KENYA vs TANZANIA vs UGANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
  • Afrika mashariki sisi ni ndugu tupendane kwa faida ya ukanda wetu. #mwalimugoogletv

ความคิดเห็น • 354

  • @mwalimugoogletv3738
    @mwalimugoogletv3738  8 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi ni "CHINESE PRODUCER" NAPATA FAIDA KENYA KSH 100. NAPATA FAIDA TANZANIA TSH 2OO0 . KWA BIDHAA ZANGU.
    TOFAUTI HAPO NINI ?
    1 KM = 1000 METERS
    TOFAUTI NI IPI?

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 8 วันที่ผ่านมา

      big point

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 วันที่ผ่านมา

      HONGERA KAKA UNATISHA!! 😂😂😂

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

      Wakenya kuongea Kiingereza haimaanishi kuwa wanamdhamini Mkoloni. Kenya ni nchi huru kama hufahamu. Kiingereza ni lugha kubwa ya Kimataifa na Kiswahili pia tunajivunia. Asili ya Kiswahili ni pwani yote ya Afrika Mashariki wala si Tanzania kama mnavyodai nyie WaTanganyika. Kiingereza na Kiswahili lugha zote mbili nina umuhimu na kwa namna yake.

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

      Wakenya ni wasomi zaidi ata kuliko Watanzania na wanajitambua sana. Kama unadhani Wakenya hawajitambui basi amka , maana wewe uko usingizini.

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

      Alafu wacha tabia yako ya kuwatukana Wakenya , na alafu unakanusha

  • @HamduniYasir
    @HamduniYasir 6 วันที่ผ่านมา +2

    Uwa nakukubali mzee

  • @samwel3571
    @samwel3571 8 วันที่ผ่านมา +12

    Some few facts about Tz
    1. Tanzania mlipata Uhuru mbele yetu.
    2. Tanzania mko wengi kutushinda Kenya ( Human resources)
    3. Tanzania mko na Arable farm kubwa ( Mara tatu kutushinda).
    3. Tanzania mko na Minerals nyingi kutushinda ( gold, diamonds,Tanzanite etc)
    4. Tanzania mko na tourists destinations Nyingi kushinda kenya.
    5. Tanzania mko na coast line kubwa kushinda kenya.. Mna samaki
    6. Tanzania mnategemewa na Congo, Rwanda na Burundi kwa Imports.
    Hizi vitu ndoo msingi wa Uchumi wa kitaifa.
    Shida sio taifa shida ni wenyeji..Nyie watanzania Mko Slow and Very Lazy.
    Usiseme Wakenya hatufanyi kazi. Ukileta wakenya hapo Tanzania tutapiga Kazi and within 10 yrs economy itakua level ya Singapore na Malaysia.

    • @jamestaifa3461
      @jamestaifa3461 8 วันที่ผ่านมา +7

      Tangu lini mtu lazy analisha nchi zote east Africa na agriculture tunatumia mbinu za kizamani

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 8 วันที่ผ่านมา +3

      Na huo ubaguzi wenu mtaweza kweli

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 8 วันที่ผ่านมา +5

      Huna Point Kaz Yenu Ni Kuandamana Bungen Kula Vyakula..😂😂😂

    • @Dausanny
      @Dausanny 8 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂 we unaesema lazy ndo unasema tunawapita kiuchumi

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 8 วันที่ผ่านมา +2

      Wakenya Kila uchaguzi vurugu utazani hawana akili timamu. Nikifika huko nawagawia vyeti vya milembe wote

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 8 วันที่ผ่านมา +5

    Bei ya UNGA Tanzania 1 kilo
    UNGA wa sembe Tsh 1200/= sawa na 0.38 us dollar.
    UNGA wa Dona Tsh 1000/= sawa na 0.37 us dollar.

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 8 วันที่ผ่านมา +8

    Kipimo cha uchumi ni hali za watu. Kkt miji mikubwa ya Kenya mamilioni wanaishi ktk slums. Tanzania kwanza hakuna slums, bali tuna squatters. Na hali ya ugumu wa maisha ya watu wa chini ni ngumu zaidi Kenya kuliko Tanzania
    Lingine ardhi ni mali muhimu sana. Kenya ardhi yao inamilikiwa na wazungu na wachache wakati ardhi tanzania ni kubwa na ni mali ya serikali.
    Kila Mtanzania anaweza.kumiliki ardhi kwa bei nafuu wakati kinywa wanagombania ardhi
    Ndio maana wakenya walikuwa wanataka eti kila raia wa east africa awe na haki ya kununua na kumiliki kiwanja nchi yoyote EA,, hapo Tanzania wakagoma

    • @benN8835
      @benN8835 8 วันที่ผ่านมา +2

      Usiamini huu ujinga unaouandika. Katiba ya Kenya iko online. Hakuna mtu asiyekuwa raia wa kenya, iwe mzungu au muafrika, anaweza miliki shamba Kenya. Anaweza lease miaka 99 na bei ni ghali - prohibitive

