TA'ALIQ 02. UJINGA WA MUHAMMAD BACHO JUU YA NENO ه‍ذيان | Sheikh Abuu Fauzaan Allah Amuhifadhi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 478

  • @abdirahmanshawkani
    @abdirahmanshawkani 3 หลายเดือนก่อน +1

    ما شاءالله جزاك الله خيرا

  • @yahyatemeche4770
    @yahyatemeche4770 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah shekh Abu fauzaan Allah akulinde.

  • @aliasabakari9925
    @aliasabakari9925 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashekhe mmekuwa warusha vijembe. Hiyo daawa yenu ni ya kugombana na kuchafuana waisilamu kwa waisilamu. Mashaka mengi

    • @sharifshehe1120
      @sharifshehe1120 3 หลายเดือนก่อน

      Assalam alaykum jamani niwaulize wema waliopita walikuwa walikuwa na mijadala kama hii au huu ni ushabiki wa kidini?

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 3 หลายเดือนก่อน

      Hawa mawahabi kazi yao ubishani tu hawana kazi zinaa imeongezeka badala ya kukemea ndio kwanza watafuta ruduud

    • @abdirahmanshawkani
      @abdirahmanshawkani 3 หลายเดือนก่อน

      Akhy Wacha ushabiki tumia hizi rudud kupata ilmu ,,, ata ukiwachukia masheikh Wa kisalaf hakuna hasara ambayo watapata Bali khasara Ni kwako mwenyewe.

  • @daturuibrahim4954
    @daturuibrahim4954 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawajamaa wanamatatizo makubwa sana....akiliyao wanajua hiyo ndio daawa...
    Dawa ya wema waliotangulia ingefanywa namna hii wala dini isingefika popote...
    Wamekaa kupigana vijembe tu...
    Nahaya ndio wanawafundisha wanafunzi wao.... wanasema eti ndio dini....Subhana llah...
    ALLAH awafahamishe hao Masheikh....

  • @aliyabasi2058
    @aliyabasi2058 3 หลายเดือนก่อน +6

    Baarakallah fiyk abu fauzan

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mashallah sheikh Allah akuhifadhi

  • @AbuuRadhka
    @AbuuRadhka 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mashaallaah! Allah akupe thabaat Abuu ruduud

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 หลายเดือนก่อน +2

    Abuu Fauzan. Allah akulipe khery. Kuanxia leo nkufuatilia rasmin. Hakika huyu Muhammad Bachu ana kidomo kichafu san . Toka siku alipomtukn Abuu hashim . Basi dah. Nimtoa maanani.

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah sheikh usimuache huyu mropokaji mbainishe kwa ummah. Allah akuhifadhi sheikh Abuu Fauzan

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน +1

      Bachu anabainisha uovu na upotoshaji wa majadiida

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anaropokwa nini bachu mbona nyinyi munapenda ushabiki kwani vitabu c anaweka

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona humchi Allah kiasi hicho akhi ??

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 3 หลายเดือนก่อน

      Akimaliza kumbainisha kwa hilo
      Mbainishe shekh qasimu kuwa amemzuria dr uongo

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hafidhwajina6718kamzuulia uongo wapi? Lete ushahidi usifunge maneno

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 หลายเดือนก่อน +3

    Bachu kapata Muaribaini wake. Hongera Abuu Fauzan

    • @athaum05
      @athaum05 3 หลายเดือนก่อน

      Mwarobaini kwenye neno 'هذيان' au mada kuu juu ya Imam Suyut?

    • @muhamadali-r8r
      @muhamadali-r8r 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@athaum05Acha ujinga bwana mkubwa, hatuko Kwa suyutwi

    • @ALIKHAMIS-pl4yl
      @ALIKHAMIS-pl4yl 2 หลายเดือนก่อน

      Muarobani aji

    • @ALIKHAMIS-pl4yl
      @ALIKHAMIS-pl4yl 2 หลายเดือนก่อน

      Ruduudi hajuwi kiarabu nenda kastafeeed kwa bachu

  • @idrisabakari688
    @idrisabakari688 3 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atuongoze kwenye haki hakuna mkamilifu kati yetu hapa ila tusiwe sana mashabiki hata mtu kakosea tunapongeza tuu.mahali alipokosea apewe nasaha itamsaidia Allah amsamehe kwa kutumia lugha isiyofaa kwenye daawa.Na soote Allah atuongoze

  • @abumuhsinminaniabdoullahas9185
    @abumuhsinminaniabdoullahas9185 3 หลายเดือนก่อน +7

    Allah amuhifadhi sheikh Abu Ruduud na masheikh wengine wa sunna

    • @AbdallahSadiki-z4b
      @AbdallahSadiki-z4b 3 หลายเดือนก่อน

      aamin

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 3 หลายเดือนก่อน +2

      Akiwemo sheikh Bachu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amna hoja kwa shekh muhammadi bachu mnatapa tapa tuu kuanua ngoma juwani lakini maswali yamewashinda saivi mnahamia mada ingine kupotezea lile Jambo la kuwatowa watu katika sunnah ovyo bila hoja

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7ekwan bachu anajibu maswali? Tatizo lenu mnazungushwa kisha mnaona mmejibiwa ebu tumieni akili zenu

    • @daturuibrahim4954
      @daturuibrahim4954 3 หลายเดือนก่อน

      Acheni ushabiki.... hiyo siyo dini...

