TA'LIYQ 08: EWE SUNNI SALAF NA ANAYETAKA KUJIFUNZA SHIKA KALAMU NA KARATASI TUTEME MATANGOPORI HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 237

  • @abdirahmanshawkani
    @abdirahmanshawkani 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hii si Rudud bali ni Darsa ya kiarabu ,,, jazaka Allahu Khair

  • @abdirahmanshawkani
    @abdirahmanshawkani 3 หลายเดือนก่อน +2

    Akhy Abuu fawzan jazaka Allahu Khair,Allah akuhifadhi

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar 3 หลายเดือนก่อน +4

    JAZZAKUMULLAHU KHEIRAH YAA IKHWANI .TUMEYATAPIKA HAYO MATANGOPORI .BACHU TARAJA'A WAJITIA AIBU BUREEE

  • @UstadhAboubakar
    @UstadhAboubakar 3 หลายเดือนก่อน +7

    الأخ أبو الردود/أبو فوزان بارك الله فيك وجزاك الله خيرا ثبتنا الله على منهج سلفنا الصالح ،ونعوذ بالله من الحزبية وأهلها.

  • @AbuuMinhaal
    @AbuuMinhaal 3 หลายเดือนก่อน +11

    Allah akulipe hili ni somo amepata na sisi tumenufaika

  • @alfauzantv123
    @alfauzantv123 3 หลายเดือนก่อน +7

    KAZI NZURI KIJANA TUSHIRIKIANE INSHA'ALLAH NI AL FAUZAN tv ❤

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂mtu ambae hujulikani manhajj yako niipi😅😅😅

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123 3 หลายเดือนก่อน

      @@NuryaMusa أنا سلفي.umeskia ww nurya

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@NuryaMusa wala sina Shaka nausalafu wangu

    • @Musahamisi-oj5lj
      @Musahamisi-oj5lj 3 หลายเดือนก่อน

      @@alfauzantv123 mashallah

  • @mringikijuu659
    @mringikijuu659 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hali ya mhamad bacho inazidi kujulikana ubovu wa ilimu yake.mm namshauri asione aibu ya kurudi daras kusoma.tena akasome vyuo vya kisalfi achane na uhizibia atafaulu kwa ajili ya allah

  • @FatumaJuma-g7l
    @FatumaJuma-g7l 3 หลายเดือนก่อน +8

    Abuu fauzaan usichoke kumuweka sw muhammad bachu allah akuhifadhi na akupe thabaat

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 หลายเดือนก่อน

      @@FatumaJuma-g7l mzee wa matusi kaambiwa mshamna kapanik

  • @bashiromary4897
    @bashiromary4897 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwezi huu elimu imepatikana
    Na yote kasababisha bachu
    Kuna watu tulikua hatujui kutofautisha kati ya mujitahidu (imamu) lkn sasa twajua kwa majibu yaliotolewa na salafiyyun.
    (Hassan soloko Allah amuhifadhi .amin
    Kadhia ya muhammad al imamu nayo ilikua imejificha nayo imebainika kubidiishwa kwake na walistahik kumbidisha wanafahamika.sio sis ambao tunafata qauli za wanawazuni
    Kwani nao ni hoja ktk dini.
    Haya kunako lugha sasa najiuliza huyu muhammad
    bachu hakujua kama kuna namna ya attaradduf mpaka mwenzake aje kuelezea halaf aonekane mjinga.mbona hajihami haya ngoja twamsubir ...kama anakuja na mada hihii au ataazisha nyingine..inshallah

  • @ImranMrisho-f9u
    @ImranMrisho-f9u 3 หลายเดือนก่อน +11

    Ila tukiacha Ushabiki abuu fauzan yupo vizur mana ikielezea kitu anakilezea chanzo mpaka mwisho ama kwer bacho mvuruqaji kunakitu kakielezea abuu fauzan mtaradifatu Yan kanikumbusha Mbali sana kwenye kitabu Cha ruqha ya kiarabu kinacho itwa mfitaahun SoMo latatu dou kweli ,,khashabatun ,,,,ubao lauhun,,,, ubao mtaradifatu,,,,jaman uyu akhy yupo vizur,,,

    • @awesusalumu5498
      @awesusalumu5498 3 หลายเดือนก่อน

      ❤😊😢

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi ckubaliani na hilo kwa 7bu namckiliza cku zote

    • @BilaliIloko
      @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 mche allah chuki hazi jengi mm naona endelea kufuatilia darasa inshaallah Allah atakuongoza​@@OmarSalum-y9c

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 3 หลายเดือนก่อน

      Chuki za nini kwa 7bu nikimuunga mkono nicmuunge hainisaidii wala wewe haikusaidii mimi hua cckilizi kwa ushabiki wewe kushawahi kumckia kua kakubali japo kosa Lake 1 huyu na sh kassim mafuta ni wale wale hawakubali makosa yao kama c binadamu ndio maana naona wana uzaifu

