NGUVU YA MTANZAMO CHANYA | FR. KAMUGISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante padre mungu akutunze zaidi

  • @anatorikigahe
    @anatorikigahe 4 ปีที่แล้ว +2

    Asantee Mungu kwa ajili ya mafundisho haya kupitia kipawa kilichondani ya mtumushi wako huyu. Jina lako lihimidiwe daima

  • @augustinemuendo2651
    @augustinemuendo2651 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante utatu mtakatifu kwa Zawadi ya padre.faustine Kamugisha kati yetu...Nina lako na lihimidiwe

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 2 ปีที่แล้ว

    Father mwanza lini! Jamani tunaitaji kuhudhulia mahubili

  • @josephlupasha6228
    @josephlupasha6228 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Fr.Kamugisha

  • @yovithaobed5574
    @yovithaobed5574 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mana unajua kunifurahisha na kuuponya moyo wangu na mawazo yangu

  • @fallyipupa2844
    @fallyipupa2844 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana Baba

  • @marygenes2381
    @marygenes2381 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kumbariki ili nasi tuzidi kupata mafundisho ya kutujenga...

  • @paulrwechungura4958
    @paulrwechungura4958 4 ปีที่แล้ว +2

    Mapadre mpo vizuri kimaandiko

  • @cellestinembenzwa2471
    @cellestinembenzwa2471 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Fr.kwa mafunzo ya manufaa sana kwa wakristo,,,its true,mungu akitaka kubariki mtu umuweka chini kwanza.

  • @nestorymhagama2600
    @nestorymhagama2600 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh Padre Kamugisha nakupenda mpaka naumwa

  • @aderinaevodi1024
    @aderinaevodi1024 3 ปีที่แล้ว

    Amina na wewe akubaliki pia

  • @waichaflavious
    @waichaflavious 3 ปีที่แล้ว +1

    l like you show dad.

  • @gracemisokalya1061
    @gracemisokalya1061 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sn fr. Kamugisha

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 ปีที่แล้ว

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika TH-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 2 ปีที่แล้ว

    Fadher kamugisha miaka 1000

  • @latenswella
    @latenswella 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema kila wakati

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 4 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @aderykabanja
    @aderykabanja 4 ปีที่แล้ว +2

    hakika mungu amekupa karama

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 ปีที่แล้ว

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika TH-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @nesphorysungu4934
    @nesphorysungu4934 4 ปีที่แล้ว +2

    This has made my day. Be blessed Fr.

  • @epnyagawa
    @epnyagawa 3 ปีที่แล้ว

    Asiyepoteza haokoti

  • @epnyagawa
    @epnyagawa 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakikujadili wamekukubali