    • @benN8835
      @benN8835 8 วันที่ผ่านมา +2

      Shida ni unaandika rumors/uvumi tu badala ya kuingia online uone uhalisia na ukweli wa mambo. Poverty index iko juu Tanzania kuliko Kenya. Corruption index iko juu Tanzania kuliko Kenya. Lakini najua watanzania mnajiliwaza sana ati mtashinda Kenya kiuchumu. Mtahitaji miaka ishirini na tano ikiwa uchumi wa kenya unakuwa kwa asilimia 1 na Tanzania asilia saba. Badomko nyuma. Kushinda kenya volume of trade in east Africa si kushinda kiuchumi

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@benN8835Unachoongea haki make sense,ongea facts cyo kuongea kishabiki,inakuaje u dominate trade in east Africa zone,halafu ucwe na uchumi mzuri??bro wake up

    • @benN8835
      @benN8835 8 วันที่ผ่านมา +1

      @@josephevaristi8923 reread your comment and you will understand why you are not making sense

    • @jaro5603
      @jaro5603 8 วันที่ผ่านมา

      ​@benN8835 bro never argue with Tanzanians they are very hard headed and closed minded

  • @J4UPro
    @J4UPro 8 วันที่ผ่านมา +5

    Wewe mwamba nakukubali sana

  • @Mbewevunjabei
    @Mbewevunjabei 8 วันที่ผ่านมา +16

    Hiki kichwa kina madini mgodi hauwezi tosha👽📌

    • @DanielKilamian
      @DanielKilamian 4 วันที่ผ่านมา

      nimemkubal❤

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kimejaa Tope

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 8 วันที่ผ่านมา +5

    Zanzibar is geographically important zone 🎉

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +2

    Ni dhahiri kuwa huwaelewi Wakenya vizuri , japo unalaghai kuwa eti Kenya is my second home

  • @MosesMulambya
    @MosesMulambya 8 วันที่ผ่านมา +8

    Kenyans look down on Kiswahili but when Swahili gains international recognition they claim it's theirs and that it started in Kenya. Kenyans are too pompous more pompous than South Africans who are not even pompous compared to Kenyans. Kenyans don't you know that the Entire Eastern and Southern Africa except Kenyans respect and love Tanzanians

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kenyans respect and love Tanzanians more than any other African country

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +2

      It is not right to say Kenyans look down on Kiswahili. Kenyans are proud to be a Kiswahili speaking country

    • @muragegitari6052
      @muragegitari6052 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kenyans respect Tanzanians. But should you begg for respect?

    • @christineopiyo7769
      @christineopiyo7769 7 วันที่ผ่านมา +1

      Wachana na vita za mtandaoni kati yetu Kenyans we love Tanzanians just ask Diamond na wana muziki wengi wa Tanzania

    • @MosesMulambya
      @MosesMulambya 7 วันที่ผ่านมา +1

      @muragegitari6052 Few loudest Kenyans look down on Tanzanians creating the impression that Kenyans generally look down on Tanzanians the people we Southern Africans highly respect. Tanzanians have not failed to do anything because of their Swahili.lf any thing Tanzanians have provided so much leadership on SADC, EAC and more so on AU esp when it was OAU.Tanzania also has contributed leadership and influenced UN decisions

  • @MosesMulambya
    @MosesMulambya 8 วันที่ผ่านมา +5

    China wanaongea broken English kuliko Tanzania lakini China ni zaidi ya Uingereza kiuchumi, kijeshi, kisiasa na kijamii. Sembuse Kenya

  • @mnjaladonald9834
    @mnjaladonald9834 6 วันที่ผ่านมา +1

    Uko Sawa bro.....ata kama Mimi ni mkenya. Sisi wakenya ni ujinga tu tuko nayo... Tanzania ni kama nyumbani.....

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mkenya hafanani na wewe.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +2

    Raisi Ruto hakuse kuwa Uchumi wa Tanzania umepita wa Kenya , bali alisema Kuwa Tanzania imepokonya Kenya biashara ya Uganda.

  • @ezekielpaul-tf4yr
    @ezekielpaul-tf4yr 8 วันที่ผ่านมา +8

    Umeua mkuu na katika kitu wa Kenya wanatakiwa kufaham ni kitu kimoja Wa TANZANIA tunawapenda Sana wa Kenya ila hawajui na kwa Sasa lazima wapende wasipende Ili Kenya iwe salama ni lazima watukubali wa Tanzania kwa vingi kwa Sasa hiyo ni lazima sio ombi Tena wakubali tuoane wakubali mipaka iwe wazi ndo maana Ruto alisema kwa Nini muungano umeishia bara na visiwani Ruto ana akili ni TANZANIA pekee ndo itamaliza ukabila Kenya no way out

    • @ezekielpaul-tf4yr
      @ezekielpaul-tf4yr 8 วันที่ผ่านมา +2

      By the way English sio lazima kwetu kama tungeamua kumpa mkoloni sifa Leo wa Tanzania tungeongea ki Geruman hapo vipi Sisi hatuku tawaliwa na Mwingereza

    • @fatumajohn703
      @fatumajohn703 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@ezekielpaul-tf4yrASANTE KWA KUKUMBUSHA HILO

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 8 วันที่ผ่านมา

      @@ezekielpaul-tf4yr ✍️✍️✍️

  • @erickmgaya3914
    @erickmgaya3914 8 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa noma sana,akili subwa sana🎉🎉🎉

  • @sleymankassim4332
    @sleymankassim4332 6 วันที่ผ่านมา +1

    nani anajua kiingereza vizuri????