    • @BilaliIloko
      @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน

      @@OmarSalum-y9c mm nakunasihi tafuta Markaz uanze kusoma hata linapokuja hoja ujue kuzichambua ,alafu ss tukisikiliza rududi ni ziada ya ilmu ,kama hili aliingia bacho azungumza tofauti na uhalisia wa jambo lilivyo lengo ni kutaka kutetea haliyakuwa watu wengi wanasikiliza tena akitoa mifano,aliambiwa sio akakasirika na kutoa kashfa

  • @AbuJuhaifah-c8j
    @AbuJuhaifah-c8j 3 หลายเดือนก่อน +4

    JAMANI TUELEWE HATUJAANZA KUMRADDI MUHAMMAD BICHWA SIFA BADO SAIZ TUNAFANYA TAALIQ TU YALE ALOYASEMA SASA MKIJA MKIONA NENO RUDUUD TUNAANZA KUMSOMESHA MUHAMMAD BICHWA
    RADDI IS COMING SOON SAIZ TUNAONESHA KUA MUHAMMAD BICHWA ELIMU BADO YAKUSOMESHA BADO

  • @omarkabogo1580
    @omarkabogo1580 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nilimwambia bacho kwenye comment kwamba umeya kanyaga

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jazaaka llah khair akhy,ata mm ambaye mustawa wangu mdogo nimekuelewa kuhusu kuhusu attaradufu

  • @luqmansudi
    @luqmansudi 3 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاء الله شيخنا الفاضل ابو ردود برك الله فيك

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน +1

    Akhy taalik namba 9 jaman ambaye kapata aitume tuskilize

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu kaa usome ankoo,elimu haitako jazba we mtootoooo,haya mambo hayakuhitaji majlis mbili tatu,ilikua ujibiwe kwa dk 10 tu,unapotezea watu mda bachu,ona sasa unadhadhalilishwa😂😂

  • @AbdulkarimMuhamed-t5w
    @AbdulkarimMuhamed-t5w 3 หลายเดือนก่อน +1

    mashallah tua ache ushabik abuufauzan ametu ilimisha mashallah acana namuhammad baco hanahikim kwakuongeya

    • @Musahamisi-oj5lj
      @Musahamisi-oj5lj 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulkarimMuhamed-t5w KBS hak isemwe

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน +9

    Akhy Muhammad Bachu huwa nakufuatilia sana ukiwaradd masufi sema huku kwenye zogo lako na salafy unazingua,mfano ulianza kukosoa bango then ukataka upewe dalili ukapewa na ukakir kosa baadae unakuja kutaka kuonyesha kwamba ulkua sahihi.Ni bora2 ungekaa kimya jambo lingekuwa limeisha saiv kinachoendelea naona2 kwamba sikubali kushindwa basi lakini mwisho wa Allah ndiye mjuzi na haqq itabainika2

    • @swalehkhatibu5451
      @swalehkhatibu5451 3 หลายเดือนก่อน +2

      بارك الله فيك

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      NI wachache wenye uono wa mbali km ww, Allah akubariki

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@AbdulbasitAkida-ui2du Allahumma aamiin, Wallah huwa namfuatilia sana akhy Bachu lakini katika hili kanikera mpaka clip yake ya mwisho sielew hata alkua anzngumza nini naona aibu mimi ninaeskliza.

    • @shaibamran5419
      @shaibamran5419 3 หลายเดือนก่อน

      hongera sn kwa kua makin ktk kuitft haki allah atuongoze sote ktk njia yake ya sw

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน

      @@shaibamran5419 Aamiin

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 หลายเดือนก่อน +1

    Matendo pasina Ikhlaas ni MSIBA. Imefika maduat hawajitambui kama wanaacha njia. INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RRAJIUUN. Ariaa wasim a' vinatumaliza.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      Aliyekwambia hawana Ikhlasw ni nan? Ruduud ni ibada na tunatajari malipo kwao kwa wanayotufundisha!

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Ria UNaijua umeisoma na ukajua madhaaahir yake au wewe binafs sikiliza kwaajili ya Allah. Wengi wao wanamtetea Bachu kwa baatwil matamanio ya nafsi zao wewe usiwafuate

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 3 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Naomba dalili (references)nikarejee wapi.

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmadmzoa74mHhhh ndugu yangu huku hakukufai Subir utangaziwe mawaidh usikilize utaumiza kichwa

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm Sahihi. Shukran akhuy.

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +8

    Maa shaa Allah! Baarakallahu Fiykum!