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO 3 หลายเดือนก่อน +4

    TATIZO SIO RADDI ILA USULUBU WA RADDI ZINAVYOTOKA SAIVI SUBHANALLAH. Kauli chafu sana zinatoka kwa walimu wetu vibaya sana... hebu tuwaige uxuri sana wana wa chuoni . Allah atufanyie wepesi wepesi sana

    • @OmarAbdalla-ug5yg
      @OmarAbdalla-ug5yg 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@MALELEMBARIMO
      Sahhi neno MALAYA lina kzi gani subhaaanllh daawa mnaiharibu

    • @AbuuAhmed-d4n
      @AbuuAhmed-d4n 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaaaa akhi abuu rududi nini unacho tufunza kwa maneno haya machafu kwenye daawa kwa mogopeni Allah neno mropogaji siyo nyinyi mnamwita al-akhi shk mohamad bachu

    • @thabitsaidi1507
      @thabitsaidi1507 3 หลายเดือนก่อน

      Endeleen kulia
      Mlikanywa mapema kabisa

    • @omarsirleem7105
      @omarsirleem7105 3 หลายเดือนก่อน

      mbona hajajibu swali kuhusiana na Imam Suyutwi ​@@thabitsaidi1507

    • @AsyaMussa-m2s
      @AsyaMussa-m2s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Me nafkiri sio abuu Rudud tena kwa sasa ni Abuu Matusi ,, kama mwenzake Wa Znz Abuu firaun badala ya Abuu Umeyr.. Allah awaongoze ao watu wana taaswub ya waz waz kwa sasa

  • @luqmansudi
    @luqmansudi 3 หลายเดือนก่อน +3

    ماشاء الله يا شيخنا الفاضل أعانك الله على كل خير.

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +4

    Maa shaa Allah! Baarakallahu fiyk tumefaidika kwakwel

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa lipi kama kweli umesikiza,

    • @AsyaMussa-m2s
      @AsyaMussa-m2s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna zaid ya upuuz tu wa kila siku,, sis tunafuatialia hoja wao wanaleta viroja ,, masalaf jadida wanazid kuharib daawa,, Allah awaongoze

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 หลายเดือนก่อน

      @@AsyaMussa-m2s wameishiwa ndipo wameingia kwenye grammar!..hoja hazijajibika!

    • @AsyaMussa-m2s
      @AsyaMussa-m2s 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@saidali9255
      Na bado wataingia mpaka kwenye historia na hawatok mara hii

  • @shariffali4786
    @shariffali4786 3 หลายเดือนก่อน +4

    Allah amuifadhi sheikh Mohammed bachu.kwa helimu hanayo tupa

  • @khamismussa6258
    @khamismussa6258 3 หลายเดือนก่อน

    Uyuu sheikh muhhammad bachu masha Allah, yaani anakipaji mash Allah

  • @SalimAli-lj5sr
    @SalimAli-lj5sr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Abuurudduudi Na Bachu Muogopeni Allah kwa Elimu zenu mlizobarikiwa na Allah swt

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 3 หลายเดือนก่อน +3

      Abuu ruduud anajulikana kasoma wp
      Je bachu kasoma wp mpk useme kwa elimu walizopewa?
      Sema kwa elimu aliyopewa abuu ruduud

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuuammar4924abu rudud kasoma wapi?

    • @AsyaMussa-m2s
      @AsyaMussa-m2s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Abuu Ruduud elimu katowa wap,, kijana mtov wa adabu asie na heshima

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AsyaMussa-m2sfatilia usikurupuke

    • @AsyaMussa-m2s
      @AsyaMussa-m2s 3 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanramadhan4948
      Wewe hayajakukuta ya awo majadida na usiombe yakukute,, ushauri watafute wanaowajuw majadida wauliza (nenda farouq ukajionee uhondo) alafu utasema nakurupuka au wewe ndo unakurupuka

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน +7

    Inshallah kuingia kwako abuu rudud ndio itakuwa mwisho wa hizbiyyah

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@mohagurey2214 kama ni mwisho ajibu swali la pili mbona hajamaliza kaingia kwenye swali lisilo la faida au anafikiri sisi wajinga

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 3 หลายเดือนก่อน +3

      Mbona hamna uwezo wa kufikiri nyinyi!
      Kwan Abuu Ruduud si alimpiga radd bachu kuhusiana na lile bango sasa hayo maswali si walikuwa wanaulizana na soloka....bachu alitakiwa amalize kadhia ya bango kisha ndio aulize hayo maswali
      Au akubali kuwa hajui lugha na akubali kuwa yy ndo kakosea na aombe radhi pongwe na amuombe radhi abuu ruduud kisha ndio aulize hayo maswali

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mobilespecialschool4216Bachu kwasasa ameingia darasani lazima atafundishwa asiyoyajua na ataacha kimbelembele baada ya somo hili.
      Na alhamdulillaah sheikh Ruduud alisema kwamba itaendelea darsa hili

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน

      @@abuuammar4924 Kwani soloka yeye aliitwa si alikuja mwenyewe meaning, this inawahusu wote walioupande wa wakufurishaji, au huyu abuu rududi yeye ni moderator bachu na soloka ndio watoa mada

    • @AmirbigirimanaBardazard
      @AmirbigirimanaBardazard 3 หลายเดือนก่อน

      @@mobilespecialschool4216 kaa kwakutulia mbona ina kuja taaliq namba tatu ina kuja

  • @abuually6537
    @abuually6537 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah Allah akubaarik

  • @KampangaKampanga
    @KampangaKampanga 2 หลายเดือนก่อน

    Siamini kweli kama umechukuwa dakika taktiban 30 alafu unamradi mtu na neno moja mungu atunusuru.