  • @nordbrowntz1665
    @nordbrowntz1665 4 วันที่ผ่านมา

    Siwapendi sana wakenya acha niwe mkweli jinsi walichumfanyia Mondi kupitia msanii wao Willy paul

    • @Geniuz941
      @Geniuz941 4 วันที่ผ่านมา

      Kwani sisi tunakupenda,tulia huko tanzadiddy

  • @Geniuz941
    @Geniuz941 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sauti kama ya chura iliyojaa chuki,tz hamwezi tushinda sisi kwa lolote.Kila kitu Kenya this Kenya that mafala nyinyi hata masomo hamna ni ujinga tupu😂

    • @boaziamos1224
      @boaziamos1224 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂njoo tz uone

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +2

    Licha ya Kenya kuwa na Radio na TV zinazoongea lugha za kikabila ajabu ni kwamba Wakenya bado wameungana na ni Wazalendo. Utangoja sana wasambaratike

    • @richardmagasa4900
      @richardmagasa4900 วันที่ผ่านมา

      Kenya ni wakabila na hilo linajulikana kote.

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @richardmagasa4900 Na wala hilo halijakuwa tatizo

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@richardmagasa4900wala si tatizo

  • @chefblackyafrica
    @chefblackyafrica 7 วันที่ผ่านมา +5

    Kutosoma ni kitu kibaya...ruto alisema trading ila si uchumi😂😂😂😂

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli GDP ya Kenya imeteremka kidogo lakini ni kwa mda tu. Karibuni itarudi kule juu. Kuna tafauti kati ya GDP na GDP per capita. GDP per capita ya Kenya iko juu kuliko ya Tanzania

  • @mcharo255
    @mcharo255 8 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 Bora naongea broken 😂

  • @karimkinwary4668
    @karimkinwary4668 8 วันที่ผ่านมา

    Well said and put my brother

  • @Solomonnize
    @Solomonnize 8 วันที่ผ่านมา +1

    Well Sayed Mr genius

  • @tysonmwiwa7341
    @tysonmwiwa7341 8 วันที่ผ่านมา +1

    Enda uskize vizuri ile speech ya Ruto hakua anaongelea mambo na gdp but business in East Africa, now Tanzania is the most trading country in EA kitambo ilikua Kenya and this because Ruto himself signed a trading agreement with EU and America, now Kenya is selling most of its products outside EA market,,most of food that we consume comes from Tz and Ug but what we produce here it is sold in European markets and America .GDPs,PPP,or per Capita of countries are usually investigated by IMF and other Financial Institutions not Presidents

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 8 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa ana madini mengi

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 8 วันที่ผ่านมา

    Well articulated. 🎉🎉

  • @sulleymanjimmy2214
    @sulleymanjimmy2214 7 วันที่ผ่านมา

    Nimekupata Kaka 🔥🔥🔥

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Alafu wacha tabia ya kuwadunisha waMaasai. Pia wao ni watu muhimu sana. The Maasai population in Kenya and Tanzania is estimated to be around 1,189,522 in Kenya and 800,000 in Tanzania

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 8 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana ndg mchambuzi kuna mwana mmoja ni mjerumani sema ameishi sana tanzania kajifunza kiswahili anaongea vzr mnoo utasema mtanzania anaongea vzr kuliko mkenya

    • @jaro5603
      @jaro5603 7 วันที่ผ่านมา

      @@imanuelnguya9277 nyinyi na kulamba na kushobokea wazungu , washamba sana.

  • @Geniuz941
    @Geniuz941 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ng'ombe inataka likes and followers from Kenya lakini wapi,dust is constant 😂

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 8 วันที่ผ่านมา +1

    USALAMA WA TANZANIA, UKO MIKONONI MWA WAENGEREZA,
    WAKIAMUA LEO ILO TAIFA LISAMBARATIKE LEO LINASAMBARATIKA,
    HATUNA AKILI BROTHER, UKWELI NDIO HUO

    • @Gavi_255
      @Gavi_255 8 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe ndio huna akili

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 7 วันที่ผ่านมา

      Hujitambui

    • @fmagege
      @fmagege 7 วันที่ผ่านมา

      Basi hamia UK kwa mabwana zako. Uingereza inadidimia

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio eti Wakenya wanajivunia Kiingereza bali ni vile mbali na kuongea lugha yetu ya Kiswahili pia ni muhimu kufahamu na kuiongea lugha ya mawasiliano ya kimataifa. Ata Wachina kwa Maswala ya nchi za kigeni mara nyingi inabidi kuongea Kiingereza au kutumia Wakalimani wanaoongea Kiingereza