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      Kaka hucherewi

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      Waiyaak Akhy

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@ramadhanramadhan4948
      Nimechelewa kidg leo mtaniwia radh kukuchelewesheni kuzipata faida hizi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@ramadhanramadhan4948abuubaaz ni salafy wa kweli maa shaa Allah,,,yupo na masalafy daima.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@ABUUJAAFAR92 Alhamdulillah! nimeitambua haqqi baada ya kutangatanga kwa muda mrefu!
      Namuomba Allah anithibitishe mimi na ninyi katika hii haqqi...!!!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +13

    YANI MIMI NAMSHANGAA SANA BACHU NA VIRANGA VYAKE (FOLLOWERS)..!!! SIJAJUA AKILI YAO INAWAFELISHA WAPI... YANI WAMEPEWA USHAHIDI HADI KWENYE QURAN ALLAH AKITUMIA MASWDAR KWA MAANA YA ISMUL FAA'IL LAKIN BADO WANALETA TALBIS..!!!
    KWANINI ALLAH ALITUMIA MASWDAR KWA MAANA YA ISMUL FAA'IL WAKATI ISMUL FAA'IL YENYEW IPO???!!! ALISHINDWA NINI KUITUMIA ISMUL FAA'IL YENYEW KAMA YENYEW AKAJA AKATUMIA MASWDAR KUWAKILISHA ISMUL FAA'IL??? HII YOTE INAONESHA HILO NI JAMBO LENYE KUKUBALIKA KATIKA LUGHA...!!!.... HAYO MASHARTI ALIYOYATOA BASI AJE AYAPELEKE HATA KWENYE QURAN AMBAPO MASWDAR IMETUMIKA KAMA ISMUL FAA'IL TUONE ITAKUAJE...!!!
    BACHU BANA, SJUI KWANN ANAROPOKWA SANA... HAKIKA BABA YAKE HAKUWA HVO NA NDO MANA AKAWAPOKEA MASALAFY NA KUIKUBALI MANHAJ SALAFY KAMA ANAVYOSIMULIAGA PIA MZEE WETU SHEIKH CHICHI MWANAFUNZI WA NASSOR BACHU (ALLAH AMREHEMU)__BABA SAFI, MTOTO JIPUUU..!!!

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha nduguyangu wewe itakua hujielewi ebu Acha ushabiki wakishamba sikiliza kwamakini hizi madda, Acha ushabiki utaelimikaa .bachu kasema inaweza kutumika ila kwavigezo na masharti Acha ushabiki wakijingaa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @@RamadhaniShembilu-l1e hyo aliyokuwa anazungumzia bachu ni Attaraaduf! ambayo Abuu Fawzan kasema Maswdar na Ismul Faa'il haviingii humo! mbona una kichwa kigumu?
      Swali linakuja, kama kweli hayo masharti yapo, kwanini ALLAH katika Quran ametumia maswdar kwa maana ya Ismul Faa'il wakati Ismul Faa'il yenyew kama yenyew ipo???!!! Alishindwa nini kutumia Ismul Faa'il au ismul maf'uul na akaja kutumia Maswdar???!!! Au hvyo vigezo vya bachu havifanyi kazi kwenye Quran???!!!

    • @Musahamisi-oj5lj
      @Musahamisi-oj5lj 3 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kbsa Ana taka umarufu Allah amuongoze

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@RamadhaniShembilu-l1e Kwann hayo masharti yasifanye kazi kwenye Quran Allah alipotumia Maswdar kwa maana ya Ismul Faa'il wakati Ismul Faa'il yenyew kama yenyew ipo??? Alishindwa nn Allah kuweka ismul Faa'il akaweka Maswdar???!!!

  • @HabibuMakoja-y3f
    @HabibuMakoja-y3f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jazaaka llahu khayra

  • @AbdulkarimMuhamed-t5w
    @AbdulkarimMuhamed-t5w 3 หลายเดือนก่อน +1

    mutu ambae hajaewa hap nikicwacake kigumu asilaum mwalim abuufauz allah amulipekher yahapadunian na akher

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน +16

    Yani kila anavyokuja abuu ruduud ,ujinga wa bachu unadhihiri ata kwa mtoto mdogo ,,,kumbe bachu ndie mshamba ,,,

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 หลายเดือนก่อน +3

      Sasa hpo Kajibj Ninn Mtu wako Ajui Kitu 😂😂😂 Wachen Kupindisha Hakiii😂😂

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sanoureyaliwadoakaroyo1696Acha uhizbiy sikiliza vizuri utaelewa

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@sanoureyaliwadoakaroyo1696BACHU hajui maana ya الترادف yeye ndio mshamba. Anafahamisha jambo kinyume na kilivyo.

    • @AbuJuhaifah-c8j
      @AbuJuhaifah-c8j 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sanoureyaliwadoakaroyo1696shehe ni hvi huyu bachu saiz anafanyiwa usahihi tu hajaraddiwa bado

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sanoureyaliwadoakaroyo1696wee mwenyewe ulikua wafikiri الترادف ni kupiga dufu umeijulia hapa tu

  • @seniornyungu9718
    @seniornyungu9718 3 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allah.
    Mwalimu Allah atakulipa,endelea kuwapa dawa wagonjwa waliomezeshwa sumu na huyu katibu wa chama chao bwana bacho,kuanzia sasa waachane na kumsikiliza kabisa sababu ni mtu ambae mimi simzingatii kama shekhe,hajui mambo madogo hayo wala hajishtukii kuongea bila kufanya baathi,haogopi kupatikana na makosa mara kwa mara kila akifungua kimya chake? Kama amekuwa akichanganya mambo hayo madogo tunamuaminije anapojifanya anasomesha vitabu? NDIYO MAANA ALIFUKUZWA ZANZIBAR KWA SABABU YA KUROPOKA NA UKHAWARIJI WAKE.

