MKE wa SUGU Amjibu FAIZA kuhusu SASHA, AmjibuKUHUSU KUMPOST Nampenda na atalindwa na kaka zake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 106

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 ปีที่แล้ว +9

    Kinachomuuma faiza wala sio malezi ya mwanae akiwa mbeya...kinachomuuma ni kwamba JONGWE Kampiga chini...na mbaya zaidi pingu za maisha na Bi HAPPY

  • @marymakame241
    @marymakame241 2 ปีที่แล้ว +3

    Dida hongera sana huyo mama achane na mtoto akae haya ni maisha amuachie mungu ndio uweza yote

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 ปีที่แล้ว +7

    Faiza jaman anauchungu mwingi sana...MZEE JONGWE KILA SIKU YUKO HEWANI KAMA RUBANI AKIWA NA BI HAPPY...FAIZA ANASUMBULIWA NA WIVU

    • @mariamlugula136
      @mariamlugula136 2 ปีที่แล้ว +1

      Wivu ndio unamsumbua Faiza, na mtoto ndio muongo anamlisha matango pori mama yake

  • @nyemodaniel5509
    @nyemodaniel5509 2 ปีที่แล้ว +3

    Happy aache kumpost huyo mtoto ILI kuepusha kelele na kunyamaza ni jibu zuri kuliko malumbano Ila wafundishe watoto wamtambue na kumpenda dada Yao mengine yatakuwa sawa tu.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว +8

    Watoto waongo sana tuwe makini hizi story .

  • @mariamsadiki9160
    @mariamsadiki9160 2 ปีที่แล้ว

    Kabisaaa happy ishi maisha yko mengne muachie maulana

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 ปีที่แล้ว +5

    Faiza Hana akili Yule MTT wa sugu happy mama wa Sasha kupitia baba faiza unajua unamkomoa mtu lkn unamharibu mtoto mahusiano ya baba na mwanae unauweka sio mzuri ambayo sio sawa.

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว +5

    Upendo uko moyoni mbona wakati Faidha analalamika kuwa hampost mwanae ulimsupport juma Leo unasema upendo uko moyoni. Juma yuko upande WA Faidha.

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 ปีที่แล้ว +2

    uyo Faidha muongo na Wivu unamsumbua tu uyo mke wa Sungu awezi kumtesa mtoto ata siku moja Faidha acha wivuuuu kubari umeshaachika

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nashangaa maisha ya watu na familia zao kuongelea mitandaoni ebu kuweni wastaarabu kwa maisha ya wengine please!!
    Happy ni Super Woman Big up

  • @christinachriss9231
    @christinachriss9231 2 ปีที่แล้ว +10

    Tatizo sio mtoto roho inauma kuachwa na sugu, apunguze makasiriko anampandikiza mtoto chuki

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +3

      Nina wasi wasi mkubwa sana Faiza ndo tatizo kubwa sana maana siku alipoojiwa na ICU nimeona makasiliko meengi kuhusu sugu

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 2 ปีที่แล้ว +3

      Happy yupo vizuri sana ukiwa karibu na mtu mbaya we mjaze upepo

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 2 ปีที่แล้ว +9

    Tatizo sio mtoto jamani tatizo ni faiza anataka sugu ndio chuki yote hio

  • @yolandamtui3090
    @yolandamtui3090 2 ปีที่แล้ว

    Dida umeongea point Sana dada, so faiza na happy msipo muelewa dida basi.

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea pointi sana Dida . Mtoto anapoenda kwa baba yake akitoka huko unaanza kumuuliza mtoto eti mama yako wa kambo amekufanyia Nini? Hapo unakuwa unakosea hutakiwi kumuuliza mtoto kitu chochote.