  • @CrissManda
    @CrissManda 8 วันที่ผ่านมา +2

    thats why we been controlled with only one SWIFT system

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 8 วันที่ผ่านมา +2

    Bro ume deliver bonge moja la darasa,prof Wolff ana balaa

  • @JobNyangena
    @JobNyangena 7 วันที่ผ่านมา

    Hii ngombe n ya wapi

    • @misschagga8042
      @misschagga8042 7 วันที่ผ่านมา +1

      Machakos na kibera😂

    • @jaro5603
      @jaro5603 7 วันที่ผ่านมา

      @@misschagga8042 enda Manzese wewe uombe kazi ama Vingunguti

    • @jaro5603
      @jaro5603 7 วันที่ผ่านมา

      @@misschagga8042 ni ya Manzese na Vingunguti

    • @vanny-m5o
      @vanny-m5o 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂manzese kwa matajiri raha sana kama ametokea huko ​@@jaro5603

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Alafu tafadhali tafautisha Kiswahili cha bara na cha pwani. Nairobi ni bara , na Dar es Salaam ni pwani

  • @kelvinedward1405
    @kelvinedward1405 5 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anakitu....

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Dar es Salaam kwenyewe Kiswahili kinachoongewa mitaani ni mkorogo

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mtanzania tahmini zako ni za kishenzi wala hazina ukweli wala mwekeo

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Ata huko Tanzania Kiswahili kinachoongewa Mikoani kina athari na lafudhi za kimakabila

  • @felixaloo
    @felixaloo 8 วันที่ผ่านมา

    Ni sawa mujihadi tuwaachie namba moja kwa kila kitu

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania wengi wanadhani Kiswahili cha Nairobi na Kenya bara ndiyo Kiswahili cha Kenya

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 6 วันที่ผ่านมา

      Haya kiswahili chenu cha puani Bado no kibovu sana

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@miltonjohn9779Sasa angalia ? Ata hujui Kiswahili

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 8 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sana mdogo wangu

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli unachuki kubwa dhidhi ya Wakenya

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 2 วันที่ผ่านมา

      Kama wasanii wa Kenya

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @GeradinaJohn-xh8pw Wasanii Wakenya hawana tatizo na Wasanii wa Tanzania na ata mara nyingi wamefanya Colabo.

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@GeradinaJohn-xh8pwWasanii wa Kenya hawana shida na Wasanii wa Tanzania

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 8 วันที่ผ่านมา

    kaka upo vzr sana

  • @Mitchell...197
    @Mitchell...197 8 วันที่ผ่านมา +2

    But must Tanzanians compare themselves to Kenya everytime or maybe we're your determinant factor in matters everything lol

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  8 วันที่ผ่านมา +1

      You are the one who started this DRAMA. Listen to your politicians & your BUNGE THEY CAN'T FINISH TALKING ABOUT THEIR ECONOMIC STUFF WITHOUT MENTION THE NAME TANZANIA.THEY' VE LEBALED US "THEIR REGIONAL COMPETITOR"

    • @Mitchell...197
      @Mitchell...197 7 วันที่ผ่านมา +1

      @mwalimugoogletv3738 are you are a politician? Am talking of vloggers coz I don't listen to politicians,, Tanzanian vloggers are everywhere comparing Kenya and Tanzania especially the sgr thing..like kenya is what determines if you're developing or not why don't you compare Ethiopia too

    • @Mitchell...197
      @Mitchell...197 7 วันที่ผ่านมา

      @@mwalimugoogletv3738 you'll rarely find a kenyan vlogger or media house sitting down to discuss Kenya and Tanzania never! ..why is that so??

    • @fmagege
      @fmagege 7 วันที่ผ่านมา

      @@Mitchell...197 Why are you snooping around a TZ vlogger then? Mwalimu is living rent free in your head 🤣🤣🤣

    • @mnyamabon
      @mnyamabon 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mitchell...197 very true bana,, these Tz guys are weirdos,,kama hizi takes za huyu msee ziko lame asf

  • @Wakateezo
    @Wakateezo 8 วันที่ผ่านมา

    Wew n fundi sana baba

  • @SamirHamza-w3k
    @SamirHamza-w3k 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe unaongea usifananishe Tanzania na Kenya.. East Africa nchi ambayo inaongoza ni Kenya.. which is the best country in east Africa the answer is ( Kenya )

  • @SaidKasomo
    @SaidKasomo 8 วันที่ผ่านมา

    Attaching Zanzibar into Tanzania was the first move to creating one Africa through the East African Community. Hii move ina akili kubwa sana nyuma yake na ndio maana kuna kundi kubwa sana la watu hawatakaa waielewe. East Africa kama jumuiya taratibu iko kwenye mission ya kutimiza ndoto za waasisi wa Africa akina Gaddafi, Kwame Nkrumah na Nyerere. Hawa watu watatu na wengineo kama hawa walishajua mkoloni aliigawa Africa ili iwe rahisi kuitwala kwa hivyo namna pekee ya kuifanya Africa isitawaliwe tena ni kuiunganisha kuwa taifa moja chini ya sarafu na lugha moja (kiswahili).

