- 255
- 948 169
Mwalimu Google TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 30 พ.ค. 2021
Ni kukuelimisha ( kukuambia UKWELI ) kuhusu mambo yote ya ulimwengu. Ukisha elimika ( kujua UKWELI ) utakuwa HURU (umekombolewa ).Na kwa sababu ya UHURU ( kukombolewa ) utakuwa na AMANI. Yote hayo tutayafanya huku tukiku BURUDISHA.
KWA USHAURI, AU MAONI
petada1986@gmail.com
UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII
Airtel money +255 685 72 22 17 (peter daudi)
KWA USHAURI, AU MAONI
petada1986@gmail.com
UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII
Airtel money +255 685 72 22 17 (peter daudi)
HOLLYWOOD KUUNGUA MOTO , UKWELI NI HUU
Siasa ni " KUBETIA" maisha ya raia wa kawaida. #mwalimugoogletv
มุมมอง: 7 203
วีดีโอ
MAREKANI : CANADA , GREENLAND NI MALI YANGU KWA STAILI YEYOTE.
มุมมอง 16K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SupaPawa zinajiongezea maeneo. Kama uko karibu na SupaPawa lazima uwe mpole . #mwalimugoogletv
WAZUNGU SISI NI MUNGU - LAZIMA AFRICA MTUSHUKURU
มุมมอง 4.7K15 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kazi ya media ni kukuaminisha jambo fulani hata kama ni la uongo. Kazi ya media za kimagharibi zilizojaa Afrika ni kutu lazimisha WAAFRIKA KUAMINI KUWA WAZUNGU WAO NI "MUNGU" #mwalimugoogletv
CHADEMA HAWAJAFIKIA CHANGAMOTO WALIZOPITIA CCM ENZI YA MAGUFULI.
มุมมอง 10K17 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tanzania tunahitaji "VIONGOZI" na sio "WANASIASA" ELIMIKA USIWE MSOMI. #mwalimugoogletv
MAREKANI : SISI TUNA MWESHIMU NA KUMWOGOPA MWENYE MABOMU YA NYUKLIA.
มุมมอง 7K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"Ukubwa" ni kuwa na mabomu ya nuklia. TUACHE SIASA #mwalimugoogletv
TIGO mpaka YAS, ukweli ni huu..
มุมมอง 35K22 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Idara zote za mawasiliano zinatawaliwa na serikali. Hakuna idara ya mawasiliano iliyohuru bila "CONTROL" ya serikali' ELIMIKA USIWE MSOMI. #mwalimugoogletv
MAREKANI HAIWEZI KUWA NA AMANI.
มุมมอง 4.7Kวันที่ผ่านมา
Waswahili husema "KIKULACHO KII NGUONI MWAKO " Matatizo ya marekani wanayajua wamareka wenyewe. #mwalimugoogletv
MKENYA MPUMBAVU KULIKO WOTE
มุมมอง 10Kวันที่ผ่านมา
Wakenya ni WASOMI, Tanzania WAMEELIMIKA. #mwalimugoogletv
UKWELI WA SIKUKUU YA "MWAKA MPYA"
มุมมอง 9Kวันที่ผ่านมา
Kiutamaduni kila jamii ina "MWAKA MPYA" wake kiasilia mwaka mpya ilkua baada ya mavuno au "sherehe za mavuno" #mwalimugoogletv
CHINA : KI - UCHUMI NO.1 , KI - JESHI NO. 1
มุมมอง 13Kวันที่ผ่านมา
China ndio nchi yenye jeshi kubwa kuliko nchi zote duniani. #mwalimugoogletv
KENYA na TANZANIA DAWA YA UTEKAJI NI HII.
มุมมอง 7Kวันที่ผ่านมา
Heshimu mamlaka uwena AMANI. #mwalimugoogletv Kuna njia sahihi ya kukosoa MAMLAKA. ELIMIKA USIWE MSOMI.
KENYA WASOMI , TANZANIA WAME-ELIMIKA
มุมมอง 21Kวันที่ผ่านมา
Wasomi kazi yao ni kuiga Wazungu , Walio Elimika kazi yao ni kujali mambo yao. #mwalimugoogletv elimika usiwe msomi
MAREKANI NI NCHI HATARI KUISHI MGENI, UKIFANIKIWA.
