtihani/ Kataa kujikataa/ Mungu anaunga point

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @theresiakapinga5238
    @theresiakapinga5238 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aibariki kazi aliyokupa Fr. Kamugisha. Ni faraja sana kupata mafundisho yako. Umebena maono. Mungu awe nawe daima, Amina🙏

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 5 หลายเดือนก่อน

    Padri kweli ni mtihani mungu akubariki sana

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 หลายเดือนก่อน

    Atukuzwe Mungu milele

  • @fatumamaiga8496
    @fatumamaiga8496 3 ปีที่แล้ว +3

    Padre ni kweli baba kabisa maisha ni mtiani

  • @gilbertkatunzi7881
    @gilbertkatunzi7881 4 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana padre kamgisha Mungu hazidi kukupigania na kukutunza kwa kweli uwa unanibariki sana sana kwa kweli hata hivyo siku nikija bukoba nitafika hapo kanisani Mungu akubariki sana sana

  • @EdinaRutela-xv9sv
    @EdinaRutela-xv9sv 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 ปีที่แล้ว +1

    GOD strengthen faith of ft kamugisha to countiue in is mission.

  • @robertmoshi2113
    @robertmoshi2113 3 ปีที่แล้ว

    Dar asante nakupenda sana Padre

  • @أمجدالمفرجي-ق3ض
    @أمجدالمفرجي-ق3ض 2 ปีที่แล้ว

    AMINA ubalikiwe sana

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 ปีที่แล้ว +1

    God strengthen faith of all catholic believes.

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @deusedward1169
    @deusedward1169 3 ปีที่แล้ว

    Through the law can't created or distroyed

  • @cellyassenga2020
    @cellyassenga2020 4 ปีที่แล้ว

    Asante baba

  • @nicksonmtaya7936
    @nicksonmtaya7936 4 ปีที่แล้ว

    sijambo. Amina

    • @festongonyani152
      @festongonyani152 4 ปีที่แล้ว

      Asante Baba kwa mahubiri mazuri...
      Kweli yajayo ni Mtihani,utukufu ni mbele kwa mbele....yajayo ni mtihani.

  • @onlyyoujesus8232
    @onlyyoujesus8232 4 ปีที่แล้ว

    Fanya mtihani ushinde mtihani

    • @tuliamakombe1623
      @tuliamakombe1623 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana baba naomba Sala zako kwangu maan naona mitihan kwangu imekuwa mingi

  • @yohanamsabila9322
    @yohanamsabila9322 3 ปีที่แล้ว

    Nitapataje namba za Padre wetu jamani natamani kuzungumzanae

  • @allymwilamba1180
    @allymwilamba1180 3 ปีที่แล้ว

    Maisha yanahitaji uvumilivu