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Elewa tafauti kati GPT na GPT per capita kabla hujaongea uonga na upuzi

  • @naibei_Tv
    @naibei_Tv 7 วันที่ผ่านมา

    Ruto anajuwa kitu anatafuta

  • @yasinikimangale1472
    @yasinikimangale1472 8 วันที่ผ่านมา +1

    Naubaguzi wenu tutawaweka wapi?

  • @chrispinusshibona4118
    @chrispinusshibona4118 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ingawaje lugha zote ni sawa lakini hadhi ya lugha ni tofauti, kingereza kina hadhi kubwa duniani kuliko Kiswahili, yani kuna wazungumzaji wengi wa kiingereza kuliko kiswahili, waulize watanzania waliotokanje ya Tanzania utajua kuwa lugha ina mahali pake, Kiingereza ni lugha si ya wakenya unavyosema ni lugha yenye hadhi duniani, lugha za kenya ni zile zetu za kikabila, kikuyu, kiluhya, kiluo, kikamba nk...

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  8 วันที่ผ่านมา

      Asante Sana NDUGU YANGU. Sisi Huwa hatu " downplay" KINGEREZA.
      Bali ni wakenya kujidai kuwa wao ni BABA WA KINGEREZA. HATA Uganda hajawahi turingia hivyo.shida kubwa ya wakenya ni KIBURI & MAJIVUNO

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 7 วันที่ผ่านมา

    Sovereignty state nchi huru.....inamaana tunawatawala wazanzibar😂😂

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe kwa kweli imedhihirika huna Elimu ya kutosha. Japo hiyo akili yako inakudanganya

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Tahmini yako inadhihirisha wazi kiwango duni chako Elimu

  • @christineopiyo7769
    @christineopiyo7769 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe umeenda west Africa?? Wote wanaonngea kifaransa. It's good to speak many languages. Kenya we have our own culture hizo radio station is to support culture

    • @fmagege
      @fmagege 7 วันที่ผ่านมา

      Umeshindwa hata kumaliza sentensi bila kukimbilia Kiingereza. Mna mila yenu kweli🤣🤣🤣

    • @christineopiyo7769
      @christineopiyo7769 7 วันที่ผ่านมา +1

      @fmagege hatujazoea kiswahili. Tuelewe please. Same case with Ugandans. In Kenya wanaojua kiswahili sanifu ni wapwani Mombasa, malindi, lamu etc. The rest of us it's either English or sheng. Hope sasa umeelewa 😅

    • @isaacmwaipopo
      @isaacmwaipopo 4 วันที่ผ่านมา

      Ndo mana mnauana kwa ukabila😭 Tanzania haupewi leseni. Full stop

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Huna ata moja la kuwashauri Wakenya

  • @coolbz133
    @coolbz133 8 วันที่ผ่านมา

    Na kiswahili cha kenya na tz hakiko tofauti haswa sehemu za bara zote tanzania na Kenya kila mmoja ana lafdhi yake ama ntasema ku pronounce ni tofauti ila sehemu za pwani ndio kiswahili hakiko tofauti mpaka lafdhi zao ziko sawa kwa hio hakuna asie bora kwa mwenyezi mungu one love tu 🎉🎉

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ina maana wewe unafurahia watu wakipotezwa kwa kutamka ju ya uhuru wa Zanzibar ?

  • @husnahibrahimi
    @husnahibrahimi 6 วันที่ผ่านมา

    Tanzania taifa la mungu

  • @jacksonmwinga4867
    @jacksonmwinga4867 8 วันที่ผ่านมา +1

    Unao ufahamu bora ila bado hapo kwa issue ya hela bado mimi sitakubaliana nawe hadi pale Zanzibar itakapokua nchi huru.

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 8 วันที่ผ่านมา

      Hatakuja itokea maisha hiyo ki2 lala 2 ukiwa unaota mjomba

    • @HansChuma
      @HansChuma 8 วันที่ผ่านมา

      Nenda kaitenganishe uondoke nae😂😂😂

    • @jacksonmwinga4867
      @jacksonmwinga4867 7 วันที่ผ่านมา

      @@HansChuma watz wambea sana mwapenda ugomvi na gumzo

    • @jacksonmwinga4867
      @jacksonmwinga4867 7 วันที่ผ่านมา

      @@sundaymsuya1433 wala hata siombi itokee kitu kama hiyo

  • @japhetsifa
    @japhetsifa 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tafuta kazi broo

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 8 วันที่ผ่านมา

      Kaz yake ndo hyo labda ww ndo utafute

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 8 วันที่ผ่านมา

      👏👏​@@sosbrayantbenjamin9701

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 6 วันที่ผ่านมา

    Hiki kichwa ni balaa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa in dollars is same Ila hawa wakoloni wanatuwekea changamoto na wanajua ukiona kiongozi WA Africa anajitoa kwenye mfumo huyo anakuwa adui mkubwa kwanini??? Ni ujanja WA kutuibia tu

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Kwa taarifa yako Wakenya wengi wanaelewa na wanaongea Kiingereza na Kiswahili , lugha zote mbili vizuri sana ata kuwaliko Watanzania wengi

  • @enosedee4326
    @enosedee4326 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyu una nini ma kenya????

