KENYA : SAMIA AMEMDHALILISHA RUTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 239

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 3 วันที่ผ่านมา +29

    Daah jamaa wewe uko vizuri mno. Hivi kumbe Tanzania ina vijana wenye brain. Congratulations my friend...

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 2 วันที่ผ่านมา +20

    Brother Leo wakenya umewapiga kwenye mshono

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 วันที่ผ่านมา +10

    Safi sana 🇹🇿 🇹🇿😎

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 3 วันที่ผ่านมา +11

    Mpo sahihi brother facts,
    Nakumbuka miaka ya 80 na 90 nikiishi mpakani si vyakula tu, nilishuhudia mpaka kahawa na ngozi yalikuwa magendo makubwa yakivushwa kwenda kenya na kila aliuza mtanzania hakuja na hela mkononi ila aliingia duka la mkenya kununua bidhaa za maduka yaani kwasasa aisee kubalini mnaipisha Tanzania kwa kasi itajayowashangaza, niliona report ya imf mwaka juzi na sasa mda umejibu sawia

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬

  • @simonlunyelekwe5520
    @simonlunyelekwe5520 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli kabisa ruto must go 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @StanfordPaul-kw3cg
    @StanfordPaul-kw3cg 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana, naomba explain about bomba la mafuta linalojengwa kutoka Hoima Uganda to Tanga Tanzania 🇹🇿

  • @AguliSimchimba-fq7ep
    @AguliSimchimba-fq7ep 2 วันที่ผ่านมา +8

    Waambie ukweli kaka,yaan ukiwaelekeza ukwel wanakuwa wakali sis tz tunaendelea kuchapa kazi taifa lisonge mbele zaid

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 2 วันที่ผ่านมา +3

    KAKA NAKUKUBALI SANA ! BIG UP.

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 วันที่ผ่านมา +7

    You know how to Analyze issues.

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 3 วันที่ผ่านมา +11

    Hahahahaa, Mwalimu Google leo umenifurahisha sana aiseee, kwamba hawa jirani zetu waache udalali na wafanye kazi

    • @eng.makolal1367
      @eng.makolal1367 วันที่ผ่านมา

      Wale wanafanya kazi kuliko watanzania.
      Udalali ni jina lingine la Tanzania.
      Jiulize kwa nini wana uwezo mkubwa wa kufanya processing and packaging kuliko Tanzania? Hiyo ndiyo akili kubwa kuliko udalali na uchawa unaofanyika Tanzania.

    • @latenitepiano
      @latenitepiano วันที่ผ่านมา

      @@eng.makolal1367 😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬

  • @valerianrwebandiza754
    @valerianrwebandiza754 3 วันที่ผ่านมา +11

    Wakenya walikuwa madalali wa mafuta kwa Uganda. Walikuwa wananunua mafuta nje eti wanaeport Uganda. Hiyo hamna tena. Waganda washtukia mchezo!

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +2

      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades 🤓😏

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +2

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬,!

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 วันที่ผ่านมา +10

    hata parachichi wanachukua tanzania

    • @eng.makolal1367
      @eng.makolal1367 วันที่ผ่านมา

      Wanaiba au wanachukua bure?
      Unajua Kenya inalima parachichi kuliko Tanzania au bangi imeharibu akili yako?!

  • @franksiame8441
    @franksiame8441 3 วันที่ผ่านมา +13

    Tatizo wasomali wanaiharibu kenya huyo jamaa aache kuongelea rais wetu. Aache uchochezi. Mulichochea Somalia mukaivuluga saaizi mmekimbilia Kenya nako mume anza Tena uchochezi mushindwe achana na Rais wetu. ..mama samia kawatoa jasho wakenya toeni wasomali kenya

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 3 วันที่ผ่านมา +2

      Nyinyi mmelegea ety mnafuata mmarekani kawaletea wasomali wacongo n.k njoo Tz ukimkita msoma anakuwa naadabu or mkongo simmeona yule kuma kiboko ya wawasenge sijui wachawi

