MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu kazi njema MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awatawale awaongose awalinde awatunze awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga
Mbali na ushindi uwanjani unaonipatia furaha daima,huu ni ushindi mkubwa unaonipa furaha kubwa kwa upendo ambao timu yetu imetoa kwa watoto. Sio Zanzibar mwanza mbeya au arusha tu mmekuwa chanzo cha furaha kwa watoto wengi.asante wananchi
Mungu atusimamie na azidi kuwapa weredi mzuri Viongozi wetu Mungu akazidi kutujibu kwa Kila sadaka tunayotoa. Inshaallah hii Leo tukapate Ushindi na Tukatwae Kombe la FA
Tunaungana na hao waliojitoa kuwaombea sana afya njema na maisha yenye furaha. Lakini Mungu awajaze mafanikio wenye moyo kama huu wa Yanga na Yanga tunaendelea kumshukuru na kumtukuza YEYE kwa zawadi nyingi anazotujalia. Amina.
Asantesana viongozi wayanga mungu awaongoze viema mana mnajuwa kuwagusa watu wanyonge ❤❤❤
Allah awajaalie na kwa uwezo wake tutashinda inshallah
Mungu awabarki san na azipokee Dua tukapate ushindi insha'Allah
M/Mungu atawazidishieni Kheir nyingi Inshaallah
Masha Allah Allah awazidishie viongoz wot wa yanga
Eng. Una akili ya kimapinduzi sana God bless you 👏👏👏💚💚💚
Asante mama ishalla nina imani na Mungu wangu tutashida
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu kazi njema MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awatawale awaongose awalinde awatunze awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga
Mbali na ushindi uwanjani unaonipatia furaha daima,huu ni ushindi mkubwa unaonipa furaha kubwa kwa upendo ambao timu yetu imetoa kwa watoto.
Sio Zanzibar mwanza mbeya au arusha tu mmekuwa chanzo cha furaha kwa watoto wengi.asante wananchi
Mungu atusimamie na azidi kuwapa weredi mzuri Viongozi wetu Mungu akazidi kutujibu kwa Kila sadaka tunayotoa. Inshaallah hii Leo tukapate Ushindi na Tukatwae Kombe la FA
MashaAllah TabarkAllah ❤❤❤🎉 ya Allah tujaalie ushindi daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💛💛💪
Amiiiin Ya rabbi
Tunaungana na hao waliojitoa kuwaombea sana afya njema na maisha yenye furaha. Lakini Mungu awajaze mafanikio wenye moyo kama huu wa Yanga na Yanga tunaendelea kumshukuru na kumtukuza YEYE kwa zawadi nyingi anazotujalia. Amina.
Mwenyezi mungu awabariki sana, awarudishie mulipo towa, ,awaongoze, na kuwatangulia kira shughuli zenu zote aminaaaa
All the best to our lovely team YOUNG AFRICANS a k.a YANGAAA nikiwa QATAR DOHA niseme inshaAllah MUNGU atujaalie ushindi mnono...
MashaAllah Allah ajaalie kheri InshaAllah aamin.
Mjitahidi pia kutafuta vituo vinavyosimamiwa na Mathehebu ya Kikristo ili kuleta utangamano katika Jamii. Unless otherwise you are doing a Great Job.👏
Kama ungelikuwa unafatilia ungerejea ziara zao huko nyuma wameishatembelea vituo kama hii vinavyosimamiwa na madhehebu yadininnyingine!
Dodoma mbona walitoa kwa wakristo
Yanga habagui dini fatilia vizuri tu
@@sylvestercameo6263sahihi kk
Kwa hili nawatetea....vituo vya kikristo wametembea sana
YANGA Team Asante sana
this brought me tears😓😓
Maashaallah ni jambo la kheri saaana.....yanga ni timu ya wananchi.
Zanzibar sote ni yanga
mashallah rais wetu mlez Allah akulipe kheyr yaaan uyo mtoto anaona km baba ake wallah
Aamin Inshaallah
Yan kwakilamech mnayokwenda kucheza mko wowote lazima mtebelee kwawatoto yatima hongereni yanga
mungu kwanza mashallah
MashaAllah ❤❤
Namba za cm za kituo naitaji kuja kumuolea mwanangu
Mashaallah Alhamdulillah🙏🥰
Heri wenye moyo safi. Maana wao wataitwa wana wa mungu.Amen
Wa kwanza jaman naombeni like zenu💚💚🙏
YANGA INATIA FORA
One love ❤🎉🎉🎉🎉
Sio kwamba tulistahili sana kushinda ila Baraka nyingine zinakuja kutokama na mambo unayofanya, shukrani sana
Chama langu huwa mnafanya kazi nzuri sanaa si uwanjani tu hata kusaidia wahitaji.Yakobo 1:27
🎉 hakika unajiwekea ngome wengine wakasome
Ndo maana Yanga tunashinda kwa kuwa wenye uhitaji tunawakumbuka kidg kwa kidogo tulichonacho
Allaah Akbar
Yyt atakelae mkumbuka mungu kwanza na kimuweka kiwa kipaumbele mungu hawez kuwaaacha na hy ndio silaha yenu kubwa Mungu awajalie snsn
Mungu awalinde yanga na viongoz wote
Munga asimame na Yanga yake aitetee
💚💚💛💛💛🤲🤲
🙏🙏🙏🙏
MASHAALLAH
Hii ndo sababu ya kuipenda yanga
Yanga bingwa
🙏🙏🙏🙏❤❤
Yanga tunashinda Leo musonda max gwede goli tatu
tusingeweza kupoteza kombe kwa dua mayatima
Hii ndiyo timu ya wananchi
Injinia utafika mbali sana wewe
Masha Allah Allah awazidishie viongoz wot wa yanga
🙏🙏🙏