  • @coolbz133
    @coolbz133 8 วันที่ผ่านมา

    hata iweje kenya itabaki kua kiongozi east africa maana katika pembe inne za africa kenya ndio msimamizi kiukweli tu

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 8 วันที่ผ่านมา +8

    Hao wakenya hata hiko kingereza ni kipi,ni kusema "i thingi" "one thau" ujinga tu kingereza kimejaa lafudhi ya kikabila the way ukabila ulivyowakaa

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 8 วันที่ผ่านมา +1

      Si hata sisi kiswahili chetu ni cha 'maji malefu', 'rugha' 😂😂😂hawa wakuchanganya r na l wananiboaga sana

    • @jaro5603
      @jaro5603 8 วันที่ผ่านมา

      Wewe ongea kisukuma tu jamani, kuboa ndio nini? Mdingi ndio nini? Nyinyi huwa hamjiangali kabisa

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 8 วันที่ผ่านมา

      @@jaro5603 mimi ndugu au kaka timosi🤣🤣

    • @jaro5603
      @jaro5603 8 วันที่ผ่านมา +1

      @@chumchum1526 😂😂😂 heppy besssday

    • @Gilion100
      @Gilion100 8 วันที่ผ่านมา

      Lugha ni lugha ninavyosema sio shida kwako. 😂

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kwenye technology, kenya 1, Rwanda 2,Uganda 3,Tanzania 4

    • @AbdallahSumbinyo-ln9qi
      @AbdallahSumbinyo-ln9qi 8 วันที่ผ่านมา +2

      Sawa hongereni wakenya mtakula technology yenu😊😅😅😅

    • @fatumajohn703
      @fatumajohn703 8 วันที่ผ่านมา +1

      Uko sahihi sana. Sasa kaMA vile kwa Sasa CHINA NDIO BABA WA TECHNOLOGY DUNIANI NA SIO MAREKANI NA ULAYA TENA, NI SWALA LA MUDA TU TANZANIA ITAKUA BABA WA TECHNOLOGY EAST AFRICA.

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 8 วันที่ผ่านมา

      Kwa teknolojia ipii

    • @jaro5603
      @jaro5603 8 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@AbdallahSumbinyo-ln9qiwewe unafikiria chakula tu😂😂 chakula unakula mara tatu kwa siku technology nayo unatumia kila muda hata saa hii. Wabongo endeeni shule please.

    • @fmagege
      @fmagege 7 วันที่ผ่านมา

      Ujinga: 1. Khalid Belhasa 2. Khalid Belhasa 3. Khalid Belhasa 4. Khalid Belhasa

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Hata huko Tanzania mikoani Kiswahili kinavurugwa sana. Si sanifu. Sisi Wakenya tunawatambua waZanzibar si nyie WaTanganyika

  • @RosemaryAleri
    @RosemaryAleri 7 วันที่ผ่านมา

    Ruto spoke about e a frica not gdp

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 8 วันที่ผ่านมา

    HAKUNA NENO LUGA ,KUNA LUHA,
    UHURU WA. TANZANIA, AU UHURUU WA TANGANYIKA,
    TANZANIA ILIPEWA UHURU SIKU GANI KUTOKA KWA WAENGEREZA?

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Hakika hiyo Bangi unayovuta sijui imeongezwa nini.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Kwa swala la lugha fahamu kuwa ni muhimu kwa mwananchi yeyote wa Africa Mashariki kufahamu Kiswahili na pia Kiingereza. Kiswahili ndiyo lugha yetu sisi Wafrika tunayo juvunia. Lakini usisahau kuwa Kiingereza ni lugha kubwa ya Kimataifa na ni muhimu kuijuwa. Watanzania wengi wanatatizika wakikutana na Wageni wa nje

    • @fmagege
      @fmagege 7 วันที่ผ่านมา

      Kwanini hao wageni wasijifunze kiswahili kabla ya kwenda TZ? Jaribu kuzunguka Uchina bila kujua Mandarin. Toa kichwa chako kwenye mkundu wa waiingereza. Kasumba inakusumbua

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 6 วันที่ผ่านมา

      Msenge

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @fmagege pamoja na lugha yetu ya Kiswahili pia ni muhimu kufahamu na kuiongea lugha za kimataifa. Ata wageni wengi wakija Kenya na Tanzania mara nyingi wanajitahidi kujifunza Kiswahili. Ata Wachina wakija huku kwatu wanajitahidi kujifunza Kiswahili ili waweze kuwasiliana na sisi. Wageni wengi wapo kwenye nchi zetu kwa ajili ya kujifunza Kiswahili

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​​@@miltonjohn9779Sasa unaona tabia yako ya Watanzania. Matusi ndiyo Sifa kubwa mliyonayo Watanzania

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Tafadhali usepotoshe watu kuhusu kaulu ya Ruto

  • @ismailAhmed-z5j
    @ismailAhmed-z5j 7 วันที่ผ่านมา

    ✌️

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf 8 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 5 วันที่ผ่านมา

    Msitujaze watz sifa tukajisahau, watz bado tunasafari ndefu, na njia pekee tuliyonayo ni kudanya kazi kwa bidii

  • @abdullahabdull3172
    @abdullahabdull3172 8 วันที่ผ่านมา

    Hyo..Second Citizen ndio nn mkuu nieleweshe.najua Bongo hatuna uraia pacha...