มุมมอง 11K14 วันที่ผ่านมา
Marekani sio "PEPONI" kama walivyo kuwa wakituhubiria. ELIMIKA, USIWE MSOMI. #mwalimugoogletv
PUTIN : HAKUNA WA KUIZUIA URUSI KWENYE VITA
มุมมอง 9K14 วันที่ผ่านมา
Je Urusi ya sasa imefikia uwezo wa Soviet ya zamani kiubabe ? Zamani Soviet walikua wababe kuliko NATO. Soviet ilishindwa kwa SIASA na sio kivita. #mwalimugoogletv
Christmas ni sikukuu ya MUNGU au DINI
มุมมอง 10K14 วันที่ผ่านมา
Jifunze kutofautisha mambo ya MUNGU naya KI- DINI.#mwalimugoogletv ELIMIKA , USIWE MSOMI
DEMOKRASIA NI MFUMO WA KUIUZA NCHI KWA WACHACHE.
มุมมอง 12K14 วันที่ผ่านมา
DEMOKRASIA NI MFUMO WA KUIUZA NCHI KWA WACHACHE.
CHADEMA KUNA "WAKA MOTO" - KWA NINI ?
มุมมอง 21K21 วันที่ผ่านมา
CHADEMA KUNA "WAKA MOTO" - KWA NINI ?
KIFO CHA JENERALI KIRILLOV WA URUSI KINA TAFSIRI GANI ?
มุมมอง 9K21 วันที่ผ่านมา
KIFO CHA JENERALI KIRILLOV WA URUSI KINA TAFSIRI GANI ?
URUSI ANAKATA UMEME NDANI YA UKRAINE - KWA NINI ?
มุมมอง 7K21 วันที่ผ่านมา
URUSI ANAKATA UMEME NDANI YA UKRAINE - KWA NINI ?
ISRAEL ANAIHARIBU SYRIA NZIMA - KWA NINI ?
มุมมอง 9K28 วันที่ผ่านมา
ISRAEL ANAIHARIBU SYRIA NZIMA - KWA NINI ?
CHINA : TAIWAN NI "UKRAINE" INAYOFUATA
มุมมอง 7K28 วันที่ผ่านมา
CHINA : TAIWAN NI "UKRAINE" INAYOFUATA
WILLY PAUL : TABIA ZA WAKENYA NI HIZI.
มุมมอง 10Kหลายเดือนก่อน
WILLY PAUL : TABIA ZA WAKENYA NI HIZI.
SYRIA TUMEFANIKIWA, UKRAINE TUMEFELI - MAREKANI
มุมมอง 20Kหลายเดือนก่อน
SYRIA TUMEFANIKIWA, UKRAINE TUMEFELI - MAREKANI
Marekani na "CHAWA" wake hawana Amani ndani ya nchi zao - KWA NINI ?
มุมมอง 18Kหลายเดือนก่อน
Marekani na "CHAWA" wake hawana Amani ndani ya nchi zao - KWA NINI ?
DUNIA SASA NI SYRIA, SIO UKRAINE. HUU NDIO UKWELI.
มุมมอง 8Kหลายเดือนก่อน
DUNIA SASA NI SYRIA, SIO UKRAINE. HUU NDIO UKWELI.
RAISI WA KENYA "TANZANIA IMESHA WAPITA KENYA KIUCHUMI
มุมมอง 22Kหลายเดือนก่อน
RAISI WA KENYA "TANZANIA IMESHA WAPITA KENYA KIUCHUMI
PUTIN : KWA DAKIKA 1 ( sekunde 60 ) NAWEZA HARIBU POPOTE ULAYA.
มุมมอง 11Kหลายเดือนก่อน
PUTIN : KWA DAKIKA 1 ( sekunde 60 ) NAWEZA HARIBU POPOTE ULAYA.
MARASTAFARAI WALISEMA UKUTA WA BABYLON UTAANGUKA
AMEYATIMBA
Good analysis
Kenya, please, ukienda Germany unaongea kingereza, kingereza ni lugha ya kigeni, ukienda France, unaongea kingereza, nyie kweli ni mapumbafu,
hollwood nipango lamashoga, mungu amewanyosha nabado. amerca watasema2. bigupsanajamaayetu
I Wonder why your content is so much about kenya, you really need to mind you countries bussines, this behavior of always minding our bussines is tiring man, you analysis is so shallow and primitive you really think you're an intelligent, i pity your narrow minds🚮🤧
Fear God not human achana na sisi wakenya wewe baba
Mwalimu usichokijua nikwamba hiyo ni adhabu itokayo kwa Allah....hivyo hapana wakuizuia
Kuna kitabu kinaitwa last day events ili tabir hii kitu na imetokea kwel
Even myself I thought Kilimanjaro was in Kenya
We shouldn’t be proud of speaking good English as English is just like any other language : means of communication. Chinese are bailing so many countries including the west and they speak their own language. Only Africans are proud of the coloniser’s language. I find it strange that so many presidents in Africa address the parliament in foreign languages and how do they expect someone who has never learned to speak either French, Portuguese or English to understand the message. If you look at countries such Dubai and India the head of the country convey the message in his own home language Arabic or Hindi. In Africa you have a few exceptions and TZ is one of them.