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu tumalizie kufafanua kijarida cha sloka na soloka na abuu fauzani saidiani kujibu masala ya suyuti alouliza bachu
    KAMA HAMUNA MUSITUEKEE KELELE

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahahaah sindano zinauma tuliiiiia ili umjue Bachu ni nani Bado hujamjua hhaahhahahahahahhahahHHhh. Ni kudhalilika

    • @abulfuluss8739
      @abulfuluss8739 3 หลายเดือนก่อน

      Bachu hawajaelewa mashekhe hajui kwanza ni mjinga akasome tuu

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 bachu kwenye (الترادف) kachekesha kweli kweeli,lkn pia kwenye jambo la kuitafsiri mas-dar kwa maana ya ismul faail bachu kachekesha saaanaa😂,hivi kweli huyu mtoto hata qat-ru nnadaa kaielewa huyu,maana msimuonee kuhusu kusoma alfiyyah😂.

  • @HassanMohammed-x4s
    @HassanMohammed-x4s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wayahudi walisema kuwambia manaswara kua hawajui kitu na manaswara huwambia mayahud kua hawajui kitu hali ya kua wote wanasoma kitabu cha Allah,kufanya hivyo kulipelekea kuangamia kwao,hofu yangu huenda mijadala yenu ikawainawatoa kwenye twaa na ikhlasi .nibora mkaachana na hayo mambo mkafanya mambo kazi ya udaai,kumbukeni masheikh kua sheitwani anawapambia mokosa yenu mkijoona mko sahihi,ittaq llah ya ibada llah

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Hapaanaaa soma kwanza utajua maana yake

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน

      Soma vizuri maana ya hiyo tarjama ya aya uliyo toa utaelewa.

    • @HassanMohammed-x4s
      @HassanMohammed-x4s 3 หลายเดือนก่อน

      Nieleweshe ya akhiyy

  • @MwanaidiShabani-tr7dt
    @MwanaidiShabani-tr7dt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Walioko upande wa bachu muwe wakweli.mwalimu wenu
    Akizungumza jambo ambalo linaendana na shubha zenu mnamuweka kifuani na kumshauri aendelee
    Akibainishwa mnasema tuachane kuradiana katika lugha.je mmesahau kama mwalimu wenu ndio anae weka mada mezani tahamaki .Alikuja kubainsha haqqi na haqqi mnavikataa mnataka kuwekewa mada nyingine.hata mkaweka mada salafyy hatakosa majibu kwasababu imejengeka ktk msingi wa elimu.

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 หลายเดือนก่อน +5

    naam safisha MATANGO PORI

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน +5

    Bachu jmni ajihurumie nafsi yake wengi wao humu hawamjui wala kumuon hawajawah kumuon zenji twamjua

    • @muddathirkassim2407
      @muddathirkassim2407 3 หลายเดือนก่อน

      Hatutaki kumjia BACHU twaangalia haki ikowapi basi....mambo nakumjua mjue weyee

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      @@muddathirkassim2407 Haki utaijuaje kwanza izo mada zinazojadiliwa umesom lugha ya kiarabu kama hujaisom Lugha kaa chonjo mwaumiza watu vinjwa

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 3 หลายเดือนก่อน +5

    Alijiita yy ni saraha ya kuangamiza ujajida sijui alifikili kuwa ss ni masufy...mimi naona sheikh kuna haja ya kubainisha zaid matangopori yake maana jamii itaangamia na uyu kiumbe

    • @Modyb
      @Modyb 3 หลายเดือนก่อน

      Ana genge kubwa nyuma linamfwata hivyo lazima abainishwe ili wenye kwenda naye waende Tu Kwa inadi. Huwezi kupambana na Haqq uishinde.

    • @seifsalum3018
      @seifsalum3018 3 หลายเดือนก่อน

      @@Modyb Naaam ni wengi wamfuata kiubishi na mapenz pasina kufata haki..wao ni ushabik weng wao ujinga ndo shida

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo la hawa mahizbi wakiwa wanajadiliana na masalafi wanahisi wanajadiliana na makhurafi kwamba wakiongea mara moja tu wamewamaliza masalafi wote kumbe wallahi jambo ni kinyume chake , watakimbia wao , masalafi sio wapumbavu kiasi hicho walillahil hamdu

    • @Modyb
      @Modyb 3 หลายเดือนก่อน

      @@HassanJamada-pf4jt kutojielewa maskin.

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 3 หลายเดือนก่อน

      @@Modyb ukitoa lugha kama hiyo inabidi uithibidishe kwa vigezo maalumu na sio kutukana tu kaka. هدانا الله

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 3 หลายเดือนก่อน

    NIMEJARIBU KUPITIA KOMENT KADHAA, NIKAGUNDUA KUNA BAADH YA WATU WAPO KWAAJILI YA USHABIKI NASIO KUSTAFIID NA ELIMU WANAZOTOA MASHEKHE,TUMCHE ALLA TUACHE USHABIKI EBU TUFATE HAKKI, NA HUJJA ZIKOWAP?