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 3 วันที่ผ่านมา +2

      Karudishwa kwao hata kibiriti hajabeba 😂😂😂

    • @RBMBAKARI-bv6wn
      @RBMBAKARI-bv6wn 2 วันที่ผ่านมา

      Kwanza huyo sio mkenya ni msomali hata muonekana wake

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 2 วันที่ผ่านมา +4

      Wasomali wanajipanga miaka kadhaa ijayo rais wa kenya atakuwa msomali

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 วันที่ผ่านมา

      Afrika MOJA wewe MIPAKA imewekwa na hawo vibaraka wenu mnaowalamba 😢😢😢😢😢😢

  • @hassanm.5291
    @hassanm.5291 วันที่ผ่านมา

    You’re right ❤

  • @kajembeathman
    @kajembeathman 2 วันที่ผ่านมา +5

    Safii sanaa ukweli unawuma hao

    • @SalimVunga
      @SalimVunga 2 วันที่ผ่านมา

      How is your economy high na bado mwabeba pesa kwa gunia

    • @salumyusuph6633
      @salumyusuph6633 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SalimVunga, kumbe jamaa anaongea ukweli kuwa mnapenda mashindano ya sifa hata msizonazo, kwani KSh na Yen ya Japani ipi iko juu, na levels za kiuchumi na maendeleo zikoje kati ya Kenya na Japan?
      Tenga muda ujielimishe effects of currency vs economy

  • @Ralianstyle154
    @Ralianstyle154 2 วันที่ผ่านมา +2

    Sio asali tu,maparachichi jamani,malori yaliyokuwa yanachukua parachichi huko njombe na mbeya af yanawekwa label ya kenya kumbe yanatoka Tz,bt now we have our own cargo so tunaexport wenyewe

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 2 วันที่ผ่านมา

    You are very clever bro!!!!!

  • @parmukhsinghhoogan3669
    @parmukhsinghhoogan3669 2 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli kabisa hata sisi tulipokuwa tunatumikia bunge letu tuliwahi kufanya ziara singida na tuli shuhudia vitunguu vyetu vinafaywa packing singida na kuandikwa product of kenya na hatamadini mstunda nk

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +1

      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

  • @athumanibakari-j6u
    @athumanibakari-j6u 2 วันที่ผ่านมา

    BABA,UNAAKILI SANA,WAAMBIE HAWO ,TANZANIA IS MOVING AHEAD SO FAST IN EVERYTHING.

  • @tatankakoroba48
    @tatankakoroba48 วันที่ผ่านมา

    Well explained

  • @KhamisiSalimu
    @KhamisiSalimu 3 วันที่ผ่านมา +7

    Hata karafuu Kenya inasifikana kwa kuuza wakati inatoka Tanzania Zanzibar na kuna kipind walipewa zawad ya ndege kwa kuuza karafuu wakati Kenya hakuna mkarafuu .

    • @abdymila
      @abdymila 2 วันที่ผ่านมา

      Good history

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬!!!

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 2 วันที่ผ่านมา +6

    Hata parachichi walikuwa wanafanya hivyohivyo Waziri wa kilimo Hussen Bashe kaziba mitija hiyo

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬!!

    • @SalimVunga
      @SalimVunga วันที่ผ่านมา

      Unajuwa nchi za uarabuni zina import hadi maji ya kunywa na bado wako juu kiuchumi

  • @barakamtallo5449
    @barakamtallo5449 3 วันที่ผ่านมา +1

    Salute bro!!

  • @mussalaurian
    @mussalaurian วันที่ผ่านมา +1

    Napenda sana kufatili ila kingeleza kingi kaka

  • @shiampemba5859
    @shiampemba5859 2 วันที่ผ่านมา +8

    Ata karafuu wanachukua pemba

    • @wawerukamau1260
      @wawerukamau1260 2 วันที่ผ่านมา

      @@shiampemba5859 Kenya iko karibu na Pemba sana.
      Pemba paka Shimoni Kenya ni 61.2 kilometers.
      Pemba paka Tanga ni 84.1 kilometers.
      Na pia unafaa ukumbuke yakwamba Mombasa,Pemba na Zanzibar ilotawaliwa na Sultani kutoka Oman hapo zamani.

    • @wawerukamau1260
      @wawerukamau1260 2 วันที่ผ่านมา

      @@shiampemba5859 Kenya na TZ ni ndugu.

    • @wawerukamau1260
      @wawerukamau1260 2 วันที่ผ่านมา

      @@shiampemba5859 Kenya na TZ ni ndugu.

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬!!!

    • @dudaomar7880
      @dudaomar7880 2 วันที่ผ่านมา

      Wanachukua ama munawauzia?

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 2 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana bro

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nyie wakenya mnapaniki sana hata jambo dogo linawatoa mapovu

  • @itaelmanang2968
    @itaelmanang2968 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bob Marley aliimba kwamba you can fool people but you can't fool them all the time this is for you our brother Kenyan work and do things for your own.

