TANZANIA _Top 5 Majiji Mazuri Tanzania Bara 2020/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ย. 2020
  • #darezcityDeveloped and Beautiful cities in TAnzania#Dar Es Salaam#Mwanza#Arusha#Dodoma#Mbeya
    1.Dar Es Salaam
    2.Mwanza
    3.Arusha
    4.Dodoma
    5.Mbeya

ความคิดเห็น • 61

  • @HanceBablo-ot8sz
    @HanceBablo-ot8sz 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanza is my dream city to live and to do investment l.like mwanza more than dar

  • @franklinjr996
    @franklinjr996 หลายเดือนก่อน +1

    mwanza kwa arusha bado sana

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanza jiji la kisukuma, hii imependelewa sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @danielmollel9816
    @danielmollel9816 ปีที่แล้ว +3

    The rooooooock city mwanza hatari na nusuuuu7

    • @ramadhanisalimu7824
      @ramadhanisalimu7824 ปีที่แล้ว

      We mwenyewe hujatembea waekaje mijimizur wasahau tanga yanikama huji baharitu yajitosheleza mjikuwa mzur pumbavu

    • @ramadhanisalimu7824
      @ramadhanisalimu7824 ปีที่แล้ว

      Unguja piahujaiweka ivi umefika unguja hakuna mkowowote tz bara unafikia uzur waunguja isipokuwa dar es laam

  • @janekayonza6135
    @janekayonza6135 3 ปีที่แล้ว +1

    Iko vizuri

  • @saedfundikiramamoka5798
    @saedfundikiramamoka5798 2 ปีที่แล้ว +1

    Musical sound in back ground kills me..

  • @danybony2893
    @danybony2893 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo ngoma. Kali Sana ya mbea kawimbo kazuri

  • @hamisiangalahenga841
    @hamisiangalahenga841 2 ปีที่แล้ว

    Hilo song vipi

  • @upendojuma2799
    @upendojuma2799 2 ปีที่แล้ว

    Mbeya sio jiji kabisa mji mzima nyumba za chini gorofa chache Sana haijafikia jiji.

  • @kalla4alex146
    @kalla4alex146 ปีที่แล้ว

    Ddm bado sana shamba

  • @thomasanthony6292
    @thomasanthony6292 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa muongo sana,tangu lini Arusha kuna bahari??

  • @isayamwantu4943
    @isayamwantu4943 2 ปีที่แล้ว

    Arusha wee

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 ปีที่แล้ว

    Mbeya kama mkoa ni mzuri ila Mbeya kama mji hamna kitu kiukweli.

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 ปีที่แล้ว

    Mbona pengine hujachukua video umechukua picha tu video ndo zinaleta muonekano mzuri wa mji, umebugi sana

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 5 หลายเดือนก่อน

    Mkumbuke na kugoma jamani

  • @danielmollel9816
    @danielmollel9816 ปีที่แล้ว +1

    Kaka unajua kupanga kweli ila umesahau iringa ,,,, kaka

  • @barakamalongo3630
    @barakamalongo3630 2 ปีที่แล้ว

    Dodoma kubaya afadhar nafac yake ingkaliw hta na mbeya green cty

  • @vulfridakessy7148
    @vulfridakessy7148 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni kigezo gan unatumia kusema miji mizuri? Ni hayo majengo au? Coz kila mkoa ukijengwa utaonekana mzuri!! Acha kutupotosha! Tena kuna baadhi ya miji ikijengwa n mizuri kuliko hata baadhi ya hayo majiji ulotuonesha! By then hayo n majiji sio miji..nenda kwny miji usitupotoshe!

    • @onemoja1
      @onemoja1 2 ปีที่แล้ว

      Amia kwenye jiji wewe sio unakaa unamakasiriko kwasababu unatokea kwenye vimiji uko

    • @godcompeter9844
      @godcompeter9844 2 ปีที่แล้ว

      Ulitaka singida iwepo au

  • @hemedmahenya7871
    @hemedmahenya7871 3 ปีที่แล้ว +1

    Asa mbona Dodoma umepiga picha ya mbali

  • @mohamedyahya1677
    @mohamedyahya1677 3 ปีที่แล้ว +1

    Where the hell is Tanga City's attractiveness comparing to these newly upcoming ones with the exception of Dar es Salaam? Tanga mnafeli wapi. What a pity!