  • @mringikijuu659
    @mringikijuu659 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm namhurumia mhamad bacho kwa elimu dogo amche mola wake awe na ihlaswi arudi akasome asione ayibu.na afanye taraja kwa kufudisha watu makosa

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน

      Sio kwamba hajui hapana kuna namna amehamia kwenye ushindani2

  • @hussein-u6v
    @hussein-u6v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu hana istoria ykusoma niwale wakusikilza sikilza akawa shekh tayar, wallah mohmmed buchu haoni haibu lakin kwa uu uongo wake n matusi waislam, kwan hajui kuwa waislam hawadangnyi

  • @KhamisHamad-b7s
    @KhamisHamad-b7s 3 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleikum
    Nasaha kwa hawa
    Walimu wawe na ikhlasi
    Ili wapate mafanikio wasije kujuta siku moja
    Na wasikilizaji acheni Taasubi
    Tuchukue kilicho sahihi
    Naamini kati yao atakuwa ni mwanafunzi kwa mwenzake

  • @kipandeseifu3755
    @kipandeseifu3755 3 หลายเดือนก่อน

    Ta 'liyq namba 7 ulikua unalalamika kuitwa Mshamba mwanzo mwisho

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachaneni na radi za kitoto, hazina faida kwa ummah

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Subhaanallah za kitoto toa wew kam unaweza wacha zarau ulimi wak haun mipaka

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm Hilo neno hadiyan sijui kama ni hadayan litakufaidisha nini kwenye ibada yako, ikiwa hujui Hilo neno utapata dhambi au utatoka kwenye sunnah?

    • @RashidAbdallah-f8l
      @RashidAbdallah-f8l 3 หลายเดือนก่อน

      ثكلتك امك ​@@salmyhussein6255

    • @RashidAbdallah-f8l
      @RashidAbdallah-f8l 3 หลายเดือนก่อน

      ​@AmourAmoثكلتك امكur-ux3nm

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@salmyhussein6255sijui nikucheke au nikuvumilie hujui ulisemalo wala mambo ya elimu huyajui

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน +1

    Akhy abuu fauzana, mm naona dose iwe na kipimo ili kidogo muwe munaendana sasa shule uliyotoa hapo sas bacho ataenda kunukuu wapi wakati kila mahali umeelezea sasa ndio maana Mohamedi bachu anakuja na matango pori

  • @AbdulkarimMuhamed-t5w
    @AbdulkarimMuhamed-t5w 3 หลายเดือนก่อน

    na mu ache quwuli ujadid kwasababu muwamuk munanyiya isitiizai njiya mutum sw kwihiyo mu ache kuseme Ivo kamahamujui manihaj salfy kwasababu yawatu Kam Muhammad bacu

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂 ila mm naona bachu aendelee kuleta ujinga ili wengine tuendelee kupata faida

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 3 หลายเดือนก่อน +3

    Juice ya matango Pori imekulevya umeelezwa Nini halafu unaeleza nini

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaaaaan mpak mmoja afe hhahaa

    • @MattarOnlineTV
      @MattarOnlineTV 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kujipooza moyo tu, ila bachu atazidi kuuona ushamba wake

  • @RAMZANJumma-hr3ff
    @RAMZANJumma-hr3ff 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini nyinyi mna matatizo gani acheni kutuchanganya aiseee mna zingua ujue

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 3 หลายเดือนก่อน

    Hujuwi kusoma qur_an jadida

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      hHhHh Allah awez akampofua mtu asiione hakki hatakm ipo mbeleni kwake nin wasiwas ndugu yangu wewe hujaachishwa kunyonya rudi ukanyonye 😂😂😂😂

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน +1

      Thibitisha hajui kivipi?

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      Bora kuwa hujui kusoma kuran kisha ukawa wajifunza si aibu bali unalipwa thawabu, kuliko kuwa hujui maana ya neno الترادف، الهذيان، العهد الذهني kisha unakuwa mkaidi sanaaaa, hatimai ni aibu na ushamba alonao muhammad bachu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kapata tawi la kukimbia MADA YA SUYUTI ss twahitaji elimu musiruke mada ya kielimu ya SUYUTI

    • @AbuJuhaifah-c8j
      @AbuJuhaifah-c8j 3 หลายเดือนก่อน

      We chenga kweli ukitaka elimu ya suyutwi channel hihiii katafute utasoma vzuri

    • @AbuJuhaifah-c8j
      @AbuJuhaifah-c8j 3 หลายเดือนก่อน

      MM NILIJUA WAZI BACHU ELIMU YA NAHW HANA AU LUGGHA HANAA NA ÑDIO MANA IKAWA ANAMLAZIMISHA AENDE KWENYE MADA YA SUYUUTWI
      ALLAH AKUHIFADHI NA AKUCHUNGE

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh kwanza tuambie hapo ktk kitabu chako kile kidgo ipo sawa?tupe faida hapo ssi kama masalafy.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza Taaliyq zote! kitabu hakina makosa kabsa kwasabab kuna nukta mbili (:)