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 2 วันที่ผ่านมา +4

    Aisee umeongea ukweli mtupuu,wakenya hivi Sasa wameishiwa Hadi huruma

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +1

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 3 วันที่ผ่านมา +6

    sisi tunataka public, hatutaki kufichana fichana. kumbe wakenya wameumia mbwa wale 😅😅

    • @dudaomar7880
      @dudaomar7880 2 วันที่ผ่านมา

      Mbwa ni nyinyi musio jua elimu manake ni nini mpaka munakuja kusaidiwa na wa china.mabwege sana nyie.

    • @beldina.hezrontv5881
      @beldina.hezrontv5881 วันที่ผ่านมา

      @@dudaomar7880Na nyie wenye dept zimewakalia kooni tuseme mnawategemea nani??Nyie wakenya ss hv tumewa brainwash to the maximum kila mtu asimame Na resources zake ss hv tume move on,inshort Hakuna kitu kitavuka border kihujuma,unataka kitu nunua kiuhalali PERIOD.
      Mnatuita hatuna elimu kuja uone mambo Na mbona nyie mnaojiita wenye elimu haiwasaidii tribalism,rushwa ,Na matumizi mabaya ua fedha Za serikali yapo juu??

  • @kinasaba
    @kinasaba 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hard facts

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 วันที่ผ่านมา

    Well done 👏

  • @jacobmalingu2769
    @jacobmalingu2769 2 วันที่ผ่านมา +1

    I like vile wakenya wakuignore kwa comment sections...juu vile unaonekana kwa camera

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 3 วันที่ผ่านมา +1

    Fact..✍️✍️

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe msomali ongelea somalia sio kenya

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 วันที่ผ่านมา +3

    Point 🎉
    kusema ukweli TANZANITE imebebwa sanaaaaaaaa. Kenya ni kweli ni kama mtoto wa tajili 😊😂😂😂😂😂

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +3

      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades Kenya Ni wezi 🤓😏

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +1

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬!!!

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 วันที่ผ่านมา +2

      @@latenitepianowee😮..Yaani Mkenya anashiriki kuhujumu mradi. Mkubwa wa TZ??Angemyongwa iwe mfano kwa wengine.

    • @latenitepiano
      @latenitepiano วันที่ผ่านมา

      @@tumainimayala8187 ​​⁠ Yaani maendeleo ya Tanzania yana wauma vibaya sana! Wana jifanya eti sisi ni ndugu lakini chini ya maji wana umia sana. Ni wanafiki sana, machoni ana ku chekea lakini moyoni ana umia (ana ku chukia sana). Si majirani wema hawa, unapo ishi nao ina pasa uchukue tahadhari kubwa sana.

    • @latenitepiano
      @latenitepiano วันที่ผ่านมา

      @@tumainimayala8187 Hawa watu waonapo maendeleo ya Tanzania yana wauma sana! Wana jifanya eti sisi ni ndugu lakini chini ya maji wana umia sana. Ni wanafiki sana, machoni ana ku chekea lakini moyoni ana umia (ana ku chukia sana). Si majirani wema hawa, unapo ishi nao ina pasa uchukue tahadhari kubwa sana. Ni “NDUMILAKUWILI” hawa jamaa 😡😏

  • @dennismakundi444
    @dennismakundi444 2 วันที่ผ่านมา +2

    Waambie ukweli hao washamba, hii ni zamu ya TZ kulead EA. USA si namba Moja Tena Duniani.

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 3 วันที่ผ่านมา +3

    Not only honey, but tanzanite,fruits,maize, onions etc, you mention it🤣🤣🤣🤣🤣

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬!!!

    • @Robert-p7c1k
      @Robert-p7c1k 2 วันที่ผ่านมา

      @latenitepiano duh,wakenya hatari sana

    • @eng.makolal1367
      @eng.makolal1367 วันที่ผ่านมา

      All that is monkey business.

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 3 วันที่ผ่านมา +5

    Mwalimu ana madini mengi sana

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    You can fool people sometimes but you can't fool people all times.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 วันที่ผ่านมา +2

    ASANTE SANA MWALIMU , UMEWAPA FACT YA KUWASIDIA WAZEE WA CHANG'AA na SUKUMA Wiki ..