  • @ImranMrisho-f9u
    @ImranMrisho-f9u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah abuu rudd Allah akuhifadhi mtie adabu huyo kasku

  • @AbuufawzanaSalafiy
    @AbuufawzanaSalafiy 3 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاءاللہ بارك الله فيكم

  • @jumamkwelengala4599
    @jumamkwelengala4599 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashekhe wetu mnatuangusha sana yaani muda mwingi mnatumia kurushiana vijembe na marumbano ambayo hayatusaidii chochote sisi mnawapa nguvu makafiri

    • @husnaally2116
      @husnaally2116 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe kama hujui chochote kinachoendelea kaa kimya fahamu huu ni ktk msingi wa Da'awah

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna dawa wa Yakugombanisha waislamua na kuwagawa.......
      Akhy unapokwenda sipo........
      Achana na makundi.......
      Masheh waache kupigana vijembe

  • @abumuhsinminaniabdoullahas9185
    @abumuhsinminaniabdoullahas9185 3 หลายเดือนก่อน +4

    Barakallahu fiikum

  • @halimajuma-u9g
    @halimajuma-u9g 3 หลายเดือนก่อน +4

    الله يحفظك

  • @AmirAmour-tx1ws
    @AmirAmour-tx1ws 3 หลายเดือนก่อน +3

    Subhanallah , hivi wewe ni mwanafunz wa dini au mshenzi , kweli unatoa mfano wa malaya kwenye mazungumzo ya dini yaani umekosa mifano , hivi we salafy upo sawa kitimamu , halafu jibuni hoja kama alichoongea ni haki kubalini hadharani kama kweli mnaitaka haki ,

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +1

      Alichoongea kipi???? Hadhyaan au? hahhahaha!

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wameshindwa!..lengo limerukwa sasa!..mambo ni lugha sasa!..majibu yamepotea!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@saidali9255 Bachu wenu mwenyew ndo kataka lugha... Kwann amkosoe JAMADA..??? Na baada ya kukosolewa na Abuu Ruduud akajitia kimbelembele eti anatoa miaka 15... Hahhaa! Jamaa yenu anajikweza na kudharau watu.. Acha wamnyooshe!

    • @abuuhudhayfah5108
      @abuuhudhayfah5108 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani kupiga mfano wa Malaya ni kosa?
      Mbona ALLAH kawafananisha watu na mapunda, maumbwa, nk

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 3 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona eeh ​@@saidali9255

  • @IssaBungare
    @IssaBungare 3 หลายเดือนก่อน +16

    Abou rududi twashukuru kwa elimu ulivyo tufundisha allah akuhifadh huyo mtoto wa bachu ni mtupu sana yeye abili na said wa Kenya hapo kaingiana

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 3 หลายเดือนก่อน

      Naam ni mtupu kwa aburudud kama shekh qasimu kwa dr islam

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha ushabiki wa kijinga ww shekh muhammadi hamumuwezi kashindwa huyo shekh wako rais wa majadida tz kasimu mafuta kujibu maswali mnakwepa mada mnatafuta uchochoro atamuweza huyu mwanafunzi hamna hoja man hajji za kuvamia vamia tuh bila kuchunguza vzr matoko yake ni Aya mmekimbia maswali mnapotezea mada na kuhama mada ujadida ni uginjwa wa ukoma katika jamii ya kiislamu

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7eukiongea ongea kwa haqqi usizue kwa hakika utaulizwa

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e mwambie bachu mwenye elimu amjibu

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e swadakta!

  • @ibnhajar8600
    @ibnhajar8600 3 หลายเดือนก่อน

    Mnakera

    • @IbnuIssa-vj3oi
      @IbnuIssa-vj3oi 3 หลายเดือนก่อน

      We wajielewa wapi baaasi

  • @ALIKHAMIS-pl4yl
    @ALIKHAMIS-pl4yl 2 หลายเดือนก่อน

    Umepewa miaka 15 utowe

  • @MusaHamisi-d2s
    @MusaHamisi-d2s 3 หลายเดือนก่อน

    DAhh umalaya tena masheikh wetu jamani Allah tuhifadhi

  • @SuolFat
    @SuolFat 3 หลายเดือนก่อน +14

    Muhammad bachu amewazidi kielimu na kiakili

    • @wisemanwise3115
      @wisemanwise3115 3 หลายเดือนก่อน

      Kivipi

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama anaakili asingeropokwa ovyo

    • @alisudiramadhan3151
      @alisudiramadhan3151 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mtume asema mwingi wa maneno ni uchache wa akili

    • @AyzalRicco-mi6iu
      @AyzalRicco-mi6iu 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sana tena kijana ana maarifa makubwa sana nyinyi ni husda tuu na chuki kama Makafiri.acheni upuuuzi watu wanakengeuka Kila siku nyinyi mmelia upumbavu tuu.