  • @rexstudio4303
    @rexstudio4303 8 วันที่ผ่านมา

    Kubababakeeee🔥🔥🔥🔥

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Ukitaka Kiswahili cha Kenya nenda Mombasa na miji miengine ya pwani ya Kenya. Wachana na Kiswahili cha Nairobi na Kenya bara. Nairobi ni bara kama vile Bukoba

    • @fmagege
      @fmagege 7 วันที่ผ่านมา

      Pwani yenu yote ingekuwa TZ, Waiingereza waliiba toka Wajerumani walivyoshinda vita vya dunia hili wapate coastline

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

      @fmagege hayo ndiyo matamaniyo yako.

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @fmagege Afrika Mashariki yote wote sisi ni wamoja ; mipaka iliwekwa na Wakoloni

  • @benjaminmasero1710
    @benjaminmasero1710 8 วันที่ผ่านมา +1

    Fact

  • @Yulependo
    @Yulependo 7 วันที่ผ่านมา +1

    I don't understand the obsession of Tanzanians with the matter about their economy being bigger than the Kenyan Economy..if it's big is big and if is not is not..if the Kenyan shilling is stronger it is what it is. .what's the big deal..aii kama mtu ako juu si kila mtu atamuona..do you have to preach or shout about it...Guys you need to relax.. kenyans have no time for your silly competitions.. we've got bigger issues to deal with it as you all know

    • @Myredeemerlives00
      @Myredeemerlives00 7 วันที่ผ่านมา

      He is just responding to what Kenyans say and i have heard that their currency is stronger and mocking TZ and UG shillings. Yet life is tough in Kenya for ordinary citizens. My experience in UG was awesome, 2chapos and eggs for less than a dollar. Peace to all.

    • @stanleybupambambogo3334
      @stanleybupambambogo3334 6 วันที่ผ่านมา

      If so, you better had kept quiet to suit your goal. Otherwise, you have made no any difference between yourself and those who have been spending their time for according to you, the silly competitions!

    • @Yulependo
      @Yulependo 6 วันที่ผ่านมา

      @stanely..if my country was not mentioned here we would probably have not crossed paths here..but as I checked,alas the silly comparisons..but I understand if you disagree for we differ in perspectives.. Africa as whole lags way behind as we all ail from the cancer of corruption and bad governance..TZ washafika maana "washashinda"Kenya..We are in a very different lane as Kenyans..fixing a government is not a child's play..the human resource in kenya is one of top notch in Africa..we dont settle for less..so enjoy your better economy in peace

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 7 วันที่ผ่านมา

    Fanya video ya orania kaka nataka kujua history vizuri na nini kitatokea badae na nini plan zao baada ya miaka kadhaa

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 8 วันที่ผ่านมา

    UBONGO WA HUYU JAMAA UNA MADINI YA KUTOSHA

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 8 วันที่ผ่านมา

    Kaka ndugu yangu umeweza kunifurahisha na umenielewesha kuhusu hizi nchi zetu za EST Africa 😅😂

  • @geoffreymutisya9747
    @geoffreymutisya9747 6 วันที่ผ่านมา

    Hii ng'ombe ni ya wapi? Matako ya mamako ,uikome Kenya.. Tanzanians are jealous about Kenya but take this from me. It will take tanzakuma 100 years to be like Kenya.

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 2 วันที่ผ่านมา

      Na saiv rate imeshuka kwa 3😂😂 ilikua 1ksh=21tsh na saiv ni 18 unajisikiaje apo😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 8 วันที่ผ่านมา

    Tumesha wapita tunatengeneza ndege wanitajie nnchigani duniani yenyemaendeleo haina treni yaumeme

  • @chefblackyafrica
    @chefblackyafrica 7 วันที่ผ่านมา

    Yani hapo umesema ukweli

  • @christineopiyo7769
    @christineopiyo7769 7 วันที่ผ่านมา

    Alisema kibiashara sio uchumi. Elewa tofauti don't be too desperate

  • @AquariusGoldTM913
    @AquariusGoldTM913 7 วันที่ผ่านมา

    Mjinga wa kwanza ni yule hajui kuskiza vizuri lakini ana funza wengine. Kenyan oresident alisema Tanzania imepita Kenya kwa trade in-between the east african countries but not Economy. Kenyas Economy is double the Economy ya Tanzania Yet Tanzania is more populated. Tafadhali fanya research kwanza.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Ni dhana potofo kudai kuwa Wakenya wote wanakidharau Kiswahili

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 2 วันที่ผ่านมา

      We we weeee tunayaona haya mambo sana acha kutetea ukiangalia kwenye 100%,80% wanajisifia kwa english na 20% ndo nyie❤❤❤❤

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @GeradinaJohn-xh8pw Wakenya wamebahatika kuweza kuongea lugha zote mbili yaani Kiswahili na Kiingereza bila kutatizika

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Kwa taarifa yako Kiswahili chimbuko lake ni pwani yote ya Afrika Mashariki wala si Tanzania peke yake. Kama si Mwalimu Nyerere kukipa kipaumbele Kiswahili chenu kingekuwa sawa na watu wote.

