YANGA SC: TAZAMA WALIVYOPOKELEWA KIFALME ZANZIBAR | MSAFARA ULIVYOFUNGA BARABARA ZOTE | FAINALI CRDB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @kidawajuma9597
    @kidawajuma9597 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kila la kheri timu yetu dua tunawaombea in shaa allah kheri ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 6 หลายเดือนก่อน +2

    Safari njema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kila la Kheri Kwa Yanga F C. " Daima Mbele Nyuma Mwiko". Mwenyezi Mungu Saidia timu yetu Yanga ipate ushindi.

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 6 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele Nyuma mwiko, all the best my best tanzanian team. 💪

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu simama na yanga yangu tarehe 2 imeenda kupambana zazimbari bingwa baba kuwasimamia wafauru mungu

  • @JeniphaSilapola
    @JeniphaSilapola 6 หลายเดือนก่อน +3

    mungu awakumbuke chama langu

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 6 หลายเดือนก่อน

    This is the meaning of the Big club YANGA 🏆💚🏆

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna timu za mpira halfu Kuna hi timu yangu mm💛💚💪

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 6 หลายเดือนก่อน

    Love yanga

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 6 หลายเดือนก่อน

    All the best

  • @charlesmkisi8052
    @charlesmkisi8052 6 หลายเดือนก่อน +3

    Azam wameyàtimba hawanapakukimbilia sasa kisasi nihaki Yanga bingwaaa!!!!!!!!!!!!!!!

  • @jacksonmakundi5956
    @jacksonmakundi5956 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni timu ya wananchi

  • @MassoudAbdalla-v9g
    @MassoudAbdalla-v9g 6 หลายเดือนก่อน

    Kila la kher timu yetu ya yanga mungu awafanyie wepes siku ya jumapil inshallah

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kila la kher wananchiiiiiiiiiiiiiii crdb cup

  • @NicholausMagere-qz4pk
    @NicholausMagere-qz4pk 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mechi ngumu sana hii inabidi Gamond atumie mbinu za Xabi

  • @AllyKamlo
    @AllyKamlo 6 หลายเดือนก่อน

    Kika la eli

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 6 หลายเดือนก่อน

    Sikiliza sauti ya wa Zanzibar

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 6 หลายเดือนก่อน

    Kwao kama kwetu

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 2 หลายเดือนก่อน

    Lini hiii😊

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 6 หลายเดือนก่อน +2

    Azam sasa kama hawajulikani tanzania hii 😂😂😂😂😂😂

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie ili tushinde jamani japo mechi ni ngumu

  • @dengahmediatz3113
    @dengahmediatz3113 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huko ndo asili ya yanga ilipo

  • @edithafrancis847
    @edithafrancis847 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tunasubiri kombe linguine🤪🤪🤪

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga Zanzibar nikwao ww mtoto mdogo kalale

  • @abdullhamaidsalum1511
    @abdullhamaidsalum1511 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ao wanao wapokea wote wabongo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ubuntuuu nongwaaa

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kweli, Yanga Zanzibar ni nyumbani

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 6 หลายเดือนก่อน

    Inatia hamasa wachezaj wetu wapambane had tone la mwisho Azam wasitufunge

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me 6 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar sio bongo??

    • @TwalibKwelii
      @TwalibKwelii 6 หลายเดือนก่อน

      Yeaah kwa 7bu zanzibar ni visiwan na bongo ni milimani

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 6 หลายเดือนก่อน

    Kila rakheli timu yangu pendwa