  • @smarty1064
    @smarty1064 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto hanyimiki, ni wetu sote, kuna siku mmoja wetu atafumba macho halafu mtamweka mtoto kwenye wakati mgumu, nimewahi kukaa kwa mama yangu mkubwa wao wanachelewa kula, mlo saa 10 jioni na usiku saa 5 niliiona nateswa sana lakini kumbe wao ndo utaratibu wao wa kula, mtoto asisikilizwe sana

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni kweli anafanyiwa vitu vibaya mbona anaendelea kumruhusu mwanaye kwenda kwa mama wa kambo

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว +4

    Unaposema mtoto hali kwa wakati maana yake nini? Mana kuna watu wanakula mara 4, mara 5, Hadi 8 sasa yeye anaongelea kulaje. Kama anawapa watoto wake hampi Sasha hapo Sawa. Hata hizi nyumba Zetu tunatofautiana malezi kuna mtu mtoto wa miaka mitatu ana chakula chake na nyingine mtoto WA miaka hiyohiyo anakula mlo WA nyumbani wa wengine.

    • @glorymsopa4221
      @glorymsopa4221 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo kweli my binfs mwanangu ana miaka 3 chakula tunachokula naye anakula tn kashazoea

  • @ziadaakida2743
    @ziadaakida2743 2 ปีที่แล้ว +4

    Dida Leo umeongea vitu vya msingi, feiza anamtengenezea mtoto mazingila magumu

    • @mariamlugula136
      @mariamlugula136 2 ปีที่แล้ว

      Watoto wabaya jmn, na tabia za wazazi kuuwaulizia Watoto wao umekula ni uchonganishi

  • @mwanamgenayoub1329
    @mwanamgenayoub1329 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kwel alichofanya Happy ni km kajibu khs kuambiwa mtt hampos ndio mana kawekwa tena kuonyesha kwamba hii iliyoleta tafran kua c Mara Ya kwanza kupost

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว

    Dida uko right sometimes watoto Ni wachonganishi hapo faiza anatakiwa kutumia busara sana

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 2 ปีที่แล้ว

    Dida umeongea vizuri sana sana

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dida umeongea point jmn

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +6

    nilicho kiona hapa Juma wacha umama, watoto wote hasa wa kike pia tabia zao ni za kike kike, ateswi wala nini wivu tu wa Faiza, post tu ndio nongwa,

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 2 ปีที่แล้ว

    Wabongo nyoso mie mwenyew mtanzania

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 2 ปีที่แล้ว +1

    Juma unapenda ushabiki Sana siku zote mtoto ukimuliza mama yako huwa anakufanyia Nini kibaya atakachokwambia utakichukulia vibaya

  • @hawa6052
    @hawa6052 3 หลายเดือนก่อน

    Dida unaakili sana

  • @priscajohn6090
    @priscajohn6090 2 ปีที่แล้ว +2

    Inaweza kuwa sio mtoto kaongea labda faiza ni wivu tu' Kumpost kwani kunashida gani

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 ปีที่แล้ว +1

    Dida kavaa ya pink au ya njano mara kajifunua ooh nina ya njano, kaadhirika hajaadhirika?? Anyways mama wa kambo wengi wana roho mbaya hawapendi watoto wa waume zao, n that’s periodt!

    • @nurdinkisaria9476
      @nurdinkisaria9476 2 ปีที่แล้ว

      Vanessa na wewe utakuwa mama wa kambo trust me

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 ปีที่แล้ว

      @@nurdinkisaria9476 no mie mwanangu ndo huenda kwa mama wa kambo. Mie sina mume mwenye mtoto

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 2 ปีที่แล้ว

    Sheria ya mtandao mtoto wa chini ya umri wa miaka 18, usiweke picha za mtoto yeyote mitandaoni bila idhini ya wazazi wote wawili kama wapo hai. Na hata wawe hai ni picha za maadili. Kwani huwezi kuishi bila kuturushia picha za watoto mitandaoni? Mtoto akiwa mkubwa anaweza kukushtaki. Na hata asipokuwa mkubwa anawezakushinikizwa na mzazi mmoja na sheria ikachukua mkondo. Acha.