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 หลายเดือนก่อน +3

      Hoja zenu ni dhaifu sana! Muhammad Bachu anaufafanuzi mzuri sana!..Allah Atamlinda insha Allah!..

  • @AbdallahSadiki-z4b
    @AbdallahSadiki-z4b 3 หลายเดือนก่อน +9

    Bakora za Kooni kwa Muhammad Bachu

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 3 หลายเดือนก่อน

      Ila kwa shekh qasimu zilikuwa na macho?

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 3 หลายเดือนก่อน

      Watu asa c waadilifu mumemsikiliza bachu au mwasikiliza upande 1 tu km ni hvyo hamtajua haki maisha hayako hivyo

  • @ALIKHAMIS-pl4yl
    @ALIKHAMIS-pl4yl 2 หลายเดือนก่อน

    Hujuwi kiarabu nenda kastafiid kwa bachu,kesho utakuwa hodari

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo 3 หลายเดือนก่อน

    Muokope Allaah shkh tumia maneno mazur neno malaya sio usulubu mzuri

  • @TheZuhdy
    @TheZuhdy 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika haya yote ya tangazo yasingelikuja lakini ni kule kujishuku tu Kwa Mtu juu ya tangazo wallahi ni mtihani. Maana limetoka tu tangazo mtu anakuja juu kama aloshtuliwa. Allah atuongoze

  • @AdamuSariko
    @AdamuSariko 3 หลายเดือนก่อน

    Ni Awla zaidi mkajibu hoja zake kuliko kuchukua mda mrefu kusomeshana neno moja Muhaadhara mzimaaa na kutoleta hoja za kielimu kuhusu jambo husika

  • @suleimanhamad2396
    @suleimanhamad2396 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan elimu imeondok ujing umetawal baada ya kutetea na kupigania hukm ya Allah ndio kwanz wanafny upuuzi

  • @HamadFakiOthman
    @HamadFakiOthman 3 หลายเดือนก่อน

    Mashekh zangu nawaomba muache hayo malumbano tafuteni wanafunzi muwasomeshe kuliko kubishana na mpumbavu bachu uyo lengo lake ni kumchafua kila mru kwa hiyo achanani nae tufanyeni ya muhimu allah atakulipeni fungu kubwa wallah

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona tunasoma? Au unadhan cc ni radd tu?

    • @HamadFakiOthman
      @HamadFakiOthman 3 หลายเดือนก่อน

      Basi kheri Insha Allah allah awape kheri

  • @abuuasume6534
    @abuuasume6534 3 หลายเดือนก่อน +3

    allah akubariki kwa kumuelimisha mropokaji

  • @AbuJuhaifah-c8j
    @AbuJuhaifah-c8j 3 หลายเดือนก่อน +6

    Muhammad bachu mropokaji DARSA YAKO YA NAHWU NNAMASHAKA NAYO KAMA MAMB MADUCHU YA MASDAR KAZI ZAKE HUJUI NTAAMINIJE NA MENGINE HAKUNA KUCHUKUA ELIMU KWA JITU ZUSHI TULIAMBIWA SISI MAPEMA NDIO TWAONA SASA

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kukosea kutamka ni jambo la kawaida katika kuzungumza ila inaangaliww je hayo makosa ni asilimia ngapi mazungumzo yake?
      Mimi nilichojifunza ni kuona majadiida ni wapotoshaji na ni wachache wa elimu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@mohdkhatib223 wewe kijana wewe acha kumtetea... Bachu ndo kalianzisha... Kwann amkosoe JAMADA???? Amelikoroga mwenyewe acha alinywe!

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wacha ushabiki kaka andika ne o hilo kwsnye google andika upate maana yake utaona abu Ruddud kafanya kosa la kitoto mtu akikuambia Uraisi" ni jina la kitu na wakat sio bali ni gerund au verbal noun yaani jina la kitendo na sio "Rais" ambalo ni jina la mtu au kitu hilo kakosea sana abuu Rudud msishabikie bila uchunguzi ikiwa mwataka kujua haki

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohdkhatib223hajakosea kutamka maana kuna jina (noun) na kuna gerund (jina la hali au kitendo) Huyo abu Rudud anasema radi yenye kuangamiza kwa uropokaji alivuka mipaka " na yeye hajui mropokaji' ndio neno lingefaa kaka hawa majadida aashabiki hata kutafuta kwenye google wajue ismun au maswdar zinakuwaje hawna muda aapo katika ubishi ndio lengo lao

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mohdkhatib223kweli kabisa!

  • @AbuuSudayyah
    @AbuuSudayyah 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wenye kupiga raddi ikhlaas ipo au Kila mtu ndo aonekane ana elimu Raddi pia inatka ikhlaas .