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +1

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

  • @dancanonserio9778
    @dancanonserio9778 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo umeongea kweli. Lakini na Sisi Kenya hatuwezi kuwa Sawa kwa kila kitu . Kama tuko Sawa na technology wacha wengine wawe Sawa hata kwa ukulima . Hata USA hawako Sawa kwa kila kitu. Kuna vitu lazima watoe inje . Lakini hapo n kutumia akili na ruto n mjanja anapo nunua asali then yeye anauzia country za ngambo kwa bei Kali hiyo n kutumia akili ya Hali ya juu hapa kwetu tunasema ( Akili mtu wangu).

    • @hemajosephat
      @hemajosephat 2 วันที่ผ่านมา

      Well said

    • @beldina.hezrontv5881
      @beldina.hezrontv5881 วันที่ผ่านมา +1

      Akili gani Nyie wakenya wajimga sana ss hv mtarudi kwa reality yenu yn mtarudi pale mnapostahili 😂😂😂

  • @dhomila2982
    @dhomila2982 2 วันที่ผ่านมา

    True brother

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +2

    They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades 🤓😏

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 2 วันที่ผ่านมา +1

      Vibaka haswaa😂

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡😡 😮

  • @worldtechlab
    @worldtechlab 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ni msomali 😂 anajipendekeza

  • @sivera2027
    @sivera2027 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijaona ruto akikasirika🧐

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk วันที่ผ่านมา

    Sio asali tu hata mbao hata mlima kilimanjaro
    Tanzanight na mengine mengi
    KENYA MAJIVUNO YANAWATAFUNA!!!
    DHAMBI HIYO NDIO INAWATAFUNA
    ACHENI MAJIVUNO NA WIZI

  • @mchinatz9335
    @mchinatz9335 3 วันที่ผ่านมา +3

    Napendekeza walau uwe unaposti kilasiku maana kunamuda hatupati habari

    • @AyoubHajj
      @AyoubHajj 3 วันที่ผ่านมา +1

      Yes 👍
      Manke kuna mengi yana tuchanganya so at list akija ana facts and it's analysis tunapata kuja ukweli upo wapi
      At list one video per day

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 2 วันที่ผ่านมา

    Tanzania is the hub of Africa and the football power house of East and Central Africa yet an Economy King of Africa..

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mwambie huyo dogo haelewi historia.

  • @festondile2039
    @festondile2039 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @leylaruhabaye9017
    @leylaruhabaye9017 2 วันที่ผ่านมา

    Wamaskini.wezi na roho mbaya tanzania tuko juu.watake wasitake

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 2 วันที่ผ่านมา +1

    Miaka ya 90 walikua wanachukua karafuu Pemba zinapitishwa MAKANGALE na MSUKA hadi wakapewa zawadi kwa mauzo ya karafuu hadi Zanzibar wakapitisha sheria ngumu kuuza karafuu magendo.

  • @UmiAhmedd
    @UmiAhmedd 2 วันที่ผ่านมา

    Yupo sawa mama samia

  • @assateke7199
    @assateke7199 2 วันที่ผ่านมา

    Mwamba umetuwakilisha sn. Ila wabongo tusijisahau sn.😂 Tusilewe misifa wakati bado ktk familia zetu mmoja atoke wengine waishi.

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ndiyo wakenya mlikuwa mnafanya hivyo eeh kwani uongo?

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

  • @Nehemiaayo-b8c
    @Nehemiaayo-b8c 3 วันที่ผ่านมา

    watakutukana wakenya brother 🤣🤣🤣

    • @akinyiokeyo4618
      @akinyiokeyo4618 2 วันที่ผ่านมา

      Ukweli ni sawa....mkenya hapa

  • @SwahiliMafu
    @SwahiliMafu วันที่ผ่านมา

    That's fact 😂 bro sio ruto tu i have many Kenyan friend who's taking Tanzanian honey 🍯

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mboga yao kubwa ni sukuma wiki, halafu wanaenda kunywa changh'aa. Na wengi ni bangi plus changh'aa wako hoyi na kiingereza kinawamaliza wakikaa kwenye vikao vya mitaani kuichallenge serikali yao, na kazi hawafanyi eti wote wana siasa. Juzi wameanza kumlaumu diamond huku wengine hata kwenda ukumbini hawajawahi toka wazaliwe. Wao kila kizuri au baya ni kupinga tuuuuuuuu, hawajitambui na wanafikiri kuongea kiingereza ni elimu kumbe ni lugha kama lugha zingine za kikuyu, kijaluo, kiswahili, kichina, kijapani, kikorea,.kirusi etc.