  • @barakamalongo3630
    @barakamalongo3630 2 ปีที่แล้ว +1

    Chuga kumbe kama iringa tu

  • @allyseremani9116
    @allyseremani9116 2 ปีที่แล้ว

    Majiye nyeubora tz

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 3 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri sana ila Currently Dodoma na Mbeya haziko hivyo, tupe updates za hivi karibuni,

  • @silverdoffocialartsist7675
    @silverdoffocialartsist7675 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilipo oma arusha kuna bahari nikagaili kuendekea kuangalia 😂 😂 😂 😂 😂

  • @hamisiangalahenga841
    @hamisiangalahenga841 2 ปีที่แล้ว

    Song lanani hilo au linaitwaje

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 3 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa hufai, mbona.dodo hujapiga picha za video zinazotembea hata kidogo kama ulivyopiga mbeya, pia picha za dodoma umepiga kwa umbali sana.

    • @phillymassawe2254
      @phillymassawe2254 2 ปีที่แล้ว

      Jamaa mpumbavu anatembea na takwimu za zaman mwelekeze aje maeneo ya morena ,kambarage tower inshortly makulu road

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 ปีที่แล้ว

    Dodoma umeichukua vibaya sana

  • @ikopwdjh694
    @ikopwdjh694 11 หลายเดือนก่อน

    Dodoma mbona sjjaelewa ulivoichukua wewe

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 3 ปีที่แล้ว +3

    zanzibar iko wapi Haiwez kua Tanzania bila ya zanzibar pumbavu wewe

  • @filbert9138
    @filbert9138 2 ปีที่แล้ว +1

    Dodoma ilipaswa kushikilia nafas ya pili

    • @natureworld295
      @natureworld295 2 ปีที่แล้ว +1

      Wacha upuzi nanii . you don't even know your country well 😀😀😀

    • @phillymassawe2254
      @phillymassawe2254 2 ปีที่แล้ว

      @@natureworld295 kaa kwa kutulia kijana cameraman amechukua visubpart vilivyotolewaga kitambo tuulize sis tunaoifahamu well

    • @natureworld295
      @natureworld295 2 ปีที่แล้ว +1

      @@phillymassawe2254 dodoma naenda karibu kila wiki

    • @ednabasu5447
      @ednabasu5447 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo hamtembeagi vijana njoo Mwanza ujionee, me kote nimetembea ni Halali kabisa

  • @africanrenaissance5298
    @africanrenaissance5298 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 3 ปีที่แล้ว

    Hivi Iringa na mwanza wapi pa ukweli mi sijawai kufika hizo sehem kabisa.

    • @onemoja1
      @onemoja1 2 ปีที่แล้ว

      Mwanza ni Jiji la pili Tanzania ,Iringa haijafkia ata nusu ya mwanza ,nimewahi fika Iringa saiv naishi mbeya

    • @MeshackLukanda
      @MeshackLukanda 5 หลายเดือนก่อน

      hao

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 2 ปีที่แล้ว +1

    Arusha na dar ndiyo compitative cities

    • @mhandodanny4256
      @mhandodanny4256 2 ปีที่แล้ว

      Arusha ni mjini mdogo huwez linganisha na Dar Arusha kwa Dar inaingia mara 10

    • @mhandodanny4256
      @mhandodanny4256 2 ปีที่แล้ว

      Hapo Arusha city centre ni sawa na mitaa ya Morocco na makumbusho tu hapa Dar mitaa ambayo cc hapa Dar tunaona ni nje ya city centre

    • @mhandodanny4256
      @mhandodanny4256 2 ปีที่แล้ว

      Tanzania hakuna mji wa kucompire na Dar Dar ni New York ya Tanzania

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 2 ปีที่แล้ว

      Compatible sijamaanisha majengo namaanisha uchumi.sasa hayo ya Arusha kuingia dar mara kumi au mia ni yenu.
      Dar ndiyo mji au mkoa mdogo kabisa kieneo kuliko mkoa mwingine,
      Ni mji uliojengwa na serikali na ni kama dodoma inavyojengwa na serikali.
      Kwa hiyo tunapopambanisha miji tusiangalie tu majengo na miundo mbinu pia tuangalie ni gdp ya mkoa na mtu mmojammoja

    • @mhandodanny4256
      @mhandodanny4256 2 ปีที่แล้ว +1

      Haina haja ya kubishana jombaa maana cc wote ni wa Tz so miji yetu ikidevelop ni nzuri kwetu sote wa Tz

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hamuwekagi na unguja na pemba au huko si Tanzania 😡😡😡😡😡

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 3 ปีที่แล้ว

      tatizo pachafu patachafua picha

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      @@samirahassan3212 😭😭