  • @maadinaJuma
    @maadinaJuma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata ww unakiburi abou rududi hamtaki kukubali haq

    • @thabitsaidi1507
      @thabitsaidi1507 3 หลายเดือนก่อน

      Mnaanza kutia huruma haahahahha kaeni kwa kutulia Mahizb Wakubwa nyie

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatukera. Bwana hizi Raddi zinaketa sana

  • @ALIKHAMIS-pl4yl
    @ALIKHAMIS-pl4yl 2 หลายเดือนก่อน

    Bosi wangu huna ulijuwalo kabisa bachu msomi sana, wewe mbishi na huna uelewa wa Lugha ya kiarabu

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tulitegemea mutakuja kujibu hoja zilizobianishwa na Muhammad bachu, kumbe dakika 40 mumekaa mukijadili neno hadayan, lina faida gani kwa ummah hilo neno, watu wanataka kujua hoja alizobainisha bachu kuhusu suyutwi na manhaj ya sunnah yasemaje, musitoke kwenye mada, kama mumeshindwa kujibu waambieni watu wajue mumeshindwa,

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 3 หลายเดือนก่อน +3

      Faida yetu ni kumjua mropokaji bachu
      Faida ya pili ni kumjulisha shabiki kama wewe kwamba hilo jambo lawezekana

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 หลายเดือนก่อน

      @@salmyhussein6255 inaaamaana kwetu kubwa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @@salmyhussein6255 Dogo acha kujizima data...!!!
      Kwanza: Kubalini kuwa Bachu ni mlopokwaji na hajui kiarabu kwa Sabab Elimu yake ni ndogo!
      Pili: Mambo ya Suyuutw sijui nini yoote ashayamaliza Abul Abbas,, sasa kama nyie hamjamsikiliza na kumuelewa ni shida zenu na akili zenu chache... Tukimuelewa masalafy inatosha koz nyie mahizbi mshaamua kuwa mahizbi...!!!

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbuuBakar1 hatuko kwenye ushabiki hapa, hu ni uislamu tunataka kujua hakki ikowapi, wajibu maswali ya bachu na wabainishe juu ya manhaj ya sunnah inasemaje kuhusu suyutwi, soloka ameleta majibu yake na bachu akabainisha kwa maneno ya wanawazuoni, tulitegemea na wao wangejibu hoja kwa dalili, l

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbuuBakar1 na sisi tunapata faida ya kujua upotoshaji wa majadiida.

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uzuri ni kwamba mola wetu anaishuhudia hii qadhia na ukweli wa mambo ni kwamba Allah atadhihirisha ni nani msawa na ni nani anayekusudia mengine yasiyokuwa dini ya Allah ataanguka biidhnillah

  • @SadaKassm
    @SadaKassm 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naomba mukiandika maneno ya KIARABU yatiwe SHAKLI huenda Bachu yakawa ndio kikwazo kwake yeye, mutampa tabu Sheikh wa watu.

  • @IddiNkupe
    @IddiNkupe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuonyeshe kwa ubao siyo kuropoka Tu

  • @daudaathman8229
    @daudaathman8229 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba umjibu na swali lake la pili.

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  3 หลายเดือนก่อน

      @@daudaathman8229
      Swali la kwanza umeridhika majibu?

  • @momadeali4378
    @momadeali4378 3 หลายเดือนก่อน +6

    1:41 mohamed bacho ana kiere here sana

  • @mohamedsaid1804
    @mohamedsaid1804 3 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa ya yule mtoto anajiweka cheo cha Maulamaa, hataki kujiita Twalabul ilm ndio maana hata adabu hana kwa watu waliomzidi ilmu. Anapenda kujikweza.

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vous avez le temps à perdre vraiment dans des distractions. Qu'Allah nous guide tous

  • @ImranMrisho-f9u
    @ImranMrisho-f9u 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kapata kiboko yake abuu. Rudud allah akuhifadh,, tumesitafid kicharaze hiki kitoto kina kibur sana shekh usikiache kitandike,,mpaka kikimbie mtandaon maana kina kibur sana,,,

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lenu mnazunguka sana
    Ukimsikia bachu anaeleweka kuliko nyee
    Twambie imam suyuti nivipi?

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh umesema utajibu neno baada ya neno mbona hujajibu swali la Imam Suyutwi Rahimahullah

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

    Awa jamaa ni katika kundi potovu lililozuka zama hizi, katika vikundi vilivyo zuka katika uislamu wallahy hawa watu mtihani xana subuhana llah allah awaongoze katika njia ya sawa yani ni wakaidi xana na pia hawakubali hakki shetwani anawachezea vibaya, ni watu wa ghuruu na matamanio mfano ikitoka rai kwa shekh raby kuwa fulani hafai na woteee watafata mkururo huwo hata apewe udhulu na mashekh wengine mfano fawzan, hawakubali wao wanachoangalia shekh rraby kasema fulani hafai tupa kule so mtyu wa sunnah na wao wataenda na hiyo sera fulani hafai bwana.mtihani kwwli

  • @UmarSaid-c8k
    @UmarSaid-c8k 3 หลายเดือนก่อน

    Eka video tukuone na utufundishe vizur moja baada ya moja sio kunukuu yasiokuwepo,jibu swali kama ulivyoulizwa ili tupate ilimu

  • @ibnuyussuf
    @ibnuyussuf 3 หลายเดือนก่อน +1

    Labada nyinyi wa jadiida pole sana

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naona bachu yuko sawa tena kijana musiwehukwe

