Hongera sana Mhe Daktari Rais Samia nilitegemea ungeokoa muda tukafunga hiyo Ndoa yetu tukufu yaTanzania Bara na Visiwani salama kutokana na jinsi nnavyokupenda nnavyokupenda nnavyokuthamini nnavyotambua uzito wa kumuoa Mhe Daktari Rais Samia nilitegemea nije niwe kiraka wako wa mambo kama kusikiliza Wananchi ungejitahidi hata ikikupendeza tufanye kesho jamani jamani Madamu Rais mpenzi wangu wa moyo wangu Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu jamani.
Kauli ya Samia kusapoti Harmonize kuharibu kazi za Diamond Platnumz kwenye youtube na uchawi ni Aibu kubwa kwenye Taifa yetu Tz 😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
CCM; ANGALIENI KWANI MMEKWISHA KUNAJISIKA SANA, SIYO KIDOGO. UKWELI HUU MNAUJUA KABISA, POLENI SANA KWA HILA NYINGI DHIDI YA WATANZANIA WAPENDA AMANI. CCM MNAINYONYOA AMANI YA NCHI HII; HEBU TUSUBIRI MUNGU ATAFANYA NINI?
Fanyeni kazi muache kuwa mnapiga tu makelele.....yaan wewe rais hata hujiongezi wewe kila siku nikupiga vikao na wana ccm na viongozi wakubwa tu huna mikutano na wananchi wala viongoz wa chini wakati hao ndio watu haswa wanaokupigia kura wewe na ndio watu watu unaohitaj kujua na kitatua haswa shida zao

Mitano tena kwa Mama Samia
🙏👍

Mama ubungo maji hayapatikani huku karibia siku ya 3 Leo kama sikosei