    • @yahyaphd
      @yahyaphd 3 หลายเดือนก่อน

      KASIKILIZE TAALIQ NMBA 5 NA NAMBA 6 KAZUNGUMZIA

  • @HassanAli-wq7rn
    @HassanAli-wq7rn 3 หลายเดือนก่อน

    واذا أراد الله نشر فضيلة طويت أتلح لها إيان حسود أول استعال النار ف ما جاورت ما كان يعرف طيب ريح العود

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Maa Shaa Allah Abuu fauzaan yupo vizuri Ndugu

  • @AminiDjuma
    @AminiDjuma 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekuskiliza ilanimeelewa kuwa
    Maswali yabachu ungali unapekuwa ujapata majubu letaleta taaliq zisizo eleweka
    Une unatafuta majibu

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Nami nimeeelewa ufahamu wako ni mdogo katik Dini ya Allah illa unahamasa

    • @yahyaphd
      @yahyaphd 3 หลายเดือนก่อน

      NI KUA HIVI HAKUNA MASWALI YA MSINGI ALOULIZA MUHAMMAD BICHWA IKIWA MADA YENYEWE KAELEZA SIVO SWALI LITATOKA WAPI
      na ww ni mchche wa maarifa kweli sasa mtu amekosea mada nzima anawekwa sawa swali lililoenda shule litoke wapi ikiwa uyo bachu mada nzima kaikosea anawekwa sawa

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nataka kujifunza,kwahiyo Alhadhi na Hadhayan maana yake ni moja?kwa maana Alhadhi ni mropokaji,na Hadhayan ni mropokaji?au mimi nimefahamu vibaya?

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Naaaam ukiiipeleka masw dar kwa maan ya ismu faail inatafsiriwa ni mropogaji ukirudi nyuma km sikosei taaliq ya sita au 5 nenda kasikilize utafaidik juu y neno hilo

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm hakuna shida,nilitaka kujuwa tu kama hayo maneno yote mawili,maana yake ni moja.shukran

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni rududi za lugha nyote wawili bachu na abuu fauzani tunaeadai mada muhimu ya kielimu

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Tuliiiiia kam haujasoma Dini wadandia mambo nenda kasikilize hutba za ijumaa ukalale

  • @EliasamanyikaShabani
    @EliasamanyikaShabani 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni utoto mnapambana na bacho hamna aibu elezeni vitu vya faida

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Utoto lugha umeisom au wabweka tu dini sio simba na yanga tulia

  • @kipandeseifu3755
    @kipandeseifu3755 3 หลายเดือนก่อน

    Hata ushamba ni sifa

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 3 หลายเดือนก่อน +2

    abuuu mshambaaaa bwana

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe lugha umeisoma wapi subir simba na yanga mukaishabikie

    • @Modyb
      @Modyb 3 หลายเดือนก่อน

      Babdeo pap kwake huyu na matusi ya mashamba

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 3 หลายเดือนก่อน

    Leo Abuu fauzani umekubali kwamba hadhayani ni uropokaji na sio mropokaji,
    Mada imeisha haya ndio aliowakosoa Muhammad bachu akikupingeni kwamba bango lenu mulitafsiri neno hadhayani ni mropokaji!.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      Uwezo wako wa kuelewa ni mdgo kumbe!

    • @hemedhamdan
      @hemedhamdan 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ndugu katika iman, wewe ni mshabiki kweli, hata haqqi ukiletewa machoni mwako bado unaipinga. Allah atuongoze sote, Aamiin

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @@hemedhamdan INNAALILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN...!!! kwann unasema mimi nimshabiki??? na ni haqqi gani nimefikishiwa nikaipinga???? nipe mfano mmoja tu!

    • @AbubakarAlly-th6op
      @AbubakarAlly-th6op 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xacha ushabiki maandazi husikii Abuu fauzani anavyojigonga
      Amekubali Kile alichokikosoa Muhammad bachu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@AbubakarAlly-th6op Uwezo wako wa kureason ni mdgo... darasan ulikuwa unaelewa kweli....
      point ya Abuu Ruduud ni kwamba Ismul Faa'il na maswadar haviingii katika hyo attaraaduf anayozungumzia bachu! kwo hawez kukataza kutumia Maswdar kwa maana ya Ismul Faa'il kwa hicho kigezo kwa sabab hvyo ni vitu viwil tofaut!
      Halafu kwann umeniita maandazi akhy?!

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongea sana lakini point ya msingi hatujaipata kwako maneno hadhii na hadhayan n saw?

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu wew ni mwanafunzi wa lugha ya kiarabu kama hapan haya huyawezi tafuta sehem usome au uelekezwe pa kuenda kusom

  • @ashrafhashim2116
    @ashrafhashim2116 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata ukisikiza usomaji wa ibaara kati ya bachu na abuu raduud utaona utofaut mkubwa sana bachu anascrach ila abuu ananyooka sana kwa walio kaa sana katika darsa za lugha hawatanipinga

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 หลายเดือนก่อน

      Ata usomaji wa qur an pia uko tofaut bachu mashallah Abuu ruduud anatupa matango mwitu😅😅😅😅😅

    • @ashrafhashim2116
      @ashrafhashim2116 3 หลายเดือนก่อน

      @@NassorHassan-no1cr Allah akuongoze uache تعصب na ushabiki katika dini.