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 3 วันที่ผ่านมา +2

    Brother salute sana. Hata mbuzi aki post ujinga wewe mjibu wasikukatishe tamaa. Tunataka wazalendo kama wewe

  • @petermarwa7818
    @petermarwa7818 2 วันที่ผ่านมา

    Wakenya tulieni tuwanyoe, Samia kasema asali yetu...kwa maana ya tanzanite imo, dhahabu imo, madini ya vito vimo yaan kwa kifupi asali kamaanisha raslimali za Tanzania.

  • @garerohrassy2357
    @garerohrassy2357 2 วันที่ผ่านมา

    Thats truth 💯

  • @madpeoplezzzz5121
    @madpeoplezzzz5121 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mt.Kilimanjaro was also made in Kenya……😁

  • @ShomariAthumani
    @ShomariAthumani 2 วันที่ผ่านมา

    Hatupendi kusema unadhani hatujui kama kalafuu inatoka pemba inakwenda kenya tumbaku kutoka mbinga songea pamoja na kahawa tutasema

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 2 วันที่ผ่านมา +2

    Tume watajilisha sana magufili ndio alikuwa kibokoyao angekaa miaka kumii tuu amewajambisha

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

  • @eddymwalagho354
    @eddymwalagho354 วันที่ผ่านมา

    Achana naye hakuelewa,,, binadamu bwana

  • @chittamileissa1650
    @chittamileissa1650 2 วันที่ผ่านมา

    Haisee ni kweli kabisa

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 2 วันที่ผ่านมา

    Unakosea bro bashow ni msomali ruto ni president wa kenya.

  • @islander3191
    @islander3191 2 วันที่ผ่านมา

    Mpaka mt kilimanjaro walikua wana advertised as from kenya, turist use to come kenya, baadae wanawaleta tanzania kwa border, until we expose them.

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 3 วันที่ผ่านมา +1

    KAKA HONGERA, UMEWAPIGA ZA USO KAVU KAVU... DAADEKI... 😂😂😂

  • @akinyiokeyo4618
    @akinyiokeyo4618 2 วันที่ผ่านมา

    Why am I Kenyan but agree with Tazanian President? Ukweli ni ukweli...

  • @StephenRuta-u9o
    @StephenRuta-u9o 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hata majani yachai brother yanatoka hapa TZ wanapiga chapa yao

    • @ceciliahnyaboke271
      @ceciliahnyaboke271 2 วันที่ผ่านมา +3

      Yamaanisha hamna akili basi😂

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ceciliahnyaboke271wenye akili nyie mnaeshindwa kutengeneza vyenu😂😂

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +1

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 2 วันที่ผ่านมา

      Wezi nyie za muizi 40

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา

      @@StephenRuta-u9o Halafu 😳 Kati ya wezi walio kamatwa na polisi walio kuwa waki hujumu reli ya SGR hadi treni ikawa ina simama, na mkenya yupo jela, wame kamatwa hivi majuzi 🤓! Halafu ndiyo wa kwanza kucheka SGR ya TZ iki sitisha safari zake sababu ya hitilafu ambazo Wakenya ndiyo wana sababisha 😏! Ni wezi na watu hatari sana hawa jamaa 😏😡🤬

  • @MussaJuma-o1g
    @MussaJuma-o1g 2 วันที่ผ่านมา

    Kama asali haikuwa mmetoa Tanzania OK sawa
    Je karafuu mnayo mikarafuu nyinyi, tumekushindeni kiuchumi mtulie tuu

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 2 วันที่ผ่านมา

    IRON LADY ❤

  • @NatashaChebukati
    @NatashaChebukati 2 วันที่ผ่านมา

    Tv za Tanzanian Si zimpe jama kazi ya ujambuzi za siasa 🤔 #BigBrain love from 🇰🇪

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 2 วันที่ผ่านมา +1

      Na ndiyo maana wana hasira, wivu na ukorofi mpaka kwa wasanii 😂!
      They’ve been harvesting from Tanzania 🇹🇿 all kinds of crops, minerals and raw materials, including using mountain Kilimanjaro. They grew their economy and GDP through Tanzanian wealth for decades! Wezi sana Kenya 🤓😏

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mkimbizi kutoka Somalia anaongea nini😂😂😂

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 2 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu sidhani kama ni mkimbizi kutoka somalia ila ni msomali kutoka mkoa North Eastern kenya ndio ya wasomali wakenya.