Zanziber ndio vita yatatu ya dunia inahitaj sehemu mezani😮
Ccm imejaa mapumbavu 🪛🪛🪛🪛🪛🪛
Asante kwa taarifa
Sky Sky Sky Sky Sky sns alika hiki kichwa kwenye JPS tutapata madini mengi
Acha waunguwe. Mashetani wakubwa. Mungu anawachapa sasa hivi. Na bado uchumi wao umeingia kwenye mteremko wa kuanguka. Haya wanatunisha vifua kuwa wao ndiyo kila kitu duniani. Chezea pumbu zako.! Usimchezee na kumjaribu MUNGU.!!!
Wew uwezi pambana nahawa mashetani marekani wenzio warijali wameshidwa nawew utashidwa tu babu mapuwa
Wanaendelea kukuelewa wa bongo
Simpson walitabirii huo ni mpango wa Freemason!!! tokea mudaa 😅😅😅😅😅 wanajua wanachofanyaa wanafanya makusudi tuu wajinga
CANADA IMEKUBALI KUOLEWA, MEXICO WAOMBE BASE KWA MWAMBA WASHAWASHIWA TAA NYEKUNDU.
Upo sawa huo ndio Ukwel mtupu unajua sana
Hivi kumbe mizungu ni mijinga sana kumbe
Kaka mungu akulinde ❤❤❤
Kaka salut sana. wewe ni darasa hulu
You speak point bro 🫡
HILO JIJI LILOTOKEA MOTO HUWAGA MOTO UNATOKEA MARA KWA MARA ILA SAFARI HII UKIANGALIA ZILE TUZO ZA HOLLYWOOD KABLA YA MOTO KUWAKA MASAA 48 KABLA , KATIKA ZILE TUZO WALIMDHIHAKI MUNGU KWA KUSEMA MUNGU KAPATA ZERO/SIFURI SASA INAONEKANA MUNGU KATUMA Malaika wa upepo na wa moto sasa MOTO NA UPEPO UKICHANGANYIKA NI NGUMU SANA KUUDHIBITI , MAANA UNAKUWA KAMA wale malaika MASERAFI/BURNING ONES , so kuudhibiti mpaka MUNGU mwenyewe awaambie wale malaika basi inatosha ndo wataudhibiti
Ukweli mtupu
Sio kila unachofikiri wewe ni sahihi mbwa wewe kakojoe ukalale
Uyu jamaa nilitamani sana wakutane na Dj Smaa siku moja tunge injoi vitu vingi sana kwakweli
Acha kabisaa kumfananisha Mwalimu Google na hao wasio jitambua 😭😭
Ni kweli kabisa, Tutapata vitu vingi zaidi,
@@shinipapaya846 wote ni wachambuzi wazuri, kwasababu wote wanamtazamo unaofanana kutukumbusha kuhusu uongo wa siasa za kimagharibi
Unaakili sana kuusu tigo kumuogopa lissu na bado kesi ipo mahakamani huko ughaibuni kesi inaendelea lissu moto mwingine
Broo una akili kubwa sn ya kuzaliwa
Bug up
😂😂😂 ukweli mtupu
Nakuelewa sana mwamba
Hili janga lingetokea nchi za Afrika lingekuzwa sana na tungeambiwa limetuathiri sana kwa sababu hatuna uwezo wa kudhibiti h😂😂
Amini NDUGU
Usidanganye watu ww. Unaonatuposwa ungejuambeguinapandikizwa
Salute 👏👏👏
Big up
Marekani wamekosa yakusema inamaana uyu moto wanafaham chanzo ndio maana wamekosa yakusema
Brother unajitahidi sana kuujua ukweli na kusema kweli Big up sana Brother umenifanya nikufurahie
Mwalimu naomba uje umuzungumzie Magufuli kwa upana
Magufuri gani tena
Wafetu
Maji ya kilimanjaro mhhh acha nisiseme
We unavokataa kuwa sio nchi kubwa kiuchumi una maana gani.bro
TUPO LIVE MTAALAM😊😊😊
Hii nilikuwa naisubilia sana
Broo me nakuelew kinyama usa wametushinda kwaushoga2 wallah ipo hvo broo#
Kupitia wewe nimejua sana madhaifu ya marekani maisha yao nje nitofauti sana na maisha ya ndani
Big up broo
Ni kweli mtoto wa Trump kwenda ile sehemu