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 หลายเดือนก่อน

      @@ashrafhashim2116 sasa تعصب kwangu mie tu au????? Nyie mukiw na تعصب kwa kassim mukiambiwa munanuna

    • @ashrafhashim2116
      @ashrafhashim2116 3 หลายเดือนก่อน

      @@NassorHassan-no1cr kama jambo gani tuloshikamana nae labaatwil?? Lilete

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 หลายเดือนก่อน

      @@ashrafhashim2116 mataasisi uhizbiyya

  • @daudaathman8229
    @daudaathman8229 3 หลายเดือนก่อน +1

    Andaeni kitu cha kuuelimisha ummah, siyo kutumalizia muda wetu.

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน

      Kupotosha Uma ndio kitu hakitakiwi ndio maana haya maneno unayaona hv sasa kama angesema ukweli watu wasingemfatilia

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kaa pembeni km hufaidiki na haya, sio saizi yako

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mpe mpe mpe

  • @rajabalfani5469
    @rajabalfani5469 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sheikh mohammadi bacho anatumia dalili za wanachuoni wewe unaleta story Sheikh jibu hoja

    • @wisemanwise3115
      @wisemanwise3115 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba usikilize vizuri SWA halafu tujitahidi kusoma

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahahahahahaha kweli kichwa chako ni kifuu tundu wallahy

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      HHHHH ITABIDI WANACHUONI WOTE ALOWATAJA ABUU RUDUUD HUKUWASIKIA AMA? HAWA NDIO VILAZA WA BACHU

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 3 หลายเดือนก่อน

      bro wallah tena nlidhani ni mm tu ndo nmeliona hilio.. hyu jamaa anastory mashallah

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bahati mbaya nawajua wote waliokoment wamefanya kambizana, 90% wanafunzi wa Abuu rudud mtahaha sana mwaka huu😂😂😂😂😂😂😂

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo shida shida Kubwa MOla kayapofua macho yako kias ambacho upo tayari kunywa sumu ambayo imetengenezwa na Bachu. Pia utainywa huna uweza wa kupambanua kilicho sahihi na kisicho sahihi wafuata mkumbo

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm mbona unatokwa povu

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      @@mobilespecialschool4216 mbona un tabia za Abuuu jehel badilika usijifananize n makafiri pind inapokujia hakki kwa ukaidi huo wewe ungezaliwa ktk ukafiri wewe sijui ingekuwaje

    • @sakinasakku8340
      @sakinasakku8340 3 หลายเดือนก่อน

      Kabsaa kambizana

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 3 หลายเดือนก่อน

    Naam Naam naona bado Musalsal wa kulumbana na kulimana wa aendelea 😂😂😂

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 3 หลายเดือนก่อน

    Ww umekurupuka tu hukufahamu nin hasa kimeelezwa ktk ile radd, kiufupi Bachu alikuwa anakutahadharisha kabla ya hiyo ta'liq yako kuwa kile kilichofanywa ktk lile bango sio ktk taraaduf hakihusiani kabisa, na huko ulikokimbilia kuwa inafaa kuna masharti yake km yalivyotajwa vyenginevyo kila neno litabakia ktk maana yake ya asili kulingana na muundo wake, ww umenga'nga'na kupinga daraadufaat kwan nan kasema lile bango lenu ni ktk taraaduf?

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Nawe hujui unachokizungumza sema wakuelewesh juuu ya ufahamu wako

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm mm au ww

  • @abdallahzahor1676
    @abdallahzahor1676 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuitwa mshamba ety umetukanwa
    Ww kumwita mjinga ety ni sifa
    Kweli ujadida ni kansa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kwo mtume alitukana alivyomuita ABUU JAHAL hilo jina? Mtume alitukana?

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mjinga ni mtu hana elimu km bachu hana elimu ktk neno الهذيان، العهد الذهني, الجريان، الترادف, na neo hilo sio geni hata ndani ya kur'an wameitwa wasojuwa kuwa ni wajinga, ila mshamba ni tusi sababu kwanza sio kweli kuwa ni mshamba mana ameshindea kuthibitisha ushamba wake ni upi, pili huwez kumuita mzee wako mshamba ijapokuwa atatokewa na jambo geni kwake

    • @abdallahzahor1676
      @abdallahzahor1676 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulbasitAkida-ui2du mshamba ni fauzani amekoselwa makosa 13 anasema kipindi hicho alikuwa mwanafunzi kwahio saivi hakosei .haya mafuta dilele nawao wanafunzi wana makosa kibao

    • @abdallahzahor1676
      @abdallahzahor1676 3 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hizo ni shubha za kujitetea

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @@abdallahzahor1676 hatukatai kila mtu anakosea! ila bachu kazidi bana, kila anapoongea yeye anatema matangopori tu