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 2 วันที่ผ่านมา

    Msomali 😂

  • @zagxpius6891
    @zagxpius6891 2 วันที่ผ่านมา

    Mchumi msomi afu jeuri😂

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 วันที่ผ่านมา

    KISWAHILI CHEPESI UKIKIJUA LKN MAZAO MENGI ANATOKA TANZANIA. MATIKITI. MBAO. MACHUNGWA. MAHARAGE. MAHINDI. MCHELE NK. TATIXO LIKO WAPI

  • @nathanjunior7694
    @nathanjunior7694 2 วันที่ผ่านมา

    We jamaa ni mnoma...Umeongea Fact

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 3 วันที่ผ่านมา

    🎉❤❤

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 2 วันที่ผ่านมา

    Kenya ni nchi ya kitu kdg nchi ambao wachache ni matajiri viongozi wafisadi sana wanaturudisha nyuma kila kukicha but trust me this is the ryt place to be mimi kama mdigo najivunia nchi yangu but ukweli usemwe watanzania very soon kw miaka ijazo mtaongoza samia anqfanya kazi ila hamwoni najua wengi wenu hammpendi ila kitaeleweka 2 someday

    • @dudaomar7880
      @dudaomar7880 2 วันที่ผ่านมา

      Huko kwenu freedom of speech yenyewe hamuna halafu eti munaongea,sawa munaongea nini?

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 2 วันที่ผ่านมา

    Processing thr honey ,you can buy and items from One of the East Africa and processed by the others and you put your label as process

  • @ashrakswaleh2116
    @ashrakswaleh2116 2 วันที่ผ่านมา

    duh

  • @zulekhasaeed6046
    @zulekhasaeed6046 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo msimali nafikiri kiswahili hakijui visuri amwemwambiya kistarabu kabisa hatasioni ubaya musitiye chuki zakijiga tupenda naukweli lazima usemwe aside juwa kiswahili kajifundishe

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 วันที่ผ่านมา

    true

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 2 วันที่ผ่านมา

    Kila kitu wanachukua Tanzania mpaka matunda yajuis na mbogamboga

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 2 วันที่ผ่านมา

    Mwarabu gani huyu mjinga

  • @PascalChimatu-h6i
    @PascalChimatu-h6i 2 วันที่ผ่านมา

    Nanyie wakenya mmekaa kama madem wote hamnaga dogo kitu kidogo mnapiga keleleeee

  • @josephbuhembo4215
    @josephbuhembo4215 2 วันที่ผ่านมา

    Mwl leo umetema madini ya maana sana

  • @irenewile
    @irenewile 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wakenya waongo hata Serengeti na kilimanjaro mlikuwa mnawaambia wazungu…wakenya waongo na akili hamna

  • @dudaomar7880
    @dudaomar7880 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona nyinyi mulikua hamuzalishi mpaka musaidiwe na wachina.ulisikia kenya hata siku moja ilisaidiwa na wa wa china,kwa ufupi ina maana kama sio wachina mpaka leo mungelikua taabani sio.kenya iko sawa na itabaki kuwa sawa daima.muna viwanda vingapi vya serikali hapo kwenu Wacha vya wachina.

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 2 วันที่ผ่านมา

      We jiliwaze tu na akili yako finyu

  • @seraphinsteven3559
    @seraphinsteven3559 2 วันที่ผ่านมา

    Anatakiwa ajue tz president alizungumza kwa uwanda gani mbona Ruto asibadilike kwa kauli iyo acha uchochezi kwanza wew sio Muafrica so usituchonganishe

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 2 วันที่ผ่านมา

    Piga kwenye mshono😢

  • @IddiPazi
    @IddiPazi 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anataka kuwa famous sitaki kutoka anatoka kulee upande wa kulee

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 2 วันที่ผ่านมา

    kakojoe ukalale we shoga

  • @Sheba938
    @Sheba938 2 วันที่ผ่านมา

    Kenya inazorota kila siku 😢 kwasababu ya ufisadi na ukafiri

    • @dudaomar7880
      @dudaomar7880 2 วันที่ผ่านมา

      Na huko mwauwana nyinyi kwa nyinyi ama nasema uongo?

  • @joshuangazi
    @joshuangazi 3 วันที่ผ่านมา

  • @DanielKilamian
    @DanielKilamian 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤😂❤😂❤❤😂