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 3 หลายเดือนก่อน

    Bachu ana Elimu kama vile kichwa chake kibovu

  • @hussenihamisi2862
    @hussenihamisi2862 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo umejibu kielimu kwenye hicho kipengele

    • @AbuuKiweru
      @AbuuKiweru 3 หลายเดือนก่อน +1

      Muhammad bach hamumuwezi kijan allah amuhifadhi ako sahiii nawala so mrokopwaji kama mnavyo msema qwa watu qwanza nyinyi masalaf muogopen allah

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Kuw muadilifu ktk mambo uadilifu unamfany mtu awe karibu na uchaamungu​@@AbuuKiweru

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbuuKiwerukitendo cha kuingilia bango maana yake nin?
      Kaitwa mropokaji au kajiita?
      Kuwa na inswaaf ushabiki usikutie upofu

  • @abuuammar4924
    @abuuammar4924 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe bachu vitu vidogo km hivi havijui alaf anakuja kupayuka...Allah amuongoze huyu kijana

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 3 หลายเดือนก่อน

    Jibu maswali maalim usizungumze utu wa mtu maalim

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  3 หลายเดือนก่อน

      @@adamaliali2206 amejibu jama

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน +2

    SHEIKH IVI UNAJUA TUNAOSIKIZA TUNA CLIP YA BACHU NA TUNAKUSIKILIZA UNAPOONGEA NA SISI SIO WAJINGA

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      Enhee kwan unafikiri sisi hatusikilizi

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 3 หลายเดือนก่อน +1

      JE ?! : BACHU HAKUSEMA HADH-YAANI ?!! NA KAMA AMESEMA JE NI SAWA ?! NI HADHAYAAN AU HADH-YAAN

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@ayububakari9942 Sio hivo tu... ili kujua kuwa bachu kaiweka mbele Hadhyaan kuliko hadhayaan, angalia hata lile li jedwali (table) alilotengeneza kuonesha chimbuko la neno husika, pale ameandika Hadhyaan kwa kuiwekea sukuun.... hahahaha! Bachu ni mweupe sana kwenye lugha!

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน

      @@ayububakari9942 Bachu alisema suyuutwi kaleta bidaa, na akamkufurisha mtu aliemkosoa kwenye iyo bidaa, akawataka mjibu hoja zake na maswali yake sita. Kupatia au kukosea kutamka Maneno ya kiarabu sie hakuna faida kwetu wasikilizaji madhali mtamkaji tumemwelewa anachokusudia

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน +1

      Majadiida wamechanganyikiwa, watu wameshajua upotoshaji wa majadiida

  • @yuenbiao1777
    @yuenbiao1777 3 หลายเดือนก่อน

    Kitakacho wao watu kwa wingi peponi ni uchaMungu na tabia njema,mwalimu hata kama ana elimu kubwa kiasi gani lakini kama tabia zake ni mbaya usikae nae atakuambukiza,elimu ni tabia

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 3 หลายเดือนก่อน +1

    DR ISLAMU AKIRADD TABIA MBOVU MUNAJIHISI KUWA MUMERADDIWA NINYI
    MFANO
    "aliwahi kunukuu kaur ya umar al faruk akisema iskuhur wewe maneno ya twantana,,,,
    Ajabu alikuja shekh qasimu akasema hii ni dini sio twanntana,
    NIMEJIFUNZA HAPO

  • @ashrafhashim2116
    @ashrafhashim2116 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtie bakora za kutosha ili atie adabu

  • @suleimanmohamed2559
    @suleimanmohamed2559 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan kiukwel kila leo anae jiita salafi na akawa n hawa mashekh Abdallah humeid na kassim mafuta na wengne wao wanao jiita salaf kiukwel muogopen Allah kwa sababu hizi hoja n radi zenu hazina maana kwetu bali n kurudishana nyuma kwan hivi huyo kassim mafuta n humeid hawa kosei huo n upuuzi tuwacheni cz ata sis pia twasoma haya maneno ya kipuuzi wacheni angalien la msingi

  • @MrNoNonsenseYes
    @MrNoNonsenseYes 3 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya kipuzi yani duh 😢

  • @saidirashid7552
    @saidirashid7552 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni msela wa kijiweni

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameshindwa na msanii atawawez ahlul ilmu nawaomba salaf muungane mumtengenezee silsila km mlivyowatengenezea tabligh mkawagaragaza naomba na huyu muandae silsila

  • @jumamkwelengala4599
    @jumamkwelengala4599 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani waislamu tunaacha kupambana na makafiri tunarumbana wenyewe au merogwa na makafiri?

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      Unadhan bila kuwepo kwa radd haki itajuulikana?
      Kila mmoja saiv dini anatoa fatwa bila kurudi kwa wana wa chuoni kwa hio njia pekee ya kuinusuru dini ni radd na kusomesha tu na ukisomesha tu bila radd bas pia dini itaendelea kuchafuliwa

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza Mohamed Bachu hakusema ni yeye anakusudiwa bali alisema anashuku ni yy na akatoa sababu gani alijichukua sababu mshamuita mropokaji mbeleni na pia kuna radi kati yenu ilikuwa inaendelea na hio inaeleweka, hivyo basi ogopeni Allah na muache kutumia maneno chafu kama malaya ndani ya kikao Cha ilmu

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona wengi wameitwa waropokwaji tu ,,,na si bachu pekee ,,,
      Alafu usimtetee kwa kusema eti hakusema ni yeye bali alisema anashuku ,,hakuna tofauti tu akhy ,,,,nawe si mropokaji mbona ujishuku?