  • @kipandeseifu3755
    @kipandeseifu3755 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona Bachu alikuwa ashatoa Hiyo mifano? wewe ni mgumusana kumwelewa

  • @AhmadHaroub-y8m
    @AhmadHaroub-y8m 3 หลายเดือนก่อน +2

    Abuu fauzaan wewe ni mgumu wa kuelewa shekh Muhammad bachu Wala hajakusudia hivyo kabisa. Wewe hauelewi na au unakiburi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +5

      Wewe ndo huelewi asee! Na nilijua tu kuna watu Vilaza hawatomuelewa Abuu Ruduud 😂😂😂
      Mm sishangai.. hata darasan kulikuwaga na watu ambao hata mwalim afundisheje HAWAELEWI

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 3 หลายเดือนก่อน

      wewe kilaza cjui na darasan ulikua ikiwa huto tambua haq bc subir ufe😂😂

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa vila ndo wanafunzi wa bachu, mtihani kweli

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 3 หลายเดือนก่อน

      hyu sio mgumu kuelewa.. basitu kshaamua asikubali hawez kukubali

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @@shahabdallah9407 Kwo haqqi ni ipi, yafaa mtu kutumia Maswdar kwa maana ya Ismul Faa'il au haifai? mana hata Allah katumia pia katika Quran!

  • @SaidUwesu-n1x
    @SaidUwesu-n1x 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna sheikh hapo mtu hasiyependa kukubali jambo kama kweli abu fauzan ni kidume wakutane na muhammad bachu

  • @babatchi9169
    @babatchi9169 3 หลายเดือนก่อน

    Wa7373zi wa hizbi wako kama shekh wao awana adabu wewe an9alia kom3n7 zao u7awajua

  • @daudaathman8229
    @daudaathman8229 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe subiri akujibu na yeye.

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน

      Hana cha kujibu anarukia rukia tu

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wew kweli hupo kwa ajili ya hakki iVi kwa mwenendo wako huo zana yangu km ungelikua kafiri kipindi cha Rasuul ungekuwa swahiba wa Abuuu jehel badilika ndugu unapewa hoja za wazi bado ni kipofu tuuuuuuuuu hizo ni tabia za Abuuu jehel

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂HAWEZ JIBU ILO

    • @yahyaphd
      @yahyaphd 3 หลายเดือนก่อน

      AJIBU ABABAISHE HANA MAJIBU

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ushamba sio tusi labda kwenu uko Tanganyika.

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +3

      Tusi, sio matusi kwa wahuni lkn kwa watu wanaojinasibu na elinu huwez kutumia neno mshamba kwa mwenzako.

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulbasitAkida-ui2du Hata uwe na Elimu bado ushamba hautokuwa ni Tusi. Mfano Kwa hiyo wewe ukienda sehem huijui na ukastaajabu mambo mazur ambayo uliko toka hayapo ukiambiwa mshamba na huku una elimu yakupukutika utasema umetukanwa ndio? Wakati umeshangaa shangaa?

    • @yahyaphd
      @yahyaphd 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdillahSOthman NA IKIWA BABA AKO HAJUI JAMBO UNAWEZA KUMUITA MSHAMBA AU MKWE WAKO UKIONA JINA HUEZI LITUMIA KWA UNAO WA HESHIMU ILA JINA SI ZURI

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 3 หลายเดือนก่อน

    NASKITIKA KWAMBA MASWALI ALIO ULIZA SHEKH BACHU HAKUNA HATA 1 LILILOJIBIWA. TULIKUA TWASBILI MAJIBU KWA DALILI NAHUJJA LAKINI MMH ,CHAAJABU SHEKHE ABUU RUDDUD KALETA MADA MPYAAA JUU YA MADA ASEE ,JIBUBAS MASWALIIIIIIIIII

    • @BilaliIloko
      @BilaliIloko 3 หลายเดือนก่อน

      Umesikiliza kweli au hujaolewa kilichozungumzwa, mada aliyojifichia bacho ni attaradufu na maswali kayaelekezea kupitia huko,sasa Shekh abuu fauzan maneno alipo yapeleka huko ni kumtoa huko kwanza na majibu yamepatikana hakabla ya kujibu😂😂😂😂

  • @OmariPenda
    @OmariPenda 3 หลายเดือนก่อน

    𝑯𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒏𝒍𝒄𝒉𝒐𝒌𝒊𝒆𝒍𝒆𝒘𝒂

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Jibu jepes elimu yako n ndogo mno kwenye mambo ya dini

    • @abdullatifmnyamis372
      @abdullatifmnyamis372 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm konsi mbovu

  • @maadinaJuma
    @maadinaJuma 3 หลายเดือนก่อน

    Abuurudi hueleweki

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni elimu kaka watu wamepoteza umri kujifunza huwez kuelewa kama hujaisoma fani hii ya lugha.

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo hatukuelewi una kichwa kweli

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 3 หลายเดือนก่อน +1

      Bachu ndo haeleweki anakubali kisha anakataaa anajikoroga na anapotosha