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 วันที่ผ่านมา

      Kama ndvyo kwann unasifia kiswahili

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @silvesterrichardhelenya1319 kama Waafrika wa Afrika Mashariki ni wajub wetu kusifia lugha yetu ya Kiswahili

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 8 วันที่ผ่านมา +1

    Still it doesn't make sense. Kenya imports maize from Tanzania to process maize flour. Explain why both countries are buying same price from retailers at a cost of $1? Your maize flour price to Tanzanians citizen should be much lower or cheaper than Kenya since you are the producer. It would make more sense if tz locals buy at $0.5 while we at $1 Kenyans since they are importanting.

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 8 วันที่ผ่านมา +1

      Andika kiswahili basi mbona unatutisha

    • @jamestaifa3461
      @jamestaifa3461 8 วันที่ผ่านมา +1

      Tanzania unga wa dona Tsh 1000 na sembe Tsh 1200

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 8 วันที่ผ่านมา +1

      Type Swahil Tafadhal Achana Na Lugha Ya Walev😂😂

    • @highlife6779
      @highlife6779 8 วันที่ผ่านมา

      Achana na lugha ya wakoloni. Na hapo kazungumzia kwa ujumla sio kwamba nmTz ndo unga 2000 huku unga ni 1200Tsh less than 1 dollar

    • @fatumajohn703
      @fatumajohn703 8 วันที่ผ่านมา

      Your government is subsidizing all food products from TZ. In short it is TAX FREE. LA SIVYO MNGE CHOMA IKULU YA WILLIAM SAMOI RUTO .KUNA KIPINDI RUTO ALIMLETEA MAMA SAMIA DHARAU , YEYE MWENYEWE ALIKUJA MUOMBA MSAMAA. NDIO MAANA HUWEZI ONA RUTO ANAMLETEA SAMIA DHARAU.
      SAMIA HOLDS TRIGGER, RUTO HOLDS BARREL.

  • @livefootballstream.
    @livefootballstream. 8 วันที่ผ่านมา +2

    bro, wakati umemsifu Ruto umenipoteza, Kenya usiifananishe na Tanzania hasa kwa maendelea. GDP per Capita ya Kenya ni mara mbili iyo ya Tanzania, kumaanisha regular Kenyan earns twice a regular Tanzanian due to factors such as a stronger economy and a stronger currency and a smaller population. Kwa sasa we are being led by a fool greedy thief who is Ruto. Watanzania tunawapenda kwa ukarimu wenu.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 8 วันที่ผ่านมา +1

      Broo ..google upya😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti twice ..are you mad mmetuzid just like 27%

    • @livefootballstream.
      @livefootballstream. 8 วันที่ผ่านมา +1

      @@FreeGod368 the 27 percent ni ya gdp peke yake, kumbuka mko wengi mno kutuliko, pesa yenu vile vile thamani yake ni ya chini, vile vile hdi yenu iko chini mno. izo zote zimechangia gdp per capita yenu kuwa nusu ya wakenya. Lakini tunawapenda watanzania

    • @owenmurimi578
      @owenmurimi578 7 วันที่ผ่านมา

      Tell them bro,, hawa bongolala wanajiona sana ady kudharau wakenya, we are just feeling sorry for them but we love them,,,

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Mtanzania wa kawaida ata hajawahi kuiona Katiba ya Tanzania tena hana uhuru wa kujuwa haki zake za kimsingi. Watanzania wemefinyiliwa akili zao na Serikali ya CCM

    • @fatumajohn703
      @fatumajohn703 7 วันที่ผ่านมา

      Lakini hatulali NJAA KAMA NYIE WAKENYA.MNAJUA HAKI ZENU KAMA WAMAREKANI NA MNA DINYWA KAMA WAMAREKANI.SISI NI WAJINGA KAMA WACHINA NA CCP INAYO UA AMERICAN ECONOMY

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @fatumajohn703 Kumbe bado hujafika Kenya. Nani kakwambia Kenya kuna njaa? Eti Wakenya wanalala njaa? Kweli u mgojwa wewe. Tafadhali amkeni. CCM mpaka lini?

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @fatumajohn703 mimi nakwalika uje utembee Kenya kwa gharama yangu.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa mtu akili timamu unaweza kusema eti mtu kuongea Kiingereza sanifu basi anakuwa Shoga au Ugumba. Sasa hii ni reasoning gani ?

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 7 วันที่ผ่านมา

    Kwanza madai yako mengi ni uongo mtupu