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t 3 หลายเดือนก่อน

      Hatayeye huyo inaoneka nimropokaji

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUJAAFAR92 kuna wengi wameitwa mbeleni ni sawa lakini kuna rudud yake kati yenu ilikuwa inaendelea pia kumbuka, na kama amedhani ni yeye (kumbuka hakusema ni yeye) sioni tatizo akhi so let us not make things big deal

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน

      @@AliJuma-k2t so what? Just take what is beneficial from his lectures

    • @mohammedykijazi1060
      @mohammedykijazi1060 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa kwanini akurupuke kuzungumza kumbe hakuwa na uhakika kama radd Ina muhusu yeye au lah. Kiheshima jambo usilo na uhakika nalo Bora unyamaze usubiri uthibitisho ndio uzungumze. Inaonekana hata Elimu ya jarhu hajui huyo Muhammad bachu yaani unaradd vipi kitu huna uhakika nacho. Jamani ruduud ni katika dini na sio ushabiki tuweni makini ndugu

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 หลายเดือนก่อน

    Maelezo Mengi Jibu Hakuna 😂😂 Yni Wapiga Maulidi Bhana😂😂

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hebu rudini kwenye vitu vyenye msingi ambavyo vitatufanya tuelewe dini yetu mtu haingii peponi kwa lugha hudini kwenye mada za nyuma

  • @allyhamza9969
    @allyhamza9969 3 หลายเดือนก่อน

    mbona waanza kumpigia mifano mibaya mwenzako?shekhe mzima umekosa mifano ya kibalagha mpaka unamfananisha na malaya?ama kweli elimu imebakia kwa maandishi tu

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa wew mjinga kama kwel mko vp bora ajitokeze tu uyo mafuta naona nyiny chawa weupe tu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hahhahahah! Yani kilio chenu MAHIZBI ni kwamba ajibu mafuta... hahhahah! Yani mtasubiri sana... Hawezi kuwajibu hata Mkilia machozi ya damu!

    • @wisemanwise3115
      @wisemanwise3115 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amesha jibiwa tunasubiri majibu yake Bachu tulia kaka alitoa miaka 15

    • @AbuJuhaifah-c8j
      @AbuJuhaifah-c8j 3 หลายเดือนก่อน

      Shehe Yule Abul adhil jabal la pongwe kiboko ya mahizibi na firka zote za upotovu keshasomesha wengi kwaio Yule ni Shehe Sasa Muhammad bachu bichwa ni kifaranga atajibiwa na wanafunzi wa shehe sioshehe mwenye Allah awahifadhi.madaii wetu wa kisalafi

  • @KashinnaKashinna
    @KashinnaKashinna 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asalamu alaykum warahamatulah wabarakatu shekhe wewe ni msomi matusi ya nini? Matusi yako yana manufaa gani kwa umma? Sisi tunatarajia faida ya elimu sio matusi au matusi ndio kufuata wema waliotangulia? Kuweni na hekima sio matusi munajidhalilisha mche Allah

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wacha kutumia matusi ya fedheha katika da'awah hayo ni matumizi mabaya ya da'awah

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t 3 หลายเดือนก่อน

      Amanimadusi kaanzabachu kutukana kamtukana mpakamungu kukitupakitabu chabarazanjee wakati kunamajina yamungu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio majadiida walivyo, wamechanganyikiwa

  • @MudathirAli-q6r
    @MudathirAli-q6r 3 หลายเดือนก่อน

    Popoleni Jaman sio kila kitu hujibiwa

  • @OmarAbdalla-ug5yg
    @OmarAbdalla-ug5yg 3 หลายเดือนก่อน +2

    Abu Rruduud huyu ushamjua mropokaji halfu umeenda kuutupa ufunguo hhhh😂 utfute bora kbla ya mlango kuja kukomewa...ukshindwa kutoka maan huyu BAACHU ni mropokaji hatri ulikuwa uachane nae tu umpuuzie...kwa sbbu atakuharibia heshima yako kwasbbu hayupo kufundsha kwa haqqi hiyu jamaa anatak ushndani

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 3 หลายเดือนก่อน

    Ujamnukuu ila unatumiya uogo kama unasema ukeli wekasatiyake tukiye makosayake

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mohamad bachu kazungumza kisomo na mifano katoa kuwa majadida wengi hutumia kumuita mropokaji

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน +4

      Wewe usimtetee... kasema katoa miaka 15... Hahahahahaha!
      Sasa Abuu Ruduud kashaingia mwenyew! Mada hapa ni HADHAYAAN.... ASIKIMBIE MTU.. Hahahhahahah!

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@KhalfanMakota
      Kakosea alicho kizungumza na kukipinga
      Hajapatia usawa
      Na kajigamba kua anampa mwenza mwaka kumi na tano
      Najambo lenuewe ni la dakika kadhaaa tuu
      Lakini ذلك مبلغه من العلم

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kazungumza kisomi : hadh-yaan badala ya HADHAYAAN.

