MHE.RAIS DKT JPM ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17-06-2020

ความคิดเห็น • 49

  • @samjoseph3954
    @samjoseph3954 4 ปีที่แล้ว +1

    October nitarudi mbeya kukupigia kura tu mzee na kurudi zangu tena lizaboni.

  • @godlovemgoji4357
    @godlovemgoji4357 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa Kumpa Mh.J.Pombe Magufuli,Mimi tayari leo leo tarehe 19-06-2020 nimeshaenda Kumdhamini ,TUNATEKELEZA .
    KILA LA KHERI MWKT WETU.
    Godlove J.Mgoji
    MANYARA.

  • @francismukirya9611
    @francismukirya9611 4 ปีที่แล้ว +2

    Kutoka Mara Mimi Francis Mukirya Kwisema Senda Nina mdhamini mwanachama mwenzangu Ndg Dkt John Pombe Joseph Magufuli Wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuchaguliwa kupeperusha bendera ya Chama chetu kwenye uchaguzi Mkuu Wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
    1Samuel 2:35

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 4 ปีที่แล้ว +2

    MWENYEZI MUNGU Akujalie na akushindie dhidi ya adui zako maana ni wengi mno ,tuna jivunia kuwa na wewe pia tunakuombea kwa MUNGU ushinde tena kwa kishindo utimize yale yote uliyo anzisha na utufikishe sehemu nzuri kama MUNGU apendavyo yeye.

  • @nyanda427
    @nyanda427 4 ปีที่แล้ว +4

    I love this man of God

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 4 ปีที่แล้ว +2

    Rais wa Africa na dunia sisi kama wananchi wako tunakuomba kwamba usijisumbue kuzunguka kufanya kampeni we pumzika tu sisi tutakuchagua

    • @goddymassawe213
      @goddymassawe213 4 ปีที่แล้ว

      Kabsa mzee wetu wepumzkatuu...wendo raisi wetu akuna mwingine..jembe letu laukweli...

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 4 ปีที่แล้ว +2

    Mr. President Sir.
    You look energetic and young at your age.
    I always pray for you.
    God bless you
    God bless Tanzania

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +2

    "Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

    • @justinerespicius755
      @justinerespicius755 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wananchi tunayo nguvu yakuibadlisha katiba na huu ndo muda mwafaka wa kuunganisha nguvu kwa pamoja na kuibadilsha katiba

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +1

    "Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @apostlejohn.k.mutukaa.k.aj2837
    @apostlejohn.k.mutukaa.k.aj2837 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbingu zimekuchagua tayari. Wananchi watajaza karatasi tu [√]

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว

    Kura zote kw Magufuli mpenda maendelea na mpenda watu wake🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 ปีที่แล้ว

    Rais wetu Mungu anajua ulivyojitoa kwa Taifa letu kila Mtz leo anatamani kukudhamini..2015 ulikosa support kbs...Ushauri wangu usiruhusu wanaotaka kutumia jasho lako kupata ubunge. Tumeona wanaonda kukudhamini kwa Camera..No wewe sasa sio wa wanaharakati hao wachache wanaotaka kujinufaisha leo. Wanawake,wazee na wamyonge ulirudisha tumaini la maisha yao ni mara 100 ya 250 kila Mkoa..Mungu akupe afya njema na uhai ndio ili utufikishe sawa sawa na maono yako

  • @omarisjuma3198
    @omarisjuma3198 4 ปีที่แล้ว +2

    Kila la kheir Baba Magu mollah akupe afya njema urudi tena 2021 Inshallah basi mm nitakuwa mzamini wa hamzamini wako wa Hamsini.

  • @pancrasskazimoto4094
    @pancrasskazimoto4094 4 ปีที่แล้ว

    Tunakuamini Rais wetu Sisi tushakudhami Mkuu tunaimani Vijana wako wazalendo tupo tunajitoa kwa ajili yako tunaimani uatatuajili tuu Mkuu we ndie Rais wetu wawanyonge.

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 4 ปีที่แล้ว

    Our President. A Man of God like Jushua of the Bible; firm and credit.

