Asante sana kaka endelea kuelimisha Africa vunja siri za mabebelu amusheni vijana wa Africa wamelala sana hizo inchi zote unazotangaza matajiri wakupindia ungana na Mwamba Ibrahim Traore fimbo kali ya wakoloni tangaza mazuri ya Magufuli
Tunaomba urusi ashinde maana yeye hategemei rasilimali za africa urusi anachotaka ni kuleta amani duniani lakini toka enzi hizo urusi anajiendesha mwenyewe
Uko vizuri kiongozi.Asante kwa kutujuza.
Mwalimu upo vizuri sana kwa taarifa yako nzuri sana
Asante sana kaka endelea kuelimisha Africa vunja siri za mabebelu amusheni vijana wa Africa wamelala sana hizo inchi zote unazotangaza matajiri wakupindia ungana na Mwamba Ibrahim Traore fimbo kali ya wakoloni tangaza mazuri ya Magufuli
Bora urusi jamani tuzinduke na hawa mabeberu wa magharibi kabla hawajaja kuuwa vizazi vyetu
Good analysis
M250 U.S.A ni ndogo sana kwa Rel.
Marekani hana mktaba wenye manufaa kwa wananchi lamda kwa vibaraka wake
Tunaomba urusi ashinde maana yeye hategemei rasilimali za africa urusi anachotaka ni kuleta amani duniani lakini toka enzi hizo urusi anajiendesha mwenyewe
Ndugai alisema nchi imeuzwa wakamshambulia muda utaongea.
Kwakweli warusi wanatuamsha na hili linekuwa chukizo mno kwa manyang'au mamboleo, harar yetu ni kwa viongozi vibaraka
Kiongoz asante kwa kutujuza ingawa mathematically Kuna kosa, $ 250 million haiwezi Jenga reli Toka TZ to Angola, hapo Kuna kosa.
Inajenga
@yohanakananika3586 hiyo sawa na TSH ngapi? Ongea kimahesabu.