    • @AsyaMussa-m2s
      @AsyaMussa-m2s 3 หลายเดือนก่อน

      Majadida ushabiki mwingi,, Quran empty,, Kwa sheikh ndio Abuu Umeyr daah bado tupo mchezoni

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 หลายเดือนก่อน

      @@AsyaMussa-m2s bachu qur-an anaijua sawa ila c kwa kudhalilika hvi ila mfate pale mskitini kwake umpe hii video ila mnunulie na kinywaji baridi asija kuungua kwa kuumwa na kichwa

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanza anatetea we ambao hawajamtuma

  • @ibnhajar8600
    @ibnhajar8600 3 หลายเดือนก่อน

    Kila siku Rududi. Tena katika kitu ambacho hakina maana hata moja kweni kukosea katika herufi ndio mtu anaingia katika ukafiri ? Wacheni kuwapa Faida makafiri

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 3 หลายเดือนก่อน

    Majibu yasoloka umeyakepa😂 huwezi

  • @Bamatraf-gn5js
    @Bamatraf-gn5js 3 หลายเดือนก่อน

    Abu Fawzaan anajidhalilisha ni bora angenyamaza tu. Masuala ya kutamka sio makosa. Wasikilizaji wake sio mambumbu ila wanajua kua hakuna aliyekamilika na wafanya sabr tu.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      Majadiida wamechanganyikiwa na maswali ya sheikh Muhammad Bachu. Na tayari tumeshajua upotoshaji wa majadiida

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @mohdkhatib223 hahahaha! TUHIZBI tunaumia Bachu kayatimba.... hahahahaha! Poleni

    • @Bamatraf-gn5js
      @Bamatraf-gn5js 3 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x pole sana , kweli naumia kwa sababu naona ndugu zangu wanajitahidi kushikamana na tauhid na sunna na kukemea shirk na bida lakini shaitan kawapambia jarhu na wamekua hawana tofauti na makhawari. Yaani wanalazimishia misingi ya salafia kwa mujibu watavyo wao. Pole sana akhi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 หลายเดือนก่อน

      @@Bamatraf-gn5js Hahahah! Haya asante kwa pole yako uliyonipa.. namm nkupe pole Soma vzr Misingi ya Da'awatussalafiyyah eeeh!

  • @AbuuFawzan-cf8wv
    @AbuuFawzan-cf8wv 3 หลายเดือนก่อน

    Alijichaguwa yy mwenyew kua ni mropokaji sasa kayakanyaga vijana wanasema wacha tufaidike

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 3 หลายเดือนก่อน

    Kila siku Raddi kila siku Raddi

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 3 หลายเดือนก่อน

      Mwambie bachu

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 3 หลายเดือนก่อน

    Zinaketa bwana

  • @IssaBungare
    @IssaBungare 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hayo majibu yako makubwa sio saizi yake hata qur an hainui ushahidi ulio upon niwazi hajayasoma maneno ya allah

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 3 หลายเดือนก่อน

    Ungesema hamna ktk nyinyi alosema kuwa Yeye si mropokoja

  • @MadieMtimbuka
    @MadieMtimbuka 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni nani kati yenu ni mjuzi(aleem) zaidi ya Allah? Tumelazimishwa kuitafuta elimu na si mabishano

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 3 หลายเดือนก่อน

    Muhammad nasoro bachu kakwambia kamahunakaziyakufanya ujibibu sijui umeelewa?

  • @saidirashid7552
    @saidirashid7552 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu muhuni tu kama wahuni wengine

  • @fadhiliharuna3934
    @fadhiliharuna3934 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona nawewe mwisho umesema atasema sirudii tena nawewe una Elimu ya Ghaibu?

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Unatarajia nini kwa mtu aliyokosa adabu na ukamuadhib na akajua kosa lake bill ya shakka atakupa mrejesho mzuri

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 3 หลายเดือนก่อน

    Leo nimefurahi kurudi kwenye vitabu rudini kwenye hoja za mwanzo mufungue vitabu kama bachoo alivyofungua tunataka kusikia

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน

      Je umebainikiwa na kitu gani kwa Bachu kujikweza na Bachu hiii sio mara ya Kwanza alijifanya mtaalamu wa lugha akaja kukosolewa na maibadhi w Pemba

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 3 หลายเดือนก่อน

      @@AmourAmour-ux3nm bacho kwenye lugha mtihani anatakiwa kujifunza kama atasoma lugha atakuwa yuko vizuri sana

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 หลายเดือนก่อน

    SASA MBONA AJAJIBU SWALI LA SHEEKH MUHAMMAD BACHU MBONA AMERUKA AMEAMBIWA ADHAYANI SIO MROPOKAJI NI UROPAKAJI ALICHOTAKIWA KUSEMA KUWA NI MROPOKAJI AU NI UROPOKAJI QALASWIII ILI NDIPO LATATIZO LA WAPIGA MAULIDI MPKA HAPO BDO AJAJIBJ SWALI BADALA YKE ANATOA UTAMSHII WA MANENO😂😂😂😂