ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nawaomba viongozi kama inawezekana hiyo baiskeli ibaki hapo Jangwani kama ukumbusho na Huyo jamaa apewe hela yenye thamani na hiyo baiskeli ili akifika kwao malawi akanunue nyingine.
Hakika, naunga mkono hoja
Binafsi, Nakubali Baiskeli Ibaki hapo, Lakini Kwa Uzalendo aliouonyesha na Upendo Kwa Timu, Viongozi Wamwombe GSM jamaa atafutiwe Pikipiki.
Me naona apatite tickets ya bus apewe na hela ya kula njiani na jezi mpya ya msimu huu ndege nzuri ila pesa ni nyingi bora bus na pesa kidogo
Hongera bro kazi nzuri oyeeeeee yanga yanga raha sana kila kheri bro 1st 💚💛💚💛💚💚💚💚💚
Huyu Jamaaa Wamfanyie Kitu
Wampe zawadi ya pikipiki. Congratulations my brother.
Ni kweli lkn kama hajui kuendesha itakuaje?
@@zuhuranasoro8923 atakatiwa tiketi ya ndege
Daah huu upendo gan wanayanga tunaipenda yanga yetu jamn
PhoeniX oyee!
Jmn wananchi,Viongozi kamwe,mwalimu Yanga,priva,sekeli,Daudi,God,fumau makame,Harambee Kwa mmalawi nauli
🎉🎉🎉
Blessed
Naunga mkono baskeli ibaki apewe nyingine!
Rais inginia hersi said mtendee muujiza kijana uyo mwenye mapenz yadhat na yanga
Hiyo baskel ibaki nahuyojamaa achangiwe hela jamani viongozi fanyeni hivyo tumchangie apate chochote nishabiki wakweli kabisa
Wengine hamjamsikiliza mnaanza ku comment 😂😂😂
Huyu ni mmarawi kweri mimi namjua
Huyu Kweli Ni mmalawi lkn anatokea karibu Na mpakani km anavyosema
Machozi ya furaha yamenitoka
Achangiwe nauli tuoneshe mfano huyo Ni mwafrica km Jina letu lilivyo tumsaidieni Itakua Ni aibu kumwacha arudi kwao Kwa baiskeli tena
Zikomo kwambiri achimwene
Kasema mikumi kapata lift ya gari ilimvusha
Nikweli wewe unaebisha hiyo kapita hapa isongole ileje tumemshuhudia na tunamfahamu
😢😢😢😢daaaah
Huyu sio muongo anaonekana Ni mmalawi
Hekima yako rais wa yanga, tunasuitegemea na Kwa hamu sana Kwa rafiki yetu hapo.
Camaraderie
Huyu jamaaa mfano wakuigwaa natambua viongoz wangu niwatu wapenzi namashabiki zao wamuunge mkono
Mikumi kapitaje???
C Amesema Alivushwa? Na Gari Nyingine
Kwani ujasikiliza mikum kapewa lift
Muongo uyo😂😂😂
😂😂😂😂 Jama muongo sana hiyo haipo malawiri nmbari sana
Mzee kwa nn isiwezekane sasa