  • @deogratiusmtemi3385
    @deogratiusmtemi3385 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki nimeweelewa mnoongea maneno ya akili sana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว +2

    Juma lokole utadhani alikuwepo. Eti kamsukuma, toka wee nenda ukalale 😅😅😅

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mtoto anauma sana afu mama ni mama eeeeee wakambo walikuwepo zamani saivi nishida

  • @elizabethkalemwa4714
    @elizabethkalemwa4714 2 ปีที่แล้ว +2

    Dida unaongea point

  • @MrTzakaSanTz
    @MrTzakaSanTz 2 ปีที่แล้ว +1

    Dida punguza sauti si unaongea kwny microphone mamy 😂😂😂😂

  • @hawa6052
    @hawa6052 3 หลายเดือนก่อน

    Dida MTU wa mana kabisa umeongea vizuri sana

  • @virginiathobias209
    @virginiathobias209 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa MTU ni MTU tu hata ufanyaje bado utaonekana mbaya tu.ila namshauri faiza Ally aachane nae pia Happy aachane na huyo mtoto Kuna cku atajikwaa mguu ataambiwa amemkata.kuachwa kunauma

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +6

    Mke wasugu mpumbavu Sana aaaa

  • @zainabohus4903
    @zainabohus4903 2 ปีที่แล้ว

    Hapa dida uko sawa kabisa may

  • @kabysamiami4224
    @kabysamiami4224 2 ปีที่แล้ว

    Dida upo vizuri na unatambua unachokiongea

  • @rudiaeliakim2172
    @rudiaeliakim2172 2 ปีที่แล้ว

    nimekupenda dida unaongea point tu

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 2 ปีที่แล้ว +2

    Huy faiza ni kichaa mkubwa

  • @mwanahamisjuma4165
    @mwanahamisjuma4165 2 ปีที่แล้ว

    Ana kipele

  • @nellyrukundo8718
    @nellyrukundo8718 2 ปีที่แล้ว

    Dida ntangu nikujuwe leo umeongeya maneno yamana🍹

  • @mariamlugula136
    @mariamlugula136 2 ปีที่แล้ว

    Dida uko sahihi Nimekupenda bure

  • @shelairakozeshela8943
    @shelairakozeshela8943 2 ปีที่แล้ว +1

    Dida leo umeongeya point kabissa

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 2 ปีที่แล้ว +2

    Happy msenge

  • @verokasongo9717
    @verokasongo9717 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dada anataka kiki kwa sasha mbona Lulu ana watoto wakambo hawaposti ila Hekima niaache tu kumpost

    • @peggywanjiku9638
      @peggywanjiku9638 2 ปีที่แล้ว

      Wewe haujawi ona lulu ameposti hao watoto wengine?

  • @doreenalexander6493
    @doreenalexander6493 ปีที่แล้ว

    Watoto nao sio wakuwaamin

  • @hadijahadija4699
    @hadijahadija4699 2 ปีที่แล้ว

    Dida.umeogea.pot.zuri.sana.hogera.faiza.hajielewi

  • @rogarkunambi5441
    @rogarkunambi5441 2 ปีที่แล้ว +1

    Dida kwani hapo wote mliopo hapo wote ni wanawake?

  • @gladysmwendwa3660
    @gladysmwendwa3660 2 ปีที่แล้ว

    Anacho takiwa kutambua watoto ni wachonganishi sanaa

  • @winniefrida3218
    @winniefrida3218 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว

    Sioni ubaya wa kumpost mtoto wa mumewe.

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 ปีที่แล้ว +1

    Dida leo naona pua imekuwa kama ya Kumbi la moto kulikoni?🤣🤣🤣

    • @sophyjuma8201
      @sophyjuma8201 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mm nimeiona 🤣🤣🤣🤣

  • @kiwaredavidy4468
    @kiwaredavidy4468 2 ปีที่แล้ว

    Nyie n waandishi why should you side!!!!!

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว

    Mama wa kambo wanajuaga kuigiza hehehehh ata mm ningekua Faiza

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 2 ปีที่แล้ว

    Hamkutakiwa kuwa upande wowote ninyi watangazaji.