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mwenyezi MUNGU Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @issakabwende5083
    @issakabwende5083 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee magu kwa utan utan tuu

  • @ozacsic2832
    @ozacsic2832 4 ปีที่แล้ว +1

    My president is very humble coz normally Hiyo form ilibidi imfuate ikulu. God bless u boss. Umepita mazee wangu

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 ปีที่แล้ว +4

    Umepita baba weeeeee wanyakyusa tunasema ungapasyaghaaaa

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutangulie Mr. President. Himo, Kilimanjaro tunakusubiri kwa hamu kubwa.

  • @mmaulid4532
    @mmaulid4532 4 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe hata usimalize mda wakuache tu miaka yote. Mola yu pamoja nawe

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 4 ปีที่แล้ว +1

    rais wetu mpendwa Magufuli Mimi Joanne nakudhamini rais wangu mpendwa

  • @josephmlela9757
    @josephmlela9757 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie DR. Mh Jpjm

  • @josephholela136
    @josephholela136 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Sana huko uliko

  • @huhesodigitaltv815
    @huhesodigitaltv815 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mkuu

  • @emmanuelredman503
    @emmanuelredman503 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapa kazi tu

  • @francismukirya9611
    @francismukirya9611 4 ปีที่แล้ว

    Kutoka Mara Mimi Francis Mukirya Kwisema Senda Nina mdhamini mwanachama mwenzangu Ndg Dkt John Pombe Joseph Magufuli Wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuchaguliwa kupeperusha bendera ya Chama chetu kwenye uchaguzi Mkuu Wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
    1Samuel 2:35

  • @aminamtikaonlinetv7305
    @aminamtikaonlinetv7305 4 ปีที่แล้ว

    Mh Rais,umepita kwa kishindo kikubwa Sana, watanzania tunakupenda Sana na hatuna hofu na wewe yupo pamoja songa mbele.
    Baba tunakuombea Sana usiku na mchana uwe na amani Rais wetu.
    Kuna nchi wanalia,ivo watanzania Sasa ni wakati wa kumshukuru mungu na kumuombea maisha marefu rais wetu.

  • @josephholela136
    @josephholela136 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Mtukufu amlinde Mh Rais Wetu. Nchi bado inamuhitaji na sisi watanzania tunauhitaji.

  • @fatmamazige865
    @fatmamazige865 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki upite tena.

  • @Satier47
    @Satier47 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤😢

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 4 ปีที่แล้ว

    asante sana baba yetu mpendwa wetu rais Magufuli tunakupenda sana tunafurahi sana na asante kwa kukubali kugombea urais Mwenyezi Mungu akubariki na akulinde na familia yako asante Mungu

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 4 ปีที่แล้ว

    tunaomba Mwenyezi Mungu akupitishe na tunaamini Watanzania watakuchagua umewafanyia mema mengi tunakupenda sana

  • @sellemaninjimbwi7002
    @sellemaninjimbwi7002 4 ปีที่แล้ว

    Mr president njoo na huku pwani tukudhamini

  • @aviationwonders7575
    @aviationwonders7575 4 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @jordanmachaninga330
    @jordanmachaninga330 4 ปีที่แล้ว

    Nasubiri kwa hamu kukupa kura ya ndiyo

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 4 ปีที่แล้ว

    Tayari nimekudhamini mh.Rais.

  • @aviationwonders7575
    @aviationwonders7575 4 ปีที่แล้ว

    Tuna bahati saaaaana 👌👌

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwenyezi MUNGU

  • @mkamariamstaarabu4931
    @mkamariamstaarabu4931 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @raymond_anthony95
    @raymond_anthony95 4 ปีที่แล้ว

    Mshua Master

  • @nsikanyigwinshimpinga9132
    @nsikanyigwinshimpinga9132 4 ปีที่แล้ว

    Sifa za udhamini ni zipi nikudhamini tu baba yangu

    • @charlesmvula7313
      @charlesmvula7313 4 ปีที่แล้ว

      Kadi ya uanachama ya ccm tu mfate mjumbe wako washina anayoform ujaze

  • @fatmamazige865
    @fatmamazige865 4 ปีที่แล้ว

    Hadi laha