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama hapendi muwacheni mimi siwamini mama wa kambo

  • @selestinmhagama1538
    @selestinmhagama1538 2 ปีที่แล้ว

    Juma kwani upo upande gani

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 2 ปีที่แล้ว

    MHHH MUJUWE TUU KAMA MTOTO NI AMANA YA MUNGU WACHENI KUMTIA MIDOMONI KIUMBE CHA MWENYEWE M/ MUNGU SAWAAA NA JUMA LOKOLE WACHA UCHOCHEZI SUBIRI WAKOO UMTIE MIDOMONI KITIMBAKWIRI MKUBWA WEWE LOKOLE BWABWA😳😳😳

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 2 ปีที่แล้ว +1

      Juma mchochezi sn hasie jielewa yy anamtetea yule rafiki yake tu bila kujua huyo rafiki yake Ndio mwenye makosa

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 2 ปีที่แล้ว +1

    Post za uongo ana roho mbaya kwa mtoto wa mwenzie

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 ปีที่แล้ว +2

      Wew unaishi nao huyo heppy na mtoto wa Faiza?

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

    Uyo faidha ni mpuuz ss kachelewa kula ndo nn ujinga tu

  • @kelvinchuhila3780
    @kelvinchuhila3780 2 ปีที่แล้ว +2

    Lokole anaonekana Yuko na faiza

  • @hawakambi5310
    @hawakambi5310 2 ปีที่แล้ว

    tatizo kubwa anamuhoji mtoto ilo kosa sana

  • @hawakambi5310
    @hawakambi5310 2 ปีที่แล้ว

    ata mtoto wanamtia husda

  • @fatumamohamed2229
    @fatumamohamed2229 2 ปีที่แล้ว

    Kukaa kimya pia jibu. happy acha kumpost mtoto mpende tu ndani ya moyo wako.hakuna haja ya malumbano.

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 2 ปีที่แล้ว +1

      Happy hana ttz anataka tu amuumize zaidi vile anavyomzungumzia vibaya kila akiojiwa anafundisha kisomi happy oyeeeee

  • @nancymaina9188
    @nancymaina9188 2 ปีที่แล้ว

    Happy awache ku post mtoto a post wakwake nonsense

  • @fatmaissa5685
    @fatmaissa5685 2 ปีที่แล้ว +2

    Dida una akili sana wewe umenena kweli mtoto hatakiwi kuulizwa ulizwa mambo

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo Happy anawapa chakula watoto wake kwa muda huyu Sasha anakula badae nje ya Muda

  • @مريممريم-ي1خ7ض
    @مريممريم-ي1خ7ض 2 ปีที่แล้ว

    Dida hujambo vp hali waumezako hawajambo Maana ya wenzenu midomo juu yenu kimya mfyuuu

  • @graceaabongo7344
    @graceaabongo7344 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kila mwaka alikuwa hampost toka ampost 2015hapo katikati alikuwa wap mpk ampost leo kuwa na rais huu ni unafiki kwel angetakiwa kila mwaka ampost

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 2 ปีที่แล้ว

      Picha n rais mchezo

    • @danielasangalwisye6203
      @danielasangalwisye6203 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😃wabongo hovyo kabisa!! Si mlisema hajawahi kumpost!? Kawaonesha sa hiz mmegeuka kua kwanni toka 2015 ndio aposti leo!!!!! Angalieni maisha yenu acheni kua mahakimu wa mahusiano ya wenzenu 😠😠

  • @lusekelomwakyalabwe2155
    @lusekelomwakyalabwe2155 2 ปีที่แล้ว

    Ongereeni mambo ya msingi sio kuongerea maisha ya watu wambea nyie

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว

    Common sense needed

  • @doreenalexander6493
    @doreenalexander6493 ปีที่แล้ว

    Mmh faidha wivu wako tu una lolote

  • @omarmoore2692
    @omarmoore2692 2 ปีที่แล้ว

    b.

  • @omarmoore2692
    @omarmoore2692 2 ปีที่แล้ว

    b

  • @alicekisanga8004
    @alicekisanga8004 2 ปีที่แล้ว +2

    This woman lokole is very dull.

  • @omarmoore2692
    @omarmoore2692 2 ปีที่แล้ว

    bhv vv